uponyaji.wa mungu na nguvu za wokovu. tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la mungu; kwa...

27
UPONYAJI. Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikua juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.(Isaya53:5,) Kuna mengi sana siku hizi. Watu kuteseka, wengine wana kanza,wengine magonjwa ya moyo,arthiritis, shongo na maumivu ya mgongo, kichwa na matatizo ya figo,pumu,mishipa, ugonjwa wa mifupa kuzidi kuendelea na kadhalika. Pia watu wanateseka kwa njia zenginezo kama uhaba wa pesa, chakula, baadhi yao kusumbuliwa na wengine kuwa chini ya kujitegemea. Kuna wale ambao hukataliwa katika maduara ya marafiki na wanauelewa utofauti wa imani yao kuliko wengine wa imani nyingine. Elimu ikionekana kuwa juu, matokeo ni, wanaweza kuwekwa chini ya kudhulumiwa na familia,marafiki na mamlaka au mahali pa kazi. Hawakubaliwi jinsi walivyo, wanatamani kuwa huru na kufurahia lakini mazingira hayawaruhusu. Wengine wamekua wezi au wasanii , dhamira mbaya na wanakubaliwa . Je! jamii inafanya nini kwa mateso haya. Waganga hutoa udanganyifu wenye dawa za sumu, dawa hizi huingiza maumivu, unyongonyevu na magonjwa mengi. Pia hupunguza masomo yao na vidonge vibaya sana vya kudhuru. Wengine wengi wemefungwa.Ikiwa watu hawawezi kujitegemea mahali pa ajira au mamlaka, labda basi kuonekana kama watu wasioweza na karibuni hivi wanajikuta

Upload: others

Post on 20-Jan-2020

36 views

Category:

Documents


4 download

TRANSCRIPT

UPONYAJI.Balialijeruhiwakwamakosayetu,Alichubuliwakwamaovuyetu;Adhabuyaamaniyetuilikuajuuyake,Nakwakupigwakwakesisitumepona.(Isaya53:5,)

Kunamengisanasikuhizi.Watukuteseka,wenginewanakanza,wenginemagonjwayamoyo,arthiritis,shongonamaumivuyamgongo,kichwanamatatizoyafigo,pumu,mishipa,ugonjwawamifupakuzidikuendeleanakadhalika.

Piawatuwanatesekakwanjiazenginezokamauhabawapesa,chakula,baadhiyaokusumbuliwanawenginekuwachiniyakujitegemea.Kunawaleambaohukataliwakatikamaduarayamarafikinawanauelewautofautiwaimaniyaokulikowenginewaimaninyingine.

Elimuikionekanakuwajuu,matokeoni,wanawezakuwekwachiniyakudhulumiwanafamilia,marafikinamamlakaaumahalipakazi.Hawakubaliwijinsiwalivyo,wanatamanikuwahurunakufurahialakinimazingirahayawaruhusu.Wenginewamekuaweziauwasanii,dhamirambayanawanakubaliwa.Je!jamiiinafanyaninikwamatesohaya.Wagangahutoaudanganyifuwenyedawazasumu,dawahizihuingizamaumivu,unyongonyevunamagonjwamengi.Piahupunguzamasomoyaonavidongevibayasanavyakudhuru.Wenginewengiwemefungwa.Ikiwawatuhawawezikujitegemeamahalipaajiraaumamlaka,labdabasikuonekanakamawatuwasiowezanakaribunihiviwanajikuta

kwenyejangalamagonjwayaakiliaukwendakatikaulemavukablayawakati.

Mwizinamsaniiwanahukumiwakifungogerezani.Walakinidawa,sindano,ulemavuauhukumuzajelahuyatatuahizotatizo?Je!Watuhupatamazurikwatibayaainahii?

Tunaishikatikajamiibandianayenyemikazo,mavutano,usingizinawengiwanatambuakwambalazimatujitokelezekatikajamiihiibandianakwauasilia.Tunawezakurejeshaafyazetukulekwenyemsaadawatibarahisizaasilikama,HEWASAFI,JUA,KUWAnaKIASI,PUMZIKO,ZOEZI,CHAKULAchaAFYA,MAJInaKUMWANINMUNGU.Hizindizotibazakwelizauponyajiwauzima.

Hatahivyokunaugonjwammojaambaodawazaasilihaziwezikuponya,naonidhambi.MuumbaametuwekeasheriazakekumirahisiilisisikwakuzifuatatuwenauhusianomzurikwaMungunawenzetu.Tunafanyadhambikwakuzivunjaamrihizi.Bibiliainasemakuwa‘’dhambiniuasiwasheria”nakwamba‘’mshaharawadhambinimauti”(1Yohana3:4,Warumi6:23).Bibliainasema‘’kilaatendayedhambinimtumwawadhambi.”(Yohana8:34)

Sisitukochiniyalaanayasheriatunapoitendadhambi“kwasababuwotewamefanyadhambi,nakupungukiwanautukufuwaMungu.’’(Warumi3:23)

Yesualikujakutuokoakutokakwalaanayasheria.Alifanyakilakituilituwezekuwahurunawenyefuraha;ambayeyeyemwanzoalikuwayunanamnayaMungu;balialijifanyakuwa

hanautukufu,akajinyenyekeshaakawaanamfanowawanadamunaakajakwaumbokamamwanadamuilikutuokoanalaanayadhambi.’’Basi,kwakuwawatotowameshirikidamunamwili,yeyenayevivyohivyoalishirikiyayohayo.’’(Waebrania2:14)

AnapaswakupataushindiambapoAdamunaHawawalianguka.Yesualifanyahivyobibiliainavyosema.Kwahivyo,kwakilakitualikuwaamefanywakufananananduguzakeiliawemkuuwahurumanamwaminifukatikamamboyanayohusuMungu,akafanyaupatanishokwaajiliyadhambizawatu.Kwakuwayeyemwenyeweamejaribiwa,anawezakuwasaidiawalewanaojaribiwa(Waebrania2:17,18)lakiniYesualikuwakatikavituvyotekamasisilakinibiladhambi(Waebrania4:15)

YesuniMwokoziwetukwasababualijaribiwakatikamamboyotekamasisilakinibiladhambinaakatoamaishayakekwaajiliyetu.Basihebutujekwaujasirikwenyekitichaenzichaneema,ilituwezekupatarehemananeemayakusaidiawakatiwamahitaji(Waebrania4:16)TayaritunaonakwambaYesundiyejibukwakupitiakwaketunawezakuponywakutokakatikadhambi.NabiiIsayaanaelezeauponyajihuukwanjiahii.

Hakikayeyeamebebamajerahayetu,akachukuahuzunizetu,hatahivyotunamuonayeyealipigwa,piaalijeruhiwakwamakosayetu,alisulubiwakwamakosayetu,adhabuyaAmaniyetuilikuajuuyake,naKwakupigwakwaketunapona.

Sasaswalini!Tunakubaliuponyajihuu?Nizawadiyabure,Je,tukotayarikuikubalihiizawadi?Uhusisheuponyaji

waMungunanguvuzawokovu.TukiimarishwananukuuzifuatazokutokakwanenolaMungu;kwahiimaana‘’Mungualiupendaulimwengu,hataakamutoamwanawewapekee,ilikilaamwaminiyeasipotee,baliawenauzimawamilele.”(Yohana3:16)

Hilindilopendo,sikwambasisitulimpendaMungu,balikwambayeyealitupendasisi,akamtumaMwanawekuwakipatanishokwadhambizetu.’(1Yohana4:10)Yesuakainukajuuasimwonemtu,ilayulemwanamke,akamwambia,Mama,wakowapiwashitakiwako?’Je!Hakunaaliyekuhukumu,kuwanahatia?Akasema,Hakuna,Bwana.Yesuakamwambia,Walamimisikuhukumu.Enendazako;walausitendedhambitena.’

(Yohana8:10,11).‘’YeyealiyenayeMwanaanaohuouzima;asiyenayeMwanawamunguhanahuouzima.”(1Yohana5:12).PetronaYohanawakamwambia‘’BasinyumbayoteyaIsiraelinawajueyakiniyakwambaMunguamemfanyaYesuhuyomliyemsulubishakuwaBwananaKristo.Walipoyasikiahayawakachomwamioyoyao,wakamwambiaPetronamitumewengine,‘Tutendeje,nduguzetu?’Petroakamwambia,‘TubunimkabatizwekilammojakwajinalakeYesuKristo,mpateondoleoladhambizenunanyimtapokeakipawachaRohoMtakatifu.’’(Matendo2:36-38)

‘’Tubunibasi,mrejee,ilidhambizenuzifutwe,zipatekujanyakatizakuburudishwakwakuwakokwakeBwana.’’(Matendo3:19)‘’Ikiwawatuwangu,walioitwakwajinalangu,watajinyenyekesha,kuomba,nakunitafutausowangu,nakuziachanjiazaombaya,basi,nitasikiatokambinguni,na

kuwasamehedhambiyao,nakuponyanchiyao.’’(2MamboyaNyakati7:14).‘’Eenafsiyangu,umhimidiBwana.Naam,vyotevilivyondaniyanguvilihimidijinalaketakatifu.Eenafsiyangu,umhimidiBwana,Akusamehemaovuyakoyote,Akuponyamagonjwayakoyote.’’(Zaburi103:1-3)

HuundioushinditoshanawakwelikwambatunapokeauponyajitukimwendeaYesunamizigoyetuyoteyadhambi.Inatupasakujinyenyekeza,kukiridhambizetunakutubu,nayeatatusamehemaovuyetunakututakasakutokakwaudhalimuwote.BasisisiniwenyehakikatikayeyenaneemakwaImani.

UponyajiNakukubalikaNaMungu

KutokananamaelezorahisiyaBibilia,jinsiYesualivyowaponyawagonjwa,tunawezakujifunzajambofulanijuuyakumwaminiyeyenakupokeamsamahawadhambi.HebutuigeukiehadithiyamtummojaaliyepoozahukoBethsaida.Maskinimtuhuyuhakuwanamsaada;hakuwanawakumtwaamiguuyakekwamiakathelathininaminane.Lakini,Yesuakamwambia,‘Simama,jitwikegodorolako,uendezako.’

Huendamgonjwahuyuangelisema,‘Bwanaikiwaumenifanyanipateuponyaji,nitalitiinenolako,baliyeyealiliamininenolaKristo.Aliaminikwambaalikuaamefungwanaakafanyajuhudimaramoja.Alipendaatembeenayeakatembea.

AlifanyahivyokwanenolaKristonaMunguakalitianguvuneonhilo.Inawezekanamwenyedhambikwahalihii.

Wawezakuzikiridhambizakozazamani,nakubadilimoyowakonakujitakasamwenyewe.MunguanaahidikufanyahayoyotekwaajiliyakokupitiaKristo.

Aminiahadihii.Utakubalidhambizako,nakujitoakwaMungunakumtumikia?Ikiwautafanyahivi;Munguatatimizanenolakekwako.Kamaumeaminiahadihii--aminikwambaumesamehewanakutakaswa.Je?Umefungwa?JinsiKristoalivyompayulemtualiyepoozauwezowakutembeapundetu,aliaminikwambaameponywa.Ukiaminini,hilinihakika.Usingojempakaujihisiumekamilika,lakinisema,”Ninaaminihivyo,siokwasababunirahisitu,lakinikwasababuMunguameahidi.

Yesuanasema,‘‘Yoyotemyaombayomkisali,amininiyakwambamtayapokea,nayoyatakuwayenu.”(Mariko11:24)Kunanjiayaahadihii-kwamba,tuombekulingananamapenziyaMungu.KwahivyonimapenziyaMungukututakasakutokakwadhambi,kutufanyawatotowakenakutuwezeshakuishimaishamatakatifu.Basitunawezakuombabarakahizi,nakuaminiyakwambatunazipokea,nakumshukuruMunguyakuwatumezipokea.NiwajibuwetukumwendeaYesunakutakaswa,nakusimamambeleyasheriabilaaibuaumajuto.”Basi,hakunahukumuyaadhabujuuyaowaliokatikaKristoYesu,ambaohawaenendikwakuufuatamwili,...balimamboyaroho.”(Warumi8:1,4)Kwahio.”Nanyimfahamukwambamlikombolewasikwavituviharibikavyo,kamavilefedhaaudhahabu,balikwadamuyathamani,kamayamwana-kondooasiyenahila,asiyenawaa,yaani,yaKristo.”(1Petero1:18,19.)Kupitiatendohili

rahisilakumuaminiMungu,RohoMtakatifuamezaliwamaishamapyamoyonimwako.WewenikamamtotoaliyezaliwakatikafamiliayaMungu,nayeanakupendakamaampendavyoMwanawe.

KwakuwasasaumejitoakwaYesu,usirudiukatangambalinaye,ilasikubaadayasikuusemehivi,”MiminiwaKristonanimejitoakwake.”naumuombeakujalierohowakenakukuhifadhikwaneemayake.KamanikwakujitoakwakokwaMungu,nakumuaminiuwemtotowake,basiyakupasakuishindaniyake.MtumePauloanasema“BasikamamlivyompokeaKristoYesu,Bwana,enendenivivyohivyokatikayeye.”Wakolosai2:6.WenginehuonekanakuhisikuwawanapaswakuthibitishiaBwanakuwawaohurekebikahatakablayakudaiMibarakayake.Kamahuwezikupingamaovu,RohowaKristohusaidiaudhahifuwawatu.Yesuanatupenda,njookwakekamasisiwenyedhambiwasionamsaadawakutegemea.

Tunawezakujanaudhaifuwetuwote,upumbavuwetunadhambizetukwakuangukamiguunipakekatikauongofu.Nikwautukufuwakeanatuzungukakatikasilahayaupendowakenakutufungamajerahayetu,kututakasakutokananauchafuwote.Hapandipomaelifuhushindwa,hawaaminikwambaYesuhusamehenafsi,mmojammoja.HawatumikiiMungukatikanenolake.

Nifursayawotekuzingatiamashartiyakujuawenyewekwambamsamahahupatikanakwakuwahurunakiladhambi.PiakuondoatuhumakwambaahadizaMungusiozamaanakwako.Hayanikwawahalifuwotewanaotubu.Nguvu

naneemazimetolewakwanjiayaKristokutuleteamalaikawahudumukwakilanafsiyakuamini.Hatahivyonikwaajiliyadhambihawawezikupatanguvu,usafinauadhilifukatikaYesuambayealikufakwaajiliyao.Anasubirikuwavuanguozaozilizowasababishakuchafuliwanadhambi,nakuvikwamavazimeupeyahakiawaagizayoiliwaishi.

Munguhatutendeisisikamaalivyowatendeawanaumewalewamwisho.Mawazoyakenimawazoyahurumanaupendo.Kwahurumanyingianasema,”Mtumbayanaaiachenjiayake,namtuasiyehakiaachemawazoyake,NaamrudieBwana,nayeatamrehemu;naarejeekwaMunguwetu,nayeatamsamehekabisa.’‘Nimeyafutamakosayakokamawinguzito,nadhambizakokamawingu”(Isaya55:7,44:22)”Maanamimisifurahiikufakwakeyeyeafaye,asemaBwanaMUNGU;basighairini,mkaishi,”(Ezekiel18:32)ShetaniyutayarikuibaahadizaMunguzenyeheri.Anatakakuchukuakilamwangawatumaininakilamwangawamiangakutokamoyoni,lakinisilazimatumruhusuafanyehivyo.Usisikilizemnenaji,lakinianasema,”Yesuamekufailinipatekuishi.Ananipenda,walahakutakanipotee…NinaBabawambingunimwenyehuruma,naingawabarakaalizonipazimeharibiwa,nitaondokanitakwendekwababayangunakumwambia,Baba,nimekosajuuyambingunambeleyako;sistahilikuitwamwanawako.Nifanyekamammojawawatumishiwako.’Nakwambia!jinsiMwanampotevualivyopokelewa,“Alipokuwaangalimbali,babayakealimwona,akamwoneahurumaakaendambioakamwangukiashingoniakambususana.’’(Luka15:18-20)

Lichayamfanohuu,haujafikiriahurumanamgusokamahuuulivyo;hurumaisiyokuwanamwishoyaBabawaMbinguni.Babaasemahivikupitianabiiwake,”Naamnimekupendakwaupendowamilele,ndiyomaananimekuvutakwafadhilizangu.”(Yeremia31:3)WakatimwanampotevualitangambalinanyumbaniyaBabayake,akaharibumaliyakekatikanchiyambali,moyowababaungalinaupendo;nakilatamaaikaamukanafsinimwakeiliamrudieMungu,aliomba,RohomtakatifuakimsihiamchocheerohowaupendowaBaba.MbeleyakokukiwanaahadinyingizaBibilia,unawezakutoanafsiyenyeshaka?Je!unawezakuaminikwamba,mwenyedhambiapendapokurejea,nakutamanikuondokakwenyedhambizake;Bwanahumzuiakabisakurudimiguunipakekwatoba.Lahasha!

Ondoawazokamahilikabisa.HakunajambokamahililinalowezakuizuiarohoyakomwenyewedhidiyamamboyakuvutiakamahayoyaBabayetuwaMbinguni.

Yeyeanachukiadhambilakiniwenyedhambianawapenda.Kristoalijitoamwenyewekamamtuwawoteambaowangewezakuokolewawawekielelezochaufalmewautukufu.NilughaganizaidiauBarakakatikazaburiingewezakutumiwakulikoaliyoichaguakuonyeshaupendowakekwetu?Asema”Jemwanamkeawezakumsahaumtotowakeanyonyaye,hataasimuhurumiemwanawatumbolake?Naamwanawezakusahau,lakinimimisitakusahauwewe”(Isaya49:15)

AngalianinyimlionamashakanakutetemekakwamaanaYesuanaishikutuombea.AsanteMungukwaajiliyazawadi

yamwanaompendwa.Rohoanakualikahivileo“njookwakeYesukwamoyowakowote’’naunawezakudaiBarakazake.Unaposomaahadihiikumbukanimfanowaupendousionashakanawahuruma.Moyomzuriwaupendousionamwishounavutiwakwamwenyedhambinahurumaisiyonamipaka.“Katikayeyehuyo,kwadamuyake,tunaoukomboziwetu,msamahawadhambi.’’(Waefeso1:7)HilindilotumainikwambaMungundiyemsaidiziwako.Anatakakurejeshamabadilikoyaumbolakekwamwanadamu.Ukimkaribishakwakuungamanakutubuatakukaribiakwarehemanamsamaha.“Watotowanguwadogo,ninawaandikiahayailikwambamsitendedhambi.MtuakitendadhambitunayeMwombezikwaBaba,YesuKristomwenyehaki.Nayekipatanishokwadhambizetu;walasikwazetutu,balinakwadhambizaulimwenguwote.Nakatikahilitwajuayakuwatumemjuayeye,ikiwatunashikaamrizake.Yeyeasemaye,Nimemjua,walahazishikiamrizake,nimwongo,walakwelihaimondaniyake.Lakiniyeyealishikayenenolake,katikahuyoupendowaMunguumekamilikakwelikweli.Katikahilitwajuayakuwatumondaniyake.Yeyeasemayeyakuwaanakaandaniyake,imempasakuenendamwenyewevilevilekamayeyealivyoenenda.’’(1yohana2:1-6).

HatuwezikuzitunzasheriazaMungukwanguvuzetuwenyewe.TunapomkubaliYesunakumpokea,Rohomtakatifukatikamaishayetu,basitunaouwezowakusimamadhidiyamajaribuyapepowachafu.

Haleluyah!Bwanaahimidiwe!Jaribuhalikuwapataninyi,isipokuwalililokawaidayawanadamu;ilaMunguni

mwaminifu;ambayehatawaachamjaribiwekupitamwezavyo;lakinipamojanalilejaribuatafanyanamlangowakutokea,ilimwezekustahimili.’’(1Wakoritho10:13)Nasasawatotowadogo,kaenindaniyake,ilikusudi,atakapofunuliwa,mwenaujasiri,walamsiaibikembelezakekatikakujakwake.Kamamkijuayakuwayeyenimwenyehaki,jueniyakuwakilaatendayehakiamezaliwanayeye.’’(1Yohana2:28-29)Watotowadogo,mtunaasiwadanganye;atendayehakiyunahaki,kamayeyealivyonahaki.’’(1Yohana3:7).

“KilamtualiyezaliwanaMunguhatendidhambi,kwasababuuzaowakewakaandaniyake;walahawezikutendadhambi.KwasababuamezaliwakutokananaMungu.’’(1yohana3:9).

TunapatanguvuyakufanyahakiwakatiRohomtakatifuanakujakatikamaishayetu.Piakwamanenomengine,kwanza“kupokeahakiyake’’,pili“kukubaliwananeemakupitiaImani,nabaadayahaponguvuzakufanyahaki,Kwanjiahiitunawezakuwamashahidiwakewakuzaamatundayarohokatikamaishayetu.Hatahivyokulingananaahadiyake,tunatazamianambingumpyaambayohakiyakeinakaahumo.Kwahiyowapenziwangu,kwasababumnatazamiamambohayo,jitienimkapatikanekwaAmanikamilifu(2petro3:13-14)

KanunizaBibiliazaUponyajiKwawaleambaowanaorejeshaaukuifadhiafyazao,kunafundishokatikanenotakatifu,‘’Tenamsilewekwamvinyo,ambamomnauzinifu;balimjazweroho.”Waefeso

5:18.Siokwamsisimkoauusahaulifuuletwaonaupotovuauvichokoovisivyonaafya;siokwakufurahishauchuuliopunguaautamaandipoupatikaneuponyajiwakweliauburudikokwamwiliaunafsi.MiongonimwawagonjwakunawengiambaohawanaMungunahawanatumaini.Wanatesekakutokananahamuzisizoridhisha,tamaachafunakuhukumikadhamirizaowenyewe.Wanapotezamsimamowaokatikamaishahayanakutokuwanatumainilamaishayajayo.Hebuwanaowashugulikiawagonjwahawawasitumainiewala,wauminiwasiwenamatumainiyawangonjwakuwafaidiwagonjwahawakwakuwaruhusukwarahazamisisimko.Hizindiozimekuwalaanayamaishayao.Nafsiilionanjaa,nakiu,itaendeleakuwananjaanakiumradituipatekuridhishwa.WaleambaowanakunywakatikaChemichemiyayaanasazaubinafsiwanajidanganya.Hukoseakwakudhaniauchangamfuhuondionguvu,nawakatimsisimkounaisha,usukumiziwaounakoma,nakuachwabilakuridhikakudalilishwa.

Amaniyakudumu,pumzikolakwelilaroho,hasaunachanzokimoja.HiindioKristoalinenaaliposema,“Njoonikwanguninyinyotemsumbukaonawenyekulemewanamizigo,naminitawapumzisha.’’Mathayo11:28.“Amaninawaachieni;amaniyangunawapeni;niwapavyomimisivyokamaulimwenguutoavyo.’’Yohana14:27.AmanihiisiokituambachoYeyehutoapasipokuwanayeyemwenyewe.NikatikaKristotu,tunawezakuipatakwakumpokeaYeye.Kristondiyechemichemiyauzima.Kileambachowengiwanahitajinikuwanaelimusafikumhusu;wanahitajikuwawavumilivunawapole,tenawabidii,kufundishwajinsi

kiumbekizimakinawezakuwekwawazikwamawakalawauponyajiwambinguni.WakatimwangawajualaupendowaMunguunaangaza,vyumbavilivyotiwagizavyanafsi,uchovuusionapumziko,nakutotosheka,kutaishanashangwezakuridhishakutiajuhudinguvunaafyananguvukwamwili.

SisitukokatikaulimwenguwamatesoMagumu,majaribu,nahuzuni,hivivyotevyatungojeasisinjianikotekuingiamakaoyambinguni.Lakinikunaowengiambaohufanyamizigoyamaishakuwamizitomaradufukwakutazamiashidawakatiwote.Ikiwawatapatwanamasaibunayakwambamatatizoyaondiomagumukulikoyote,kwahivyowanauhakikayawaowanahitaji.Hivyowaohujileteaumaskiniwenyewenakuelekezalawamazotekwawotewanaowazunguka.Maishayaoyenyeweinakuwanimzigokwao.Nahaistahilikuwahivyo.Itagarimujuhudinyingisanakubadilimawazoyaoyasasa.Hatahivyomabadilikoyanawezakufanyika.Furahayao,yotekwamaishahayanamaishayajayo,inategemeawaokukazamawazoyaokwavituvyakufurahisha.Hebuwasiitazamepichayagiza,ambayonidhania,kwafaidaambazoMunguameziangazakatikamapitoyao,nazaidiyahayayote,yaleyasioonekananayamilele.

Kwakilajaribu,Munguametoamsaada.WakatiWaisraelkulejangwaniwalifikiamajimachunguyaMara,MusaalimliliaBwana.NayeBwanahakutoadawampya;Yeyealiitishakilichokuwamkononi.MumeaambaoYeyealiyouumbaulitupwakwenyechemichemikuyafanya

majiyawemasafinamatamu.Hilililipotimilika,watuwalikunywamajihayawakafarijika.Katikakilajaribu,ikiwatutamtafutaYeye,Kristoatatupamsaada.Machoyetuyatafunguliwailikupambanuaahadizauponyajizilizoandikwakatikanenolake.RohoMtakatifuatatufundishajinsiyakujitwaliakilabarakaambazozitakuwadawakwamasikitikoyetu.Kwakilanenouchunguambalolimewekwakwenyemidomoyetu,tutapatatawilauponyaji.

Haitupasikuruhusunataabuzawakatiujaonataabuzakenamatarajioyakeyasioridhibisha,kufanyamioyoyetuizimie.Magotiyetuhutetemeka,mikonoyetuhuninginiachini.“AuazishikenguvuZangu,’’asema“Naam,afanyeAmaninami;naatafanyaAmaninami.”Isaya27:5.WaleambaowanaosalimishamaishayaokwauongoziWakenakwaibadayakehawatawekwakatikanafsiambayohawajaandaliwa.Hatahaliyetuiweje,ikiwasisiniwatendajiwanenoLake,tunayemwelekeziwakutuongozanjiazetu;hatamatatizoyetuyaweje,tunayemshauriwahakika,hatahuzuni,msiba,auupweke,tunayerafikiatuhurumiaye.

Ikiwakwaujingawetutunakoseakatikamienendoyetu,Mwokozihatatuacha.Hatutahitajikujihisikuwatupekeyetu.Malaikanimarafikizetu.WafarijiambaoKristoaliahidikuwatumakwajinaLakeiliwakaepamojanasi.KwanjiainayoelekeaMjiwaMunguhakunamatatizoambayohawatayashindawalewanaomwaminiYeye.Hakunahatariambazohawawezikuziepuka.Hakunahuzuni,machungu,uchafuwakibinadamu,ambaohaujaandaliwadawa.

Hakunawenyehajayakujizuiawaowenyewekwamashakanakukatatamaa.Shetanianawezakukukujiawewenamashaurimabaya,“Haliyakohainamatumaini.Hauwezikukombolewa.“BalikunatumainikwakokatikaYesu.Munguhawezikutuambiatuyashindekwanguvuzetuwenyewe.AnatusihitukaribiesanaupandeWake.Hatayawematatizokazini,ambayoyanafinyiliachininafsinamwili,Yeyehutungojeatukutuwekahuru.

YeyealiyechukuaubinadamujuuyakeMwenyewe,anajuajinsiyakuhurumiamatesoyabinadamu.NiKristotuanayejuakilanafsi,namahitajiyapekeenamajaribuyanafsihiyo,piaanajuahalizoteambazohuchukizanakutiarohomashaka.Mkonowakeumenyoshwakatikawepesiwamasikitikokwakilamtotoanayeteseka.WalewanaoumiasanandiowalionahurumazamasikitikoYake.Yeyehuguzwana`hisiazamaovuyetu,naangependesisikuyawekeleamashakanashidazetumiguuniPakenakuziachapale.

Siojambolabusarakujijaliawenyewenakuchukuahisiazetu.Ikiwatutafanyahivyo,Yuleaduiatatuleteamatatizonamajaribuambayoyatalegezaimaniyetunakuangamizaujasiriwetu.Kuziruhusuhisiazetundiokukaribishamashakanakijiingizakwenyematatizosisiwenyewe.InatupasakuachakujiangaliawenyewekwakumtazamaYesu.Wakatimajaribuyanatuzidi,ampapomasumbufu,mashakanagizavinaonekanakuzungukanafsiyako,angaliamahalipamwishokuionanuru.TuliakatikaupendowaYesunakuwa

chiniyauangalifuwaulinziWake.Wakatidhambiinang’ang’anakukutawalamoyo,hatakuilemeanafsinakuwamzigokwadhamiri,akilikutandwanawingulakutoamini,kumbukayakwambaneemayaYesuyatoshakushindadhambinakuliondoagiza.TuingiapoushirikanamwokozihuwatunaliingiaeneolaAmani.

AhadizaUponyaji

“BWANAhuzikomboanafsizawatumishiwake,NahakunammojawaoamwaminiyeYeyeatahukumiwa,”Zaburi34:22.“KwakumchaBWANAniujasiriimara,’NawatotoWakewatakuwanamahalipakimbilio.’’Mithali14:26.“Sayunialisema,YEHOVAameniachana,BWANAamenisahau,Je!mwanamkeawezakumsahaumtotowakeanyonyaye,Hataasimuhurumiemwanawewatumbolake?Naam,hawawawezakusahau,lakiniMimisitawasahau.Tazama,MiminimewachorakatikaviganjavyamikonoYangu.’’Isaya49:14-16ARV

“Usiogope,kwamaanamiminipamojanawe;usifadhaike,kwamaanamiminiMunguwako;nitakutianguvu;nitakutianguvu;nitakusaidia;Naam,nitakushikakwamkonowakuumewahakiYangu.’’Isaya41:10“EnyimliozaliwaNamitanguutotoni;MliochukuliwamimbaNamitangutumboni;HatauzeewenuMimindiyeYule;

Hatawakatiwamviwenunitawachukueni;Nitachukuwa,nanitawaokoeni.”Isaiya46:3-4

Hakuna la ziaida l iwezalo kuchangia utunzaj wa afya ya mwil i na nafsi kul iko ifanyavyo roho ya shukrani na masif io. Ni wajibu wa hakika kujizuia na huzuni, mawazo na hisia zisizoridhisha- wajibu sawa na huo wa kuomba. Ikiwa tunasafir i mbinguni,tutaendaje kama kundi la waombolezaji ,vi l io vya machungu na manunguniko nj ia kote hadi nyumbani mwa Baba? Wale wanaodai ni wakristo ambao daima ni kunungunika, na kuonekana kuwazia kuwa uchangamfu na unyemi ni dhambi, hawana dini ya kweli .Wale wanaochukulia anasa ya majonzi kwa yote yal io ya kusikit isha katika ul imwengu wa asi l i , wanaochagua kuyatazama majani yal iokauka kuliko kuyakusanya maua mazuri yal io hai,hawaoni uzuri katika vi lele vya mil ima ya fahari na kwenye mabonde i l iyovalishwa ki jani kibichi, wakifungia hisia zao sauti ya shangwe ambayo inazungumza nao kwa asi l i ,tamu na yenye mlio mzuri kwa sikio l is ikialo—hawa hawamo ndani ya Kristo. Wenyewe wanajikusanyia huzuni na giza,wakati wanastahil i wapate wangavu, hata jua la haki l ikizuka mioyoni mwao na uponyaji katika miale Yake. Maranyingiakiliyakoinawezamavundekwasababuyamaumivu.Basiusijaribukutafakari.UnajuakwambaYesuanakupenda.Anaelewaudhaifuwako.UnawezatukufanyamapenziYakekwakupumzikamikononimwake.

Nisheriayaasilikuwamawazonahisiazetuhutiwamoyonakupatanguvutunapozipeausemi.Wakatimaneno

yanaelezamawazo,nikwelivivyondivyomawazohufuatamaneno.IkiwatungalitoauonyeshozaidikwaImaniyetu,tungalishangiliazaidikwaBarakatulizonazohivisasa,-rehemanaupendoMkuuwaMungu,-inafaatuwenaImanizaidinafurahakuu.Hakunalughainayowezakuelezea,hakunawazolamwisholinalowezakufahamu,barakaambazomatokeoyakeyatokananakukubaliulewemanaupendowaMungu.Piahapadunianitunawezakuwanafurahakamamto,usioishamajiyake,kwasababuunazidishwanavijitovibubujikavyokutokakwaenziyaMungu.

BasiachenituelimishemioyonamidomoyetukunenasifazaMungukwamaanaupendoWakenimwingi.HebutuelimishenafsizetukutumainiakukaandaniyamwangaungaaotokamsalabawaKalwari.KamwetusisahaukwambasisiniwatotowaMfalmewambinguni,WananaBintiwaBwanawamajeshi.NifursayetukudumishautulivustarehekatikaMungu.

“AcheniamaniyaKristoitawalemioyonimwenu;….tenaiweninashukrani.”Wakolosai3:15.Kwakusahaumatatizonashidazetuwenyewe,hebutumsifuMungukwanafasiyakuishikwaajiliyautukufuwajinalake.AchabarakampyazakilasikumpyazichocheesifandaniyamioyoyetukamaamanayauangalifuwaupendoWake.Unapofunguamachoyakoasubuhi,mshukuruMungukwakukulindausikuwote.Mshukurukwaamaniyakemoyoni

mwako.Asubuhi,mchananausiku,basishukranikamamanukatoyakupendezaipandejuumbinguni.

Mtuatakapokuulizajinsiunavyojihisi,usijaribukuwaziajambolakusikitishakwausemiiliupatekuhurumiwa.Usizungumzieukosefuwakowaimani,nahuzuninamatesoyako.YuleMjaribuhufurahiasanakusikiamanenokamahayo.Unapoongeleahofuzamajonzi,huwaunamtukuzayeye.HatustahilikuishikwanguvukuuzaShetanikwakutushindasisi.Maranyinyihuwatunajitiawenyewemikononimwakekwakuzungumziajuuyanguvuzake.HebubadalayaketuzungumzienguvukuuzaMunguhatakushikanishamapenziyetuyotepamojanaYake.ElezeanguvuzaKristozisizonakifani,nakuzungumziautukufuWake.Mbinguyoteinapendezwanawokovuwetu.MalaikawaMungu,maelfunamaelfu,nakumielfumarakumielf,wamekabidhiwakuhudumiawaleambaowatakuwawaridhiwawokovu.Wanatulindadhidiyamaovunakuzisukumilianyumanguvuzagizaambazozinatafutakutuharibu.Je!hatunasababuyakushukurukilawakati,shukranihatawakatikunashidazilizowazikatikanjiazetu?

ImbeniZaburi

Hebusifanashukranizinenwekatikawimbo.Tunapojaribiwa,badalayakunongoneahisiazetu,hebukwaImanitumwinulieMunguwimbowashukrani.

TunakusifuWewe,EeMungu,kwaMwanawaupendowako,-KwaYesualiekufanasasaamepaajuu.

TunakusifuWewe,EeMungu,kwaRohoWakowanuru,NaniametuonyeshaMwokoziwetu,nakutawanyausikuwetu.UtukufuwotenasifakwaMwanakondooaliyeuwawa,Aliyezichukuadhambizetuzote,naamesafishakilauchafu.UtukufunasifazotekwaMunguwaneemayote,

Ambayeametununua,nakututafutanakutuongozanjiazetu.Tuhuishetena;jazakilamoyokwaupendoWako;Herikilanafsiiwashwetenakwamotoutokaojuu.Itikio:

Halleluyah!Utukufuwako,Halleluyah!Amen;

Halleluyah!Utukufuwako,Tuishetena.Wimbonisilahaambayotunawezakutumiakilawakatidhidiyakukatatamaa.TunapofunguamoyokwamwangawajualauwepowaMwokozi,tutakuwanaafyanabarakaZake.“MshukuruBWANA,kwakuwanimwema,

Kwamaanafadhilizakenizamilele.NawasemehiviwaliokombolewanaBWANA,walealiowakomboanamkonowamtesi.

Mwambieni,mwimbienikwazaburi,Zitafakariniajabuzakezote.Jisifunikwajinalaketakatifu,NaufurahimoyowaowamtafutaoBwana,

“Maanahushibishanafsiyenyeshauku,Nanafsiyenyenjaahuijazamema.Waliokaakatikagizanauvuliwamauti,Wamefungwakatikataabunachuma;....WakamliliaBWANAkatikadhikizao,Akawaponyanashidazao.Aliwatoa

katikagizanauvuliwamauti,Akayavunjamafungoyao.NawamshukuruBWANAkwafadhilizake,Namaajabuyakekwawanadamu!”Nafsiyangu,kwaninikuinama,Nakufadhaikandaniyangu?UmtumainiMungu;Kwamaananitakujakumsifu,Aliyeafyayausowangu,NaMunguwangu.”Zaburi107:1,2,3,107:9-15;42:11,“Shukurunikwakilajambo;maanahayonimapenziyaMungukwenukatikaKristoYesu.”1Wathesalonike5:18

Amrihiinihakikishokwambapiamamboyanaonekanayokuwadhidiyetuyatatumikakwamanufaayetu.Munguhatuagizisisikushukurukwayaleyatakayotuadhiri.

“Bwananinuruyangunawokovuwangu,Nimwogopenani?BWANAningomeyauzimawangu,Nimhofunani?’’Katikasikuyataabuatanistirishabandanimwake;Atanistirikatikasitarayahemayake;…….

Naminitatoadhabihuzashangwehemanimwake;Nitaimbanaam,nitaziimbasifakwaBWANA.’’

NilimngojaBWANAkwasubira,Akaniinamiaakasikiakiliochangu.

Akanipandishatokashimolauharibifu.Ametiawimbompyakinywanimwangu,NdiosifazakeMunguwetu.Wengiwataonanakuogopa,NaowatamtumainiBWANA.

BWANAninguvuzangunangaoyangu;

Moyowanguumemtumaini,Naminimesaidiwa;Basi,moyowanguunashangilia,Nakwawimbowangunitamshukuru.’’Zaburi27:1,27:5,6RV,40:1-3,28:7

Mojawapoyavizuizivilivyohakikakwakuponakwawagonjwanikuelekezamawazoyaoyotekwaowenyewe.Wagonjwawengihujihisikuwakilamtuanapasakuwaoneahurumanakumsaidia,ilahaliyenyewanahitajinikutokujielekezeamawazoyaoyote,piawafikirienakuwajaliwengine.

Maranyingimaombihuwafarajakwawaathiriwa,waliojihurumia,waliovunjwamoyo;nahivyonisawa.

YatupasakuombayakwambaMunguamwagenurukatikamawazoyaliotiwagizanatuwezekuifarijimioyoiliosononeka.LakiniMunguhujibumaombiyawalewanaojitiakwenyenjiayamibarakaYake.Hukututoamaombikwahawawaliosononeka,tunapasakuwahimizawajaribukuwasaidiawalewalionauhitajizaidikuwalikowao.Nahapogizalitaondolewatokamioyonimwaowanapojaribukuwasaidianawengine.Tutafutapokufarijiwenginekwafarajatunafarijiwanayo,nasipiahufarijika,namibarakahiyohuturudiasisiwenyewe.

SurahioyahamsininananeyaIsayanidawakwaugonjwawamwilinanafsi.Ikiwatunatakaafyaboranafurahayakweliyamaishanishartikuzizoeasheriazilizopeanwakatikamaandikohaya.IbadainayokubaliwaNayekilawakati,namibarakayake,BWANAasema:

‘’Je!siyokuwagawiawenyenjaachakulachako,Nakuwaletamaskiniwaliotupwanjenyumbanikwako?

Umwonapomtualiyeuchi,umvikenguo;walausijifichenamtumwenyedamumojanawe?Ndiponuru

yakoitakapopambazukakamaasubuhi,naafyayakoitatokeamara;nahakiyakoitakutangulia;utukufuwaBWANAutakufuatanyumaakulinde.Ndipoutaita,naBWANAataitika;utalia,nayeatasema,Mimihapa.Kamaukiondoanira;isiwepokatiyako,walakunenamaovu;nakamaukimkunjuliamtumwenyenjaanafsiyako,nakuishibishanafsiiliyoteswa;ndiponuruyakoitakapopambazukagizani;nakiwichakokitakuwakamaadhuhuri.NayeBWANAatakuongozadaima,ataishibishanafsiyakomahalipasipokuwanamaji,nakuitianguvumifupayako;naweutakuwakamabustaniiliotiwamaji,nakamachemichemiambayomajiyakehayapungui.’’Isaya58:7-11Matendomemanimibarakamarambili,mtafaidikawotemtoajinampokeajiwotesawa.Ufahamuwakutendahakinimojawapoyadawaborakwamiilinaakili.Wakatiakiliikohurunakufurahikutokananahisiayajukumulililofanywavizurinaridhikokwakutoausemikwawengine,mvutouinuayofurahayamoyohuletamaishamapyakwamwilimzima.

Hebuwagonjwa,watafutekutoahurumakwawenginebadalayawaokuendeleakutakawahurumiwe.HebuupeanemizigoyaudhaifuwakonahuzuninamaumivukwaMwokozimwenyemwingiwahuruma.FunguamoyowakokwaupendoWake,nauwacheububujikekwawengine.Kumbukakuwawakowengiwenyemajaribuambayonimagumukuyabeba,majaribumagumukuyapinga,naunawezakufanyajambo,ilimizigoyaoiwe

miepesi.Toashukranikwamibarakaulionayo;onyeshauthamaniwamapokeounayoyepewanawengine.

FanyamoyowakoujaekwawingiwaahadizathamanizaMungu,iliutoekwenyehazinahii,manenoyatakayokuwafarajananguvukwawengine.Hayayatakuzingiranakuwanamazingiraambayoyatakuwamsaada,kwawotenahatawatuwajamiiyakonawengine.

Ikiwawalewanaotesekakutokananaafyambayawangesahauubinafsikwamasilahiyawengine;kamawangelitimizaagizolaBwanalakuwahudumiawalionauhitajizaidikulikowao,wangelitambuaukweliwaahadiyaunabii.‘'Ndiponuruyakoitakapopambazukakamaasubuhi,naafyayakoitatokeamara.’’

BarakazaHakika

Barakazahakika;Yesuniwangu!

Ee,maonjihayautukufuwakiungu’

Mridhiwawokovu,ununuziwaMungu,

UliozaliwanaRohoWake,kuoshwakwadamuYake.

Chorus

Hiinihadithiyangu,huundiyowimbowangu,

Namsifumwokoziwangusikunzima

Hiinihadithiyangu,huundiowimbowangu,

Nijitoaponihakika,furahanikamilifu,

Njozizaunyakuzikufunuliwambeleyangu.

Malaikawanashukakutokajuu

Miangwiyarehema,yanongonaupendo.

Nijitoaponihakika,yoteyametulia,

Katikamwokoziwangu,ninafurahanabarikiwa,

Kukeshanakungoja,natazamajuu,alijazwanawema

Najazwanawemawake,nimezakatikaupendowake.

Fanny.jCrosby.Yametokakwakitabu‘’HudumayaUponyaji’’naElenGWhitepg247-258

SisisotetunahitajiuponyajikutokakwaBwana!

NiYesupekeeanawezakutupahurumanauponyajihuuwakweli.Ilikuwakaziyakekutuokoanakilakitukinachoua.Anasema;RohowaBwanayujuuyangu,kwamaanaamenitiamafutakuwahubirimaskinihabarinjema.Amenitumakuwatangaziawafungwakufunguliwakwao,Navipofukupatakuonatena.Luka4:18

KunawatotowengiwaMunguambaoleohiiwanashambuliwanaShetani.Mashambuliziyakenimagumunamakali.MashambulizihayayanawezakujamojakwamojakutokakwaShetani,lakinipiakutokakwafamilia,marafiki,mamlakayaleonadini.

Inawezakuwalughambaya,kimwiliaukisaikolojia,nguvuyapombe,madawayakulevyapiayanaweza

kutumiwa,iliakiliyakawaidaiharibiwenainawezakuharibiwa.

KuvunjwamoyonagizavinawezakujajuuyetunakamawatotowotewaMunguwanashidwa,basiitakuwagiza.LakiniBwanahataruhusutuwenamajaribumakubwazaidikulikoyaletunayowezakuyashugulikia.TukimwitiaBwanaatatujibunakutuokoa.Ikiwatukokatikagizakubwanahatuwezikuonanjiayoyote,yeyeatatupamionziyamwangananguvutunayohitajiilikututetea.

Anavikosivyamalaikaambaowanawezakujakutusaidia.Yesuanatamanikutuwekahurunaudhalimuwadhambi,usisahaukwambamalaikaninguvuzaYesunanikubwakulikonguvuzapepo.

UsisahaukwambamalaikawaMunguniwenyenguvukulikomalaikawapepo.Yesuanasema,‘’Nimepewamamlakayotembinguninaduniani.’’Mathayo28:18.YeyehuwananguvukidogolakinihananguvuzotekamaMungumwenyenguvu,kamamuumbanaaliyeumbwatena.

TukiwakwaBwanakamamuumbanaaliyeumbatena,TukiwakwaBwanatunanguvunatunapogeuzamguukwamsalabaingawa,tukokatikagiza,atatupaAmanikamiliyaakili,ushindikamilinauhuru.

InatupasakufahamuhiliilituwenaImaninakishaatatupaAmani,nakupumzikandaniyake!Watotowanuruhuletanurugizanilakinihawatabakigizani.

Lazimaturuhusumwangakuangazagizani,KwafurahanakwaujasirikuwapawenginenurutuliopokeakutokakwaBwana.

WakatihuohuotunapaswakuonyeshahurumaNaKwawenginelazimatufanyekaziKwaupendousionaubinafsi.Kwawenginenitiba,hutoauponyaji.Je!WewenamimitupatekipimokikubwacharohowaMungunanguvukatikamaishayetu,ilituwewatumishiwawatumishiwenzetu.

Kwawalewaliokaribunasisituonyeshewema,hurumanaupendokwawote,awerafikiauadui.

Je!upendowaYesuutujazewoteilituwezekuifunuatabiayakekatikamaishayetunahivyokuwamashahidiwauzimakwaajiliyake!

Kwasalamuzakirafiki

AbelnaBentestruksnes.