fahamu kuhusu ugonjwa wa corona - singida.go.tz

1
DALILI ZA HOMA YA VIRUSI VYA CORONA JINSI YA KUJIKINGA NA HOMA YA VIRUSI VYA CORONA PATA TAARIFA SAHIHI PIGA 199 BURE AFYA CALL CENTER FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA CORONA H E A L T H P R O M O T I O N S E C T I O N Elimu ya Afya @elimu_ya_afya @elimuyaafya Afya TV Online Jikinge, wakinge wengine Corona inazuilika Ugonjwa huu huenezwa kwa kuingiwa na majimaji yatokayo kwenye njia ya hewa wakati mtu mwenye ugonjwa huu anapokohoa au kupiga chafya, njia nyingine ya maambukizi ni kwa kugusa majimaji yanayotoka puani (kamasi) na kisha kujigusa machoni, mdomoni au puani. Kumbuka, dalili za Corona zinaweza kufanana na Magonjwa mengine. Ukipata mojawapo ya dalili hizi wahi kituo cha huduma za afya kilicho karibu nawe kwa uchunguzi na matibabu. Kaa mbali angalau mita 1 Vaa barakoa au zaidi Epuka kugusa macho, pua au mdomo Epuka misongamano Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Idara ya kinga, Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma Tovu: www.moh.go.tz Vidonda kooni Kubanwa mbavu na kupumua kwa shida Kuumwa kichwa Mwili Kuchoka na maumivu ya misuli Homa Kikohozi Funi Pata chanjo ya Corona ka mdomo na pua wakati wa kukohoa au kupiga chafya Safisha mikono yako mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni au kwa dawa ya kutakasa mikono Epuka kusalimiana kwa kushikana mikono Sinovac & Sinopharm Moderna Sinovac & Sinopharm Johnson & Johnson

Upload: others

Post on 25-May-2022

1 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA CORONA - singida.go.tz

DALILI ZA HOMA YA VIRUSI VYA CORONA

JINSI YA KUJIKINGA NA HOMA YA VIRUSI VYA CORONA

PATA TAARIFA SAHIHI PIGA 199 BURE AFYA CALL CENTER

FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA CORONA

HEA

LTH PROMOTION SECTIO

N

Elimu ya Afya @elimu_ya_afya @elimuyaafya Afya TV Online

Jikinge, wakinge wengineCorona inazuilika

Ugonjwa huu huenezwa kwa kuingiwa na majimaji yatokayo kwenye njia ya hewa wakati mtu mwenye ugonjwa huu anapokohoa au kupiga chafya, njia nyingine ya maambukizi ni kwa kugusa majimaji yanayotoka puani (kamasi)

na kisha kujigusa machoni, mdomoni au puani.

Kumbuka, dalili za Corona zinaweza kufanana na Magonjwa mengine. Ukipata mojawapo ya dalili hizi wahi kituo cha huduma za afya kilicho karibu nawe kwa uchunguzi na matibabu.

Kaa mbali angalau mita 1

Vaa barakoaau zaidi

Epuka kugusa macho, pua au mdomo

Epuka misongamano

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

Idara ya kinga, Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma

Tovuti: www.moh.go.tz

Vidonda kooni

Kubanwa mbavu na kupumua kwa shida

Kuumwa kichwa

Mwili Kuchoka na maumivu ya misuli

Homa Kikohozi

FuniPata chanjo ya Corona

ka mdomo na pua wakati wa kukohoa au

kupiga chafya

Safisha mikono yako mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni au kwa dawa ya kutakasa mikono

Epuka kusalimianakwa kushikana mikono

Sinovac & SinopharmModerna

Sinovac & SinopharmJohnson & Johnson