kuweka ratiba na job aid ushauri wa kuondoka mtazamo wa … · 2018-03-16 · ikiwa ishara zingine...

2
Peana baada ya kila miezi 4 hadi miezi 6 Faida ya vitamin A pamoja na tembe za kuangamiza minyoo: Uliza kama kuna maswali Elimu ya jumuiya Sehemu ya 1 Kuhara Kukosa hamu ya chakula Madhara yanayoweza kutokea: Maumivu ya tumbo Kuhisi kutapika Kutapika Kuumwa na kichwa Uchovu Kufura kwa utosi Ukiangamiza minyoo kutakuwa na lishe bora Macho yenye afya Nguvu 1 2 3 Miezi 6-11 Miezi 12-23 Miezi 24-59 ? 31 Andike tarehe mtoto atarudishwa 30 Andika dozi zilizopeanwa kwenye kitabu cha usajili na kadi ya afya 32 Ni salama, inaweza peanwa pamoja na chanjo 33 Madhara yanayoweza kutokea: 37 38 Faida ya vitamin A pamoja na tembe za kuangamiza minyoo: Ukiangamiza minyoo kutakuwa na lishe bora Macho yenye afya Nguvu 39 Uliza kama kuna maswali ? Job Aid Mtazamo wa orodha ya kupeana vitamin A na tembe za kuangamiza minyoo 8 Kwa watoto wachanga Kwa watoto wakubwa Laza kifua cha mtoto kwenye paja lako, halafu inamisha kichwa cha mtoto chini. Kwa kutumia kiganja cha mkono gonga sehemu ya kati ya mgongo mara 5 Ikiwa shida haitatatulika: Mlaze mtoto kwenye paja lako akiangalia juu (Akiwa amelala kwa mgongo) Finyilia kwenye kifua cha mtoto mara 5 kwa kutumia vidole viwili Rudia inapohitajika. Laza mtoto kwa tumbo kwenye paja lako, kisha inamisha kichwa cha mtoto Kwa kutumia kiiganja cha mkono gonga sehemu ya kati ya mgongo wa mtoto mara 5 Ikiwa shida haitatatulika: Shika mtoto kutoka nyuma akiwa amesimama na mikono yako iwe chini ya sehemu inayoshikilia ubavu wake. Finyilia mwili wa mtoto kuelekeza juu. Rudia inapohitajika. Utakalofanya wakati mtoto ananyongwa Muhudumu anayepeana tembe kwa watoto anastahili kufunzwa vile atafanya ikiwa mtoto atanyongwa. Wanapaswa kuwa na mamlaka na heshima ya wahudumu wa afya kutenda wanapohitajika. 10 ili Kuhara Kukosa hamu ya chakula Maumivu ya tumbo Kuhisi kutapika Kutapika Kuumwa na kichwa Uchovu Kufura kwa utosi ili Jina: Karibisha watoto na walezi Vitamin A na tembe za kuangamiza minyoo zitapeanwa leo Eleza uhusiano kati ya miaka na kiwango cha tiba Kuangamiza minyoo Vitamin A (mwaka 1 hadi miaka 2) (miaka 2 hadi miaka 5) (miezi 6 hadi mwaka 1) 4 5 7 6 Madhara haya ni nadra: Watoto 5 kati ya watoto 100 pekee 9 Madhara ikitokea inachukua muda wa siku 2 Madhara yakizidi siku 2 ama ikiwa ishara zingine zikitokea, ni vyema kumwelekeze kwa mhudumu wa afya Madhara mengine ya tembe za kuangamiza minyoo: Minyoo yaweza kuwa kwenye kinyesi au katika hali iliyo nadra zitokee kwenye pua au mdomo- Hizi zinaweza kuvutwa ama kutemwa 11 Ni salama, inaweza peanwa pamoja na chanjo 12 Rudi baada ya miezi 4 hadi 6 Madhara mengine ya tembe za kuangamiza minyoo: Minyoo yaweza kuwa kwenye kinyesi au katika hali iliyo nadra zitokee kwenye pua au mdomo- Hizi zinaweza kuvutwa ama kutemwa Vitamin Angels inatambua matumizi ya maelezo kutoka UNICEF, WHO, the Micronutrient Initiative, and Engender Health kwa matumizi ya orodha hii. Vifaa vinavyo hitajika kupeana VAS+D: Nakala ya picha ya VAS+D 100,000 IU bluu vitamin A 200,000 IU nyekundu vitamin A Tembe za kuangamiza minyoo Hisopo iliyo na mvinyo Makasi safi Karatasi ya kupangusa Karatasi nyeupe ndogo iliyo safi Chupa ya kubonda tembe Mfuko wa takataka Kalamu Nakala ya kuandikia Nakala ya usambazaji 35 1 2 3 34 Madhara haya ni nadra: Watoto 5 kati ya watoto 100 pekee 36 Madhara ikitokea inachukua muda wa siku 2 Madhara yakizidi siku 2 ama ikiwa ishara zingine zikitokea, ni vyema kumwona daktari 1 2 3 Kuweka ratiba na ushauri wa kuondoka © 2017 Vitamin Angels. Masharti na sheria. Matumizi yamehamazishwa bora utaje chanzo cha ujumbe huu kuwa Vitamin Angels kwa kila maandishi Swahili - Dec. 2017 Sehemu ya 3 Maelezo: Mtazamo huu ni wa aina ya picha ya orodha ya utendaji wa vitamini A supplementation na kuangamiza minyoo. Hatua zote 39 katika orodha ya utendaji inaonekana hapa kama picha. Makusudi ya nakala hii ya picha ni kukusaidia wakati unapeana VAS+D na pia wakati unawafundisha wengine kupeana VAS+D kama iliyodhibitishwa na shirika lako Unapofanya mazoezi ya kuwa mjuzi katika kupeana VAS+D unapaswa kutumia kalamu na uandike kwa hii nakala hii ya picha ili ikukumbushe sehemu zilizo muhimu. Hizi ndizo hatua za kawaida za kutumia kwenye nakala hii ya picha wakati unapofudisha wengine kupeana VAS+D. 1. Eleza: Tumia nakala hii ya picha kueleza kila hatua kwenye VAS+D huduma (Kwa kutumia orodha ya utendaji kupeana maelezo zaidi) Kwanza, onyesha na ueleze sehemu tatu za orodha • Kisha, wakati kila mtu anatazama hatua ya 1, uliza ‘ unaona nini kwenye picha?’. • Hatua nyingine, uliza muhudumu mmoja asome maelezo ya hatua ya 1 kwa sauti. Mbadilishane mkisoma hatua zote 39 2. Onyesha kwa kutenda: Fanya hatua zote 39 za VAS+D ukitumia nakala ya picha 3. Funza: uliza wanaohudumu watumie nakala zao za picha kufanya mazoezi ya kupeana VAS+D (Kwa kawaida katika vikundi vya watu wawili) ukitazama na kupeana maoni 4. Maoni: Mpe kila muhudu maoni kwa hatua wanazotenda vyema na hatua wanazohitaji kufanya mazoezi zaidi. Kuwa na moja au zaidi ya nakala hii ya picha wakati huduma za VAS+D zinapopeanwa. Wewe na wahuduma wengine mnaweza kutazama orodha jinsi inavyohitajika kuhakikisha kuwa huduma iliyo sawa na halali imepeanwa. Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma ya VAS+D pamoja na orodha ya utumizi, tazama video jinsi ya kupeana VAS+D na vifaa vingine, kupitia Vitamin Angels’ tovuti ya www.vitaminangels.org.

Upload: others

Post on 04-Feb-2020

3 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Kuweka ratiba na Job Aid ushauri wa kuondoka Mtazamo wa … · 2018-03-16 · ikiwa ishara zingine zikitokea, ni vyema kumwelekeze kwa mhudumu wa afya Madhara mengine ya tembe za

Peana baada ya kila miezi 4 hadi miezi 6

Faida ya vitamin A pamoja na tembe za kuangamiza minyoo:

Uliza kama kuna maswali

Elimu ya jumuiyaSehemu ya 1

Kuhara

Kukosa hamu ya chakula

Madhara yanayoweza kutokea:

Maumivu ya tumbo

Kuhisi kutapika Kutapika Kuumwa na kichwa

UchovuKufura kwa utosi

Ukiangamiza minyoo kutakuwa na lishe bora

Macho yenye afyaNguvu

1 2 3

Miezi 6-11 Miezi 12-23 Miezi 24-59

?

31 Andike tarehe mtoto atarudishwa

30 Andika dozi zilizopeanwa kwenye kitabu cha usajili na kadi ya afya

32 Ni salama, inaweza peanwa pamoja na chanjo

33 Madhara yanayoweza kutokea:

37

38 Faida ya vitamin A pamoja na tembe za kuangamiza minyoo:

Ukiangamiza minyoo kutakuwa na lishe bora

Macho yenye afyaNguvu

39 Uliza kama kuna maswali

?

Job AidMtazamo wa orodha ya kupeana vitamin A na

tembe za kuangamiza minyoo

8

Kwa watoto wachanga Kwa watoto wakubwa

• Laza kifua cha mtoto kwenye paja lako, halafu inamisha kichwa cha mtoto chini.

• Kwa kutumia kiganja cha mkono gonga sehemu ya kati ya mgongo mara 5

Ikiwa shida haitatatulika:• Mlaze mtoto kwenye paja lako

akiangalia juu (Akiwa amelala kwa mgongo)

• Finyilia kwenye kifua cha mtoto mara 5 kwa kutumia vidole viwili

• Rudia inapohitajika.

• Laza mtoto kwa tumbo kwenye paja lako, kisha inamisha kichwa cha mtoto

• Kwa kutumia kiiganja cha mkono gonga sehemu ya kati ya mgongo wa mtoto mara 5

Ikiwa shida haitatatulika:• Shika mtoto kutoka nyuma akiwa

amesimama na mikono yako iwe chini ya sehemu inayoshikilia ubavu wake.

• Finyilia mwili wa mtoto kuelekeza juu. • Rudia inapohitajika.

Utakalofanya wakati mtoto ananyongwa

Muhudumu anayepeana tembe kwa watoto anastahili kufunzwa vile atafanya ikiwa mtoto atanyongwa. Wanapaswa kuwa na mamlaka na heshima ya wahudumu wa afya kutenda wanapohitajika.

10

ili

Kuhara

Kukosa hamu ya chakula

Maumivu ya tumbo

Kuhisi kutapika Kutapika Kuumwa na kichwa

UchovuKufura kwa utosi

ili

Jina:

Karibisha watoto na walezi

Vitamin A na tembe za kuangamiza minyoo zitapeanwa leo

Eleza uhusiano kati ya miaka na kiwango cha tiba

Kuangamiza minyoo

Vitamin A

(mwaka 1 hadi miaka 2) (miaka 2 hadi miaka 5)(miezi 6 hadi mwaka 1)

4 5

7 6 Madhara haya ni nadra: Watoto 5 kati ya watoto 100 pekee

9

Madhara ikitokea inachukua muda wa siku 2

Madhara yakizidi siku 2 ama ikiwa ishara zingine zikitokea, ni vyema kumwelekeze kwa mhudumu wa afya

Madhara mengine ya tembe za kuangamiza minyoo: Minyoo yaweza kuwa kwenye kinyesi au katika hali iliyo nadra zitokee kwenye pua au mdomo- Hizi zinaweza kuvutwa ama kutemwa

11 Ni salama, inaweza peanwa pamoja na chanjo

12

Rudi baada ya miezi 4 hadi 6

Madhara mengine ya tembe za kuangamiza minyoo: Minyoo yaweza kuwa kwenye kinyesi au katika hali iliyo nadra zitokee kwenye pua au mdomo- Hizi zinaweza kuvutwa ama kutemwa

Vitamin Angels inatambua matumizi ya maelezo kutoka UNICEF, WHO, the Micronutrient Initiative, and Engender Health kwa matumizi ya orodha hii.

Vifaa vinavyo hitajika kupeana VAS+D: Nakala ya picha ya VAS+D 100,000 IU bluu vitamin A 200,000 IU nyekundu vitamin A Tembe za kuangamiza minyoo Hisopo iliyo na mvinyo Makasi safi Karatasi ya kupangusa Karatasi nyeupe ndogo iliyo safi Chupa ya kubonda tembe Mfuko wa takataka Kalamu Nakala ya kuandikia Nakala ya usambazaji

35

1 2 3

34 Madhara haya ni nadra: Watoto 5 kati ya watoto 100 pekee

36

Madhara ikitokea inachukua muda wa siku 2

Madhara yakizidi siku 2 ama ikiwa ishara zingine zikitokea, ni vyema kumwona daktari

1 2 3

Kuweka ratiba na ushauri wa kuondoka

© 2017 Vitamin Angels. Masharti na sheria. Matumizi yamehamazishwa bora utaje chanzo cha

ujumbe huu kuwa Vitamin Angels kwa kila maandishi

Swahili - Dec. 2017

Sehemu ya 3

Maelezo: Mtazamo huu ni wa aina ya picha ya orodha ya utendaji wa vitamini A supplementation na kuangamiza minyoo. Hatua zote 39 katika orodha ya utendaji inaonekana hapa kama picha. Makusudi ya nakala hii ya picha ni kukusaidia wakati unapeana VAS+D na pia wakati unawafundisha wengine kupeana VAS+D kama iliyodhibitishwa na shirika lako

Unapofanya mazoezi ya kuwa mjuzi katika kupeana VAS+D unapaswa kutumia kalamu na uandike kwa hii nakala hii ya picha ili ikukumbushe sehemu zilizo muhimu.

Hizi ndizo hatua za kawaida za kutumia kwenye nakala hii ya picha wakati unapofudisha wengine kupeana VAS+D.

1. Eleza: Tumia nakala hii ya picha kueleza kila hatua kwenye VAS+D huduma (Kwa kutumia orodha ya utendaji kupeana maelezo zaidi)

• Kwanza, onyesha na ueleze sehemu tatu za orodha • Kisha, wakati kila mtu anatazama hatua ya 1, uliza ‘ unaona nini kwenye picha?’. • Hatua nyingine, uliza muhudumu mmoja asome maelezo ya hatua ya 1 kwa sauti.

Mbadilishane mkisoma hatua zote 39

2. Onyesha kwa kutenda: Fanya hatua zote 39 za VAS+D ukitumia nakala ya picha

3. Funza: uliza wanaohudumu watumie nakala zao za picha kufanya mazoezi ya kupeana VAS+D (Kwa kawaida katika vikundi vya watu wawili) ukitazama na kupeana maoni

4. Maoni: Mpe kila muhudu maoni kwa hatua wanazotenda vyema na hatua wanazohitaji kufanya mazoezi zaidi.

Kuwa na moja au zaidi ya nakala hii ya picha wakati huduma za VAS+D zinapopeanwa. Wewe na wahuduma wengine mnaweza kutazama orodha jinsi inavyohitajika kuhakikisha kuwa huduma iliyo sawa na halali imepeanwa.

Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma ya VAS+D pamoja na orodha ya utumizi, tazama video jinsi ya kupeana VAS+D na vifaa vingine, kupitia Vitamin Angels’ tovuti ya www.vitaminangels.org.

Page 2: Kuweka ratiba na Job Aid ushauri wa kuondoka Mtazamo wa … · 2018-03-16 · ikiwa ishara zingine zikitokea, ni vyema kumwelekeze kwa mhudumu wa afya Madhara mengine ya tembe za

Viwango za kuhitimu Kupeana vitamin AKupeana tembe za

kuangamiza minyoo

1 2 3

4 5 6 7 8 9 10

11 12 13 14 15 16 17

18 19 20 21 22 23 24

25 26 27 28 29 30 31

Sehemu ya 2a

14 Angalia uhakiki: Mtoto hafai kupewa huduma kama hajatimiza vigezo vyote vilivyotajwa hapa chini kwa kupata hiyo huduma. Usimpe mlezi Vitamin A ama dawa ya minyoo kuzibeba nyumbani kumpa mtoto baadaye.

Uliza: Mtoto wako ako miaka mingapi?Angalia: Miezi 6 hadi 59

Mwonyeshe mlezi capsule ya vitamin AUliza: Ni lini mwisho mtoto alipokea vitamin AAngalia: Hajapokea vitamini A kwa mwezi 1 uliopita

Uliza mlezi kama mtoto ana baadhi ya haya leo. Kama jibu ni ndiyo usimhudumie lakini mwelekeze kwa mhudumu wa afya.

13 Uliza jina na kadi ya afya- Itumie kudhibitisha jina, miaka na siku ya mwisho kupata dawa

Joto mwilini leo

Kuhara zaidi leoUgumu wa kupumua

Miezi 6 hadi 59 (miezi 6 hadi miaka 5)

Miezi 12-59 (Mwaka 1 hadi 5)

1 2 3

4 5 6 7 8 9 10

11 12 13 14 15 16 17

18 19 20 21 22 23 24

25 26 27 28 29 30 31

Ugumu wa kupumua leo

Kutapika leo

15 Nawa mikono yako

16 Kuzuia kunyongwa uliza na uhakikishe mtoto ametulia. Usimlazimishe mtoto kumeza vitamin A ama kumpa tembe mtoto anayelia.

17 Chagua tiba kulingana na umri

18 Mllezi anashikilia kichwa na kumsaidia mtoto kufungua mdomo

19 Kata ncha ya capsule

20 Usimguze mtoto; mpe vitamini A

21 Tupa capsule kwenye pipa la takataka

22 Uliza ikiwa mtoto amemeza mafuta na yuko sawa

23 Panguza mafuta kwenye mikono na makas

Miezi 6-11(miezi 6 hadi mwaka 1)

100,000 IU 200,000 IU

Miezi 24-59(Miaka 2 hadi miaka 5)

24 Chagua tiba kulingana na umri. Kama umetumia nusu ya tembe, weka nusu hiyo ingine kwa matumizi na mtoto mwingine

25 Ponda tembe hadi iwe unga kwa kutumia chupa. Kila wakati ponda tembe za minyoo kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5.

28 Tupa karatasi kwenye pipa la takataka

26 Kuzuia kunyongwa, uliza na uhakikishe ya kwam-ba mtoto ametulia. Usimlazimishe mtoto kumeza tembe za minyoo au kumpa mtoto anayelia tembe.

27 Mlezi anashikilia kichwa na kumsaidia mtoto kufun-gua mdomo. Usimguse mtoto, tumia karatasi ili-yokunjwa kumwaga unga kwenye mdomo wa mtoto

29 Uliza ikiwa mtoto ametafuna na yuko sawa

Miezi 12-23(Mwaka 1 hadi miaka 2)

Sehemu ya 2b Sehemu ya 2c

Kuhitimu kupewa vitamin A kuhitimu kupata dawa ya minyoo

Uliza: Mtoto ako na miaka mingapiAngalia: Miezi ni 12-59

Onyesha tembe za kuangamiza minyoo kwa mleziUliza: Mtoto alipata tembe za kuangamiza minyoo mwisho lini?Angalia: hajapokea dawa za minyoo kwa mwezi 1 uliyopita

Kwa vitamin A- ANGALIA na uhakikishe HAMNA:Kabla ya kupeana dawa za minyoo- ANGALIA na uhakikishekuwa HANA yafuatayo

Miezi 12-59 (mwaka 1 hadi

miaka tano)

Uliza mlezi kama mtoto ana baadhi ya haya leo. Kama jibu ni ndiyo usimhudumie lakini mwelekeze kwa mhudumu wa afya.

200 mg 400 mg

KUPONDWA KUPONDWA

CHAGUO: Baada ya kumpatia mtoto tembe za minyoo, unawezampa maji ya kunywa, hasa kama mtoto anaonekana kuwa anashida kumeza. Kupatiana maji baada ya kupata tembe za miyoo si lazima. Kila wakati tumia maji safi na kikombe safi. Hakikisha mtoto ameketi wima na kichwa haijainamisha nyma.

a Kama mtoto anaonekana kuwa ana shida kumeza, unaweza mpa maji masafi ya kunywa kwa kikombe safi

b Usimlazimishe mtoto kunywa maji na usimwage maji ndani ya kinywa cha mtoto

Njia zingine za kubonda

Bonda kwa kutumia kijiko

Bonda kwa kutumia chokaa na mchi

24 Kipimo ni kimoja kwa watoto chini ya miaka mitano

Au

Ikiwa unapeana Mebendazole badilisha hatua hii na hatua ya 24 hapo Juu

Miezi 12-59KUPONDWA

500 mg

Hatua muhimu kwa watoa huduma=