mazungumzo ya leo - nhknimekuja japani mwaka jana. 日 に 本 ほん 語 ご を勉 べん 強...

3
©NHK WORLD-JAPAN 132 For more, visit NHK WORLD-JAPAN S o m o l a 43 そうですね タム Tam ゆう さん、お久しぶりです。 Yu uki-san, ohisashiburi de su. Yuuki-san, habari za siku nyingi. ゆう Yuuki あ!タムさん・・・。 A! Ta mu san... Ooh! Tam-san… タム Tam きょ ねん 、日 ほん に来 ました。 Kyo nen, Niho n ni kima shita. Nimekuja Japani mwaka jana. ほん を勉 べん きょう しています。 Nihongo o benkyoo-shite ima su. Ninasoma lugha ya Kijapani. ゆう Yuuki そう。夢 ゆめ がかなったんですね。 So o. Yume ga kana ttan de su ne. Kumbe. Ndoto yako imetimia. タム Tam はい。 Ha i. Ndiyo. ゆう さんも、元 げん そうですね。 Yu uki-san mo, genki so o de su ne. Yuuki-san, pia unaonekana mwenye afya. また会 えてうれしいです。 Mata a ete ureshi i de su. Ninafurahi kukuona tena. Msamiati ひさ しぶり siku nyingi hisashiburi きょ ねん mwaka jana kyo nen そう kumbe so o ゆめ ndoto yume かなう timia kana u げん (な) -enye afya ge nki (na) また tena mata う onana a u うれしい furaha ureshi i Mazungumzo ya leo Genki soo desu ne Unaonekana mwenye afya.

Upload: others

Post on 11-Mar-2021

4 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Mazungumzo ya leo - NHKNimekuja Japani mwaka jana. 日 に 本 ほん 語 ご を勉 べん 強 きょう しています。Nihongo o benkyoo-shite ima⎤ ... Mazungumzo ya leo Genki

©NHK WORLD-JAPAN132 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

Somo la

43 元げ ん

気き

そうですね

タムTam

: 悠ゆう

輝き

さん、お久しぶりです。Yu⎤uki-san, ohisashiburi de⎤su.

Yuuki-san, habari za siku nyingi.

悠ゆう

輝き

Yuuki: あ! タムさん・・・。

A! Ta⎤mu san...Ooh! Tam-san…

タムTam

: 去きょ

年ねん

、日に

本ほん

に来き

ました。Kyo⎤nen, Niho⎤n ni kima⎤shita.

Nimekuja Japani mwaka jana.

日に

本ほん

語ご

を勉べん

強きょう

しています。Nihongo o benkyoo-shite ima⎤su.

Ninasoma lugha ya Kijapani.

悠ゆう

輝き

Yuuki: そう。夢

ゆめ

がかなったんですね。So⎤o. Yume⎤ ga kana⎤ttan de⎤su ne.

Kumbe. Ndoto yako imetimia.

タムTam

: はい。Ha⎤i.

Ndiyo.

悠ゆう

輝き

さんも、元げん

気き

そうですね。Yu⎤uki-san mo, genki so⎤o de⎤su ne.

Yuuki-san, pia unaonekana mwenye afya.

また会あ

えてうれしいです。Mata a⎤ete ureshi⎤i de⎤su.

Ninafurahi kukuona tena.

Msamiati

久ひさ

しぶり siku nyingihisashiburi

去き ょ

年ね ん

 mwaka janakyo⎤nen

そう kumbeso⎤o

夢ゆ め

 ndotoyume⎤

かなう timiakana⎤u

元げ ん

気き

(な) -enye afyage⎤nki (na)

また tenamata

会あ

う onanaa⎤u

うれしい furahaureshi⎤i

Mazungumzo ya leo

Genki soo desu neUnaonekana mwenye afya.

Page 2: Mazungumzo ya leo - NHKNimekuja Japani mwaka jana. 日 に 本 ほん 語 ご を勉 べん 強 きょう しています。Nihongo o benkyoo-shite ima⎤ ... Mazungumzo ya leo Genki

©NHK WORLD-JAPAN 133https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

Usemi wa Msingi

元げ ん

気き

そうですね。Genki so⎤o de⎤su ne

Unaonekana mwenye afya.Ili kuelezea fikra zako kuhusu unachokiona au tathmini ya hali, tumia “[kivumishi] + soo desu.” Ikiwa ni kivumishi cha NA, ondoa “na” mwishoni na kisha weka “soo desu.” Ikiwa ni kivumishi cha I, ondoa “i” mwishoni na weka “soo desu.”

Tumia!

あ、フリーマーケットをやってますね。A, furii-ma⎤aketto o yatte ma⎤su ne.

わあ、おもしろそう!Waa, omoshiroso⎤o!

Ah, kuna gulio.Wow, hiyo inaonekana inavutia!

Jaribu!

~そうですね。~so⎤o de⎤su ne.

U/Inaonekana ~.

① ちょっとcho⎤tto

kidogo

② 今き ょ う

日はkyo⎤o wa

leo

高た か

いtaka⎤i

ghali

ダメ(な)dame⎤ (na)

mbaya

Usemi wa ziadaお久

ひ さ

しぶりです。Ohisashiburi de⎤su.Habari za siku nyingi.

Ni salamu unayoitoa kwa mtu ambaye hujaonana naye kwa muda mrefu. Kama ni rafiki, unaweza kuisema kirafiki “Hisashiburi.”

Can-do! Kuelezea fikra kuhusu unachokiona

Page 3: Mazungumzo ya leo - NHKNimekuja Japani mwaka jana. 日 に 本 ほん 語 ご を勉 べん 強 きょう しています。Nihongo o benkyoo-shite ima⎤ ... Mazungumzo ya leo Genki

©NHK WORLD-JAPAN134 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

Ushauri wa Haru-san

Kuna sehemu nyingi zinazojulikana kwa maua yake nchini Japani. Baada ya maua ya mcheri katika msimu wa machipuo, maua ya “hydrangea” hufuata wakati wa msimu wa mvua.

Katika msimu wa joto, watu hufurika kutazama maua ya mirujuani na alizeti yanayomea katika maeneo makubwa ya wazi. Katika msimu wa pukutizi, majani ya miti hubadilika rangi na maua ya “cosmos” pia ni maarufu. Maua ya plamu huchanua kuanzia msimu wa baridi hadi msimu wa machipuo. Watu wengi huhisi kwamba “msimu wa machipuo umekaribia” wanapoyaona maua hayo ya plamu.

Alizeti katika mji wa Hokuryu (Hokkaido)

©Hokkaido Hokuryu Town

Maua ya mcheri katika makazi ya mfalme (Tokyo)

©MATSUDO CITY TOURISM ASSOC.

Maua ya “Hydrangea” katika hekalu la Hando-ji (Mkoani Chiba)

Maua ya plamu katika kasri la Osaka (Osaka)

Majibu ① ちょっと、高たか

そうですね。 Cho⎤tto, takaso⎤o de⎤su ne.② 今

き ょ う

日は、ダメそうですね。 Kyo⎤o wa, dameso⎤o de⎤su ne.

Maua ya misimu nchini Japani