muongozo wa mafunzo - land potential...inaonesha daraja la jumla, na herufi zinaonesha daraja dogo...
TRANSCRIPT
TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI YA LANDPOTENTIAL.ORG KWA
MAELEZO ZAIDI
Kifaakinachohitajika kuingiza, kuhifadhinakusambazatakwimuza udongonauotokwakutumiazanatumiziya LANDPKS
TOLEO 3.1
• Simu janjaya mfumowaAndroid au iphoneyenye GPS.
• Zana tumizi ya LandPKSiliyopakuliwakutokaGoogle
Playstoreau iTunes App Store.
• Beleshi/Chepe/ Sepetukwa ajili ya Takwimu za udongo .
• Kipimocha mitamojakwa ajili ya takwimuza uoto
Pakua zana tumizi bure uanze
kuitumia
1. Tafuta kitufe cha hali ya hewa kilichopo kona ya juu
kulia.
2.Bonyeza alama‘+’ kona ya juu kulia.
3. Ingiza jina la eneo. Ingiza kodineti za eneo. Ikiwa
huzifahamu,chagua"Obtain GPS". Utatakiwakuruhusu
app kupatakodiineti za eneolakokwakuchagua 'Allow’itakapotokea
4.Mara baada kuingiza takwimu za eneo
husika, Bonyeza kitufecha 'Save" konayajuukulia.
5.Anza kuingiza takwimu kwa kubonyeza kitufe
cha kuingizia takwimu. Hii itaonesha makundi
ya takwimu kwa taarifa za udongo (LandInfo) kwa
juu na zile za uoto (Land cover) kwa chini.
1
Bonyeza hapa kwa takwimu
za hali ya hewa.
MUONGOZO WA MAFUNZOKuanza
Hatua ya 1: Kuanza kutumia zana tumizi (kwa mara ya
kwanza)
1. Fungua app yako.
2.Chagua 'Add New Account’
3.Chagua ‘Sign-In With Google Account’ naingiza neno siri , au Ongezaakauntimpya
4. Ruhusu.
• ‘Kutumika nje ya mtandao’
5. Mara baada ya kuingia,utarudishwa kwenye ukurasawa mwanzo wa LandPKS. Hapa ndiyo kunaorodhayasehemumbalimbali ulizopimana jina la ukurasani "MyLocations"
6.Angalia GPSyako
Hatua ya 2. Eneo jipya (mara zote)
3. MTELEMKO
Kuelewa hali ya melemkowa eneo inawezeshakutathmini ni kwa kiwangogani mvua itaathiri ardhiyako
Chagua aina ya mtelemko au
tumia mita kupima.
Angalia mtelemko ulivyo kisha
Linganisha simu iendane na
Usawa wa mtelemko
4. UMBILE LA MTELEMKO
Umbile la mtelemko
linaonesha kama maji
yataenda haraka(convex) au taratibu
(concave) yanapopita
kwenye eneo.
Mtelemko na texture
ya udongo inasaidia
kutabiri kiasi cha maji
kitakachoingia kwenye
udongo
Tazama mtelemko
(kushoto) na kwa
kukatiza (kulia) kwa
kipenyo cha sm 20-50
kwenye eneo
MUONGOZO WA MAFUNZO
MODULI YA
LANDINFO2. KUCHUNGA MIFUGO
Hii inaelezea kamaeneo linalopimwalinatumika kulishiamifugo ama la
Kuchagua kitufechenye alama kubwanyekundu ya ‘X’ inaonesha eneo“halitumiki kulishia.”
Kama eneo lakolinatumika kwamalisho kwa kipindichochote cha mwaka,chagua ainaya ulishajiunaofanyika katikaeneo(ng’ombe, mbuzi,kondoo,mifugomchanganyiko). Unaweza kuchaguaZaidi ya moja.
1. KUFUNIKWA UDONGO
Land Cover inahusiana na uotounaofunika eneo la ardhi inayochakatwana inasaidia kuelewanamna bora yakutunza eneo lako
Chagua pichainayoendana naeneo lako
Getting started withLandPKS 2
Ukurasa huu huonesha
Uwepo wa mipasuko wima
Kwenye udongo,chumvi juu ya
Udongo, mahitaji ya chokaa
Mawemawe yanayoonekana,
Kina cha maji, kina cha udongo
na mafuriko
Sifa hizi zinaonesha kunavikwazo kwa mimeakustawi na zinasaidiakujua LCC ya eneo.
MUONGOZO WA MAFUNZO
MODULE YA LANDINFO5. VIKWAZO KWENYE UDONGO
7. RANGI YA UDONGO
Tumia kiongozi cha rangi ya udongo kujua rangi ya
udongo kwa kina. Rangi ya udongo ni muhimu
kwenye kutambua aina ya udongo na tabia nyingine
za udongo husika.
Hatua ya 1: Andaa sampuli ya udongo kwa kupitishaudongo mkavu kwenye chujio maalumu. Sawazishaudongo kupata uwiano sawa.
Hatua ya 2: Weka kadi rangi rejea pembeni karibu na
udongo.
Hatua ya 3: Katika hali sawa ya mwanga (siyo kwenye
mwanga wa moja kwa moja), piga picha ya kadi rangi na
udongo kwa umbali wa sm10 hadi 20 cm. Chagua Ok.
Hatua ya 4: Gusa rangi kadi rejea kisha sampuli ya
udongo. Hakikisha kadi rejea sahihi, unyevu sawa wa
udongo na mwanga wa jua sahihi vimechaguliwa.Hatua ya 5: Chagua Save na matokeo ya rangi
yatatokea
6. TEXTURE YA UDONGO
Kujua texture ya udongo kwa kina inasaidia kuonesha ufanisi wa
maji kuingia kwenye udongo, kujua uwezo wa udongo kushikilia
maji, na namna ambavyo udongo wako unaweza kuathiriwa na
mmomonyoko.
Hatua zifuatazo zirudiwe kila unapochukua sampuli
kwenye kina tofauti.
Chagua na linganisha vinavyoendana.
Texture ya udongo.Namna ya 1: Chagua kutoka kwenye orodha
Namna ya 2: Jibu maswali kwenye 'Guide Me.’Namna ya 3: Bonyeza alama ya ulizo (?) kwenye 'Guide Me’utazame video
fupi ya mafunzo ya sekunde 10
Kama ukigonga mwamba, chagua kina cha mwamba kutoka kwenye menu.
Nenda Settings >> Utilities to use Soil Texture Guide Me bila kuanzisha
eneo jipya.
Getting started withLandPKS 3
Nenda Settings ili kubadili kadi rangi rejea na chanzo chake
(Camera vs. Manual).
Nenda Settings >> Utilities to use Soil Color without creating a plot.
Unaweza kutuma/kuwasilisha takwimu zako kipindichochote wakati unazikusanya kwa kubonyeza"Synchronize Now" iliyopo juu ya ukurasa wakukusanyia takwimu.Hii inaweza kufanyika mara nyingina wakati wowote .Mara baada ya kutuma takwimu zako, bado una uwezo wakuziboresha au kuzirekebisha wakati wowote. Pia unaweza
kuzipata kwa kufungua kwenye touti landpotential.org/data-portal/
M U O N G O Z O W A
M A F U N Z O
LAND CAPABILITY
CLASSIFICATION
WASILISHA
TAARIFA
LAND CAPABILITY
CLASSIFICATIONThe Land Capability Classification System (LCC) imetumika duniani kote kufanya tathmini ya ardhi kwa kuwainasaidia kujua uwezo wa ardhi kwa matumizi na hatari ya uharibifu wa ardhi kwa kuigawa katika madaraja 8.
Ili kupata matokeo ya Land Capability Classification kwenye ukurasa wa majibu,kamilisha hatua zifuatazo za
kukusanya takwimu ambazo ni texture, mtelemko,na vikwazo vya matumizi ya udongo
Tarakimu ya kwanza inaonesha daraja linalopatikana kwa kutumia LandPKS-determined LCC. Namba hii
inaonesha daraja la jumla, na herufi zinaonesha daraja dogo au kizuizi kikuu cha matumizi ya ardhi
husika;Kuweza kupata tafsiri kamili, bonyeza alama ya ulizo kupata muongozo.
Tarakimu ya pili ni LCC iliyorekebishwa na mtumiaji. Mtumiaji anaweza kubadilisha namba hii kwa kuzima
au kuwasha vigezo mbalimbali. LCC iliyorekebishwa na mtumiaji inamuwezesha kupata tathmini ya hali
halisi au kutoa alama ya LCC kutokana na muonekano maalumu wa eneo.
Kupata uelewa wa kila kigezo, bonyeza alama ya ulizo iliyopo kwenye eneo husika
Getting started withLandPKS 4
LandCover inakuwa na fomu za kuingiza takwimu za uoto na udongo
kutoka maeneo 20 kwa kutumia fimbo ya mita 1. Kuna aina 4 za
takwimu(1-4 hapo chini). Kwa watumiaji wazoefu inaweza kuchukua
hadi dakika 20 kwa kila eneo kwa kutumia njia zote 4. Takwimu
zinaweza kukusanywa kwa kutumia kipimo cha mita moja.
• Fimbo mbili za mita moja
Kutoka kwenye mti
Mahitaji
1. Mimea na kufunikwa kwa udongo
Mimea na kufunikwa kwa udongo husaidia kutoa taswira ya asilimia ya udongo
imefunikwa kwa aina tofauti ya mimea,takataka, mawemawe au haijafunikwa
kabisa.
•Chagua eneo lako kwenye menu. Bonyeza‘N’ ili kuanza
kukusanya takwimu upande wa Kaskazini.
•Anzia katikati ya eneo lako ulilochagua.Anza kwa kutembea mita 5
Kaskazini kwa kunyooka. Dondosha fimbo yako ya kupimia eneo lolote
lile mbele yako.•Chagua ‘5m’ kwenye simu. Chagua aina ya mmea /au aina ya tandazo
lililopo kwenye kila alama ya fimbo yako.Hakikisha unachukua takwimu
ya mmea na matandazo iliyo juu au chini ya kila alama ya fimbo yako ya
mita moja. Hakikisha unafanya hivi maeneo yote.
•Endelea kukusanya takwimu kila mita 5 hadi utakapomaliza pande zote
nne. (dondosha fimbo yako kila unaposimama kwenye mita 5, 10, 15, 20, na25 kutoka ulipoanzia).
MUONGOZO WA MAFUNZO
Getting started withLandPKS 5
MODULI YA UOTO (inaendelea..)
2. Basal/Canopy Gaps
Njia hii itasaidia kujua asilimia ya eneo lote kwa ujumlainayoonekana kuwa na uwazi mkubwa kati ya mimea na kingoza matawi ya mimea. Takwimu hii itatoa tahadhari muhimumapema kuhusu mabadiliko yanayoweza kutokea baadaekwenye eneo linalopimwa.
•Uwazi kati ya mashina ya mimea: Kama fimbo ya
kupimia itagusa shina la mmea wa aina yoyote
sehemu yoyote ya fimbo, chagua 'no basal gap.’Kama
hakuna shina la mmeawowote lililoguswa basi chagua kitufe
cha ‘’basal gap’.
•Uwazi kati ya mwisho wa matawi ya mimea:Kama uwazikati ya mwisho wa matawi ya mimea ni mkubwa kulikoukubwa wa fimbo chagua 'canopy gap.’ ikiwauwazinimdogokulikourefuwa fimboyakupimiachagua'no canopygap.’
Rudia hatua hizi kwa kila pembenne tatu zilizobaki (Mashariki, Kusini, Magharibi). Zingatia: Unawezakutuma/kuwasilisha takwimu ambazohazijakamilika kwa pembe nne zote. Hatahivyo, ukishawasilisha unawezakuzirekebisha kwenye Portal tu.
Rudia
Kwa taarifa zaidi,tembelea www.landpotential.org
MUONGOZO WA MAFUNZO
Getting started withLandPKS 6
MODULI YA UOTO
3. Urefu wa mmea
Takwimu ya urefu wa mmea huwezesha kufuatiliamabadiliko ya uoto – au kufahamu asilimia ya eneo kwaujumla imefunikwa na mimea mirefu Vs mifupi, au
mimea ya urefu wa kati Vs ile mifupi.
•Tumia fimbo ya pili, kutengeneza umbo la mraba(mita 1X1) mbele ya fimbo.
•Tambua sehemu ndefu ya mmea (tawi,jani au
shina) iliyopo kati ya huu mraba wa mita moja.
Tumia fimboya pili kukadiria urefu wa sehemuhii ya
mmea.
•Tambua daraja la urefu wa sehemu ya mmea
iliyopimwa upande wa kushoto wa simu yako.
4. Wingi wa mimea
Takwimu ya wingi wa aina tofauti za mimea inasaidiakupima mabadiliko ya uwepo wa masalia ya miti namiti yenye majimaji wakati uwepo wa matandazo yamimea ni pungufu ya 5%.Takwimu hii hutoa tahadharimuhimu mapema juu ya mabadiliko yanayoweza
kutokea kwenye eneo husika.
•Tumia fimbo ya pili kutengeneza boksimraba (1x1m) mbeleya fimboiliyochini.
•Hesabu idadi ya mimea iliyopo ndani ya eneo hili la mraba (mwanzo wa shina upo ndani ya eneo).
• Ingiza idadihiikwenye kitufekilichopoupandewakuliakuhusuurefu/ uwazi. Hapaunawezakuingizahesabuyaainambiliza mimea..
LandPKS inaandaliwa kuwawezesha watumiajikupanga matumizi endelevu ya ya ardhi yao, ikiwa ni pamoja na kuihuisha kwa
kuzingatia upekee wa aina ya udongo, mwinuko na hali ya hewa. Tathmini ya uwezo wa ardhi itakuwa inahuishwa kulingana na
ushahidi mpya kuhusu mafanikio au kushindwa kwa mifumo mpya ya usimamizi na mifumo ya kurejesha udongo kwenye hali nzuri
baada ya kuharibika. Ujuzi wetu , pamoja na matumizi ya simu za mkononi na teknolojia anga ya ukokotoaji itawezesha ushirikiano wa
haraka na kamili wa ujuzi wa asili na ule wa kisayansi katika usimamizi wa ardhi. Toleo la sasa (3.0, 2018) linasaidia kukusanya na
kuhifadhi na kugawana maelezo ya msingi yanayotakiwa kuamua uwezo wa ardhi (moduli ya LandInfo). Pia inajumuisha moduli ya
LandCover kwa ajili ya kujua hesabu ya mimea na ufuatiliaji.