mwongozo maalum kwa washirika wa wmi/bcic · 4. haki ya kuteuliwa na kuchaguliwa kushika nafasi ya...

13
MWONGOZO MAALUM KWA WASHIRIKA WA WMI/BCIC 1. Utangulizi 2. Uhusiano Kati Ya Wmi Na Bcic 3. Kujiunga Na Ushirika Wa Wmi Katika Bcic 4. Haki za Mshirika 5. Vikundi vya Ushirika 6. Usimamizi wa vikundi vya ushirika 7. Suala la kushiriki meza ya BWANA 8. Ibada na Mikutano Katika BCIC 9. Mafunzo Muhimu Ya Kibibilia 10. Kujiunga Na Utendakazi Katika Bcic 11. Ushirika Wa Bcic Kupitia Mabaraza Ya Kikanisa 12. Uundaji Wa Vikundi Mbalimbali Vya Kihuduma, Kijamii Na Kiuchumi 13. Masuala Ya Uchumba 14. Masuala Ya Kufunga Ndoa 15. Masuala Ya Vifo, Misiba Na Mazishi 16. Masuala Ya Ubatizo 17. Masuala Ya Kubariki Watoto 18. Masuala Ya Mavazi 19. Mshirika Anaposafiri Au Anapohama 20. Kusitishwa Kwa Ushirika Wa Mshirika 21. Kutengwa Kwa Mshirika 22. Uhusiano Wa Wmi/Bcic Na Makanisa/ Huduma Nyingine

Upload: others

Post on 30-Oct-2019

8 views

Category:

Documents


1 download

TRANSCRIPT

MWONGOZOMAALUMKWAWASHIRIKAWAWMI/BCIC

1. Utangulizi2. UhusianoKatiYaWmiNaBcic3. KujiungaNaUshirikaWaWmiKatikaBcic4. HakizaMshirika5. VikundivyaUshirika6. Usimamiziwavikundivyaushirika7. SualalakushirikimezayaBWANA8. IbadanaMikutanoKatikaBCIC9. MafunzoMuhimuYaKibibilia10. KujiungaNaUtendakaziKatikaBcic11. UshirikaWaBcicKupitiaMabarazaYaKikanisa12. UundajiWaVikundiMbalimbaliVyaKihuduma,KijamiiNaKiuchumi13. MasualaYaUchumba14. MasualaYaKufungaNdoa15. MasualaYaVifo,MisibaNaMazishi16. MasualaYaUbatizo17. MasualaYaKubarikiWatoto18. MasualaYaMavazi19. MshirikaAnaposafiriAuAnapohama20. KusitishwaKwaUshirikaWaMshirika21. KutengwaKwaMshirika22. UhusianoWaWmi/BcicNaMakanisa/HudumaNyingine

MWONGOZOMAALUMKWAWASHIRIKAWAWMI/BCICUTANGULIZIUongozi wa WAPO MISSION INTERNATIONAL (WMI) na Vituo vya Ushauri wa Kibiblia na Maombezi (BCIC) unapenda kukukaribisha katika ushirika. Ili WMI na BCIC ziwe baraka kwako na wewe uwe baraka kwa washirika wengine, uongozi umeandaa mwongozo huu wenye maudhui ya kukufanya uelewe mambo kadhaa muhimu yahusuyo ushirika wako na kukuwezesha kushiriki kikamilifu katika kumtumikia Mungu pamoja na washirika wenzako.

Ni matumaini ya uongozi kuwa mwongozo huu utakuwa na majibu na maelezo ya mambo muhimu unayopaswa kuyajua juu ya ushirika wako katika WMI kwenye Vituo vyake vya Ushauri wa Kibiblia na Maombezi (BCIC). Kwa hiyo, tunakusihi usome kijitabu hiki kwa makini na kuyaelewa yaliyoandikwa. Endapo kuna kipengele hujakielewa, usisite kuwaona viongozi kwa ufafanuzi.

Karibu katika ushirika wa WAPO MISSION INTERNATIONAL (WMI) ambapo huduma za kiroho za kikanisa hutolewa na Vituo vyake vya Ushauri wa Kibiblia na Maombezi (BCIC).

Mungu Akubariki.

Mwangalizi Mkuu – WAPO Mission International (WMI)

UHUSIANOKATIYAWMINABCICNi vyema kila mshirika akafahamu Vituo vya Ushauri wa Kibiblia na Maombezi (Biblical Counseling and Intercession Centres - BCIC) ni nini na uhusiano wake na WMI.

WMI ni Shirika la Kikristo lililosajiliwa na serikali lenye malengo yakutoa huduma za Kibiblia na Kijamii katika jamii yote.

Katika eneo la huduma za Kibiblia, WMI ilianzisha Vituo vya Ushauri wa Kibiblia na Maombezi (Biblical Counseling and Intercesion Centre - BCIC) ili kutoa huduma za kiroho za kikanisa. Kwa hiyo, BCIC ni sehemu ya WMI.

Kwa upande wa huduma za Kijamii, WMI kwa sasa ina miradi ya shule (Shalom Schools), vyombo vya habari (WAPO Radio FM, SHALOM TV na gazeti Msemakweli), mapambano dhidi ya UKIMWI (Bora Subiri na Tosheka Naye) na Mpango wa Kimaadili wa Kutambua na Kunoa Vipaji kupitia Chuo Cha Vipaji na Uongozi wa Kimaadili (TMLC). WMI itakuwa na miradi mingine ya kijamii kadri Mungu atakavyoongoza.

KUJIUNGANAUSHIRIKAWAWMIKATIKABCICSifazaKuwaMshirikawaWMIkatikaBCIC1. Mtu aliyemkiri na kumpokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi na Bwana wake kama Biblia

isemavyo.2. MtualiyetayarikubatizwakwamajimengikamaBibliaisemavyo.3. Mwamini mwenye kuamini ubatizo wa Roho Mtakatifu na karama zake na kukubali

kuongozwanaRohokupitiatundalaRohokwamujibuwaBiblia.

MamboMuhimuWakatiMtuAnapotakaKujiungaNaUshirika1.Atatakiwakuamuakwahiariyakekujiunganaushirika.2. Atatakiwa kujaza kwa ukamilifu maelezo yote yaliyomo kwenye fomu ya ushirika,ataambatanishapichayakeyasaiziyapasipoti(passportsize)nakuirudishaofisiyakanisa.3. Majina ya waombaji wapya wa ushirika yatabandikwa katika ubao wa matangazo wakativiongoziwanapitiafomuzaoilikutoafursakwawashirikawaWMIwaliokatikaVituovyakeVyaUshauri wa Kibiblia naMaombezi (BCIC) kuwafahamuwaombaji wapya na kamawana nenololote,wawezekuutaarifuuongozi4.Baadauongozikupitiafomuzawaombajinakuridhikanamaelezowaliyoyatoa,watasajiliwarasmi kama washirika na majina yao kuwekwa katika orodha ya washirika wapyaitakayobandikwakwenyeubaowamatangazoilikuwataarifuwashirikawote.5. Uongoziwa BCIC utawatambulisha na kuwakaribishawashirikawapya katikamikutano yawashirka wote na katika ibada za Jumapili kwa kuwasimamisha ili washirika wenginewawakaribishe.

WajibuMuhimuKwaMshirika1. Kuishi maisha safi yenye ushuhuda mwema katika jamii yoyote anayoishi, yaani kuanzia

nyumbani,kazini,masomoni,safarinin.k.2. KujisajilikatikaKikundichaUshirikakilichokatikaKataanayoishi.3. KuhudhuriaibadazotenamikutanoyoteyawashirikakatikaVikundivyaUshirikanaBCIC.4. Kutoazaka,sadakanamichangokwaajiliyahudumazaWMI.

HAKIZAMSHIRIKA

1. HakiyakupokeahudumazotezakirohonakikanisazitolewazonaWMI.2. HakiyakukutananaWachungajiilikupatahudumazakiroho.3. Hakiyakujiteteambeleyavikaohusikapaleambapokunatatizo,tuhumaaushukumbaya.4. HakiyakuteuliwanakuchaguliwakushikanafasiyauongozikwamujibuwasifazaKibiblia

zautumishi,kuthibitikakwakaramanavipawandaniyake,sifazakitaaluma,ujuzin.k.5. HakiyakupewataarifazamapatonamatumiziyafedhazaKituochaUshauriwaKibibliana

Maombezi(BCIC)anachoshirikiibadakamamshirikawaWMI.6. Hakiyakutoamaoni juuyamambombalimbali.Maoniyatolewekimaandishinakuingizwa

kwenyeboksilamaoni

VIKUNDIVYAUSHIRIKAKilamshirikawaWMI katika BCIC anawajibika kujiunga na Kikundi cha Ushirika ili kupokeahudumazakirohoikiwanipamojana‘kuumegamkate’waushirikaWashirika wanahimizwa kujenga ushirika imara kama Wakristo wa kanisa la kwanza, kwakuonesha upendo na mshikamano katika mambo yote. Kila inapopatikana nafasi nainapowezekana, washirika katika Kikundi cha Ushirika, hata kwa kujumuisha na wa VituovinginevyaUshirika,wanahimizwakuandaanakulachakulakwapamoja.Hiiitainuamoyowaupendokwakilammoja.Utambulisho wamshirika wa BCIC utajulikana kwa jina/ namba ya Kituo cha Ushirika wakekatikangaziyaKatakwaajiliyakumbukumbubinafsi.LengokuulakilamshirikakujiunganaKikundichaUshirikakatikangaziyaKatanikupatafursayakutambuanakukuzavipawavyauongozipamojanakaramanyinginezo.Wajibuwa kilamshirika ni kufanya huduma ya kukaribishawageni kwenye ibada na ambaoatawafuatiliailiwafanyikewashirikawapyakatikakikundichake.USIMAMIZIWAVIKUNDIVYAUSHIRIKA1. Menejimenti ya kanisa itasimamia uteuzi na usimikwaji wa mashemasi wa vikundi vya

ushirikakwamujibuwasifazauongozi.2. Menejimenti itapokea na kuhakiki taarifa za Vikundi vya Ushirika zinazowasilishwa na

mabaloziwake.

3. Menejimentiyakanisaitasimamiamchakakatowaukuaji,uongezekajiidadihadiuzalishwajiwaVikundivipyavyaUshirika.

4. Menejimenti ya kanisa inayo mamlaka ya kufuta Kikundi cha Ushirika wakati wowote

itakapobainika kuna ukiukwaji wa maadili ya uendeshaji kikundi na washirika husikakupewafursayakujiunganavikundivingine.

KamahujuiKikundichakochaUshirika,tafadhalisomaorodhayaVikundivyaUshirikakwenyeubaowamatangazoaufikaofisiyakanisakwamaelekezo.

SUALALAKUSHIRIKIMEZAYABWANAWMI katika BCIC kwa kufuata maagizo ya Bwana Yesu Kristo kuwa tuumege mkate kwakumbukumbuyakenakuoneshaushirikawetunamwiliwake,tunashirikiMezayaBwanakwanamnambili:KwenyeVikundiVyaUshirika Washirika wa WMI katika BCIC kwenye Vikundi vya Ushirka hushiriki Meza ya Bwana katika vikundi vyao kwa utaratibu uliyopangwa. Tafadhali rejea sehemu ya Ibada na Mikutano katika BCIC. KwenyeIbadaZaBCIC Tunashiriki Meza ya Bwana kwa pamoja katika ibada za Jumamosi ya kila mwisho wa mwezi. Utaratibu wa namna ya kushiriki meza ya Bwana katika ibada za Jumapili utashirikisha washirika katika Vikundi vya Ushirika kwa makundi yao. Mwongozo utatolewa na uongozi katika ibada.

IBADANAMIKUTANOKATIKABCIC

Ibada1.KutakuwanaibadakatikaVikundivyaUshirikavilivyochiniyaBCIC.2.KutakuwanaibadakilaJumapili.3.Kutakuwanasikuzamadarasa(ibada)yakujifunzaNenolaMungu.4.Kutakuwanaibadazamaombezikwawagonjwanawahitaji.5.KutakuwanaibadazaubatizowaRohoMtakatifukanisaninakwenyeVikundivyaUshirika.6.KutakuwanaibadazamikeshayausikukatikaBCIC.7.KilamweziwashirikawaWMIwatakutanakwenyeVikundivyaUshirikailikumegamkate.Mikutano1.KutakuwanamikutanoyawashirikayakujadilimaendeleoyaWMI/BCICkilabaadayamiezimitatu(Tafadhalifuatiliaratibaitakayotolewa).

2.KutakuwanamkutanomkuuwawashirikakutathminimaendeleoyaWMI/BCICkilamwishowamwaka.

MAFUNZOMUHIMUYAKIBIBILIAWMI imeanzisha chuo cha mafunzo ya kibiblia, Vipaji na uongozi wa kimaadilikinachojulikana kwa jina la TALENTS AND MORAL LEADERSHIP COLLEGE (TMLC)Kupitia chuohikiTMLCWashirikawotewaWMIwanatakiwakuhudhurianakuhitimumadarasamaalumyamafundishoyafuatayo:1. MafundishoyaImani2. MafundishoyaUanafunziwaKristo3. Mafundishoyamaishayaushindiujanani4. Mafundishoyauchumba,ndoanafamilia5. Mafunzoyawatendakazi(NgaziyaCheti,StashahanaShahada)6. Mafunzoyautumishinauongozi(NgaziyaCheti,StashahanaShahada)Tafadhali tembelea kwenye tovuti ya tmlc.wapo.or.tz ili kupata maelezo zaidi kuhusuTMLC Pia zingatia ratiba na matangazo yanayotolewa kwenye ibada na mbao zamatangazokuhusumadarasayamafundishohayailikujuaunapaswakuhudhuriadarasalipi.

KUJIUNGANAUTENDAKAZIKATIKABCICWMIkatikaBCICtunaaminijuuyautendajikaziwaYesuKristonaRohowakendaniyawaaminikwanjiayakarama,vipawanahudumambalimbalikwakusudilakulijenganakulikamilishakanisalake[Waefeso4:7-16].Tunaamini kuwa wewe pia kama mwamini, Mungu amewekeza ndani yako karama,vipawanahudumailiuwezekutumikakatikakanisalake.Kwasababuhii,WMIkatikaBCICinatoafursakwakilamshirikakumtumikiaMungukwakarama,kipawanahudumayake.Hata hivyo, ili kukufanya uwe mtendakazi mzuri wa karama, kipawa na hudumauliyonayo kwa ajili ya kanisa la Yesu Kristo hapa BCIC, utatakiwa kupitia darasa lamafundishoyafuatayo:1. MafundishoyaImani2. MafundishoyaUanafunziwaKristo3. MafunzoyautemdakazinautumishiyangaziyaChetikupitiaTMLC

USHIRIKAWABCICKUPITIAMABARAZAYAKIKANISAMbalinahudumazakiibadanakimaombezi,washirikawaBCICwanaimarikakirohonakijamiikupitiamfumowamabarazayakikanisaambayoniBarazalaWanaume,BarazalaWanawake,BarazalaVijananaKanisalawatoto.Kusudikubwalamabarazayakikanisanikupokeawashirikawapyakwakuzingatiamahitajiyarikanajinsiazaoilikuwezakupokeahudumazinazolingananamahitajiyaoyakirohonakijamii.Baraza la wanaume ni chombo cha kuwaweka karibu wanaumewanaojiunga na ushirika waBCICikiwanipamojanakupokeaushauriwakichungajinamafunzoyenyekuwajengawanaumekatikauwajibikajiwaokwafamiliazaonakatikajamiikwajumla.BarazalaWanawakenichombochakuwawekawanawakewenyendoa,wajane,walioachikaaukutelekezwa lakini wameamua kumkimbilia Mungu awe ndiye mfariji wao. Kupitia baraza lawanawake, kila mwanamke hupokea huduma za kichungaji na mafunzo yenye kuwajengawanawakekatikautiikwandoazao,utiikwaKristonaNeno lakenakuwaimarishakirohonakijamii.Baraza la vijana limeandaliwa kuwaleta karibu vijanawa kike na kiumewasio na ndoa bado,kuanzia umri wa miaka 18 mpaka 40. Hiki ni chombo cha kumnoa kijana kuishi maisha yaushindikatikaimaniikiwanipamojanakuchocheavipajivyaonakuwahamishakutumiamaonoyaowaliyopewanaRohoMtakatifukatikaujanawao.Kanisa lawatotonihudumamaalumyamaleziyakirohokwaajiliyawatotochiniyaumriwamiaka18ambaowamesajiliwanawazaziwaowakatikamakusanyikoyaBCIC.Hiinikuzingatiaya kuwaushirika katika kanisa unaanzia tangumtoto anapowasilishwa kanisani na kuwekwawakfunawenginekumpokeaYesuKristonakuzaliwamarayapilinakubatizwa.UUNDAJIWAVIKUNDIMBALIMBALIVYAKIHUDUMA,KIJAMIINAKIUCHUMIWMI tunaamini katika utendaji wa pamoja. Kwa hiyo tunawatia moyo washirika kuunda nakujiunga katika vikundi mbalimbali ndani ya WMI/BCIC vinavyoweza kuongeza thamani yahuduma za WMI na BCIC. Vikundi hivi vinaweza kuwa vya kutoa huduma za kiroho,kimaendeleo,kitaaluma,kibiashara,kijamii,kitaalamu,n.k.Hatahivyouanzishajinauratibuwavikundihivini lazimaujulikanekwauongoziwaWMInaBCICkwakuwaunashirikishawashirika.Kusudi lakenikuruhusuuongozikutoamaongoziyakiroho yatakayosaidia kudhibiti milango ya ibilisi kufanya kazi katikati ya vikundi hivyo nakuwavurugawashirikakiroho.Hivyowashirikawatakapotakakuanzishakikundichochotenishartiwawasilishekwauongozimwongozo, uongozi wa kikundi, kanuni na taratibu nyingine za uendeshaji na usimamizi wakikundihicho.Uongozi wa WMI na BCIC utawajulisha viongozi wa kikundi uamuzi wa uundwaji aukutokuundwa kwa kikundi hicho baada ya kupitia makabrasha ya kikundi. Kikundi chochotekisianzekablayakukubaliwanauongoziwaWMI/BCIC.

UongoziwaWMInaBCICunaweza kuvunja kikundi chochote kilichoundwandani yaWMInaBCICwakatiwowoteikidhihirikakuwepokwakeauuendeshajiwakeunakiukaNenolaMungu,MamboyaMsingiyaKuzingatiwakatikaWAPOMissionInternationalnaKanuniZinazoongozaUtendajindaniyaWAPOMissionInternational.

MASUALAYAUCHUMBAUshauriWaKichungajiKijanaaumtumwenyekutafutamchumbanaanahitajiushauriwakichungajianatakiwakuuonauongozimapemakablayakumtamkianiayauchumbahuyo‘mchumbamtarajiwa’.Ushauri wa kichungaji wa jinsi ya kumpata mwenzi wa ndoa unatolewa kabla wahusikakuchumbianailiwapatehekimayakuthibitishausahihiwamaamuziwanayokusudiakufanya.Uongozi wa kanisa, awe Mchungaji au kiongozi wa ngazi yoyote, nabii au mwonaji hanamamlakayakumshawishiaukumchaguliakijanaaumtumchumba.KilakijanaaumtuanahakinauhurubinafsiwakuchaguamwenzianayeshuhudiwakuoananayekwamujibuwaBiblia.Iliuchumbawavijana(auyeyote)uwezekutambuliwarasminakutangazwaWMIkatikaBCIC,wahusikalazimawafuateutaratibuufuatao:1. Endapo wote wawili ni washirika wa WMI katika BCIC, kila mmoja atajaza fomu ya

kuutambulishauchumbawaokwaWachungajinakuirudishaofisiyaWachungaji.Fomuhiini lazima ipitiekwauongoziwaBaraza laVijananaMratibuwaBCICkatikangaziyaKatakwaajiliyauthibitisho.

2. Kama mmoja wa wahusika sio mshirika wa WMI katika BCIC, atatakiwa kuleta barua ya

Mchungaji wake kuthibitisha ushirika wake na kama Mchungaji wake anafahamu juu yauchumbawamhusikahuyo.

3. Wahusika wote watatakiwa kuleta barua za wazazi/walezi wao kuthibitisha kuufahamu

uchumbawaonaniayaoyakutakakuoananakamahakunamgogorowowote.4. Kablayauchumbawowotekutangazwarasmi,lazimawahusikawawewamekwishakupima

VVU na kujua rasmi hali ya afya zao na kuwasilisha ushahidi kwamsajiliwa uchumba nandoa.

5. BaadayakuzipitianyarakazoteMchungaji/MsajiliwaUchumbanandoaatawaitawahusika

wotewawilikwamazungumzoyakichungaji.6. BaadayaMchungaji/msajilikuridhikanamchakatomzima,watawajulishawahusikakwanza

kishawatapangatareheyakutoatangazo lauchumbakatika ibadakwakutamkamajinayavijanawahusika,kuwaitamadhabahunikuwatambulishanakuwaombea.

7. WMIkatikaBCIChaitatangazauchumbawalakufungishandoaendapommojawawahusika

amethibitikakuambukizwaVirusivyaUkimwi(VVU).

8. EndapowahusikawotewawiliwamethibitikakuambukizwaVirusivyaUkimwi(VVU),WMI

katikaBCIC itatangaza uchumba na kufungisha ndoa kamawataamua kufanya hivyo.Hatahivyowatapitiavipindimahsusivyaushaurinasahanawakibibliakablayakufikiahatuayakuoana.

9. WMI katika BCIC haitatangaza uchumba wala kufungisha ndoa endapo wahusika

wamethibitika kufanya uasherati au mmojawapo amethibitika kufanya hivyo na mtumwinginekablayakutangazwakwauchumbaauwakatiwauchumba.

10. WMI katika BCIC itazingatia na kufuatilia taarifa ya mwenendo wa wahusika kabla ya

kutangaza uchumba au kufunga ndoa. Endapo itadhihirika bila mashaka yoyote kuwawahusikawalikuwanamwenendousiosafikablayakutangazwakwauchumbaauwakatiwauchumba, uongozi hautawajibika kuutambua uchumba huo na hivyo kutofungisha ndoawahusika mpaka taratibu zote za kuwarejeza Kibiblia zitakapofanyika na kanisa zimakujulishwa.

11. Uongozi unayo mamlaka ya kukataa uchumba wowote ambao mmoja au wote wawili

watabainikaushirikawaounawalakiniaukuwepokwaukiukwajiwamaadiliyakiimanikwamujibuwaBiblia.

UongoziwaBCICunashaurikipindichauchumbakisizidimwakamojabilayakufungandoatokasikuuchumbaulipotangazwarasmi.

MASUALAYAKUFUNGANDOANdoayoyoteitakayofungwaWMIkatikaBCICitafuatautaratibuufuatao:1. Kilammojawawahusika,yaaniBwananaBi.Harusiwatarajiwa,atatakiwakujaza fomuya

kusudiolakufungandoanakuirudishaofisiyaWachungaji.2. Uongozi utataka uthibitisho wa uhalali wa wahusika kufunga ndoa kwa njia utakazoona

zinafaa, ikiwemokupatabaruakutokakwawazazi,nduguwakaribu,wachungajin.k.kablayandoakutangazwa.

3. Taarifa ya kusudio la kufunga ndoa itolewe angalau majuma nane [8] kabla ya tarehe ya

kufunga ndoa ili kutoa muda wa uthibitisho kama inavyoelezwa katika namba 2 na majuma matatu [3] ya kisheria ya kutangaza kusudio la kufunga ndoa.

4. Baada ya kujiridhisha na uhalali wa wahusika kufunga ndoa, ndoa itatangazwa kwa mujibu

wa sheria ya ndoa ya nchi. 5. Wahusika watatakiwa kupitia Mafundisho ya Ndoa kabla ya kufunga ndoa. 6. Ndoa yaweza kufungwa siku yoyote endapo tu siku hiyo haitakuwa na ratiba isiyoweza

kubadilika.

7. WMI katika BCIC itafunga ndoa za washirika wake, au ya mshirika wake na mtu mwingine asiye mshirika wake lakini ni mwamini wa Yesu Kristo kulingana na Biblia isemavyo na ni kutoka katika imani isiyokiuka misingi ya Biblia. WMI katika BCIC yaweza kuwasiliana na Mchungaji wa mwanandoa mtarajiwa asiye mshirika wake ili kupata kibali chake kabla ya kufungisha ndoa.

8. WMI yaweza kufunga ndoa za jumla kwa wale watakopenda na endapo ndoa ziko nyingi

na ratiba ya siku zilizopo hairuhusu kufunga ndoa moja moja. 9. Ufungaji ndoa katika WMI kwenye BCIC utafuata sheria za nchi, hivyo endapo

maharusi watachelewa kufika katika ukumbi uliopangwa kufungishia ndoa katikamuda unaokubalika kisheria kwamsajiliwa ndoa kufungisha ndoa, basiMchungaji(Msajili)wandoawaWMIhatafungishandoahiyo.

MASUALAYAVIFO,MISIBANAMAZISHI

Inapotokeakifochammojawawafuatao,WMI(BCIC) itashirikimsibanakushughulikakuuzikamwiliwamarehemu:1.Mshirika(aliyesajiliwa)2. Mtoto wa mshirika ambaye hajajitegemea kiushirika. WMI (BCIC) haitashughulikakuuzika mwili wa marehemu asiye mshirika wake aliyesajiliwa (mwenye ushirika wakanisa lingine),hatakamaanauhusianonamshirikawaWMIkatikaBCICaliyesajiliwa.Hiinikwasababutunaaminimarehemuhuyoatazikwanakanisaaudiniyake.TaarifaYaMsibaNdugu wa marehemu/wafiwa watatoa taarifa ya msiba kwa Balozi wa Kikundi chaUshirika kilichoko katika eneo ambalo msiba umetokea. Balozi atahakikisha fomumaalum ya taarifa ya msiba inajazwa na taarifa kuwafikia Wachungaji harakaiwezekanavyo. TangazoLaMsibaKanisaniUongoziutawataarifuwashirikajuuyakutokeakwamsibakwakutoatangazowakatiwaibadazaJumapilinakubandikataarifahiyokwenyeubaowamatangazo.UshirikiMsibaniBaadayataarifayakifokutolewa,Baloziwaeneolililotokeamsibaatawajibikakutoataarifakwawashirika, hususanwalio katikaKikundi chake chaUshirikamsiba ulikotokea na kuwahimizakushiriki msibani kwa hali na mali. Kama marehemu au mfiwa ni wanachama wa kikundichochotechahudumakatikaBCIC,wanakikundiwenzakewatahimizwakushirikikikamilifu.

RambirambiYaBCICWMIkatikaBCICkwakupitiaVikundivyakevyaUshirikaitatoakiasichafedhakwafamiliayamarehemukama rambirambi.Hata hivyowashirikawaWMI katikaBCICwanahimizwa kutoarambirambibinafsikwawafiwapaleinapotokeamisibailikuwafarijinakuwatiamoyowafiwa.MazishiWMI katika BCIC itamtuma Mtumishi wake kutoa huduma ya Neno la Mungu na kuongozataratibu nyingine za mazishi msibani na makaburini kwa kushirikiana na wafiwa. Paleinapotokea mazishi kufanyika nje ya mkoa ulikotokea msiba, uongozi wa WMI katika BCICutashauriananawafiwanamnayakufanikishahudumazamazishizakikanisahuko.Katikahiliwafiwa wanahimizwa kutoa taarifa mapema kabisa juu ya kusudio la kwenda kuzika nje yamkoaulikotokeamsibailimipangoifanyikemapemapia.Kuchelewa kutoa taarifa kuhusu mazishi ya nje ya mkoa ulikotokea msiba kunaweza kusababisha mipango isifanyike na hivyo kuleta fadhaa kwa wafiwa jambo ambalo siyo nia ya uongozi wa WMI katika BCIC. MASUALAYAUBATIZO Hapa WMI katika BCIC tunaamini katika ubatizo wa maji mengi kwa watu waliomkiri Yesu Kristo wenyewe kuwa Bwana na Mwokozi wao kama maandiko yasemavyo (Marko 16:16). Kwa sababu hiyo, wale wote waliomkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wao na wanataka kuwa washirika wa BCIC ni lazima wabatizwe katika maji mengi kutimiza matakwa ya Neno la Mungu katika Biblia. Hata hivyo kabla ya ubatizo, wahusika watapewa mafundisho kuhusu ubatizo. Ubatizo utafanyika kila Jumamosi kwa wiki na waliobatizwa kupokea vyeti vya ubatizo jumapili kwenye ibada. MASUALAYAKUBARIKIWATOTOWMI katikaBCIC tunaamini katika kubariki (siyo kubatiza)watotowadogowaliozaliwakamaBibliaisemavyo[Marko10:13-16,Luka2:22]Tendolakubarikiwatotolitafanyikakilabaadayamiezimiwili[2].Wazaziwanatakiwakusajilimajina yawatotokwenyeofisi yaKanisamara tubaadayakuzaliwa ili idadi yao ijulikanenaratibayakuwabarikiipangwe.Chetichakubarikimtotokitatolewa.Ratiba ya kubariki watoto itabandikwa kwenye ubao wa matangazo na kutangazwa kwenyeibada.

MASUALAYAMAVAZIWMIinaaminikatikauvaajiunaositirimwilinayaheshimakamaBibliainavyosema.Kwasababu hiyo, mshirika anatakiwa kuvaa mavazi yanayomsitiri kila anapokuja kwenyeibada,mafundisho,maombinamikusanyikoyoteinayofanyikakanisani.Wanawakewasivaemavazi yanayowabana sananayanaooneshamaungoyaoyandaniausehemukubwayamwili.Wanaumewasivaemavaziyanaooneshasehemukubwayamwilinasurualizisivaliwekiunoni.Hatahivyowashirikawotewanashauriwakuvaavizuripopotewanapokuwa ilikulindaushuhudakamaWakristo.MSHIRIKAANAPOSAFIRIAUANAPOHAMAMshirikawaWMIanapotakakusafirianashauriwakujazafomuyasafarinakishaatapewabaruayakumtambulishahukoaendakokuwanimshirikawaWMI.Kamamshirika waWMI anahamiamkoa au sehemu isiyo na BCIC, anashauriwa kujiunga naushirikanakanisalinaloaminijuuyawokovukatikaKristoYesunalenyemafundishosahihiyaNeno laMungu.Anashauriwapia kupata barua yaWMI ili kumtambulisha kwaMchungajiwakanisaanalotakakuwamshirika.KUSITISHWAKWAUSHIRIKAWAMSHIRIKAUshirikawamtuWMIkatikaBCICutasitishwaendapoitadhihirikakufanyayafuatayonakukataakukiri,kuombamsamahanakutubumbelezaMungu,viongozinawashirikawaWMInaBCIC:1.AmekiukanenolaMungukamalilivyofunuliwakatikaBiblia.2.KuwamwenendowakeunamwelekeowakulichafuakanisalaKristo,WMI/BCICnauongoziwake.4. KuwaamekiukakatibayaWAPOMissionInternational,hususani:

Mambo ya Msingi ya Kuzingatiwa na Kanuni Zinazoongoza Utendaji katika WAPO MissionInternationalkamazilivyoorodheshwakatikamwongozohuu.Mtu ambaye ushirikawake ulisitishwa atakapotaka kujiunga tena na ushirikawaWMI katikaBCICatatakiwakukutananauongoziwaWMIkatikaBCICnaatatakiwakufuatamashartiyoteatakayopewanauongozikablahajakubaliwakuwamshirikatenawaWMIkatikaBCIC.Viongozi

watawatangaziawashirikawotewaWMIkatikaBCICuamuziwaojuuyaushirikawamtuhuyokatikaibadanamikutanoyawashirika.KUTENGWAKWAMSHIRIKAMshirika wa WMI katika BCIC anaweza kutengwa na ushirika endapo itadhihirika kufanyamambo yaliyotajwa katika kipengele cha Kusitishwa kwa UshirikawaMshirika lakini akakirikufanyahivyonakuoneshania yakuombamsamahanakutubumbele zaMungu, viongozinawashirikawaWMInaBCIC.Uongoziunawezakumtengamshirikahuyokwakipindi unachoona kinafaa na kumweka chini ya uangalizi ili kuona kama atakuwa na badiliko la kweli linaloendana na toba yake. Baada ya kuisha kwa muda wa kutengwa kwake uongozi utafanya uamuzi juu yake na kulijulisha kanisa. Mshirika aliyetengwa anapotaka kuendelea kuwa mshirika baada ya muda wa kutengwa kuisha anaweza kutakiwa kujaza fomu ya ushirika upya endapo viongozi wataona haja ya kumtaka afanye hivyo. UHUSIANOWAWMI/BCICNAMAKANISA/HUDUMANYINGINE1. WMI/BCIC inatambua na kuheshimu makanisa/huduma nyingine zenye imani sahihi ya

Kibiblia.2. Kwa utaratibu maalum, washirika wa WMI katika BCIC wataruhusiwa kushirikiana na

makanisa/hudumanyingine.3. Kwa utaratibu maalum, watumishi wa makanisa/huduma nyingine wataalikwa kutoa

hudumakatikaWMI/BCIC.4. Mshirika wa WMI katika BCIC haruhusiwi kushiriki ibada na mikutano ya makanisa na

hudumazenyeutatawakiimani.