nchi 10 kati ya 14 za ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa tanzania _ jamiiforums _ the home of...
TRANSCRIPT
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 1/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
http://www.jamiiforums.com/threads/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania.1028165/
→ 30
Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania
Tanzania tutegemee kuingia kwenye shida ya kiuchumi. Wale washirika wetu wa maendeleo
yaan zile nchi za ulaya. K wa kauli ya pamoja wamesitisha misaada katika nchi yetu.
Tukumbuke misaada yao inaingia moja kwa moja kwenye bajet!! Wanaojua hatujitoshelezi.
Kimaneno tunajitosheleza kwa 60% kivitendo hatuzid 40%.Ni zaid ya ile MCC. Maamuzi
hayo yamekubaliwa na nchi 10 kati ya 14 za Umoja wa ulaya.
Swali kwa watawala hata hizo milijua hamtapewa mlijiandaa kujitegemea?
Maana ya MCC nilimsik ia msemaji wa wizara ya fedha anasema waljua haztak uja
hawakuziweka kwenye bajeti.
Je na za washirika wa maendeleo hamkuziweka???
Wananchi mnatwambia tufunge mikanda suruali zetu zinavyotupwaya wakati nyie
mnashindwa Hata kufunga vifungo vya makoti kwa vitambi.
==================================================
Forums General Forums Jukwaa la Siasa
1 2 3 4 5 6
#1Today at 10:25 AM
tikatika
JF-Expert Member Joined: May 6, 2011
353 28 28T
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 2/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
http://www.jamiiforums.com/threads/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania.1028165/ 2
Kundi la watoa misaada 10 kutoka nchi za magharibi wametangaza kusitisha ufadhili wao
kwa bajeti ya serikali ya Tanzania.
Hii inafuatia uamuzi wa shirika la utoaji misaada la serikali ya marekani kuondoa msaada wa
dola 472 wa kufadhili miradi ya maendeleo kutokana na jinsi uchaguzi wa kisiwa cha
Zanzibar ulivyoendeshwa.
Karibu theluthi moja ya bajeti ya Tanzania ilitegemea msaada mwaka uliopita, kwa hivyo
hatua hizo za hivi punde ni pigo kwa mipango ya maendeleo ya serikali mpya.
Chanzo: BBC Swahili
========================================================
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 3/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
http://www.jamiiforums.com/threads/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania.1028165/ 3
Magufuli's government hit by more foreign aid cuts
President John Magufuli's still-nascent government has beenhit with substantial external aid cuts just months before it
unveils its maiden budget for fiscal year 2016/17.
It was confirmed yesterday that 10 out of a group of 14
western donor entities have announced their withdrawal of
general budget support to Tanzania, hence potentially losing
the country hundreds of millions of US dollars in foreign
aid.
The four entities that are still thus far supporting the
country's national budget are the European Union (EU), the
World Bank, the African Development Bank (AfDB) and Denmark,
according to the permanent secretary in the Ministry of
Finance and Planning, Servacius Likwelile.
“The number of development partners has decreased but we
remain optimistic to see more partners coming in to support
the national budget," Likwelile told journalists yesterday
in Dar es Salaam.
Apart from the four already mentioned, other members of the
official donor group that provides general budget support
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 4/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
http://www.jamiiforums.com/threads/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania.1028165/ 4
(GBS) to the Tanzanian government are Finland, Germany,
Britain, Norway, Sweden, Ireland, Canada, and Japan.
Likwelile did not give reasons for their withdrawals.
The announcement came just a day after the Millennium
Challenge Corporation (MCC) programme, a United States
government foreign aid agency, confirmed its cancellation of
a $472 million (over 1 trillion/-) aid package to Tanzania
because of Zanzibar’s disputed election.
In a Twitter message yesterday, outspoken opposition member
of parliament Zitto Kabwe suggested that the EU could soon
follow suit and cut off up to 800 million euros in aid to
Tanzania.
Tanzania has long been one of Africa's biggest per capita
aid recipients, for many years depending heavily on donor
support for development projects.
According to Likwelile, there were initially a total of 14
development partners providing budget support to the
government, a number which later dropped to 12 and has nowbeen cut to four.
“Most of the development partners are encouraged by the
fifth government’s efforts to boost tax collection and
tighten government expenditure ... definitely we will see
more development partners coming back to support the
budget,” the PS said.
He was speaking after participating in the signing of a new
loan agreement with the Japan International Cooperation
Agency (JICA) worth the equivalent of 116.4bn/-, which he
said will be channeled to the government's 2016/17 budget.
Back in 2014, the GBS donor group withheld nearly $500
Forums
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 5/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
http://www.jamiiforums.com/threads/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania.1028165/ 5
million in budget support to Tanzania over corruption
allegations tied to the infamous Tegeta Escrow account
scandal involving how government monies set aside to pay the
independent power producer IPTL was instead fraudulently
used.
According to Zitto, less than 20 per cent of funds required
for development expenditure in the annual budget are sourced
from internal revenue channels, with the rest coming from
external sources, usually in the form of loans or grants.
The Magufuli administration has announced plans to boost
spending on industrial and infrastructure projects like
better roads and reliable electricity in its first budget,while also cutting the budget deficit.
Under government budget guideline plans released in
February, spending is expected to rise to 22.99 trillion/-
in 2016/17 from 22.49trn/- previously, but the deficit will
shrink to the equivalent of less than 3 per cent of gross
domestic product, from 4.2 per cent.
Magufuli began his presidency back in November with a series
of high profile moves aimed at reining in corruption and
slashing wasteful spending within government.
On Tuesday this week he reiterated his call for Tanzanians
to work hard towards ending the country’s dependence on
donor money.
He is reported to have told a public rally in his home
village in Chato district, Geita region that it was time for
the country to wean itself off foreign aid which comes with
conditions.
The government has already said it plans to borrow the
You are browsing this site as a guest. It takes 2minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1minute to LOGIN
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 6/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
http://www.jamiiforums.com/threads/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania.1028165/ 6
equivalent of 1.78trn/- from external commercial sources
during 2016/17, while financial aid and loans from
development partners is expected to fall by 9.3 per cent to
2.1trn/- during the fiscal year.
SOURCE: THE GUARDIAN
Tuko tayari kula nyasi , kuwalamba miguu wazungu sasa basi
ni sawa tu kwakua hata bajeti ile inayosomwa bungeni inakuwa ni hewa,hela nyingi hazitoki
miradi mingi haipati fedha,fedha hazieleweki zinakwenda wapi
CAR FOR SALE: BMW 3 Series 2005 Engine 1900cc Silver
Kama hii taarifa ni ya kweli,hapo sasa tumefika patamu.Tuone hivi viburi vyao vitaishia wapi
ingawa na sisi wananchi wa kawaida tutaumia.
#2Today at 10:27 AM
TataMadiba
JF-Expert Member Joined: Feb 7, 2014
5,314 277 83
#3Today at 10:27 AM
msemakweli2
JF-Expert Member Joined: Jul 28, 2013
832 267 63
#4Today at 10:28 AM
Salary Slip
JF-Expert Member Joined: Apr 3, 2012
11,458 1,422 113S
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 7/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
http://www.jamiiforums.com/threads/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania.1028165/ 7
Salary Slip said: ↑
Ukawa hamuwezi kutoka kwa sababu ya kushabikia Wazungu, nyie ndo mliongoza kusema
JK ni Ombaomba , sasa mapovu ya nini? Utaumia mwenyewe kwa sababu mvivu wa
kufanyakazi.
TataMadiba said: ↑
Tuko tayari kula nyasi kwa mambo yenye tija kwa wananchi wote lakini Si kwa ajili ya
kikundi kidogo cha watu wanaosigina demokrasia.
Mtu anakuambia anakupa msaada wakati amewekeza kwako. Dawa ya hao watu ni
kuwatimua tu nchini tubaki na wachina.
#5Today at 10:30 AM
TataMadiba
JF-Expert Member Joined: Feb 7, 2014
5,314 277 83
Hapa patamu.Tuone hivi viburi vyao vitaishia wapi ingawa na sisi wananchi wa kawaida tutaumia.
#6Today at 10:30 AM
IlongailungaJF-Expert Member Joined: Jan 18, 2012
918 116 43I
Tuko tayari kula nyasi , kuwalamba miguu wazungu sasa basi
#7Today at 10:32 AM
Mwanapropaganda
JF-Expert Member Joined: Aug 19, 2014
1,240 135 63M
barafuyamoto
JF-Expert Member Joined: Jul 26, 2014
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 8/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
http://www.jamiiforums.com/threads/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania.1028165/ 8
Mwanapropaganda said: ↑
Tatizo letu waTz hasa viongozi waliopita ni wajinga sana!
Salary Slip said: ↑
Salary slip na uelewa wako wote unaingia mkenge na hii taarifa? umesahau hata mwezi
Oktoba tulipewa matokeo ya uchaguzi na ushindi wa Lowasa na waandishi kama hawa?
walituletea exit poll wanazozijua wao..
tikatika said: ↑
Mtu ukiona anaiwazia nchi mabaya tu ujue mabaya mengi yanamwandama kwenye maisha
yake.
Umepigika kimaisha hadi umekoma.pole
Ila chunga kuwaza vitu vya kufikirika vibaya kwaweza kufanya ukawa kichaa muda si mrefu.
#8Today at 10:35 AM9,231 1,082 113
Mtu anakuambia anakupa msaada wakati amewekeza kwako. Dawa ya hao watu ni kuwatimua tu
nchini tubaki na wachina.
#9Today at 10:36 AM
Mbase1970
JF-Expert Member Joined: Jun 11, 2015
292 64 28M
Kama hii taarifa ni ya kweli,hapo sasa tumefika patamu.Tuone hivi viburi vyao vitaishia wapi ingawa na sisi
wananchi wa kawaida tutaumia.
#10Today at 10:37 AM
YEHODAYA
JF-Expert Member Joined: Aug 9, 2015
2,221 976 113
Tanzania tutegemee kuingia kwenye shida ya kiuchumi. Wale washirika wetu wa maendeleo yaan zile nchi za
ulaya. Kwa kauli ya pamoja wamesitisha misaada katika nchi yetu.
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 9/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
http://www.jamiiforums.com/threads/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania.1028165/ 9
Tokea tumeanzwa kupewa hizo fedha hatujatoboa kokote pale ni bora tuishi kimaskin lakinkutokana na uwezo wetu na hao mafarao wale hzo hela zao wenyew
Sinda69 said: ↑
Anayeiumiza Tz ni nani kama sio watendaji wanaoendesha nchi kimaigizo.sasa yana buma.
PAIN KILLER said: ↑
Kwa kuwaunga mkono wazungu, kitaani mnapoteza sapoti sana hasa ukilinganisha na watu
wanavyomkubali JPM, mnajizika taratibu!
#11Today at 10:38 AM
chini ya reli
Senior Member Joined: Aug 25, 2015
52 22 8
#12Today at 10:38 AM
PAIN KILLER
JF-Expert Member Joined: Jun 29, 2015
193 70 28
Ni lengo la upinzani, mafanikio yasipatikane chini ya CCM ila fanyeni yote kuiona ikulu ni vigumu, waumizeni
watanzania ili muingie ikulu.
#13Today at 10:41 AM
barafuyamoto
JF-Expert Member Joined: Jul 26, 2014
9,231 1,082 113
Mmeshazoea maigizo mnashindwa kufikiri nje ya box
#14Today at 10:41 AM
Salary Slip
JF-Expert Member Joined: Apr 3, 2012
11,458 1,422 113S
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 10/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
http://www.jamiiforums.com/threads/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania.1028165/ 10
TataMadiba said: ↑
Nyie miaka yote mnawaza kushika dola ila mpaka leo hamna vyanzo mbadala vya kodi kwa
nchii.Yaani miaka yote mnategemea kushinda uchaguzi alafa muendeshe nchi kwa misaadaya wazungu!Leo hii mtaipuuza vipi hii misaada kama sio waongo?!
Kwanini kuna watu wanafurahia haya mambo kutokea katika taifa letu kana kwamba wao
wana taifa lao.....watu waache unafiki....nina hakika watu hawa hawa wanaoshangilia nchi
yetu kukosa misaada ndio waliokuwa wakishangaa kwanini nchi yetu haijitegemei baada ya
miaka mingi mingi ya uhuru....walikuwa mstari wa mbele kuiponda misaada hiyo huku
wakiita kuwa ni ya kiudhalilishaji........leo hii ndio hao hao wanaolalamika kwanini hizo nchi
hazitupi misaada....
Nashindwa kuzielewa akili za wanasiasa wa nchi zetu....wanaweka maslahi yao mbele kulikoya taifa.....
TataMadiba said: ↑
Ni Kweli JK ni Ombaomba pia hatukutakiwa kusitishiwa misaada bila kujipanga na kwa
sababu za kijinga.
Ukawa hamuwezi kutoka kwa sababu ya kushabikia Wazungu, nyie ndo mliongoza kusema JK ni Ombaomba ,
sasa mapovu ya nini? Utaumia mwenyewe kwa sababu mvivu wa kufanyakazi.
#15Today at 10:41 AM
KikulachoChako
JF-Expert Member Joined: Jul 21, 2013
9,709 1,588 113
#16Today at 10:42 AM
Jackal
JF-Expert Member Joined: Apr 10, 2012
597 72 28
Ukawa hamuwezi kutoka kwa sababu ya kushabikia Wazungu, nyie ndo mliongoza kusema JK ni Ombaomba ,
sasa mapovu ya nini? Utaumia mwenyewe kwa sababu mvivu wa kufanyakazi.
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 11/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
http://www.jamiiforums.com/threads/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania.1028165/ 1
Nilijua nitakuta majina ya hizo nchi na kiasi!wanachokitoa kwenye nchi yetu.
Nadhani ni muhimu wataalamu wa uchumi wakaanalyze effects za hichi kitu na washauri wa
Rais wa kisiasa na kiuchumi watafute njia ya kufanya,tusishupaze shingo...wengi tunaelewa
kua kujitegemea ni jambo zuri lakini hiyo njia bado ni ndefu kidogo, hatuwezi tukaanza
ghafla.
TataMadiba said: ↑
ila uko tayari kumlamba miguu jecha
#17Today at 10:42 AM
Saint Ivuga
JF-Expert Member Joined: Aug 21, 2008
27,252 1,058 113
#18Today at 10:42 AM
PAIN KILLER
JF-Expert Member Joined: Jun 29, 2015
193 70 28
#19Today at 10:44 AM
Sexer
JF-Expert Member Joined: Oct 22, 2014
1,825 335 83
Umetoa wapi hii taarifa? Tuko tayari kula nyasi , kuwalamba miguu wazungu sasa basi
#20Today at 10:44 AM
PAIN KILLER
JF-Expert Member Joined: Jun 29, 2015
193 70 28
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 12/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
http://www.jamiiforums.com/threads/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania.1028165/ 12
→ 30 (You must log in or sign up to reply here.)
Tweet 0
barafuyamoto said: ↑
Mnawadanganya watu mtaani kuhusu kujitegemea lakini hii ni process sio kitu cha kuamka
na kuanza tu kujitegemea kwa tz
Acha watu wamezeshwe sumu lakini mwishowe wataelewa kwani effects zitakuja tu kamatukiendelea kushupaza shingo
Similar Threads Forum Date
Tanzania kati ya nchi 10 Africa zinazoongoza kwa demokrasia Jukwaa la Siasa Jan 1,2016
Nchi za Ulaya zinazotoa elimu ya chuo kikuu bure kwa wanafunzi
wa kimataifa!?
Habari na Hoja
mchanganyiko
Oct 17,
2014
Uchaguzi nchi za Jumuia ya Ulaya ni fundisho kwa nchi za Jumuia
ya Afrika Mashariki na TanzaniaJukwaa la Siasa
May 26,
2014
Umoja wa nchi za Ulaya `yaipiga jeki` TanzaniaBiashara, Uchumi naUjasiriamali
Aug 28,2013
Serikali ya tanzania ni moja kati ya nchi za africa zinazo uza aridhi
kwa wageni
Habari na Hoja
mchanganyiko
Jun 20,
2011
Share This Page
Kwa kuwaunga mkono wazungu, kitaani mnapoteza sapoti sana hasa ukilinganisha na watu wanavyomkubali JPM,
mnajizika taratibu!
1 2 3 4 5 6
51 people recommend this. Be the first of your friends.Recommend
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 13/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
http://www.jamiiforums.com/threads/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania.1028165/ 13
STAFF ONLINE NOW
ActiveModerator
FORUM STATISTICS
TOPICS
825,671
MEMBERS
327,936
POSTS
15,609,520
Forums General Forums Jukwaa la Siasa
8/18/2019 Nchi 10 Kati Ya 14 Za Ulaya Zasitisha Msaada Wa Kibajeti Kwa Tanzania _ JamiiForums _ the Home of Great Think…
http://slidepdf.com/reader/full/nchi-10-kati-ya-14-za-ulaya-zasitisha-msaada-wa-kibajeti-kwa-tanzania-jamiiforums 14/14
3/31/2016 Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Style Chooser Terms and Rules Contact Us Help
WHO ARE WE?
Read more...
WHERE ARE WE?
Contact Us Now...
DISCLAIMER
Read more...
FORUM RULES
Read more...
PRIVACY POLICY
Proceed here...
JamiiForums is a 'User Generated Content' site;
anyone can register (MUST)and comment or start a
new topic. You are alwayswelcome!
We have our offices in Dar es Salaam but we still work
virtually. For anythingrelated to this site please
Contact us.
JamiiForums, its partners,affiliates and advertisers are
not responsible for thecontent of threads/topics
that are submitted by users..
JamiiForums is moderatedunder the rules set by users
and moderators tosafeguard you. You MUST
read them and complyaccordingly
We are committed torespecting your privacy
rights when visiting anyJamiiForums.com page,
such as this one. Read our Privacy Policy.