ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa · 2018-06-18 · g.usaf1: usafi ni sehemu ya...

7
OFI SI YA RAI S TAWALA ZA MI KOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURIYAWI LAYAYARUNGWE, SHULE YA SEKONDARI RUNGWE MAWASILI ANO(i ) MKUU WA SHULE- 0764-512 624 (ii) MAKAMU MKUU WA SHULE - 0752- 057 555 (Hi ) MHUDUMU WA OFISI- 0753- 125 925 Kumb. Na. RSS/F. 5 SEL. / 221/ Ndugu: YAH: MAAGI ZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI RUNGWE MWAKA 2018/2019 Ninafur ahi kukuarifu kuwa umechaguli wa kuj i unga na kidat o cha t ano kati ka shul e ya Sekondar i Rungwe mwaka 2018/ 2019 katika combi nation ya Shule ya Sekondar i Rungwe ipo umbali wa Km. 16, Maghar i bi mwa Mji mkuu wa Wil aya ya Rungwe. Muhula wa kuanza masomo unaanza t ar ehe 02/07/2018 unat akiwa kur i poti shuleni kuanzi a t arehe 02/ 07/2018 na mwisho wa kur i poti ni t ar ehe 15/ 07/2018. HAL1 YA HEWA NA JINSI YA KUFIKA SHULENI . Shul e ya Sekondar i Rungwe i ko Mkoani Mbeya, Wilaya ya Rungwe, shule ipo umbal i wa kil omet a 45 kut oka Mbeya Mj i ni . Toka Tukuyu kilometa 16 Aidha Shul e i ko chi ni ya Mli ma Rungwe wenye urefu wa Met a 2981 A.S. L. Hah ya hewa ni ya bar idi na mvua kwa ki pindi kir efu. Hal i hii ni nzur i sana kwa af ya ya mwanafunzi na ni mazingi ra mazur i kwa kuj i funzia. Hi uf ike shuleni vi po vi tuo vya kushukia katika barabara kuu i t okayo Mbeya Mji ni kuel ekea Kyela. Telemka kwenye mji mdogo wa K1WI RA ut apat a usafir i wa TAX Tshs. 20, 000/= Pia ukishuka ki tuo cha SOGEA ni ji rani zaidi, utapat a usafi ri wa BODABODA kwa Tshs. 2,000/=. MAAGI ZO MBAL1MBALI. 1. SAREYA SHULE: ( a) Sur ual i 2, kit ambaa cha t etr on r angi ya dar k bl ue ( moja) na rangi ya kijivu ( moj a) zit apat ikana hapahapa shul eni kwa bei ya Tshs. 22,000/= kwa kil a moj a. Mkanda wa kuvali a surual i mweusi wa ngozi . - ( b) Mashati mawii i meupe mikono mi refu na marefu kurahisi sha kuchomekea yasi yo na mapambo au nembo yoyot e. ( c) Vi at u vyeusi j ozi mbili vyenye kisigi no ki fupi vyenye kamba na visi vyochongoka sana mbele. (d)Soksi j ozi mbil i (e) Swet a moja r angi ya Bluu ' V zinapat ikana hapa shuleni kwa Tshs.l 5,000/= (f) Tai ndetu rangi ya dark bluu i tat engenezwa hapa shuleni. (g)T. shi rt mbil i za shule r angi ya ki j ani zi napat ikana hapa shul eni kwa Tsh. 15,000/= kwa kila moj a. ( h) Shamba dress ( sur uali nyeusi mbil i ( Tetr on) shona nyumbani , N. B: Vaa sur ual i nyeusi na shati j eupe unapokuj a kuri poti . Nguo za nyumbani hazir uhusi wi kabi sa shuleni 2.VIFAA VYA DARASAN1 ?Kalamu za wino, risasi, r ul a, mkebe ( mathematical set) daf tar i kubwa zisi zopungua 12. (zinauzwa kwenye duka la shule) ?Bundamoj a(l)yakar at asi kwa mwaka, (zinauzwa kwenye duka la shule) ?Bunda 2 za karat asi kwa ajili ya matumizi yake binafsi.

Upload: others

Post on 16-Jul-2020

11 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA · 2018-06-18 · G.USAF1: Usafi ni sehemu ya maisha yako na iwe ni tabia yako kuwa msafi na kushiriki kikamilifu katika kuyaweka

OFISI YA RAISTAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURIYAWILAYAYARUNGWE,

SHULE YA SEKONDARI RUNGWE

MAWASILIANO(i) MKUU WA SHULE- 0764-512 624(ii) MAKAMU MKUU WA SHULE - 0752-057 555(Hi) MHUDUMU WA OFISI- 0753-125 925

Kumb. Na. RSS/F.5 SEL./221/

Ndugu:

YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI RUNGWE MWAKA 2018/2019

Ninafurahi kukuarifu kuwa umechaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika shule ya Sekondari Rungwe mwaka

2018/2019 katika combination yaShule ya Sekondari Rungwe ipo umbali wa Km. 16, Magharibi mwa Mji mkuu wa Wilaya ya Rungwe.Muhula wa kuanza masomo unaanza tarehe 02/07/2018 unatakiwa kuripoti shuleni kuanzia tarehe 02/07/2018 namwisho wa kuripoti ni tarehe 15/07/2018.

HAL1 YA HEWA NA JINSI YA KUFIKA SHULENI.Shule ya Sekondari Rungwe iko Mkoani Mbeya, Wilaya ya Rungwe, shule ipo umbali wa kilometa 45 kutokaMbeya Mjini. Toka Tukuyu kilometa 16 Aidha Shule iko chini ya Mlima Rungwe wenye urefu wa Meta 2981A.S.L.Hah ya hewa ni ya baridi na mvua kwa kipindi kirefu. Hali hii ni nzuri sana kwa afya ya mwanafunzi na nimazingira mazuri kwa kujifunzia.Hi ufike shuleni vipo vituo vya kushukia katika barabara kuu itokayo Mbeya Mjini kuelekea Kyela.Telemka kwenyemji mdogo wa K1WIRA utapata usafiri wa TAX Tshs. 20,000/=Pia ukishuka kituo cha SOGEA ni jirani zaidi, utapata usafiri wa BODABODA kwa Tshs. 2,000/=.

MAAGIZO MBAL1MBALI.1. SAREYA SHULE:

(a)Suruali 2, kitambaa cha tetron rangi ya dark blue (moja) na rangi ya kijivu (moja) zitapatikanahapahapa shuleni kwa bei ya Tshs. 22,000/= kwa kila moja. Mkanda wa kuvalia suruali mweusiwa ngozi.-

(b)Mashati mawiii meupe mikono mirefu na marefu kurahisisha kuchomekea yasiyo na mapambo aunembo yoyote.

(c)Viatu vyeusi jozi mbili vyenye kisigino kifupi vyenye kamba na visivyochongoka sana mbele.

(d)Soksi jozi mbili(e)Sweta moja rangi ya Bluu 'V zinapatikana hapa shuleni kwa Tshs.l5,000/=(f)Tai ndetu rangi ya dark bluu itatengenezwa hapa shuleni.(g)T.shirt mbili za shule rangi ya kijani zinapatikana hapa shuleni kwa Tsh. 15,000/= kwa kila moja.(h) Shamba dress ( suruali nyeusi mbili (Tetron) shona nyumbani,

N.B: Vaa suruali nyeusi na shati jeupe unapokuja kuripoti. Nguo za nyumbani haziruhusiwi kabisa shuleni

2.VIFAA VYA DARASAN1?Kalamu za wino, risasi, rula, mkebe (mathematical set) daftari kubwa zisizopungua 12. (zinauzwa

kwenye duka la shule)?Bundamoja(l)yakaratasi kwa mwaka, (zinauzwa kwenye duka la shule)?Bunda 2 za karatasi kwa ajili ya matumizi yake binafsi.

Page 2: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA · 2018-06-18 · G.USAF1: Usafi ni sehemu ya maisha yako na iwe ni tabia yako kuwa msafi na kushiriki kikamilifu katika kuyaweka

6. ADA NA MICHANGO YA SHULE.(i) Ada ya shule Tshs. 70,000/= kwa mwaka au Tshs. 35.000/= kwa muhula.(ii) Mchango wa ukarabati Tshs. 15,000/= kwa mwaka mmoja tu.(iii) Mchango wa taaluma Tshs. 20,000/= kila mwaka.(iv) Mchango wa ulinzi, wapishi na vibarua wengine Tshs. 30,000/= kila mwaka.(v) Tahadhali Tshs. 5,000/= kwa mwaka mmoja tu.(vi) Kitambulisho na picha Tshs.6000/= kwa mwaka mmoja tu.(vii) Matibabu (CHF) Tshs. 5,000/= kila mwaka, kwa asiye na Bima ya Afya na mwenye Bima ya

afya aje na kadi ya Bima bila fedha hiyo . Mwanafunzi aje na Pasport size kwa ajiri yakitambulisho cha matibabu.

(viii) ^uduma ya kwanza Tsh. 5000/-

(ix) Mtihani wa kujipima (mock) Tsh. 20,000/=(x) Nembo ya shule Tsh. 2000/=.

?Lipa ada na michango kupitia Akaunti ya shule NMB, TAWI LA TUKUYU A/C no.

61401000007, A/C name HEADMASTER RUNGWE HIGH SCHOOL.?Mwanafunzi aje na BANK PAY IN SLIP yenye kuonesha mchanganuo wa malipo hayo.

Mwanafunzi ambaye hatakuja na Bank pay in slip ya malipo hatapokelewa walakuandikishwa.

HGE, HGK, HKL, HGL

(I.E ALL ARTS)

HARD BROOM

CBG

RABBERSQUISER

PCB

RUBBERSQUISER

PCM

SLASHER

EGM

PANGA

WOTE

Jembe na

mpini(mpiniunapatikanashuleni kwaTshs. 2000/=)

- Ndoolt. 10 MbiliToilet paperbunda 3

WAHUSIKA

VIFAA

4.NGUO ZA MICHEZO? Jersey rangi ya bluu na raba za michezo.

5.VIFAA VYA USAFI NA UZALISHAJI MALI

Shuka mbili rangi ya kijani, shuka moja rangi ya pink, Blanket moja, mto na foronya zake,kandambili jozi moja, sahani, bakuli, kikombe, kijiko kwa ajili ya chakula viwe vya alluminium,usilete vyombo ya plastiki.Chandarua rangi ya bluu mojaGodoro la fitti 2l/2 x 6 (Godoro linauzwa kwenye duka la shule kwa

Tshs. 27,000/=) na Tsh. 36,000/=

3. VIFAA VYA BWENINI

Wanafunzi wa mchepuo wa sayansi, HGE na EGM waje na scientific calculator (zinauzwakwenye duka la shule kwa Tshs. 26,000/= kwa wanaosoma BAM na Tsh. 35,000/= kwawanaosoma Pure Science.Dissecting kit kwa wanaosoma somo la Biolojia.

Page 3: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA · 2018-06-18 · G.USAF1: Usafi ni sehemu ya maisha yako na iwe ni tabia yako kuwa msafi na kushiriki kikamilifu katika kuyaweka

G.P. MAKWETA

(MKUU WA SHULE)

8. VITABU VYA MASOMO:•Shule inakabiliwa na upungufu wa vitabu vya masomo, hivyo kila mzazi/mlezi amnunulie mwanae baadhi

ya vitabu muhimu kwa masomo yake.

9.MAMBQ YA KUZINGATIA KABLA YA KUJA SHULENI•Nenda kapime afya yako kwa daktari wa hospitali ya serikali, tumia fomu iliyoambatanishwa, na uje nayo

ikiwa imesainiwa na daktari.•Lazima uje na Original na Copy za Result Slip, Leaving Certificate na Cheti cha kuzaliwa ama

Affidavit, inapatikana kwenye mahakama za wilaya kuthibitisha Uraia wako.•Soma na kuzielewa sheria na kanuni za shule ambazo zimeambatanishwa, wewe pamoja na mzazi/mlezi

wako muweke sahihi kuonyesha mnakubaliana nazo.

N.B: NI MARUFUKU MWANAO KUJA NA SIMU AU LAINI YASIMU SHULENI VINGINEVYO ATAFUKUZWA SHULE.

7. FEDHA YA MATUMIZI BINAFSI NA NAULI YA KURUDIA NYUMBANI WAKAT1 WA LIKIZO>Niwajibu wa kila mzazi/mlezi kuhakikisha kwamba anampatia mtoto wake fedha

za kutosha kwa ajili ya matumizi binafsi pamoja na nauli ya kurudi nyumbaniwakati wa likizo.

>Shule haina uwezo wa kuwawekea fedha shuleni au kuwakopesha wanafunziambao hawatatumiwa nauli na wazazi /walezi wao wakati wa likizo.

Page 4: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA · 2018-06-18 · G.USAF1: Usafi ni sehemu ya maisha yako na iwe ni tabia yako kuwa msafi na kushiriki kikamilifu katika kuyaweka

SHERIA NA KANUNI MUHIMU ZA SHULE

Shule inaendeshwa kwa mujibu wa sheria ya Elimu Na. 25 ya mwaka 1978. Aidha shule ni jumuia na inapaswa iwena taratibu ambazo zitaiongoza jumuia hiyo ili kufikia malengo yake kwenye ufanisi zaidi. Lengo la elimu ni kufutaujinga na pia kuwaanda vijana wetu kulitumikia Taifa katika sekta mbalimbali. Wajibu wa shule ni kuandaa raiawema wa baadaye. Shule haitazamii kuandaa raia wavunja sheria (wahuni, wezi, majambazi n.k.). Hivyo kila^mwanafunzi wa shule hii analazimika kufiiata na kutenda kama sheria na kanuni zinavyooneshwa hapa chini. Nivizuri kila mzazi/mlezi akae na mwanae na kuzisoma na kuzielewa kabla ya kuja shuleni. Baada ya kuzisoma wekasahihi yako na sahihi ya mwanafunzi. Mwanafunzi ambaye atakuja na fomu ambayo haijasainiwa na mzazi/mlezihatapokelewa

A.HESHIMA:i. Mwanafunzi atasimama na kusalimia mwalimu au mtu yeyote aliyemzidi

umri anapopita, anapoingia darasani na penginepo.ii. Mwanafunzi haruhusiwi kutumia lugha chafu wakati wowote kati yao wenyewe,

kwa mwalimu na watu wengine.hi. Mwanafunzi ni lazima awaheshimu wafanyakazi wote waliopo shuleni kwani

ni walezi wake.iv. Kila mwanafunzi ni lazima athamini na kuheshimu kazi za aina zotev. Kila mwanafunzi ni lazima ashirikiane na wenzake katika kazi zote

vi. Ni marufuku kwa mwanafunzi kufanya yafuatayo:a)Kuvuta sigara au bangi na kutumia madawa ya kulevya..b)Kufiiga kucha ndefu na nywele ndefu.c)Kuvaa mavazi yasiyo ya heshimad)Kugombana au kupiganae)Kuny wa pombe

vii. Mwanafunzi ataitikia mara moja anapoitwa na walimu na kukimbia mwalimu aliko.viii. Mwanafunzi ataheshimu bendera ya Taifa, picha za viongozi wa serikali, nembo ya Taifa, wimbo wa

Taifa na fedha ya taifa.ix. Kila mwanafunzi lazima aheshimu ukumbi wa mikutano, bwalo la chakula, ofisi za shule, mali yake,

wenzake na mali ya umma.x.Mwanafunzi atanyoosha mkono na kusimama wakati wa kuuliza maswali na kujibu.xi. Kila mwanafunzi anatakiwa kukaa kimya akiwa darasani na kuomba ruhusa ya kutoka nje kwa mwalimu

au kiongozi wa darasaxii. Mwanafunzi ni lazima awaheshimu viongozi wa serikali na watu wote.

B.MAHUDHURIO:i.Kila mwanafunzi ni lazima ahudhurie vipindi kwa muda wote wa masomo

ndani ya darasa.ii.Kila mwanafunzi ni lazima ahudhurie kazi za mikono na michezoiii.Kila mwanafunzi lazima ahudhurie shule kwa muda wote uliopangwaiv. Kila mwanafunzi lazima ahudhurie mikusanyiko yote ya shule ambapo hutatolewa matangazo

mbali^bali na pia kuitishwa majina (rollcall)v.Kila mwanafunzi lazima ahudhurie mikutano ya shule kama baraza la shule, ukaguzi wa usafi

kupandisha bendera ya taifa na mikutano mingine.

C.MAANDALIO YA JIONI.i. Kila mwanafunzi atalazimika kufanya maandalio ya jioni katika darasa lakeii. Walimu watatoa kazi na watahakikisha kuwa zimefanywa.

D. KUWAHI:i. Kila mwanafunzi ni lazima azoee na kuthamini muda.

ii. Kila mwanafunzi ni lazima awahi mahali anapohitajika kama ratibainavyomtaka, wanaochelewa wataadhibiwa.

Page 5: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA · 2018-06-18 · G.USAF1: Usafi ni sehemu ya maisha yako na iwe ni tabia yako kuwa msafi na kushiriki kikamilifu katika kuyaweka

iii, Mwito wa dharura ukitokea mwanafunzi ni lazima akimbilie huo mwito.

iv Kengere itagongwa iii kukujulisha muda wa kufanya shughuli mbalimbali.v. Mwanafunzi lazima ufike shuleni kwa tarehe zilizopangwa.

E. SARE ZA SHULE1.Kila mwanafunzi anatakiwa kuvaa sare kwa matukio wakati ufuatao.

(a)ukiwa masomoni, darasani.(b)unapotoka nje ya shule(c)unapohudhuria baraza la shule(d)unapokwenda hospitali kutibiwa(e)unapokwenda kwenye maandamano(f)Unapokwenda nyumbani na kurudi shuleni.

2.Kila mwanafunzi lazima awe na vazi la kufanyia kazi za mikono.3.Kila mwanafunzi lazima awe na nguo za michezo.4.Kofia haziruhusiwi kuvaliwa katika eneo la shule, isipokuwa kofia maalum kwa

Waislamu wanapokwenda kuswali.

F.MIPAKA YA SHULE1.Mwanafunzi haruhusiwi kuwa nje ya mipaka ya shule wakati wote anapokuwa shuleni, mpaka

awe na kibali maalum2.Ni marufuku kwa mwanafunzi kutembelea sehemu zifiiatazo isipokuwa kwa kibali

(a)Nyumba za walimu na staff room isipokuwa kwa ruhusa maalum.

(b)Ofisi za shule(c)Maabara(d)Jikoni.

(e) Nyumba za wafanyakazi (wasio walimu)3.Ni mwiko kwa mwanafunzi kutembelea, kuonekana kuzoea sehemu zifuatazo:

(a)Vilabu vya pombe(b)Nyumba za starehe( c) Nyumba za kufikia wageni.

4.Mwanafunzi haruhusiwi kulala nje ya shule isipokuwa kwa kibali cha mkuu waShule.

G.USAF1:Usafi ni sehemu ya maisha yako na iwe ni tabia yako kuwa msafi na kushiriki kikamilifu katika kuyawekasafi mazingira ya shule.

H. BWALO LA CHAKULAi. Bwalo liwe safi daima na liheshimiwe

ii. chakula kiliwe ndani ya ukumbiiii. \ usiingie jikoni bila kibali cha mwalimu au kiongozi anayehusika na bwaloiv. uwe muungwana unapokula chakula, hakuna sababu ya kuzungumza na kupiga kelele wakati wa

mlo.v.Hairuhusiwi kuingia na viatu ya wazi na ndala ndani ya Bwalo la chakula na jiko la shule.

1. MAKOSA YATAKAYOSABAB1SHA MWANAFUNZI KUFUKUZWA SHULE.

(i)Wizi(ii)Kutohudhuria masomo kwa zaidi ya siku 90 bila taarifa / utoro(iii)Kugoma na kuhamasisha mgomo.(iv)Kutoa lugha chafu kwa wanafunzi wenzake, walimu, walezi na jamii kwa ujumla.(v)Kupigana mwanafunzi kwa mwanafunzi, kumpiga mwalimu au mtu yeyote yule.

Page 6: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA · 2018-06-18 · G.USAF1: Usafi ni sehemu ya maisha yako na iwe ni tabia yako kuwa msafi na kushiriki kikamilifu katika kuyaweka

SAHIHI YA MWANAFUNZI

Nimezisoma na kuzielewa sheria na kanuni za shule na kwamba nitakuwa tayari kuziftiata.

Jinasahihitarehe

SAHIHI YA MKUU WA SHULE

JINA ...\SAHIHITAREHE

SAHIHITAREHE..

Jina la mzazi/mleziAnuani ya nyumbani

(physical address)Namba ya simu ya nyumbani/mkononi .

(vi) Kusuka nywele kwa mtindo usiokubalika. Wanafunzi wote wanatakiwa kuwa na nywele fupiwakati wote wawapo shuleni au kusuka kwa mtindo wa ususi uliokubalika na uongozi wa shule.

(vii) Kufuga ndevuf(viii)Ulevi au unywaji wa pombe na matumizi ya madawa ya kulevya.(ix)Uvutaji wa sigara.(x)Uasherati, uhusiano wa jinsi moja, kuoa au kuolewa.(xi)Kupata ujauzito au kutoa mimba.(xii)Kushiriki matendo ya uharifii, siasa na matendo yoyote yale yanayovunja sheria za nchi.(xiii)Kusababisha mimba au kumpa mimba msichana.(xiv)Kutembelea majumba ya starehe na nyumba za kulala wageni.(xv)Kumiliki, kukutwa au kutumia simu ya mkononi katika mazingira ya shule.(xvi)Kudharau Bendera ya Taifa.(xvii) Kufanya jaribio lolote la kujiua au kutishia kujiua kama kunywa sumu n.k.(xviii)Uharibifu wa mali ya Umma kwa makusudi.

Mwanafunzi lazitna aje na picha nne (4) za wazazi na ndugu wa karibu wa mwanafunzi wanaowezakumtembelea mwanafunzi shuleni pa moja na namba zao za simu.

SAHIHI YA MZAZI/MLEZI NA ANUANI

Page 7: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA · 2018-06-18 · G.USAF1: Usafi ni sehemu ya maisha yako na iwe ni tabia yako kuwa msafi na kushiriki kikamilifu katika kuyaweka

DESIGNATION

7

Please examineas to his fitness forpursuing further education at this school.

1)Hemoglobin

2)P.V. Blooding3)(a) Blooding

(b) Hearing4)Blood pressure5)Stool for routine examination6)Urine for sugar

7)Skin diseases8)Leprosy .•.

9)Pulmonary tuberculosis

10).\sthma11)Epilepsy12)Deformity13)Mental problem14)Comments

To The Medical OfficerGovernment Hospital

DATE.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

PRESIDENT'S OFFICEREGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT.

RUNGWE HIGH SCHOOLP.O. BOX 28

T U K U Y U.