madhara ya vitoboa-bua na viluwiluwi. bungua mtama...

2
Madhara ya Vitoboa-bua na viluwiluwi. Kuzuia Kupanda mapema Kuondoa na kuchoma mabua ya msimu uliopita Kutumia mbegu zenye ustahimilifu Kutumia madawa ya kunyunyizia kama vile aina ya chembechembe za Bulldock inayowekwa kwenye mimea ya umri wa wa wiki 4 kuzuia “vitoboabua” Wadudu waharibifu wa masuke na punje i) Sorghum midge (Contarina sorghicola) Madhara huletwa na viluwiluwi wanaokula ndani ya kiini cha mbegu punjena kuzuia ukuaji wa mbegu na kuleta mapepe ya mbegu Kuzuia: Upandaji mapema na kwa wakati mmoja wa mtama kwenye eneo kubwa Mbegu bora za mtama /au chotara za mtama zinazostahimili madhara Matumizi ya madawa kama Endosulfan, Ambush, Marshal au Karate. Vichwa vilivyodhuriwa na Midge Wadudu hifadhi Wadudu muhimu katika maghala ya kuhifadhia mtama ni kama bungua na nondo. i) Bungua-mahindi ( Sitophilus zeamais) na Bungua mtama - Sitophilus oryzae). Bungua na viluwiluwi huharibu mbegu na kuifanya isiwe na matumizi yoyote . (a) Bungua mpunga (b) Nondo wa punje – Viluwiluwi na nondo t Kuzuia Kuvuna mapema Kukausha kikamilifu Kutumia maghala ya kuhifadhia yenye ubora na ambayo yanapitisha hewa vizuri Kusafisha ghala na kuweka dawa wiki 6 kabla ya kuvuna. Nyunyizia dawa kama vile Actellic Super, Malathion au pyrethrum dust. Ndege Kuna ndege kama quelea quelea, vile na njiwa. Kuzuia Kupanda mapema mbegu zinazokomaa wakati mmoja katika maeneo ya karibu karibu. Kutumia nyaya za miali kama vile ribbons, aluminum foils, kanda . Mikebe ya mawe iliyofungwa na kamba ili kutoa sauti wakati kamba ikivutwa Kuvuna wakati unaofaa Kuharibu maeneo ya kuzaliana ndege Kutumia aina za mitama zenye uchachu Kilimo Bora cha Mtama International Crops Research Institute for the Semi-Arid-Tropics Kwa maelezo zaidi Dryland Cereals Program ICRISAT-Nairobi, UN-Ave, Gigiri, Box 39063-00623, Nairobi-Kenya

Upload: trandang

Post on 17-May-2018

347 views

Category:

Documents


2 download

TRANSCRIPT

Page 1: Madhara ya Vitoboa-bua na viluwiluwi. Bungua mtama ...hope.icrisat.org/wp-content/uploads/2013/10/Kilimo-Bora...Viluwiluwi na nondo t Kuzuia • Kuvuna mapema • Kukausha kikamilifu

Madhara ya Vitoboa-bua na viluwiluwi. Kuzuia• Kupandamapema• Kuondoa na kuchoma mabua ya msimu

uliopita• Kutumiambeguzenyeustahimilifu• Kutumia madawa ya kunyunyizia kama

vile aina ya chembechembe za Bulldockinayowekwakwenyemimeayaumriwawawiki4kuzuia“vitoboabua”

Waduduwaharibifuwamasukenapunjei) Sorghum midge (Contarina sorghicola)

Madhara huletwa na viluwiluwi wanaokulandani ya kiini cha mbegu punjena kuzuiaukuaji wa mbegu na kuleta mapepe yambegu

Kuzuia:• Upandajimapemanakwawakatimmojawa

mtamakwenyeeneokubwa• Mbeguborazamtama/auchotarazamtama

zinazostahimilimadhara• Matumizi ya madawa kama Endosulfan,

Ambush,MarshalauKarate.

Vichwa vilivyodhuriwa na Midge

Wadudu hifadhiWadudumuhimukatikamaghalayakuhifadhiamtamanikamabunguananondo.i) Bungua-mahindi ( Sitophilus zeamais) na

Bunguamtama-Sitophilusoryzae).Bunguana viluwiluwi huharibu mbegu na kuifanyaisiwenamatumiziyoyote.

(a) Bungua mpunga (b) Nondo wa punje – Viluwiluwi na nondo t

Kuzuia• Kuvunamapema• Kukaushakikamilifu• Kutumiamaghalayakuhifadhiayenyeubora

naambayoyanapitishahewavizuri• Kusafishaghalanakuwekadawawiki6kabla

yakuvuna.NyunyiziadawakamavileActellicSuper,Malathionaupyrethrumdust.

NdegeKunandegekamaqueleaquelea,vilenanjiwa.Kuzuia• Kupanda mapema mbegu zinazokomaa

wakatimmojakatikamaeneoyakaribukaribu.• Kutumia nyaya zamiali kama vile ribbons,

aluminumfoils,kanda.• Mikebe ya mawe iliyofungwa na kamba ili

kutoasautiwakatikambaikivutwa• Kuvunawakatiunaofaa• Kuharibumaeneoyakuzalianandege• Kutumiaainazamitamazenyeuchachu

Kilimo Bora cha Mtama

InternationalCropsResearchInstitutefortheSemi-Arid-Tropics

Kwa maelezo zaidi Dryland Cereals Program

ICRISAT-Nairobi, UN-Ave, Gigiri, Box 39063-00623, Nairobi-Kenya

Page 2: Madhara ya Vitoboa-bua na viluwiluwi. Bungua mtama ...hope.icrisat.org/wp-content/uploads/2013/10/Kilimo-Bora...Viluwiluwi na nondo t Kuzuia • Kuvuna mapema • Kukausha kikamilifu

KILIMO BORA CHA MTAMA Utangulizi

Mtamanizaolachakulanabiashara.Nizaomuhimu katika maeneo yanayokabiliwa

na ukame na pia sehemu ambazo udong unarutubayawastani.Utafitiwazaohiliumewezakutoa teknolojiambalimbaliambazozinawezakutumiwa ili kuongeza tija katika uzalishaji.Teknolojiahizizikokwenyeuwezowawakulimanakipeperushi hiki kinaelezeakilimobora chamtama

Utayarishaji wa shamba Tayarishashambailiudongouwelainikurahisishauotaji.Kamashambalimelimwanatrektainabidilipigweharonaikiwalimetayarishwakwajembela mkono, mabonge mabonge ya udongoyanatakiwayavunjwe

Kiasi cha mbegu Upandaji kwenye mistari pasipo kupungiziakunahitaji kilo 7hadi 8 kwahektanaupandajikwamashineunahitajikilo8hadi10kwahekta

UpandajiUnaweza kupanda kwenye vumbi kabla yamvua kunyesha, au wakati mvua zinapoanzaau,wakatimvuazimenyeshazakutosha.Kina:Kupandakwenyevumbicm5.0–6.0;Kupandakwenyeudongowenyeunyevucm2.5–4.0Nafasi:Sehemuzaunyevumwingi:60cmx20

cm(cm60katiyamstarinamstarinacm20katiyashinanashina);Maeneomakame:cm75xcm20aucm90xcm30

Mbolea: AinambalimbalizamboleanasamadizinatumikakuongezarotubayaudongoSamadi:Inatakiwaisambazwekwenyeshambanakulimiwachiniauiwekwekwenyemistarinakuchanganywa na udongo kabla ya kupanda.Kiasikilichopendekezwanitani5-10kwahektanaiwekwemwezimmojakablayakupanda.

MboleaKablayakupanda:MboleaainayaDAP,20:20:0,23:23:0katikakiwangochakilo20kgNna~20kiloP2O5kwaeka,iwekwewakatiwakupandanakablayakupandambegu.Top dressing: Kilo 20 N za mbolea aina yaUrea,CAN. Iwekwepemebenimwamimeanahakikisha inawekwa wakati kuna unyevu wakutoshawakuyeyushamboleavizuri

Palizi Palizi lifanyike mara mbili. Palizi la kwanzalifanyikewiki2-3baadayambegukuota.DawazakuuamaguguzinazowezakutumikaniainayaLassoauGesaprim(kablayakuota)na2,4D(baadayakuota)

Kupunguzia Mimeaipunguziweikiwanawiki3-4baadayakuotanaipunguziwewakatiudongounaunyevuwakutoshakupunguzamadharakwamimea.

Ukame na aina ya udongo Ukama ni moja wapo ya madhara makubwayanadhurumtamaunaotegemeamvua.Ukameunawezakutokeakablaaubaadayakuchanua.Madhara ya ukame yanaweza kuepukwa kwakupandamapemanakupandaaina zambeguzinazowahi au kuvumilia ukame au kutumiambinumbalimbalizakuhifadhimaji.

Wadudu Waharibifu:i) Inziwabua(Antherigonasoccata)Madhara yanatokea siku 7 hadi 30 baada yakuota.Viluwiluwiwanakulandaniyammeanakusababisha dalili za moyokufa (deadheart).Ucheleweshajikupandahuongezamadhara.

Picha 1a Inzi wa bua;1b Mmea mchanga ulioathiriwa

ii)Vitoboa-bua(StemborersChilopartellus)

Dalili ni vidirisha vidogo kwenye majanimachanga.Viluwiluwihutoboabuanamimeamichangainaonyeshamoyokufa(deadhearts).