somo la 3 ka ajili ya oktoba 19, 2019 - fusterohata hivyo, baadhi ya mipango ya mungu imekusudiwa...

11
Somo la 3 ka ajili ya Oktoba 19, 2019

Upload: others

Post on 20-Jan-2021

20 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Somo la 3 ka ajili ya Oktoba 19, 2019 - FusteroHata hivyo, baadhi ya mipango ya Mungu imekusudiwa kutimizwa kwa namna yo yote ile. Kwa mfano, unabii juu ya nguvu na falme, wakati wa

Somo la 3 ka ajili ya Oktoba 19, 2019

Page 2: Somo la 3 ka ajili ya Oktoba 19, 2019 - FusteroHata hivyo, baadhi ya mipango ya Mungu imekusudiwa kutimizwa kwa namna yo yote ile. Kwa mfano, unabii juu ya nguvu na falme, wakati wa

Mungu alikuwa ameweka mipango inayohusisha watu, taifa au jamii nzima. Hiihuitwa “majaliwa” katika Biblia.

Mpango wa wokovu ni moja ya mfano wa mpango kwa jamii nzima. Mungu piaalikuwa na mipango maalumu kwa watu maalumu kwa wakati maalumu. Baadhiya watu wanashindwa kufanya sehemu yao katika mpango—kwa mfano, Sauli—wakati wengine wanatimiza kama Ezra na Nehemia.

Hata hivyo, baadhi ya mipango ya Mungu imekusudiwa kutimizwa kwa namnayo yote ile. Kwa mfano, unabii juu ya nguvu na falme, wakati wa mwisho, namwisho wa dhambi na mauti.

Wito wa Mungu na unabii

Wito kwa Ezra na Nehemia

Wito wa Mungu kwako

Mwitikio wako kwa wito waMungu

Page 3: Somo la 3 ka ajili ya Oktoba 19, 2019 - FusteroHata hivyo, baadhi ya mipango ya Mungu imekusudiwa kutimizwa kwa namna yo yote ile. Kwa mfano, unabii juu ya nguvu na falme, wakati wa

“Maana BWANA asema hivi, Ba beli utakapotimiziwa miaka sabini, nitawajilianinyi, na kulitimiza neno langu jema kwenu, kwa kuwarudisha mahali hapa.”

(Yeremia 29:10)

Katika mwaka 538 KK, Mungu alimwitaKoreshi kutimiza unabii wa mwisho wa miakasabini.

Koreshi aliipitisha amri ya kuwaacha Israeli kurudi Yerusalemu, chini ya uongozi waZerubabeli (Ezra 1:1-4).

Katika mwaka 457 KK, Mungu alimwitaArtashasta kutimiza mwanzo wa unabiiwa majuma sabini (Ezra 7:11-27).

Tofauti na amri zilizotangulia, Artashasta aliwapa uhuru kamiliWayahudi, chini ya uongozi wa Ezra.

Page 4: Somo la 3 ka ajili ya Oktoba 19, 2019 - FusteroHata hivyo, baadhi ya mipango ya Mungu imekusudiwa kutimizwa kwa namna yo yote ile. Kwa mfano, unabii juu ya nguvu na falme, wakati wa

Unabii wa majuma 70 unaanziamwaka 457 KK hadi 34 BK. Katikamwaka 34 BK, taifa la Israeli lilioneshakwamba wamemkataa Yesu kamaMasihi kwa kumpiga mawe Stefano.

Miaka saba kabla ya hilo, Yesu alikuwaametiwa mafuta kuwa Masihi. Miakamitatu na nusu badae (kwa nusu yajuma), Yesu alisulubishwa.

457 KK

34 BK

27 BK

31 BK

Kulingana na Danieli 9:24, majuma 70 ni sehemu ya unabii wa muda mrefu (yanaitwachâthak, ikimanisha “yamekatwa" kwa Kiebrania). Kipindi hicho kirefu ni siku 2,300 (Danieli 8:14).

457KK 408 KK 27 BK 31 BK 34 BK 1844 BK

Majuma 70 7 62 1

Miaka 2,300 49 434 7 1810

Page 5: Somo la 3 ka ajili ya Oktoba 19, 2019 - FusteroHata hivyo, baadhi ya mipango ya Mungu imekusudiwa kutimizwa kwa namna yo yote ile. Kwa mfano, unabii juu ya nguvu na falme, wakati wa

Kuna maneno mawili katika kitabu cha Danieliyanayomanisha “maono au njozi": hâzôn (njozi nzima) namar’ah (maono ya siku 2,300).

Uhusiano wa majuma 70 na siku 2,300 haukutolewamaelezo na Gabrieli katika Danieli 8, lakini unawezakueleweka kwa kuhusianisha sura ya 8 na 9.

Katika mwaka wa tatu wa kumiliki kwakemfalme Belshaza maono [hâzôn] (Daniel 8:1)

Na maono [mar’ah] ya hizo nyakati za jionina asubuhi yaliyosemwa ni kweli; kwahiyoyafunike maono hayo [hâzôn] (Danieli 8:26)

Nami naliyastajabia yale maono [mar’ah], ilahakuna aliyeyafahamu (Danieli 8:27)

Naam, nilipokuwa nikinena katikakuomba, mtu yule, Gabrieli, niliyemwona katika njozi [hâzôn] hapo kwanza (Danieli 9:21)

Basi itafakari habari hii, nakuyafahamu maono haya [mar’ah] (Danieli 9:23)

maono

2,300

maono

maono

2,300

2,300

Katika Danieli 9, Gabrielialimwelezea Danieli kuwa

siku 2,300 zinaanza nakipindi cha majuma 70

Page 6: Somo la 3 ka ajili ya Oktoba 19, 2019 - FusteroHata hivyo, baadhi ya mipango ya Mungu imekusudiwa kutimizwa kwa namna yo yote ile. Kwa mfano, unabii juu ya nguvu na falme, wakati wa

“Kwa maana huyo Ezra alikuwaameuelekeza moyo wake kuitafuta sheriaya BWANA, na kufundisha maagizo na

hukumu katika Israeli.” (Ezra 7:10)

Kwanini Mungu alimchagu Ezra?

“Hata ikawa niliposikia maneno hayo, nikaketi, nikalia, nikaomboleza sikukadha wa kadha; kisha nikafunga,

nikaomba mbele za Mungu wa mbinguni.” (Nehemia 1:4)

Kwanini Mungu alimchagua Nehemia?

Ezra alikuwa ameamua kumtafuta Mungu. Alijifunza Biblia kwa shauku. Kwa furahaalilikubali jukumu ambalo Mungu alikuwaamelikabidhi kwake.

Nehemia alikuwa na huruma sana kwawatu wa Mungu. Moyo wake ulizimia kwasababu ya aibu ya Yerusalemu. Alijitoleakuitimiza kazi ya Mungu.

Page 7: Somo la 3 ka ajili ya Oktoba 19, 2019 - FusteroHata hivyo, baadhi ya mipango ya Mungu imekusudiwa kutimizwa kwa namna yo yote ile. Kwa mfano, unabii juu ya nguvu na falme, wakati wa

Paulo alisema wito wa Mungu ni matokeo ya kuchaguliwa tangu asili(majaliwa). Ni nini Mungu alichotujalia (alichotuchagulia toka asili)?

Kubadilishwakuwa katikamfano wa

Yesu(Warumi 8:29)

Kuhesabiwahaki na

kutukuzwa(warumi 8:30)

Kuijuamipango ya

Mungu(1 Wakorintho

2:7-10)

Kuasiliwa(kurithiwa) kuwa wana

na binti(Waefeso

1:5)

Kupokeaurithi

(waefeso1:11)

Wito wa Mungu ni wa kiulimwengu. Wote tumeitwa ili tuokolewe, na kwaupekee sana tumeitwa kubeba kazi maalumu katika mpango wake.

Page 8: Somo la 3 ka ajili ya Oktoba 19, 2019 - FusteroHata hivyo, baadhi ya mipango ya Mungu imekusudiwa kutimizwa kwa namna yo yote ile. Kwa mfano, unabii juu ya nguvu na falme, wakati wa

“Kuna uchaguzi wa watu binafsi na wa watu, uchaguzi

pekee unaopatikana katika Neno la Mungu, pale mtu

anapochaguliwa ili kuokolewa. Wengi wamekuwa

wakiuangalia mwisho, wakidhani kwa hakika

wamechaguliwa kuwa na furaha kamili ya mbinguni;

lakini huku siyo kuchaguliwa Biblia inakokufunua. Mtu

amechaguliwa kufanyia kazi wokovu wake mwenyewe

kwa hofu na kutetemeka. Amechaguliwa kuvaa silaha,

kupigana pambano zuri la imani. Amechaguliwa

kutumia njia ambazo Mungu ameziweka ndani ya uwezo

wake kupigana vita dhidi ya kila tamaa mbaya, wakati

Shetani anapokuwa akichezea nafsi yake. Amechaguliwa

kukesha katika maombi, kusoma Maandiko, na kujizuia

kuingia katika majaribu. Amechaguliwa kuwa na imani

endelevu. Amechaguliwa kuwa mtii kwa kila Neno

linalotoka katika kinywa cha Mungu, na ili awe, siyo

msikiaji tu, lakini mtendaji wa neno. Huu ndiyo

uchaguzi wa Biblia.”

E.G.W

. (Testim

on

ies to M

iniste

rs and

Go

spel W

orke

rs, cp

. 63

, p. 4

53

)

Page 9: Somo la 3 ka ajili ya Oktoba 19, 2019 - FusteroHata hivyo, baadhi ya mipango ya Mungu imekusudiwa kutimizwa kwa namna yo yote ile. Kwa mfano, unabii juu ya nguvu na falme, wakati wa

MWITIKIO WAKO KWA WITO WA MUNGU

Mungu pia ametuita kubeba jukumu maalumukatika mpango wake. Baadhi ya watu walimkataaYesu na kwenda mali na Mungu, kama Sauli naYuda.

Baadhi ya watu wengine wanatoa pingamizi kwawito wa Mungu, kama Musa (japo hatimayealiupokea). Wengine kwa furaha wamepokeasehemu yao katika wito wa Mungu na kuufanya, kama Ezra na Nehemia.

“Kisha nikasikia sauti ya Bwana, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndiponiliposema, Mimi hapa, nitume mimi.” (Isaya 6:8)

Yesu alikufa ili kwamba kila mmoja apatemajiliwa ya kuokolewa na Mungu (Yohana 3:16). Hata hivyo, anatuacha tuchague kama tunatakakuupokea wito wake.

Ni lazima tuwe na ushirika na Yesu ili kuiishihatma ambayo Mungu ametupangia (Filipi 3:10).

Page 10: Somo la 3 ka ajili ya Oktoba 19, 2019 - FusteroHata hivyo, baadhi ya mipango ya Mungu imekusudiwa kutimizwa kwa namna yo yote ile. Kwa mfano, unabii juu ya nguvu na falme, wakati wa

“Mamia, naam, maelfu, ambao wamesikia ujumbe wa

wokovu bado wamekaa bila kazi katika sehemu za

soko, pale watakapojiingiza katika sehemu za huduma

imara. Kwa hawa Kristo anasema, “Mbona

mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?” na

anaongeza, “Enendeni nanyi katika shamba la

mizabibu.” Mathayo 20:6, 7. Hivi ni kwanini wengi

sana huwa hawaitikii wito? Je, ni kwa sababu

wanafikilia kwamba wao hawahusiki kwa kuwa

hawasimami mimbarini? Hebu na wafahamu kwamba

kuna kazi kubwa ya kufanya nje ya mimbari na maelfu

ya washiriki waliojitoa wakfu.

Kwa muda mrefu Mungu amesubiri roho ya huduma

kuchukua nafasi ya kanisa zima ili kwamba kila

mmoja awe anamfanyia kazi kulingana na uwezo

wake.”

E.G.W. (The Acts of the Apostles, cp. 11, p. 110-111)

Page 11: Somo la 3 ka ajili ya Oktoba 19, 2019 - FusteroHata hivyo, baadhi ya mipango ya Mungu imekusudiwa kutimizwa kwa namna yo yote ile. Kwa mfano, unabii juu ya nguvu na falme, wakati wa

E.G.W. (Testimonies for the Church, vol. 7, cp. 44, p. 230)