temeke yetu · pango miji- na mazingira na kamati ya afya elimu na uchumi-mwenyekiti wake ni...

4
ambapo wagombea walikuwa wawili. Mheshimiwa .Benjamin Ndalichako, ambaye ni Diwani Kata ya Chang'ombe alipata kura 11 kati ya kura 29 wakati Mhe.Juma Rajabu Mkenga Diwani Kata ya Miburani alipata kura 18 kati ya kura 29 zilizopigwa na hivyo mshindi alikuwa Mhe.Juma Rajabu Mkenga Diwani Kata ya Miburani. Baada ya uchaguzi, MheJuma Ramadhan Mkenga alitoa shukurani kwa baraza zima kwa kuwa na imani naye na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kupitia kikao chake cha Baraza la Madiwani,ambalo hufanyi- ka kila baada ya miezi mi- tatu, kulifanyika uchaguzi wa nafasi mbalimbali za uongozi, uongozi wa Nai- bu Meya na Wenyeviti wa Kamati za kudumu. Uchaguzi huo ulitanguliwa na kupokea taarifa kutoka kwenye Kata tofauti ziki- wemo Kata ya Chamazi, Kata ya kibonde Maji, Kata ya Kilakala, Kata ya Ki- lungule, Kata ya kijichi na nyinginezo ambazo zilisom- wa na Waheshimiwa Madi- wani wa Kata husika .Hata hivyo baada ya Kata na kamati mba- limbali kuwasilisha taa- rifa na hoja zao, Mhe.Abdallah Jaffari Chaurembo alitangaza upigaji kura kwa wagombea kulingana na nafasi walizoomba. Matokea ya kura katika nafasi ya Naibu Meya TEMEKE YAPATA NAIBU MEYA MPYA Rehema Ahmed na Prisca Kikoti PAULO MAKONDA: WANAOISHI MAENEO HATARISHI WAONDOKE Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Ma- konda amewaasa wakazi wanaoishi maeneo hatari- shi wilayani Temeke kuyahama maeneo hayo kwani ni hatari kwa maisha yao na uchumi wa taifa kwa ujumla. Akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Masaki Kata ya Toangoma Mhe. Makonda alisema, “Serikali inayojali watu wake haiwezi kukubali na kuona wanaishi maeneo ambayo baadae yanaweza kuleta maafa kwao”.Wale wanaoishi maeneo hatari- shi wapo hatarini kupoteza makazi yao na familia zao kwani linapotokea janga lolote lile linalopelekea Serikali kuanza kuwasaidia kwa kutumia nguvu kubwa , nguvu ambayo inaweza kuepukika kwa wananchi kujenga sehemu zilizo salama na zinazofikika kwa. ……... Inaendelea uk. na.2 kufanya kazi kwa ushirikiano. Wenyeviti wa Kamati za Kudu- mu waliopata kura ni Mhe. Abdallah Chaurembo yeye ni Mwenyekiti Kamati ya Fedha na Uongozi. Wakati Mhe Ram- adhani Likimangiza kuwa Mwenyekiti Kamati ya Mi- pango miji- na mazingira na Kamati ya Afya Elimu na Uchumi-Mwenyekiti wake ni Mhe.Abdallah S. Mtinika, Kamati ya Ukimwi- Mwenyeki- ti ni Mhe.Juma Ramadhan Mkenga ambaye pia ni Naibu Meya. Kisha Mhe. Abdallah Jaffari Chaurembo, Meya wa Hal- mashauri ya Manispaa ya Temeke alitoa taarifa mbele ya Baraza la Madiwani kuhusu kupokea barua kutoka kwa Mhe.Profesa Ibrahim Lipumba iliyohusu kumsimamisha uanachama Mhe. Elizabeth Magwaja aliyekuwa diwani wa viti maalum chama cha CUF, sababu za kusimamishwa kwake hazikuwekwa wazi mpaka sasa. HALIUZWI 14-8-Hadi—15-9 –2017 Toleo na.0013 TEMEKE YETU Baraza la Madiwani Manispaa ya Temeke Kutoka kulia ni Mstahiki Meya Mhe. Abdallah Chaurembo, Bw. Nassib Mmbagga Mkurugenzi na Bw. Hashim Kom- ba Katibu Tawala -Kushoto Mhe.Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa Dar ahimiza watu kuhama maeneo hatarishi Mhe. Juma R.Mkenga Naibu Meya 2017/2018 Mhe. Elizabeth Magwaja

Upload: others

Post on 19-Feb-2020

20 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: TEMEKE YETU · pango miji- na mazingira na Kamati ya Afya Elimu na Uchumi-Mwenyekiti wake ni Mhe.Abdallah S. Mtinika, ... mazungumzo ya mkataba na mwekezaj huyo, wafanyabiashara wasiwe

ambapo wagombea

walikuwa wawili.

Mheshimiwa .Benjamin

Ndalichako, ambaye ni

Diwani Kata ya

Chang'ombe alipata

kura 11 kati ya kura 29

wakati Mhe.Juma Rajabu

Mkenga Diwani Kata ya

Miburani alipata kura 18

kati ya kura 29

zilizopigwa na hivyo

mshindi alikuwa

Mhe.Juma Rajabu

Mkenga Diwani Kata

ya Miburani.

Baada ya uchaguzi,

MheJuma Ramadhan

Mkenga alitoa shukurani

kwa baraza zima kwa

kuwa na imani naye na

Halmashauri ya Manispaa

ya Temeke kupitia kikao

chake cha Baraza la

Madiwani,ambalo hufanyi-

ka kila baada ya miezi mi-

tatu, kulifanyika uchaguzi

wa nafasi mbalimbali za

uongozi, uongozi wa Nai-

bu Meya na Wenyeviti wa

Kamati za kudumu.

Uchaguzi huo ulitanguliwa

na kupokea taarifa kutoka

kwenye Kata tofauti ziki-

wemo Kata ya Chamazi,

Kata ya kibonde Maji, Kata

ya Kilakala, Kata ya Ki-

lungule, Kata ya kijichi na

nyinginezo ambazo zilisom-

wa na Waheshimiwa Madi-

wani wa Kata

husika .Hata hivyo baada

ya Kata na kamati mba-

limbali kuwasilisha taa-

rifa na hoja zao,

Mhe.Abdallah Jaffari

Chaurembo alitangaza

upigaji kura kwa

wagombea kulingana

na nafasi walizoomba.

Matokea ya kura katika

nafasi ya Naibu Meya

TEMEKE YAPATA NAIBU MEYA MPYA Rehema Ahmed na Prisca Kikoti

PAULO MAKONDA: WANAOISHI MAENEO HATARISHI WAONDOKE

Mkuu wa Mkoa wa Dar es

Salaam Mhe. Paul Ma-

konda amewaasa wakazi

wanaoishi maeneo hatari-

shi wi layani Temeke

kuyahama maeneo hayo

kwani ni hatari kwa maisha

yao na uchumi wa taifa

kwa ujumla.

Akizungumza na wananchi

wa Mtaa wa Masaki Kata

ya Toangoma Mhe.

Makonda alisema, “Serikali

inayojali watu wake

haiwezi kukubali na kuona

wanaishi maeneo ambayo

baadae yanaweza kuleta

maafa kwao”.Wale

wanaoishi maeneo hatari-

shi wapo hatarini kupoteza

makazi yao na familia zao

kwani linapotokea janga

lolote lile linalopelekea

Serikali kuanza kuwasaidia

kwa kutumia nguvu

kubwa , nguvu ambayo

inaweza kuepukika kwa

wananchi kujenga sehemu

zilizo salama na zinazofikika

kwa. ……...

Inaendelea uk. na.2

kufanya kazi kwa ushirikiano.

Wenyeviti wa Kamati za Kudu-

mu waliopata kura ni Mhe.

Abdallah Chaurembo yeye ni

Mwenyekiti Kamati ya Fedha

na Uongozi. Wakati Mhe Ram-

adhani Likimangiza kuwa

Mwenyekiti Kamati ya Mi-

pango miji- na mazingira na

Kamati ya Afya Elimu na

Uchumi-Mwenyekiti wake ni

Mhe.Abdallah S. Mtinika,

Kamati ya Ukimwi- Mwenyeki-

ti ni Mhe.Juma Ramadhan

Mkenga ambaye pia ni Naibu

Meya.

Kisha Mhe. Abdallah Jaffari

Chaurembo, Meya wa Hal-

mashauri ya Manispaa ya

Temeke alitoa taarifa mbele

ya Baraza la Madiwani kuhusu

kupokea barua kutoka kwa

Mhe.Profesa Ibrahim Lipumba

iliyohusu kumsimamisha

uanachama Mhe. Elizabeth

Magwaja aliyekuwa diwani

wa viti maalum chama cha

CUF, sababu za kusimamishwa

kwake hazikuwekwa wazi

mpaka sasa.

HALIUZWI 14-8-Hadi—15-9 –2017 Toleo na.0013

TEMEKE YETU

Baraza la

Madiwani

Manispaa

ya

Temeke

Kutoka kulia ni

Mstahiki Meya

Mhe. Abdallah

Chaurembo, Bw.

Nassib Mmbagga

Mkurugenzi na

Bw. Hashim Kom-

ba Katibu Tawala

-Kushoto

Mhe.Paulo

Makonda

Mkuu wa

Mkoa Dar

ahimiza

watu

kuhama

maeneo

hatarishi

Mhe. Juma R.Mkenga Naibu Meya 2017/2018

Mhe. Elizabeth Magwaja

Page 2: TEMEKE YETU · pango miji- na mazingira na Kamati ya Afya Elimu na Uchumi-Mwenyekiti wake ni Mhe.Abdallah S. Mtinika, ... mazungumzo ya mkataba na mwekezaj huyo, wafanyabiashara wasiwe

ambayo baadaye yanawal-

etea shida wao na familia

zao, na akatoa onyo kali kwa

matapeli hao na kuagiza

vyombo v inavyohusika

kuwasaka na

kuwachuku l ia

hatua kali wale

w o t e

wanaowai b ia

w a n a c h i

kwenye Mitaa

yao.

Aidha Makonda

a l i w a a s a

viongozi wa

Serilkali za Mitaa

kufanya wajibu

wao wa kulinda

mali za umma

na kuimarisha ulinzi

wa wananchi wao.

Pia waache kuchukua rush-

wa kutoka kwa wananchi

wanaowaongoza ambao

wengi wao ni maskini,

aliongeza kuwa ushirikiano

wa viongozi na wananchi ni

muhimu kwani unaboresha

utendaji kazi, ambao

utachangia maendeleo ya

wananchi wa jamii husika

na taifa kwa ujumla.

Naye Diwani wa Kata hiyo

Mhe. Mohamed Suleiman

aliiomba Serikali kuisaidia

Kata hiyo hasa katika suala

zima la ardhi kwani wanan-

chi wengi wamekuwa

wak i la lamika kuhusu

kutapeliwa, akitoa mfano

kuwa wananchi wake

wamekuwa wakisumbuliwa

sana na migogoro ya ardhi

na hivyo kutokujua mus-

takabali wao .

Akihitimisha Mhe.Makonda

aliwaasa wakazi wa

Toangoma na Halmashauri

ya Manispaa ya Temeke

kwa ujumla kuishi kwa

amani kwani Serikali ya

awamu ya tano inawajali

na kuwataka wafanye

shughuli zao kwa ku-

bugudhiwa na mtu.

hilo.Gazeti la Temeke Yetu

lilitaka kupata ufafanuzi juu

ya gumzo linalosemwa na

wafanyabiashara hao,

hivyo lilimtafuta msemaji wa

Manispaa na mahojiano

yalikuwa kama ifuatavyo;

“kumekua na sintofahamu

nyingi kuhusu soko hilo kuto-

kana na kuibuka kwa

gumzo na minong'ono

Halmashauri ya Manispaa

ya Temeke ipo katika mka-

kati wa kumpata mwekezaji

katika eneo lilipo soko la

Tazara, hata hivyo wafan-

yabiashara wadogo

wadogo waliopo ndani ya

soko hilo hawafahamu

lolote kuhusu kuondoka

kwao kutoka eneo

mingi miongoni mwa

wafanyabiashara, wapo

baadhi yao wanahofia

kuyumba kwa biashara zao,

kuyumba katika zoezi la

ulipaji wa mikopo midogo

midogo waliyochukua, lakini

pia baadhi ya wafanya

biashara wamekua na

wasiwasi mkubwa wakihofia

inaendelea uk. na.3

Inatoka ukurasa 1 WANAOISHI MAENEO HATARISHI …….

SOKO LA WAMACHINGA TAZARA Prisca Kikoti na Rehema Ahmed

Page 2

huduma mbalimbali za kija-

mii kama vile maji, umeme

masoko na vyombo vya

uokoaji, Mkuu huyo wa

Mkoa alisema.

Aidha aliongeza kuwa

anaandaa mpango wa

kupeleka maafisa ardhi kila

Kata, ambao kwa kiasi

kikubwa sana watasaidia

kupunguza kero na mi-

gogoro ya ardhi kwenye

Kata hizo, kwani chanzo

kikubwa cha migogoro ya

ardhi kunasabibishwa na

kutokuwepo kwa maafisa

ardhi karibu na wananchi

yaani kwenye Kata.

Pia aliwaomba wananchi

kuwa makini hasa kipindi hiki

kuepuka kutapeliwa na

w a t u a ma v i o n g oz i

wanaojifanya wana mam-

laka kwenye mitaa na

Vitongoji ambao wanawa-

sababishia wananchi wasi-

oelewa wajenge maeneo

TEMEKE YETU AGOSTI /SEPTEMBA 2017

2

WAANDAAJI WA GAZETI

Bibi Joyce

Msumba

Afisa Uhusiano

Mhariri na

muumbaji

Bibi Edda Mmary

Afisa Habari

Mhariri msaidizi

Methew Jonas

Mpiga Picha na

Mchanganyaji

picha za video

TMC TV

Nicodemas

Masanja

Mpiga picha /

mwandishi

Mazoezini

Prisca Kikoti Mwanahabari

Mazoezini

Beatrice Jonathan

Mwanahabari

Mazoezini

Mwajabu

Mwanahabari

Mazoezini

Rehema Ahmed

Mwana habari

Mazoezini

Mhe. Paulo Makonda

Mkuu wa Mkoa

Page 3: TEMEKE YETU · pango miji- na mazingira na Kamati ya Afya Elimu na Uchumi-Mwenyekiti wake ni Mhe.Abdallah S. Mtinika, ... mazungumzo ya mkataba na mwekezaj huyo, wafanyabiashara wasiwe

huenda mahala watakapo

tengewa na Serikali

huenda kusiwe na

uchakarikaji wa biashara

kama ilivyo eneo hilo la

barabarani ”.

Bibi Joyce Msumba

ambaye ni Afisa Uhusiano

alisema ''Serikali inania nzuri

na wafanya biashara wa

soko la Tazara, na nikweli

tumepata mwekezaji lakini

bado tupo katika hatua za

mazungumzo ya mkataba

na mwekezaj huyo,

wafanyabiashara wasiwe

na hofu kuhusu maeneo

watakayopelekwa.

Serikali tayari ina maeneo

ya wazi katika masoko

mengine ili waweze

kuhamishiwa huko.

Akiongeza Bibi Msumba

alisema, Manispaa ya

Temeke ina zaidi ya

masoko 19 ambayo mengi

hayana wafanyabiashara

wengi, hivyo basi idadi ya

wafanyabiashara

wanaotoka Tazara

watakwenda katika

masoko hayo kutegemea

na shughuli wanazozifan-

ya, kama ni wauzaji wa

nguo, watengenezaji

vyombo vya vyuma na

majiko ama wauzaji mbao

ama wauzaji wa mboga

mboga na vyakula, Idara

ya Fedha na Biashara

itaratibu uhamaji huo.

Bibi Msumba aliendelea

kusema kuwa Serikali

inawajali wananchi wake.

kwani katika mikakati ya

maendeleo ya mwaka wa

fedha huu, Mkurugenzi

ameamua kutenga

maeneo yaliyo wazi kwa

ajili ya magulio, pamoja na

kuwa na siku maalum

ambapo magulio hayo

yatafanyika.

Halmashauri yao ni

sikivu, inawaomba wawe

wavumilivu kwa kipindi hiki

tunachoshughulikia suala la

soko hilo . ''alimaliza

kwa kusema hayo.

Temeke Bw. Hashimu

Komba, siku ya usafi

ambayo kiwilaya ilifanyika

Kata ya Tandika ikihusisha

wananchi wakazi wa

Tandika, watumishi, Wakuu

wa Idara na wanamichezo

wanajogging wa Temeke

Usafi ni jukumu la wananchi

na wakazi wa Temeke

kwani usafi huleta Afya bora

Wananchi wa Halmashauri

ya Manispaa ya Temeke

muwe na tabia ya kufanya

usafi mara kwa mara

kwenye maeneo yenu,

kuweni na vyombo vya

kuwekea taka na kulipa

ada ya usafi kila mwezi kwa

wakandarasi.

Hayo yalisemwa na Katibu

Tawala wa Wilaya ya .

Inatoka uk.2 Soko la wamachinga……...

WANANCHI WA TEMEKE WAKUMBUSHWA

Beatrice Jonathan

Page 3

TEMEKE YETU AGOSTI /SEPTEMBA 2017

3

kwa pamoja vitaweza

kuwafanya wabuni shughuli

mbalimbali. ambazo zita-

wafanya wakopeshwe na

kufanikisha miradi yao

ambayo watakuwa

wameibuni, hivyo

kuondokana na adha ya

ukosefu wa kipato na umasi-

kini kwenye jamii zao.

Bwana Komba aliwataka

maafisa maendeleo ya ja-

mii kwenye Kata mbalimba-

li za Temeke kuanzia sasa

wapewe elimu kuhusunam-

na ya kupata mikopo nam-

na ya kuunda vikundi ili

kukamilisha malengo yao

kwa vitendo.

Akihitimisha Bw. Komba ali-

waomba wakazi wa Halmas-

hauri ya Manispaa ya Temeke

kwa kushirikiana na viongozi

wao kushirikiana kwenye zoezi

hili la

usafi sambamba na kulinda

jamii zao yaani ulinzi shirikishi,

hivyo kuifanya Temeke kuwa

sehemu safi na tulivu ya kuishi,

na kutokomeza matukio yote

yakihalifu. “kama wakazi wote

wakiazimia yote haya basi

Temeke mpya iliyo safi na isiyo

na magonjwa inawezekana”

HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE

TANGAZO

LIPA KODI KWA MAENDELEO YA TEMEKE

MKURUGENZI WA MANISPAA YA TEMEKE

ANAWATANGAZIA WAKAZI NA WAFAN-

YABIASARA WOTE WA TEMEKE KUWA

HALMASHAURI INAWATAKA KULIPA

KODI, ADA NA USHURU WANAODAIWA

KWENYE VYANZO VIFUAFAVYO;

KODI YA HUDUMA (CITY SERVICE

LEVY)

ADA YA LESENI ZA BIASHARA NA

VILEO

USHURU WA MBAO ZA MATAN-

GAZO (BILL BORADS)

ADA YA UZOAJI TAKA NGUMU

KODI ZA VIZIMBA NA VIBANDA

KWENYE MASOKO

EPUKA USUMBUFU KWA KULIPA KODI

KWA WAKATI

"

KODI YAKO NDIYO ITAIMARISHA UWE-

ZO WA HALMASHAURI KATIKA UTOAJI

WA HUDUMA KWA WANANCHI WAKE".

NASSIB B. MMBAGGA

MKURUGENZI

MANISPAA YA TEMEKE

Bw. Komba

alitumia fursa hiyo pia

kuwaomba wananchi

hasa wakina mama na

vijana wa Halmashauri

ya Manispaa ya Temeke

kuunda vikundi vidogo

vidogo ambavyo

Bw.Nassib Mmbagga, Mkurugenzi –mwenye kofia akishiriki siku ya usafi

Page 4: TEMEKE YETU · pango miji- na mazingira na Kamati ya Afya Elimu na Uchumi-Mwenyekiti wake ni Mhe.Abdallah S. Mtinika, ... mazungumzo ya mkataba na mwekezaj huyo, wafanyabiashara wasiwe

kukabidhiwa bustani ya

kwa Azizi Alli. kufikia mwa-

ka 1999 nilihamishiwa kati-

ka ofisi ya Mkuu wa wilaya

ya Temeke. mwaka 2000

nikahamia katika ofisi ya

halmashauri ya manispaa

ya Temeke ndipo nili-

popewa rasmi kusimamia

kitengo cha utunzaji maz-

ingira pia nikapewa na

vijana wapatao 18 waku-

saidiana nami. Wakati huo

wote Temeke ilikua na

bustani ya kipekee kulin-

ganisha na wilaya zingine

hapa jijini Dar es salam,

bustani ilikua iking'aa sana

mpaka hivi.sasa.

Mwandishi; hongera sana,

eneo hili linaukubwa gani?

Chilemba; eneo lote la

bustani ni hekta moja na

nusu kwa ujumla.

Mwandishi; njia gani za

kufuata ili kupata bustani

yenye kupendeza kama

hii?

Chilemba; kikubwa ni

kuzingatia kanuni za

upandaji na kutunza busta-

ni yako,namba moja uwe

na udongo mweusi

14-8 Hadi 15.9.2017

TEMEKE YETU

Bustani ya maua ya Halmas-

hauri ya Manispaa ya

Temeke ni miongoni mwa

maeneo adimu kupatikana

katika jiji la Dar Es Salaam,

ambapo eneo hilo la busta-

ni limekua kivutio kikubwa

kwa wageni kutoka nje ya

nchi na ndani ya

nchi,mfano nchi za jirani

kama Uganda,na wale

wanaokaribia kupata hudu-

ma mbalimbali hapa

Manispaa, pia ni kivutio

kikubwa hata kwa wenyeji.

Eneo hilo ambalo

linatunzwa kitaalamu na

wataalamu waliobobea

katika fani hii ya mazingira

wamekua wabunifu katika

kupangilia maua mbalimba-

li yenye kulete mvuto na

kivuli. Temeke Yetu lilikutana

na mtaalamu anayeitunza

bustani hiyo ya Temeke

Manispaa, Ndugu Selemani

Khamis Chilemba ambapo

alikutwa katika bustani

ameeleza namna alivyoan-

za kuitunza bustani hiyo vi-

zuri mpaka kufikia kuwa ya

kuvutia namna hiyo;

Mwandishi; habari yako

bwana shamba?

Chilemba; salama,karibuni.

Mwandishi; asante, bustani

yako inapendeza na kuvu-

tia sana,nini siri ya mafanikio

haya?

Chilemba; matunzo mazuri

na kuipenda kazi yangu.

Mwandishi; tupe kwa kifupi

historia yako

Chilemba; nilianza kazi

mwaka 1983 Karimjee, kipin-

di hicho ilikua halmashauri

ya jiji. mwaka 1985 niliham-

ishiwa Temeke kama Afisa

Maliasili Msaidizi na

4

TEMEKE YA KIJANI NA MAZINGIRA BORA Edda Mmari na Rehema Ahmed (top layer soil), pili kuwa na

mbolea ya samadi na tatu

kufuata ushauri wa kitaalam,

pia bila kusahau uwepo wa

vitendea kazi.

Mwamdishi; je maua ya-

natakiwa kumwagiliwa mara

ngapi kwa siku, na je ni wa-

kati gani muafaka wakuyam-

wagilia?

Chilemba; kwa siku mara

mbili,wakati mzuri ni asubuhi.

Mwandishi; je miche hii ya

maua hawa unaipataje?

Chilemba: mwanzoni nilikua

na nunua,ila baadae ni-

kaona ili kuipunguzia halmas-

hauri gharama nimeamua

kuwa na vitalu vyangu

vya maua na miti hapa

hapa, kwa hiyo 95% ya miche

ya maua tunazalisha

wenyewe.

Mwandishi;Ndugu Chilemba

naona kila baada ya muda

muonekano wa bustani hii

hubadilika,je nayo ni hatua

gani?

Chilemba;ni kweli ni kawaida

bustani yoyote ili izidi kuvutia

inabidi uibadilishe muoneka-

no wa maua hata mpangilio

mpya wa bustani yako.

Mwandishi; tutarajie nini

katika maboresho ya busta-

ni yetu.

Chilemba; tupo kwenye

maandalizi ya kuboresha

bustani yetu kufikia mwezi

wa 10 mwaka huu tuna-

tarajia kuwa na mwoneka-

no wa tofauti ,bustani ita-

tanuka kuanzia geti la Elimu

msingi mpaka geti la Elimu

sekondari, pia kuna mkakati

wa kukata miti ya zamani

na kupanda miti midogom-

idogo.

Lengo kubwa ni kuleta

mwonekano mzuri katika

Halmashauri yetu.

Mwandishi; tunashukuru

sana kwa ushirikiano

wako,na tukutakie kazi

njema

Chilemba; asante na ka-

ribuni sana.

Hayo yalikua mahojiano kati

ya mwandishi wetu wa

Temeke Yetu na mtaalam

wa mazingira katika halmas-

hauri ya Temeke, Temeke

Yetu ilikutana na mmoja wa

wageni ambaye ameone-

sha hisia zake bila kuficha

alipokutwa na mwandishi

wetu akiwa amepumzika

alisema, "naburudika kwa

kweli,nikiangalia hapa napa-

ta amani rohoni mwangu,

inafurahia sana kuona maua

haya yaliyostawi na kupen-

deza,nawapongeza sana

Temeke kwa utunzaji mzuri wa

mazingira" alisema Bi. Ashura

Musa.

Hata hivyo Temeke

Manispaa imekua barozi

mzuri wa utunzaji mazingira

yake tangu mwaka 1999

halmashauri ilipoanzishwa..

Temeke tunasema mazingira

ya kijani inawezekana endapo

wananchi tutaamua kutunza

mazingira yetu.