uzoefu wa umoja katika kanisa la awali 2018-10-31 · kama somo. wote wanaolitaja jina la kristo...

11
UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI Somo la 5 kwa ajili ya Novemba 3, 2018

Upload: others

Post on 18-Feb-2020

25 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI 2018-10-31 · kama somo. Wote wanaolitaja jina la Kristo wangoje, wakeshe, na kuomba kwa moyo mmoja. Tofauti zote ziwekwe kando, na umoja na

UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI

Somo la 5 kwa ajili ya Novemba 3, 2018

Page 2: UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI 2018-10-31 · kama somo. Wote wanaolitaja jina la Kristo wangoje, wakeshe, na kuomba kwa moyo mmoja. Tofauti zote ziwekwe kando, na umoja na

“Wakawa wakidumu katikafundisho la mitume, na katikaushirika, na katika kuumega

mkate, na katika kusali”(Matendo 2:42)

FUNGU KIONGOZI

Page 3: UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI 2018-10-31 · kama somo. Wote wanaolitaja jina la Kristo wangoje, wakeshe, na kuomba kwa moyo mmoja. Tofauti zote ziwekwe kando, na umoja na

Kanisa la awali ni kielelezo kikuucha umoja.

Je; Waliufikiaje huo umoja? Tunaweza kuwa na umoja kamahuo kanisani leo?

Maandalizi

Kazi ya Roho Mtakatifu

Kuwa na muda pamoja

Kuwa wakarimu

Kuwafikiria wengine

Page 4: UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI 2018-10-31 · kama somo. Wote wanaolitaja jina la Kristo wangoje, wakeshe, na kuomba kwa moyo mmoja. Tofauti zote ziwekwe kando, na umoja na

Angewakumbushayale Yesu aliyokuwaamewafundisha(Yohana 14:26)

Yeye afunuaye kwelimpya(Yohana 16:13)

Angewasaidiakushuhudiaulimwengu wote(Matendo 1:8)

“Hawa wote walikuwa wakidumu kwa moyo mmojakatika kusali, pamoja nao wanawake, na Mariamumama yake Yesu, na ndugu zake.” (Matendo 1:14)

Kabla ya kupaa Mbinguni, Yesu aliahidi angekuja Msaidizi. Angefanya kazi maaluma ndani ya wafuasi wa Yesu :

Walijiandaa kwa siku 10 ili kupokea kipawa cha Roho:

Waliomba

Walirejea uzoefu wao na Yesu

Walitubu na kuungama dhambi zao

Waliomba kwa ajili ya Roho Mtakatifu

Waliweka tofauti zao kando

Kwa kadri walivyokuwa karibu na Yesu, ndivyo walivyokuwa wamoja.

Page 5: UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI 2018-10-31 · kama somo. Wote wanaolitaja jina la Kristo wangoje, wakeshe, na kuomba kwa moyo mmoja. Tofauti zote ziwekwe kando, na umoja na

KAZI YA ROHO MTAKATIFU

Sikukuu ya majuma au Pentekoste (Siku ya50) ilikuwa ni sherehe maradufu.

Upande mmoja, walisherekea sheriailiyotolewa pale mlima Sina. Sasa mwanzowa Israeli uliambatana na mwanzo waKanisa. Sheria na Injili vikakutana.

Upande mwingine, hii ilikuwa ni sikukuu yakutoa shukurani. Walishukuru kwa vipawavilivyopita na vijavyo kutoka kwa Mungu. Walitoa malimbuko ya mazao yao.

Roho Mtakatifu alikusanya matunda (roho3,000) kwa kuwapa wanafunzi karama yakunena kwa lugha za watu waliokusanyikaYerusalemu.

Utofauti wa lugha ulileta ugawanyiko kuleBabeli. Kizuizi hicho kilivunjwa katika siku yaPentekoste, hivyo wote wakawa na umojakatika Kristo.

Page 6: UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI 2018-10-31 · kama somo. Wote wanaolitaja jina la Kristo wangoje, wakeshe, na kuomba kwa moyo mmoja. Tofauti zote ziwekwe kando, na umoja na

“Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katikakuumega mkate, na katika kusali.”(Matendo 2:42)

Watu wengi waliguswa kutubu waliposikiahabari za ufufuo na kupaa kwake. Dhambi zaozilisamehewa kwa jina la Yesu.

Waliamua kutenga muda wakuwa na Mwokoziwao tangu siku ile:

• Muda wa kusoma Biblia• Muda wa kuzungumza wao kwa

wao na kujifunza habari za Yesu• Muda wa kula pamoja• Muda wa kuomba pamoja

Kujitoa kwao kulileta umoja kwa Kanisa. Ulikuwa ni ushuhuda wenye nguvu kwa wale waliokuwa wakiwatazama (Matendo 2:43)

Page 7: UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI 2018-10-31 · kama somo. Wote wanaolitaja jina la Kristo wangoje, wakeshe, na kuomba kwa moyo mmoja. Tofauti zote ziwekwe kando, na umoja na

“Wala hapakuwa na mtu mmoja miongonimwao mwenye mahitaji; kwa sababu watu

wote waliokuwa na viwanja au nyumba waliviuza, wakaileta thamani ya vitu vile

vilivyouzwa.” (Matendo 4:34)

Ukarimu ulikuwa matokeo ya umoja wao nanamna walivyopendana.

Kila walichokimiliki walikishiriki na wengine kwakadri ya mahitaji yao.

Barnaba alikuwamafano waukarimu huu usiona ubunafsi(Matendo 4:36-37)

Kinyume chake, Anania na Safira waliacha choyo ikajaza mioyoyao wakamdaganya Roho Mtakatifu (Matendo 5:1-11)

Uchoyo ni dhambi hatari inayodidimiza umoja. Hukaa moyonina haionekani kwa nje.

Page 8: UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI 2018-10-31 · kama somo. Wote wanaolitaja jina la Kristo wangoje, wakeshe, na kuomba kwa moyo mmoja. Tofauti zote ziwekwe kando, na umoja na

Kanisa la awali lilihimiza tabia hii kamauthibitisho wa umoja miongoni mwawashiriki.

Paulo alihimiza makanisa ya wamataifakulisaidia kanisa lenye kuhitaji hukoYerusalemu, “mkitajirishwa katika vituvyote mpate kuwa na ukarimu wote, umpatiao Mungu shukrani kwa kaziyetu.” (2 Wakorintho 9:11)

“maana imewapendeza watu wa Makedonia na Akaya kufanya changizokwa ajili ya watakatifu huko Yerusalemu walio maskini.” (Warumi 15:26)

Suluhisho la uchoyo ilikuwa kuachakujifikiria mwenyewe na kuanzakuwafikiria wengine. Ni lazima tumruhusu Roho Mtakatifu afanye hii kazimioyoni mwetu.

Page 9: UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI 2018-10-31 · kama somo. Wote wanaolitaja jina la Kristo wangoje, wakeshe, na kuomba kwa moyo mmoja. Tofauti zote ziwekwe kando, na umoja na

UMOJA KATIKA KANISA LA AWALIJe; Ni kitu kipi kilihimiza umoja katika kanisa la awali?

MaombiIbadaUshirikakujifunza BibliaKuhubiri injiliUpendo na kujali

1

2

3

4

5

6

Umoja wao ukazaa ukarimu nakusaidiana, katika kanisamahalia na miongoni mwamakanisa katika maeneotofauti ya kijiografia.

Page 10: UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI 2018-10-31 · kama somo. Wote wanaolitaja jina la Kristo wangoje, wakeshe, na kuomba kwa moyo mmoja. Tofauti zote ziwekwe kando, na umoja na

“Baada ya kushuka kwa Roho

Mtakatifu wanafunzi walisonga mbel

kumtangaza Mwokozi aliyefufuka.

Walifurahia katika utamu wa

ushirika na watakatifu. Walikuwa

wapole, wenye kuwafikiria wengine,

wenye kujikana nafsi, walio tayari

kujitoa kafara kwa ajili ya kweli.

Katika mahusiano yao ya kila siku

walidhihirisha upendo ambao Kristo

aliwaamuru kuudhihirisha. Kwa

maneno na matendo yasio na ubinafsi

walifanya bidi kuangaza upendo ulio

mioyoni mwao.”E.G.W. (Testimonies for the Church, vol. 8, cp. 38, p. 241)

Page 11: UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI 2018-10-31 · kama somo. Wote wanaolitaja jina la Kristo wangoje, wakeshe, na kuomba kwa moyo mmoja. Tofauti zote ziwekwe kando, na umoja na

“Ushuhuda wao katika uanzishwaji wa kanisa

la Kikiristo unatolewa kwetu sio tu kama

sehemu muhimu ya historia takatifu lakini pia

kama somo. Wote wanaolitaja jina la Kristo

wangoje, wakeshe, na kuomba kwa moyo

mmoja. Tofauti zote ziwekwe kando, na umoja

na upendo wa mmoja kwa mwingine vitawale

yote. Kisha maombi yetu yataenda kwa pamoja

juu kwa Baba yetu wa Mbinguni yakiwa na

nguvu na Imani thabiti. Kisha tukiungoja kwa

subira na tumaini utimilifu wa ahadi.”

E.G.W. (The Story of Redemption, cp. 32, p. 246)