09.c - maria kim
DESCRIPTION
Chapta 9 - Maria Kim: Ime-happen Tena? (Vijana Kutumiwa na Ma-Leaders)TRANSCRIPT
Niice shot!
Skills zako bado ziko! Si kama vile siasa
yako ina-reduce. Yaani hujaonekana kwa magazeti
for months!
Ngoja nitakuwa front cover hii
weekend!
Niko na kazi yako.
Watu wa kabila ile ingine wanaTuletea
shida. Wao ni trouble makers!
Wanyamazishe halafu ukujie
kaunga.
Nitajua vile nitafanya.
Ime-happen tena!
18
Niice shot!
Skills zako bado ziko! Si kama vile siasa
yako ina-reduce. Yaani hujaonekana kwa magazeti
for months!
Ngoja nitakuwa front cover hii
weekend!
Niko na kazi yako.
Watu wa kabila ile ingine wanaTuletea
shida. Wao ni trouble makers!
Wanyamazishe halafu ukujie
kaunga.
Nitajua vile nitafanya.
Tuna-threaten-iwa na kabila ile ingine ya walafi! Wanataka ku-control kila
kitu huku.
Wanakosea mheshimiwa Godpapa heshima na kutaka
kumtoa kwa uongozi!
Tumekataa!! Lazima tuheshimiwe. Ni sisi majority. Au sio?
Wale watakataa kuheshimu Godpapa
watahamishwa. Au sio?
Ndiooo!
19
Kwanini una-shout uongo huu wa ku-cause watu wakosane? Unajua inaweza cause riot?
Sweetness, hii ni kazi ya mheshimiwa.
Kweli wewe ni fala! Unatumiwa nao
ili waji-benefit.
Kwanza unafikiria utafaidika na nini apart from kifo au jela?
Mheshimiwa atani-sort
vipoa.
Hakujali. Wewe ni puppet yake. Kama hawa wadosi walikuwa wakitaka
ku-fight, wange-fight wenyewe.
Lakini sasa wana-enjoy weekend yao wakicheza golf na
wewe una-risk maisha yako.
We hujui. Atani-buy-ia keja poa, ananijali.
Unaamini hivo? Wewe ni fala
zaidi!
Brayo tuishie, kutakuwa na noma. Pack bags zako.
HAKI YETU!!HAKI YETU!!
Mambo yanaenda kama nilivyo panga. Kesho nitakuwa
kwa headline news! hahahahaaa!!!
wahame!
20
Kwanini una-shout uongo huu wa ku-cause watu wakosane? Unajua inaweza cause riot?
Sweetness, hii ni kazi ya mheshimiwa.
Kweli wewe ni fala! Unatumiwa nao
ili waji-benefit.
Kwanza unafikiria utafaidika na nini apart from kifo au jela?
Mheshimiwa atani-sort
vipoa.
Hakujali. Wewe ni puppet yake. Kama hawa wadosi walikuwa wakitaka
ku-fight, wange-fight wenyewe.
Lakini sasa wana-enjoy weekend yao wakicheza golf na
wewe una-risk maisha yako.
We hujui. Atani-buy-ia keja poa, ananijali.
Unaamini hivo? Wewe ni fala
zaidi!
Brayo tuishie, kutakuwa na noma. Pack bags zako.
HAKI YETU!!HAKI YETU!!
Mambo yanaenda kama nilivyo panga. Kesho nitakuwa
kwa headline news! hahahahaaa!!!
wahame!
21
Leo ni siku ya huzuni katika huu mtaa. sijui kwanini watu
wanafanya matendo ya kinyama na kufurahia vita!
Inanivunja roho kuona kitendo hiki.
Bahati ni kuwa mimi ni mtu wa watu na nimekuja kuwahudumia.
Nitahakikisha kuwa hiki kitendo hakitafanyika tena.
Wananchi wanastahili kuniamini kama kiongozi mwaminifu na anayejali.
fala!
Mheshimiwa, kazi imeisha. Ulini-promise ungenipa
kaunga, nimeikujia.
Eeee. Ndio, nimekumbuka.
Ndio hii.
50 bob tu? Boss, hii haiwezi nunua nyumba
boss...
Pesa ya unga, nakumbuka nikiku-
ahidi, lakini ya nyumba ni yako na ndoto zako! Jinga hii!
22
Wananchi wanastahili kuniamini kama kiongozi mwaminifu na anayejali.
fala!
Mheshimiwa, kazi imeisha. Ulini-promise ungenipa
kaunga, nimeikujia.
Eeee. Ndio, nimekumbuka.
Ndio hii.
50 bob tu? Boss, hii haiwezi nunua nyumba
boss...
Pesa ya unga, nakumbuka nikiku-
ahidi, lakini ya nyumba ni yako na ndoto zako! Jinga hii!Ma-fans story ya
Chuxx ilini-strike sana na kunifanya niulize
fans wangu wanisaidie na ideas.
Asante kwa wale walihusika
kwa hii discussion. Ma-fans, ni juu yetu ku-decide tukatae kutumiwa vibaya na
leaders sababu fahali wawili wakipigana, ni
nyasi huumia. 23
We are the majority and very
influential. They use and abuse
us by using money due to
unemployment. To most youths
tunajipa and indulge in very petty
violence. My advice to ma-youths
wote, let us get involved in the
formation of youth networks and
lobby educational groups to create
awareness of the ills of corruption
na tukatae hiyo...au sio? -‘Mash ‘VJ’.
@ Mash hiyo ni true. Can’t also youth be leaders? We keep pointing fingers @ those yet sisi wenyewe are the solution. Why wouldn’t a youth vie for any post in the government? Lets be the change we want. The youths being the majority will bring the change. - Dee Akoth Otieno.
I think we should get out of our cocoons, why do we give our leaders the chance to destroy us? Why do we allow them to misuse our capabilities? - Ru Supuu Jamal.
Hey DJ B, sisi kama ma-youths lazima tusidanganywe
na hao viongozi wakatili and round-i hii tutawa-
show the right direction by kukataa kulipwa tena ili
tupigane. Uko juu tu sana keep it up bro! - David Jones.
Manze! Naeza advice huyo youth a-keep it cool... Asijaribu vengeance. Violence is never the solution...Pia he should learn from mistakes na akuwe smart next time.- Simon Wambui Irungu.
DJ B mi na-think huyo msee anafaa kujulisha wasee ili wasikuwe victims tena, a-show ma youths wasikubali kutumiwa na politicians!
We insist on campaign through
development not verbally. The
winner with much development
gets the votes. - Lewis Karah.