baraza la wawakilishi zanzibar...baraza la wawakilishi zanzibar simu nam. + 255 24 2230602/1 sanduku...

15
BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215 ZANZIBAR Tovuti: www.zanzibarassembly.go.tz Barua Pepe: [email protected] BARAZA LA TISA (9) TAKWIMU ZA MKUTANO WA SABA (7) WA BARAZA LA WAWAKILISHI TAREHE 27/09/2017 - 12/10/2017 1.0 MCHANGANUO WA MASWALI 1.1 Maswali ya Msingi Jadweli Nam. 1: Idadi ya Maswali ya Msingi yaliyoulizwa na Waheshimiwa Wajumbe. WAJUMBE WANAUME WAJUMBE WANAWAKE JUMLA 103 23 126 Mchoro Nam. 1: Uwiano wa Maswali ya Msingi kwa mujibu wa Jinsia.

Upload: others

Post on 03-Nov-2020

7 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215 ZANZIBAR Tovuti: www.zanzibarassembly.go.tz Barua Pepe: [email protected]

BARAZA LA TISA (9)

TAKWIMU ZA MKUTANO WA SABA (7) WA BARAZA LA WAWAKILISHI

TAREHE 27/09/2017 - 12/10/2017

1.0 MCHANGANUO WA MASWALI 1.1 Maswali ya Msingi

Jadweli Nam. 1: Idadi ya Maswali ya Msingi yaliyoulizwa na Waheshimiwa Wajumbe. WAJUMBE WANAUME

WAJUMBE WANAWAKE

JUMLA

103 23 126

Mchoro Nam. 1: Uwiano wa Maswali ya Msingi kwa mujibu wa Jinsia.

Page 2: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

2

Jadweli Nam. 2: Orodha ya Waheshimiwa Wajumbe na Idadi ya Maswali ya Msingi waliyouliza.

SN MJUMBE JUMLA

1 Mhe. Jaku Hashim Ayoub 36

2 Mhe. Omar Seif Abeid 20

3 Mhe. Suleiman Sarahan Said 20

4 Mhe. Ali Suleiman Ali 9

5 Mhe. Abdalla Maulid Diwani 6

6 Mhe. Mwanaidi Kassim Mussa 6

7 Mhe. Hidaya Ali Makame 5

8 Mhe. Machano Othman Said 5

9 Mhe. Salha Mohamed Mwinjuma 5

10 Mhe. Saada Ramadhan Mwendwa 4

11 Mhe. Mwantatu Mbaraka Khamis 3

12 Mhe. Shehe Hamad Mattar 3

13 Mhe. Simai Mohammed Said 2

14 Mhe. Makame Said Juma 1

15 Mhe. Wanu Hafidh Ameir 1

JUMLA 126

1.2 Maswali ya Nyongeza

Jadweli Nam. 3: Idadi ya Maswali ya Nyongeza yaliyoulizwa na Waheshimiwa Wajumbe. WAJUMBE WANAUME

WAJUMBE WANAWAKE

JUMLA

201 51 252

Mchoro Nam. 2: Uwiano wa Maswali ya Nyongeza kwa mujibu wa Jinsia.

Page 3: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

3

Jadweli Nam. 4: Orodha ya Waheshimiwa Wajumbe na Idadi ya Maswali ya Nyongeza waliyouliza.

SN MJUMBE JUMLA

1 Mhe. Jaku Hashim Ayoub 42

2 Mhe. Omar Seif Abeid 22

3 Mhe. Suleiman Sarahan Said 21

4 Mhe. Ali Suleiman Ali 19

5 Mhe. Simai Mohamed Said 15

6 Mhe. Suleiman Makame Ali 13

7 Mhe. Hidaya Ali Makame 12

8 Mhe. Machano Othman Said 8

9 Mhe. Salha Mohamed Mwinjuma 7

10 Mhe. Shehe Hamad Mattar 7

11 Mhe. Miraji Khamis Mussa 6

12 Mhe. Rashid Makame Shamsi 6

13 Mhe. Yussuf Hassan Iddi 6

14 Mhe. Abdalla Maulid Diwani 5

15 Mhe. Amina Iddi Mbarouk 5

16 Mhe. Mwanaidi Kassim Mussa 5

17 Mhe. Shaib Said Ali 5

18 Mhe. Mohamed Said Mohamed 4

19 Mhe. Saada Ramadhan Mwendwa 4

20 Mhe. Ali Khamis Bakar 3

21 Mhe. Bahati Khamis Kombo 3

22 Mhe. Hamad Abdalla Rashid 3

23 Mhe. Nassor Salim Ali 3

24 Mhe. Viwe Khamis Abdalla 3

25 Mhe. Hamza Hassan Juma 2

26 Mhe. Maryam Thani Juma 2

27 Mhe. Mwantatu Mbaraka Khamis 2

28 Mhe. Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini 2

29 Mhe. Panya Ali Abdalla 2

30 Mhe. Said Omar Said 2

31 Mhe. Wanu Hafidh Ameir 2

32 Mhe. Masoud Abrahman Masoud 2

33 Mhe. Abdalla Ali Kombo 1

34 Mhe. Ali Salum Haji 1

35 Mhe. Ame Haji Ali 1

36 Mhe. Bihindi Hamad Khamis 1

37 Mhe. Khadija Omar Kibano 1

38 Mhe. Mwanaasha Khamis Juma 1

39 Mhe. Makame Said Juma 1

40 Mhe. Nadir Abdul-latif Yussuf 1

Page 4: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

4

41 Mhe. Salma Mussa Bilal 1

JUMLA 252

1.3 Maswali Yaliyoondolewa Jadweli Nam. 5: Orodha ya Maswali Yaliyoondolewa.

SN MUHTASARI WA SWALI MJUMBE

1 Ukiukwaji wa nidhamu za kazi kwa baadhi ya watumishi wa umma.

Mhe. Omar Seif Abeid

2 Changamoto za kiwanda cha sukari Mahonda. Mhe. Jaku Hashim Ayoub

3 Matumizi ya gari za “Convoy” kwa usafiri wa daladala. Mhe. Omar Seif Abeid

4 Umiliki wa jengo la kulelea watoto la Forodhani. Mhe. Mwanaidi Kassim Mussa

5 Ubovu wa mashine ya kuchomea taka Hospitali ya Mnazi Mmoja.

Mhe. Jaku Hashim Ayoub

JUMLA 5

1.4 Maswali ya Msingi na Nyongeza yaliyoulizwa kwa kila Wizara

Jadweli Nam. 6: Idadi ya Maswali ya Msingi na Nyongeza yaliyoulizwa kwa kila Wizara.

SN WIZARA IDADI YA MASWALI

MSINGI NYONGEZA

1 Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (ORMBM)

- -

2 Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ (ORTMSMIM)

15 32

3 Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora (ORKSUUUB)

7 15

4 Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (OMPR) 6 16

5 Wizara ya Fedha na Mipango (WFM) 4 11

6 Wizara ya Afya (WA) 15 23

7 Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali (WEMA) 12 25

8 Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko (WBVM) 6 10

9 Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji (WUMU) 12 32

10 Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo (WHUUM)

2 5

11 Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi (WKMMU) 17 35

12 Wazara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto (WKUWVWW)

12 28

13 Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira (WAMNM) 9 20

JUMLA 126 252

Page 5: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

5

Mchoro Nam. 3: Uwiano wa Maswali ya Msingi kwa kila Wizara.

Mchoro Nam. 4: Uwiano wa Maswali ya Nyongeza kwa kila Wizara

Page 6: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

6

1.5 Muhtasari wa Maswali ya Msingi yaliyoulizwa kwa kila Wizara Jadweli Nam. 7: Orodha ya Muhtasari wa Maswali ya Msingi yaliyoulizwa kwa kila Wizara.

SN WIZARA MUHTASARI WA MASWALI

1 Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (ORMBM)

-

2

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ (ORTMSMIM)

i. Tozo kubwa ya leseni ya biashara ya Halmashauri. ii. Uhaba wa wafanyakazi katika Wilaya ndogo ya Kojani.

iii. Upatikanaji wa cheti cha kuzaliwa. iv. Usafi wa masoko katika maeneo ya mitaro ya maji. v. Usafi wa mazingira maeneo ya kazi na biashara.

vi. Ubovu wa barabara. vii. Ukodishaji wa sehemu za kutangaza biashara.

viii. Nafasi za ajira kwa vijana wanaomaliza mafunzo ya JKU. ix. Matengenezo ya mitaro ya Meli Nne Uzi na Shunda. x. Baraza la Manispaa kukamata mikokoteni.

xi. Malipo ya ada ya ulinzi katika mashamba ya miwa ya kiwanda cha sukari Mahonda.

xii. Mgawanyo wa mapato yanayotokana na usimamizi wa Soko la Mwanakwerekwe na Soko la Mombasa.

xiii. Wizi wa mifuko ya saruji katika ujenzi wa Uwanja wa Mao Tse Tung. xiv. Usumbufu wa watendaji wa Baraza la Manispaa wanaofunga gari. xv. Uteuzi wa Masheha wapya na nyenzo za kufanyia kazi.

3

Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora (ORKSUUUB)

i. Malipo ya kiinua mgongo na pencheni. ii. Kesi za Serikali kushindwa Mahakamani.

iii. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu. iv. Umuhimu wa Sheria ya ndoa. v. Uvaaji sare kwa watumishi wa umma.

vi. Utekelezaji wa Sheria za Dini na Ndoa kwa wanafunzi wa umri mdogo.

vii. Msikiti mpya uliojengwa kwa msaada wa Serikali ya Oman.

4 Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (OMPR)

i. Maafa kipindi cha mvua za Masika. ii. Mpango wa Serikali kukabiliana na maafa.

iii. Majibu ya Mawaziri na Manaibu Mawaziri kuakisi kauli ya Mhe. Rais.

iv. Fursa za Wenyeviti na Wajumbe wa Kamati kutoa neno wakati wa uzinduzi wa miradi.

v. Umuhimu wa kuenzi majengo ya Viongozi wa Nchi. vi. Ucheleweshwaji wa Fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo (CDF).

5 Wizara ya Fedha na Mipango (WFM)

i. Bajeti za Mashirika yanayojitegemea. ii. Mkataba wa ujenzi wa jengo la Hoteli ya Bwawani.

iii. Operesheni za ZRB barabarani. iv. Changamoto wanazopata waekezaji Zanzibar.

6 Wizara ya Afya (WA) i. Kukosekana kwa vipimo vya uchunguzi katika Hospitali ya

Page 7: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

7

Mnazimmoja. ii. Ziara ya Viongozi katika vituo vya afya Jimbo la Mfenesini.

iii. Upatikanaji wa leseni kwa wanafunzi waliomaliza fani ya uuguzi. iv. Ukosefu wa Huduma za Afya katika Kijiji cha Uzi Ng’ambwa. v. Ujenzi wa Hospitali ya Kijitoupele.

vi. Uingizwaji wa dawa za kupuliza mbu ambazo hazina kiwango. vii. Ukarabati wa Jengo la Mapinduzi mpya katika Hospitali ya Mnazi

Mmoja. viii. Huduma ya sehemu ya kujisaidia (Choo) katika Jengo linalotoa

huduma ya vipimo vya MRI Hospitali ya Mnazimmoja. ix. Kero ya moshi wa taka za Hospitali ya Mwembeladu. x. Matumizi ya jenereta la dharura Hospitali ya Mnazimmoja.

xi. Usambazaji wa taarifa kupitia mitandao kuhusu utumiaji wa vyakula visivyo salama kwa afya za wananchi.

xii. Hali ya ugonjwa wa kipindupindu Zanzibar. xiii. Upungufu wa madaktari wa ngozi Zanzibar. xiv. Kuendelea kwa ubovu wa lift ya Hospitali ya Mnazimmoja. xv. Hali ya maradhi ya kichocho Kisiwani Pemba.

7 Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali (WEMA)

i. Posho la walimu waliofundisha halaiki katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika (2016).

ii. Umuhimu wa kusoma lugha ya Kiswahili na Kiarabu. iii. Hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuimarisha ufaulu wa

wanafunzi. iv. Ufaulu mdogo kwa wanafunzi wenye ulemavu maskulini. v. Walimu kufanya biashara za kukopesha skuli.

vi. Maslahi madogo ya walimu waliomaliza Diploma ya Elimu Mjumuisho.

vii. Masafa makubwa ya skuli kwa wanafunzi katika Skuli ya Kiuyu Kipangani.

viii. Uwiano wa mgao wa fedha katika skuli za msingi. ix. Upungufu wa vyoo katika Skuli ya Msingi Jadida, Pemba. x. Uwiano wa kufunga skuli na vyuo vya Qur-ani.

xi. Kukamilisha ujenzi wa madarasa katika Skuli za Unguja na Pemba. xii. Wanafunzi kuchukia somo la sayansi.

8 Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko (WBVM)

i. Umiliki na usimamizi wa jengo la ZSTC (Forodhani). ii. Ukaguzi wa bidhaa ziingiazo nchini.

iii. Uchumaji wa zao la karafuu. iv. Ununuzi wa zao la mwani. v. Kutatuliwa changamoto za biashara Tanzania Bara na Zanzibar.

vi. Uanzishaji na uimarishaji wa viwanda vidogo vidogo.

9 Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji (WUMU)

i. Utaratibu wa upakuaji mawe katika gari za mizigo. ii. Udhibiti wa mafuriko katika bwawa la maji la Mwanakwerekwe na

Kibonde Mzungu. iii. Ukamataji wa vespa na pikipiki zilizotoboa “Exos”. iv. Uegeshaji wa meli katika eneo la Maruhubi. v. Ahadi ya Mhe. Rais ya ujenzi wa njia ya Ukongoroni.

Page 8: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

8

vi. Urasimishaji wa usafiri wa pikipiki (Bodaboda). vii. Ubovu wa daraja la Tingatinga.

viii. Ubovu wa baadhi ya barabara za mijini kutokana na athari ya mvua. ix. Madereva wanaoendesha gari wakiwa wamelewa. x. Kumong’onyoka kwa barabara ya Mtambwe – Daya, Pemba.

xi. Kuondolewa gari za abiria zenye tairi moja. xii. Ununuzi wa kifaa cha kukokotea ndege katika kiwanja cha ndege

cha Pemba. xiii. Utumiaji wa alama za barabarani kwa madereva wa vyombo vya

usafiri na askari wa barabarani. xiv. Usafiri wa boti na meli za kisasa. xv. Ongezeko la makosa ya barabarani.

xvi. Uwekaji wa mkonga katika ujenzi wa barabara. xvii. Kuimarishwa kwa Idara ya UUB.

xviii. Ubovu wa barabara zilizoathirika kwa mvua zilizonyesha hivi karibuni.

xix. Deni la Shirika la Ndege la Tanzania (ATC). xx. Tabia ya daladala kuvunja Sheria za barabarani na kuwanyanyasa

abiria wakiwemo wanafunzi. xxi. Kiasi cha fedha kilichotumiwa na Serikali katika ujenzi wa barabara

ya Wete – Konde.

10 Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo (WHUUM)

i. Upotoshaji wa taarifa kupitia vyombo vya habari na mitandao. ii. Gari za matangazo kupiga kelele njiani na athari zake.

11 Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi (WKMMU)

i. Mbegu bora za zao la muhogo. ii. Uhifadhi wa mashamba ya karafuu Pemba.

iii. Kukamilisha mradi wa ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji maji. iv. Usumbufu kwa madereva wa gari za kokoto kusini unguja. v. Matumizi ya kilimo cha Green House kwa wakulima wadogo

wadogo. vi. Takwimu za uzalishaji mchele zanzibar.

vii. Utafiti na uzalishaji wa zao la minazi. viii. Zao la karafuu.

ix. Upungufu wa madaktari wa mifugo. x. Marufuku ya matumizi ya msumeno wa moto kwa watu binafsi.

xi. Kushuka bei kwa zao la mwani. xii. Matunzo ya majengo makongwe ya chuo cha kilimo kizimbani.

xiii. Usumbufu wa ofisa wa maliasili kwa madereva wa gari za mizigo. xiv. Kupungua kwa baadhi ya ndege wa asili Zanzibar. xv. Upatikanaji wa mbegu, dawa na maelekezo ya ukulima bora kwa

wakulima wa mazao ya mbogamboga. xvi. Malalamiko juu ya taratibu za ukodishaji mikarafuu.

xvii. Upotevu wa mapato ya mchanga.

12 Wazara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na

i. Uwezeshaji wa wanawake na vijana. ii. Kuwawezesha vijana kujiajiri.

iii. Kutafuta ajira za ughaibuni kwa vijana.

Page 9: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

9

Watoto (WKUWVWW) iv. Ongezeko la viwango vya mshahara. v. Baraza la Vijana.

vi. Kesi za udhalilishaji Mkoa wa Kaskazini Pemba. vii. Viwango vya mishahara sekta binafsi.

viii. Utekelezaji wa ulipaji wa viwango vya mshahara. ix. Kutengwa kwa bajeti kwa maendeleo ya vijana. x. Maslahi ya watumishi katika sekta binafsi.

xi. Kuendelea kwa vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia kwa watoto. xii. Wizara kushindwa kudhibiti ongezeko la kesi za udhalilishaji.

13 Wizara ya Ardhi, Maji na Nishati na Mazingira (WAMNM)

i. Uelewa wa matumizi ya ardhi. ii. Upimaji wa maeneo yaliotangazwa na Serikali.

iii. Tatizo la maji Zanzibar. iv. Tozo ya 2% kwa wanunuzi wa umeme. v. Uchimbaji wa mafuta na gesi asilia Zanzibar.

vi. Utekelezaji wa ahadi ya kupelekea maji safi Michamvi. vii. Kukosa umeme kupitia majenereta ya akiba.

viii. Ukosefu wa kituo cha kununulia umeme wa Tukuza. ix. Agizo la Serikali kuhusu kuhama watu wanaoishi mabondeni.

JUMLA 126

2.0 MCHANGANUO WA MISWADA YA SHERIA

Jadweli Nam. 8: Idadi ya Michango iliyochangiwa na Waheshimiwa Wajumbe kwa kila Mswada.

SN MSWADA WAJUMBE WANAUME

WAJUMBE WANAWAKE

JUMLA

1

Mswada wa Sheria ya Kufuta Sheria ya Mahakama ya Kadhi Nam. 3 ya 1985 na Kuanzisha Upya Mahakama ya Kadhi na Kuweka Masharti Mengine Yanayohusiana na Hayo.

14 6 20

2

Mswada wa Sheria ya kuanzisha Baraza la Taifa la Biashara na Kuweka Mambo Mengine Yanayohusiana na Hayo.

15 3 18

JUMLA 29 9 38

Page 10: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

10

Mchoro Nam. 5: Uwiano wa Michango ya Waheshimiwa Wajumbe waliochangia katika

Miswada ya Sheria kwa mujibu wa Jinsia.

Jadweli Nam 9: Orodha ya Waheshimiwa Wajumbe waliochangia katika Miswada ya Sheria.

SN MJUMBE IDADI

1 Mhe. Abdalla Maulid Diwani 2

2 Mhe. Bahati Khamis Kombo 2

3 Mhe. Hamza Hassan Juma 2

4 Mhe. Mohammed Said Mohammed 2

5 Mhe. Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini 2

6 Mhe. Omar Seif Abeid 2

7 Mhe. Rashid Makame Shamsi 2

8 Mhe. Said Soud Said; Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum

2

9 Mhe. Shehe Hamad Mattar 2

10 Mhe. Simai Mohammed Said 2

11 Mhe. Suleiman Sarahan Said 2

12 Mhe. Ahmada Yahya Abdulwakil 1

13 Mhe. Ali Suleiman Ali 1

14 Mhe. Amina Iddi Mabrouk 1

15 Mhe. Hidaya Ali Makame 1

16 Mhe. Hamad Abdalla Rashid 1

17 Mhe. Jaku Hashim Ayoub 1

18 Mhe. Khamis Juma Mwalim; Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora

1

19 Mhe. Machano Othman Said 1

20 Mhe. Dkt. Makame Ali Ussi 1

21 Mhe. Mgeni Hassan Juma 1

Page 11: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

11

22 Mhe. Mohamed Mgaza Jecha 1

23 Mhe. Mwanaidi Kassim Mussa 1

24 Mhe. Said Omar Said 1

25 Mhe. Salma Mussa Bilal 1

26 Mhe. Tatu Mohamed Ussi 1

27 Mhe. Zaina Abdalla Salum 1

JUMLA 38

3.0 MCHANGANUO WA RIPOTI ZA WIZARA KUHUSU UTEKELEZAJI WAMAAGIZO YA KAMATI ZA KUDUMU ZA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA MWAKA 2016/2017

Jadweli Nam. 10: Idadi ya Waheshimiwa Wajumbe waliochangia katika Ripoti za Wizara kuhusu

Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati kwa Mwaka 2016/2017.

SN RIPOTI WAJUMBE WANAUME

WAJUMBE WANAWAKE

JUMLA

1.

Ripoti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa kwa mwaka 2016/2017.

8 1 9

2.

Ripoti ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa kwa mwaka 2016/2017.

6 0 6

3.

Ripoti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati kwa mwaka 2016/2017.

8 3 11

4.

Ripoti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Sheria Utawala Bora na Idara Maalum kwa mwaka 2016/2017.

13 3 16

5

Ripoti ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Ardhi na Mawasiliano kwa mwaka 2016/2017.

9 1 10

6

Ripoti ya Wizara ya Ardhi Maji, Nishati na Mazingira kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Ardhi na Mawasiliano kwa mwaka

10 3 13

Page 12: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

12

2016/17.

7

Ripoti ya Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo kwa mwaka 2016/2017.

10 2 12

8

Ripoti ya Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo kwa mwaka 2016/2017.

10 2 12

9

Ripoti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Ustawi wa Jamii kwa mwaka 2016/2017.

7 3 10

10

Ripoti yaWizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Maendeleo ya Wanawake, Habari na Utalii kwa mwaka 2016/2017.

8 2 10

11

Ripoti ya Wizara ya Afya kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Ustawi wa Jamii kwa mwaka 2016/2017.

10 5 15

12

Ripoti ya Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Maendeleo ya Wanawake, Habari na Utalii kwa mwaka 2016/2017.

6 3 9

13

Ripoti ya Wizara ya Fedha na Mipango kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo kwa mwaka 2016/2017.

10 3 13

14

Ripoti ya Wizara ya Fedha na Mipango kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Kuchunguza na Kudhibiti Hesabu za Serikali na Mashirika (PAC) kwa mwaka 2016/2017.

7 0 7

15

Ripoti ya Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati ya Ardhi na Mawasiliano kwa Mamlaka

18 1 19

Page 13: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

13

ya Maji Zanzibar (ZAWA) kwa mwaka 2016/2017.

JUMLA 140 32 172

Mchoro Nam. 6: Uwiano wa Michango ya Waheshimiwa Wajumbe waliochangia katika Ripoti za Wizara kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati za kwa mujibu wa Jinsia.

Jadweli Nam 11: Orodha ya Waheshimiwa Wajumbe waliochangia katika Ripoti za Wizara kuhusu Utekelezaji wa Maagizo ya Kamati kwa Mwaka 2016/2017.

SN MJUMBE IDADI

1 Mhe. Ali Suleiman Ali 14

2 Mhe. Simai Mohammed Said 12

3 Mhe. Nadir Abdul-latif Yussuf 12

4 Mhe. Suleiman Makame Ali 9

5 Mhe. Suleiman Sarahan Said 7

6 Mhe. Omar Seif Abeid 7

7 Mhe. Jaku Hashim Ayoub 6

8 Mhe. Masoud Abrahman Masoud 6

9 Mhe. Said Soud Said; Waziri Asiye na Wizara Maalum

5

10 Mhe. Shehe Hamad Mattar 5

11 Mhe. Abdalla Maulid Diwani 4

12 Mhe. Ahmada Yahya Abdulwakil 4

13 Mhe. Bahati Khamis Kombo 4

14 Mhe. Miraji Khamis Mussa 4

15 Mhe. Panya Ali Abdalla 4

16 Mhe. Rashid Makame Shamsi 4

17 Mhe. Abdalla Ali Kombo 3

Page 14: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

14

18 Mhe. Hamza Hassan Juma 3

19 Mhe. Hidaya Ali Makame 3

20 Mhe. Machano Othman Said 3

21 Mhe. Dkt. Makame Ali Ussi 3

22 Mhe. Mohammed Mgaza Jecha 3

23 Mhe. Ame Haji Ali 2

24 Mhe. Hamad Abdalla Rashid 2

25 Mhe. Harusi Said Suleiman; Naibu Waziri, Wizara ya Afya

2

26 Mhe. Juma Ali Khatib; Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum

2

27 Mhe. Juma Makungu Juma; Naibu Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira

2

28 Mhe. Maryam Thani Juma 2

29 Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri; Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali

2

30 Mhe. Mohammed Aboud Mohammed; Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais

2

31 Mhe. Mohamed Said Mohamed 2

32 Mhe. Mtumwa Peya Yussuf 2

33 Mhe. Mtumwa Suleiman Makame 2

34 Mhe. Mwanaasha Khamis Juma 2

35 Mhe. Mwantatu Mbaraka Khamis 2

36 Mhe. Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini 2

37 Mhe. Yussuf Hassan Iddi 2

38 Mhe. Ali Salum Haji 1

39 Mhe. Choum Kombo Khamis; Naibu Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo

1

40 Mhe. Khadija Omar Kibano 1

41 Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohamed; Waziri wa Fedha na Mipango

1

42 Mhe. Khamis Juma Maalim; Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora

1

43 Mhe. Lulu Msham Abdalla; Naibu Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi

1

44 Mhe. Maudline Cyrus Castico; Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto

1

45 Mhe. Mohammed Ahmada Salum; Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji

1

46 Mhe. Mohammedraza Hassanali Mohammedali

1

Page 15: BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR...BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Simu Nam. + 255 24 2230602/1 SANDUKU LA BARUA 902, Fax Nam. + 255 24 2230215

15

47 Mhe. Mussa Ali Mussa 1

48 Mhe. Nassor Salim Ali 1

49 Mhe. Salma Mussa Bilal 1

50 Mhe. Shadya Mohamed Suleiman; Naibu Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto

1

51 Mhe. Tatu Mohamed Ussi 1

52 Mhe. Ussi Yahya Haji 1

53 Mhe. Viwe Khamis Abdalla 1

54 Mhe. Zaina Abdalla Salum 1

JUMLA 172