biosecurity sehemu za kutotolesha vifaranga katika ... sehemu za...biosecurity sehemu za kutotolesha...

42
BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga 1 & Prof. U. Minga 2 1 Wakala wa Maabara ya Veterinari – Mtwara / Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo 2 Chuo Kikuu cha Tumaini - DSM

Upload: others

Post on 09-Oct-2019

28 views

Category:

Documents


2 download

TRANSCRIPT

Page 1: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA

Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

1Wakala wa Maabara ya Veterinari – Mtwara / Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo

2Chuo Kikuu cha Tumaini - DSM

Page 2: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Lengo kuu la MaadaNi kutatambua kanuni za biosecurity na njia za kuzuia

magonjwa.

Malengo mahususi ya Maada• Mwisho wa maada, washiriki waweze :

• Kujua kanuni za biosecurity;

• Kuelezea kanuni za msingi za biosecurity;

• Kuainisha njia kuu hatarishi za biosecurity;

• Kuelezea hatua za biosecurity za kuchukua kwenyemashamba kuku wazazi na sehemu za kutotolesha

Page 3: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Muhtasari wa Maada

• Somo la 1: Utangulizi wa Kanuni za Biosecurity

• Somo la 2: Hatua za Biosecurity kwenyemashamba ya kuku wazazi na sehemu zakutotolesha

Page 4: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Somo la 1: Utangulizi wa Kanuni za Biosecurity

Page 5: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Biosecurity ni nini?

Biosecurity ni njia zilizoainishwa kwa ajili yakuzuia kuenea kwa magonjwa kwenye shambala kuku au sehemu za kutotolesha.

Ni namna ya kuweka vimelea vya magonjwambali na kuku na kuku/sehemu za kutotoleshambali na vimelea vya magonjwa.

Page 6: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Biosecurity ina vipengele vikuu vitatu

• KUTENGANISHA

• KUDHIBITI MUINGILIANO

• USAFI

Page 7: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

1. KUTENGANISHA Kuleta mazingira ambayo kuku watakuwa salama kutoka kwenye

vimelea vya magonjwa – binadamu, na wanyama wengine, hewa, maji, n.k.

Kwa mfano:

Page 8: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

1. KUTENGANISHA Kuleta mazingira ambayo kuku watakuwa salama kutoka kwenye

vimelea vya magonjwa – binadamu, na wanyama wengine, hewa, maji, n.k.

Kwa mfano:

Page 9: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

2. KDHIBITI MUINGILIANO Kudhibiti kuingia kwa binadamu, wanyama, vifaa,

na magari kwenye shamba au nje ya, na ndani yashamba

Watembeleaji:– Ni wale wageni tu wenye shughuli maalumu– Wageni hawaruhusiwi kuingia ndani ya vyumba vya

kuku labda iwe muhimu sana– Wageni wanaoingia ndani ya vyumba vya kuku

wabadili nguo, viatu na kofia na gloves– Usiruhusu wanunuzi wa kuku kuingia ndani ya shamba– Weka kitabu cha wageni

Page 10: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

2. KDHIBITI MUINGILIANO Wafanyakazi wa shamba

– Usiajiri wafanyakazi wanaofuga kuku majumbanimwao

Page 11: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

2. KDHIBITI MUINGILIANO

Magari na vifaa

– Magari yasiyotumika kwa ajili ya shamba yaegeshwenje ya uzio

– Safisaha na mwagia dawa za kuua vimelea vyamagonjwa magari yoyote yanayoingia shambani

– Usiegeshe gari lolote karibu na nyumba ya kuku

Magari na vifaa vitambulike hususani: magari yachakula na tenga za kuku na makasha ya mayaivinaovyoondoka shambani

Page 12: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

2. KDHIBITI MUINGILIANO2. Matembezi ndani ya shamba

– Kuweka vizuizi kama uzio na alama kuelekeza magari na watembeleaji. – Hudumia kwanza kuku wenye afya na umalizie na wagonjwa, wadogo

umalizie na wazima

Unapoingia mabanda tofauti:

• Osha mikono

• Safisha na mwaga dawa za kuua vimelea vya magonjwa kwenyefootbath au vaa viatu rasmi kwa ajilii ya kuingilia bandani

Page 13: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Footbaths• Lazima iwe kubwa kwa ajili ya wafanyakazi kukanyaga ndani

• Lazima isafishwe na kuwa na dawa ya kuua vimelea vyamagonjwa iliyo katika hali nzuri

•Inafanya vizuri inapotumika pamojana kubadilisha viatu maalumu kwabanda

Page 14: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

2. KDHIBITI MUINGILIANO

Matembezi nje ya shamba

• Kamwe usitembelee soko la kuku hai labda iweinahitajika sana– Kama inahitajika, osha viatu kwa dawa za kuua vimelea vya

magonjwa utakaporejea shambani, oga na badili nguokabla ya kuingia mabanda ya kuku

• Kamwe usimtembelee jirani yako mwenye kuku wagonjwa na usiruhusu wafugaji wengine watembeleeshamba lako kama una kuku wagonjwa

Page 15: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

2. KDHIBITI MUINGILIANO 4. Kufanya biashara za shamba

Kununua kuku hai– Nunua tu kwa watu unawafahamu na kuwaamini– Kamwe usinunue kuku kutoka eneo ambalo kuna mlipuko

wa magonjwa– Tenganisha kuku wageni angalau kwa wiki mbili

Kuuza kuku hai– Safirisha kuku nje kwa wafanyabiashara wa kuku au – Hamisha kuku kwa wafanyabiashara wa kuku shambani

kwako au– Safirisha kuku kwenda sokoni au– Uza moja kwa moja kutoka shambani

Page 16: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

2. KDHIBITI MUINGILIANO Kuuza mayai

– Kusanya mayai kutoka mabandani – tumia makasha yamayai ya plastic siyo ya karatasi

– Kupanga mayai kwenye makasha kufanyike nje yashamba – tumia makasha ya plastic na siyo karatasi

– Kamwe usipeleke makasha ya mayai ya karatasi kutokasokoni kwenda shambani

– Kama unauza mayai moja kwa moja kutoka shambani, uza nje ya shamba

Page 17: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Kutumi tena makasha ya mayai ya karatasi – si njiasahihi!

Page 18: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

2. KDHIBITI MUINGILIANO

Tahadhari kwa watu wanaotembea shamba hadishamba

– Usitembelee mashamba zaidi ya mawili kwa siku

– Usitembelee shamba zaidi ya moja kwa siku kwenyekuku wagonjwa, oga na badili nguo/viatu mara baada

– Egesha nje ya shamba

– Nawa mikono/miguu na badili nguo kabla ya kuingiana wakati wa kutoka

Page 19: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

3. USAFISHAJI 1. Safisha na mwagia dawa za kuua vimelea kwenye vifaa mara

nyingi– Kila siku kwa vifaa vinavyotumika kwenye kuku – Kila wiki kwa eneo la kuku na vifaa vingine– Safisha kwa kuondoa mbolea kwa kutumia brush ya

kusugulia, sabuni na maji ya moto– Mwagia dawa za kuua vimelea kwenye vifaa na acha kwa

muda wa kutosha

2. Utunzaji wa vyakula– Weka mbali na wadudu kama vile panya na ndege pori– Safisha haraka chakula kilichomwagika– Usirudie kutumia mfuko wa chakula kama umetumika

Page 20: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

3. USAFISHAJI

3. Taka za kulalia– Badili taka za kulalia kila baada ya kundi– Mbolea ya taka za kulalia ili iwe salama itumike kwa

ajili kwa ajili ya kurutubisha udongo

4. Safisha na tumia dawa yakuua vimelea kwenye banda la kuku na tenga kati ya makundimbali mbali ya kuku

Page 21: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

3. USAFISHAJI

5. Kudhibiti wadudu– Weka vyakula kwenye vyombo /eneo salama

– Eneo linalozunguka nyumba ya kuku liwe safi nalisiwe na mabaki au magugu/nyasi

– Weka eneo la kubadilishia liwe safi na limepangwavizuri

– Uwe na njia za kuzuia wadudu, mitego au sumukudhibiti wadudu

Page 22: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

2. UFUGAJI KUKU WAZAZI, BIOSECURITY :

– Nyumba: (Kutenganisha, kusafishika)– Vyakula na Ulishaji: (Kiasi na ubora)

Page 23: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Namna gani ugonjwa huenea kati yamashamba

Mchoro 1: Unaelezea namna ugonjwa huenea kati ya mashamba na masoko

Page 24: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Baadhi ya njia ambazo vimelea vya magonjwahuenea:

• Kuingiza kuku wagonjwa• Kuingiza kuku ambao wamebeba vimelea vya magonjwa lakini

hawana dalili za ugonjwa

• Viatu na nguo za watu• Kugusa vitu ambavyo vina vimelea vya magonjwa• Mzoga wa kuku aliyekufa• Maji machafu kama ya mitalo inayotiririsha• Wadudu: Panya, wanyama pori na kuku• Insecta• Vitu vyenye vimelea: mifuko ya vyakula, makasha ya mayai, n.k.• Magari yenye vimelea vya mgonjwa: pikipiki, n.k.• Mazingira machafu kupitia udongo na taka za kulalia• Usafirishaji wa mayai

Page 25: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

SOMO LA 2: BIOSECURITY KWENYE SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIRAFANGA

Page 26: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

BIOSECURITY KWENYE SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIRAFANGA

• Biosecurity inaanzia kwenye shamba la kuku wazazi wanaotaga mayai ya kutotolesha.

• Kupima vifaranga/kuku magonjwa kamaSalmonella, ukusanyaji wa mayai, kusafirishahadi sehemu husika

Page 27: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Utunzaji wa mayai ya kutotolesha• Kusanya mayai kwa ajili ya kutotolesha kutoka kwenye viota

mara nyingi iwezekanavyo kuzuia maambukizi ya vimelea –x2/siku– Tumia makasha ambayo ni masafi na yamemwagiwa dawa za

kuua vimelea

Usitumie mayai machafu kwaajii ya kutotolesha

Kusanya mayai machafusehemu tofauti na mengine.

Page 28: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Utunzaji wa mayai ya kutotolesha

• Taratibu ondoa taka kwa mkono.

Tunza mayai sehemuiliyotengwa kwa ajili ya kazihiyo katika mazingirayanayopunguza upotevu wamaji.

Page 29: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Utunzaji wa mayai ya kutotolesha• Katika chumba cha kuhifadhia mayaai,

– Safisha na mwagia dawa za kuua vimelea kwenyekuta, dari, sakafu, milango madirisha na kiyoyozi.

• Safisha na mwagia dawa za kuua vimelea eneo la kuandalia mayai kila siku

• Uwe na njia bora ya kudhibiti panya na waduduwengine.

• Hakikisha jengo la kuandalia mayai lipo nalimetengenezwa kwa vifaa vinavyosafishika vizuri.

Page 30: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Namna ya kufanya usafi– Fukiza (Fumigation ) kwa kutumia formaldehyde .

• Changanya 60 gms za potassium permanganate na 120 cc 37% formaldehyde; Tumia feni kwa dakika 20.

• Ni muhimu kuvaa vifaa vya kujikinga wakati wa kufukiza(fumigation)

– Fuata maelekezo ya watengenezaji

– Mayai yaliyomwagiwa dawa za kuua vimelea kutokashambani yapelekwe moja moja kwenye makasha yakuhifadhia.

– Mayai ambayo hayajulikani usafi wake, mwagia dawaza kuua vimelea

Page 31: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Namna ya kufanya usafi• Makasha kutoka chanzo kingine cha mayai yachomwe

kama ya karatasi au yasafishwe na kumwagiwa dawa zakuua vimelea kama yanafaa kutumika tena

• Magari ya kusafirisha mayai yasafishwe na kumwagiwadawa .

• Kuwe na wheel dips au vifaa vya kunyunyizia dawamatairi sehemu ya kuingilia

• Tumia dawa ya kuua vimelea iliyonzuri

• Badili dawa kwenye sehemu ya kuogesha matairi marakwa mara kuepuka dawa kukosa

Page 32: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Namna ya kusafisha• Safisha mayai kabla ya kupoa usiku mzima na kabla ya kuhamisha kwenda

kutotolesha.

• Hakikisha vifaa vyote vilivyotumika na vipya vimesafishwa ipasanvyo nakumwagiwa dawa ya kuua vimelea kabla ya kuingia sehemu yakototoleshea

• Vifaa vinavyohamishika vinavyopelekwa sehemu ya kutotoleshea lazimavisafishwe, mwagiwa dawa za kuua vimelea na kukauka kabla ya kuinigia

• Ujenzi wa sehemu ya kutotolesha lisiruhusu panya na ndege pori nawadudu wengine ambao ni waharibifu au wasumbufu

• Endelea na njia bora za kudhibiti

• Weka mitego ya panya kukiwa na ushahidi wa kuwepo

• Weka sehemu ya kutotolesha safi kusiwe na majani majani vifaa visivyo.

Page 33: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Eneo la kutotolesha• Lazima liwe na uzio

• Alama za kuonesha katazo la kutokuingia kuzunguka uzio. – “HURUHUSIWI KUINGI” “KWA SHUGHULI ZA KIOFISI TU,”

“JIORODHESHE MAPOKEZI,” .

• Milango na geti zifungwe kwa kufuri muda wote wakati wasaa ambazo si za kazi kuzuia watu wasioruhusiwa kuingia.

• Hakuna kufuga kuku au wanyama wengine ndani yasehemu ya kutotolesha .

• Chanzo cha maji ndani ya eneo la kutotolesha ni vizuri kiwemaji yenye Chlorine ya manispaa au jiji au maji ya kisimayaliyochujwa kwa mitambo au kuweka Chlorine.

Page 34: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Sehemu ya kutotolesha• Mabawa au kuku au shughuli za uzalishaji wa mifugo

zisiwe karibu na sehemu ya kutotolesha

• Lazima iwe na sakafu na kuta zisizoruhusu majikupenya kukabili mgandamizo wa hewa ya dawa zakuua vimelea

• Endelea kutenganisha maeneo na mfumo wa hewakwa ajili ya kupokelea mayai , vyumba vya kutunzia, chumba cha kutotolesha na chumba cha vifaranga

• Hewa ipite kutoka kwenye eneo safi (kama chumbacha mayai na vitotoleshi) hadi eneo chafu (chumba cha kutotolesha, vifaranga, na mabaki ya mayaiyaliyototolewa).

Page 35: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Sehemu ya kutotolesha• Weka foot baths mlangoni eneo la kutotolesha

• Badili dawa kwenye foot bath kila siku au inapoonekana imechafuka

• Weka dawa za kusafishia mikono

• Mfanyakazi aoshe mikono na kuweka dawa kabla yakazi, wakati wa kazi, na wakati unaanza kazi nyingine– (kama kupanga mayai kwenye makasha, kuweka kwenye

kitotoleshi, kuhamisha, kupima ukuaji wa vifaranga ndaniya yai, kuchanja n.k).

Page 36: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Sehemu ya kutotolesha• Dhibiti wageni ambao hakuna umuhimu.

• Zuia waliotembelea shughuli zinazohusu kuku au kutapika na maradhi ya tumbo ndani ya saa 72

• Usafi utazuia mrundikano wa vimelea kwanyemazingira ya sehemu ya kutotolesha

• Unaweza kutumia maabara, kupima vimelea vyamagonjwa kama vipo kwenye sehemu yakutotolesha kuangalia kama njia zako za usafizimefanikiwa.

Page 37: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Sehemu ya kutotolesha• Kupima kuwepo kwa vimelea kutathibitisha uwepo

vimelea wabaya kama Salmonella kuondolewa.

• Dawa za kuua vimelea za kawaida huua vizuri bacteria familia ya Salmonella

• Dawa hizo zinafanya kazi vizuri zaidi zinapowekasehemu iliyosafishwa vizuri na sabuni na kusuuzwavizuri

• Kusafisha vitotoleshi, na sehemu ya kutotolesha nausafi wa vifaa ni zoezi muhimu sana .

Page 38: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Sehemu ya kutotolesha• Safisha vizuri kila baada ya kutotolesha

• Uchafu na kiwango cha bacteria huongezekakadiri ya muda unavyokwenda pamoja nakusafisha

• Makundi ya dawa za kuua vimelea kamahalogens (hypochlorite, iodine), aldehydes(glutaraldehyde, formaldehyde), quaternary ammonium, alcohols n.k.

– Ni muhimu kufuata sheria za nchi kuhusu madawa• Soma na kufuata maelekezo ya watengenezaji

Page 39: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Sehemu ya kutotolesha• Vaa vifaa vya kujikinga na kuepuka kuvuta hewa

yenye dawa na kugusa kwenye ngozi au macho

• Elewa kuna madawa mengine

• hayachanganywi pamoja yanaweza kupunguzanguvu au kuleta matokeo ambayo si mazuri– Kwa mfano Bleach na Acid inaweza kutoa gas yenye

sumu itakapo changanywa na Ammonia.

• Ni lazima ufuate maelekezo ya mtengenezaji. Tunza karatasi ya maelekezo ya mtengenezaji

Page 40: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

HitimishoMahitaji ya msingi ya usafi sehemu ya kutotolesha– Weka sehemu ya kutotolesha safi, na usafishe kila

baada ya kutotolesha

– Safisha na mwagia dawa ya kuua vimelea kuta zachumba cha mayai, dari, sakafu, n.k angalau marambili kila wiki

– Safisha na mwagia dawa ya kuua vimelea chumbacha vitotoleshi, dari, sakafu, feni, sehemu zakupitisha hewa kila baada ya kutotolesha au kuhamisha

• Usitumie chumba cha vitotoleshi kwa kutunza mayai

Page 41: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Hitimisho

– Safisha na mwagia dawa ya kuua vimeleamakasha ya mayai kila baada ya kuhamisha .

– Safisha na mwagia dawa ya kuua vimelea vifaa navyumba kila baada ya kutotoa

– Choma maganda ya mayai na mabaki ya mayaiyasiyokuwa na vifaranga

– Endeleza njia bora za kudhibiti panya na waduduwengine

Page 42: BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA ... sehemu za...BIOSECURITY SEHEMU ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA KATIKA MAZINGARA YA KAWAIDA Dr . Gaspar H. Chiwanga1 & Prof. U. Minga2

Asanteni