c&k habari za familia kuhusu maazimio ya covid19 · c&k habari za familia kuhusu maazimio...

1
C&K Habari za Familia kuhusu maazimio ya COVID19 D5 June 2020 | Version 1 Ili kusaidia afya na ustawi wa kila mtu kushiriki mazingira yetu ya chekechea na sehemu ya kulelea watoto tunaomba familia kufuata mwongozo wetu wa kituo. Ili kusaidia kuweka kila mtu salama, tunaomba kwamba ufuate ahadi hizi wakati unarudi kituoni. Tunauliza kwamba familia ziwe zinasaini watoto na kukubaliana na yafuatayo: Hautasimamia kutoa dawa ya kutibu homa kwa mtoto wako kabla ya kuja kwenye Kituo Utapunguza mda wa kushusha na kupakia mtoto wa mda usiozidi dakika Utaosha mikono yako nay a watoto wako mara unapofika na unapoondoka Watatumia sanitaiza ya mkono au kuosha mikono kabla na baada ya kutumia iCheck-in iPad (kama inafaa) Watafanya mazoezi ya kujitenga kijamii Watachukua mtoto wao mara moja kama wakionekana wagojwa katika kituo Watataarifu kituo kama wao au watoto wao wakipimwa COVI-19 na kutujulisha kuhusu matokeo Kama haya yafuatayo yanaihusu familia yako familia yako, tafadhali usihudhurie kituoni: Je unaumwa au kuumia kooni Umekuwa na homa katika saa 24 zilizopita Una kohoa au ugumu wa kupumua Umerudi kutoka nchi za nje na mikoa ya nje kwa safari ndani ya siku 14 Ume amuriwa na daktari au Ofisa wa Jamii wa Queensland kuweza kujitenga mwenyewe Umekuwa na mawasiliano na mtu ambaye ana ugojwa wa COVID-19 Unasubiri matokeo ya COVID-19 Tunawashukuru nyote kwa ajili ya uelewa wako wa kuweka na kudumisha mahitaji ya juu ya afya na usafi. Maswali yoyote Tafadhali uuliza Mfanyakazi wa Kusaidia Kesi (CSW) wako. Hii ni muhtasari na kama unataka kusoma nyaraka kamili, zinaweza kupatikana kwenye tovuti yetu katika https://www.candk.asn.au/coronavirus au uliza nakala kutoka kwenye kituo.

Upload: others

Post on 14-Oct-2020

2 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: C&K Habari za Familia kuhusu maazimio ya COVID19 · C&K Habari za Familia kuhusu maazimio ya COVID19 . D5 June 2020 | Version 1 . Ili kusaidia afya na ustawi wa kila mtu kushiriki

C&K Habari za Familia kuhusu maazimio ya

COVID19

D5 June 2020 | Version 1

Ili kusaidia afya na ustawi wa kila mtu kushiriki mazingira yetu ya chekechea na sehemu ya kulelea watoto tunaomba familia kufuata mwongozo wetu wa kituo.

Ili kusaidia kuweka kila mtu salama, tunaomba kwamba ufuate ahadi hizi wakati unarudi kituoni.

Tunauliza kwamba familia ziwe zinasaini watoto na kukubaliana na yafuatayo: • Hautasimamia kutoa dawa ya kutibu homa kwa mtoto wako kabla ya kuja kwenye Kituo • Utapunguza mda wa kushusha na kupakia mtoto wa mda usiozidi dakika • Utaosha mikono yako nay a watoto wako mara unapofika na unapoondoka • Watatumia sanitaiza ya mkono au kuosha mikono kabla na baada ya kutumia iCheck-in iPad

(kama inafaa) • Watafanya mazoezi ya kujitenga kijamii • Watachukua mtoto wao mara moja kama wakionekana wagojwa katika kituo • Watataarifu kituo kama wao au watoto wao wakipimwa COVI-19 na kutujulisha kuhusu matokeo

Kama haya yafuatayo yanaihusu familia yako familia yako, tafadhali usihudhurie kituoni: • Je unaumwa au kuumia kooni • Umekuwa na homa katika saa 24 zilizopita • Una kohoa au ugumu wa kupumua • Umerudi kutoka nchi za nje na mikoa ya nje kwa safari ndani ya siku 14 • Ume amuriwa na daktari au Ofisa wa Jamii wa Queensland kuweza kujitenga mwenyewe • Umekuwa na mawasiliano na mtu ambaye ana ugojwa wa COVID-19 • Unasubiri matokeo ya COVID-19

Tunawashukuru nyote kwa ajili ya uelewa wako wa kuweka na kudumisha mahitaji ya juu ya afya na usafi. Maswali yoyote Tafadhali uuliza Mfanyakazi wa Kusaidia Kesi (CSW) wako. Hii ni muhtasari na kama unataka kusoma nyaraka kamili, zinaweza kupatikana kwenye tovuti yetu katika https://www.candk.asn.au/coronavirus au uliza nakala kutoka kwenye kituo.