habari kuhusu · pdf filetuzo ya asasi bora 2006/7 ... baad a ya mafunzo,diwani wa kata ya...

4
Tuzo ya Asasi Bora 2006/7 FOMU YA MAOMBI Maelezo Juu ya Asasi UNITY IN DIVERSITY FOUNDATION (UDF) UTA W ALA BORA Jumla ya Fedha 20,287,500/= January hadi March 2007 June 2007 [email protected] NONE 0784212573 NONE P.O.BOX 6404 MBEYA TANZANIA ~ Ndiyo # o Hapana ~ Ndiyo # o Hapana DKe ~Me# HERMAN LONGO MKURUGENZI [email protected] 0784 212573 Habari Nyingine Kuhusu Asasi To diverse idle expertise, expertise unified and empowered. To identifj .. , II/lifj-, alld ofTer tmining in their respective expertise/ilr lhe purpose oj'running projects that will cO/lIribute lowards lhe increase o/Ihe nation a' ecollom)' and to ,wocure ({lid IIllwagefilllds to he provided 10 Ihe trained grantees fiJi' lIsing them in rllllning their projects. ni ya MKUTANO MKUU Wafanyakazi na nyadhifa zao HERMAN LONGO- MKURUGENZI ARON MW AKILA MWENYEKITI ANNA NKOSWE KATIBU NA MGENI MHASIBU 1 HABARI KUHUSU TUZO ENEO MAELEZO Ubunifu l1a Matokeo Toa maelezo kuhusu faida na matunda/mafanikio yaliyotokana na utekelezaji wa mradi kwa jamii iliyokuwa inalengwa na mradi husika (Mafanikio) yaliyofikiwa kwa jamii kutokana na I MADAlLIKUWAKUWAELIMISHAWANANCHIJUUYAWAJIBUNAHAKIZAO. SGA 2007 ALAMA (40) 3

Upload: trancong

Post on 05-Feb-2018

329 views

Category:

Documents


5 download

TRANSCRIPT

Page 1: HABARI KUHUSU  · PDF fileTuzo ya Asasi Bora 2006/7 ... Baad a ya mafunzo,Diwani wa kata ya Mwasanga alifika ofisini kwa UOf ... wajumbe au mkutano mkuu na majukumu yake

Tuzo ya Asasi Bora 2006/7FOMU YA MAOMBI

Maelezo Juu ya AsasiJina 121Asasi

UNITY IN DIVERSITY FOUNDATION (UDF)

Aina ya Ruzuku

UTA W ALA BORAJumla ya Fedha20,287,500/=Lini Ruzuku ilianza

January hadi March 2007Lini Mradi unamalizika

June 2007

Barua pepe

[email protected]

NONE

Simu ya Kiganjani

0784212573

Nikushi (faksi)

NONE

Anwani

P.O.BOX 6404

MBEYA TANZANIA

Je mna katiba i1iyoandikwa

~ Ndiyo #o Hapana

Je mna mpango mkakati

~ Ndiyo #o Hapana

Mtua naye aza

DKe~Me#

Jina Lake

HERMAN LONGO

Cheo Chake

MKURUGENZI

8arua pepe

[email protected]

0784 212573

Habari Nyingine Kuhusu AsasiDira (vision)

To diverse idle expertise, expertise unified and empowered.

Ma1engo (mission) To identifj .., II/lifj-, alld ofTer tmining in their respective expertise/ilr lhe purposeoj'running projects that will cO/lIribute lowards lhe increase o/Ihe nation a'ecollom)' and to ,wocure ({lid IIllwagefilllds to he provided 10 Ihe trained granteesfiJi' lIsing them in rllllning their projects.Nani anafanya maamuzi ndani ya

MKUTANO MKUU

asaSIWafanyakazi na nyadhifa zao

HERMAN LONGO- MKURUGENZI

ARON MW AKILA MWENYEKITIANNA NKOSWE

KATIBU

ANGELINA MGENI MHASIBU

1

HABARI KUHUSU TUZOENEO MAELEZO

Ubunifu l1a Matokeo Toa maelezo kuhusu faida na matunda/mafanikio yaliyotokana na utekelezaji wa mradikwa jamii iliyokuwa inalengwa na mradi husika

(Mafanikio) yaliyofikiwa

kwa jamii kutokana na I MADAlLIKUWAKUWAELIMISHAWANANCHIJUUYAWAJIBUNAHAKIZAO.

SGA 2007

ALAMA(40)

3

Page 2: HABARI KUHUSU  · PDF fileTuzo ya Asasi Bora 2006/7 ... Baad a ya mafunzo,Diwani wa kata ya Mwasanga alifika ofisini kwa UOf ... wajumbe au mkutano mkuu na majukumu yake

utekelezaji wa mradi

uliojadhiliwa naFoundation

FAIDA.

Mradi wetuumefanikiwa vizuri

(a) Tumefaulu kuwafikia walengwa wetu ambao ni Madiwani wa kata Ilomba,Mwakibete, Mwasanga na kata ya Tembela.

(b) Tumefaulu kutoa mafunzo kwa Watendaji wa kata, Wenyeviti waMitaa,watendaji wa mitaa,Maafisa kilimo na ufugaji wa kata, Waratibu Elimuwa wa kata, Maafisa Maendeleo wa kata, Machifu yaani Viongozi wanao tunza

mila za jadi wa kata zote nne, Walimu wa shule za Msingi kata zote, walimu waSecondary Kata zote, Bodi ya Maji ya kila mtaa, Mabalozi wa shina wa vyambalimbali wa kila mtaa,na kamati mbalimbali za Mitaa, pia NGO,s Zilizopo

katika maeneo yetu, kama Scout, Cam,na Correct.

MA TUNOA/MAF ANIKIO.

(a) Baada ya mafunzo. Mwenyekiti na Mtendaji wa Mtaa wa Sae wamewezakuhamasisha wananchi juu ya kufukia mashimo marefu yaliyopo barabara yaSAE kwenda Ilomba Sekondari. Wamehamasisha wenyeji waliopo kandokando

ya barabara kujitolea kutoa mchango wa shilingi Elfu kumi kila mmmoja nawalipata jumla ya sh~OO,OOO/=fedha tasilimu na wakakodi gari. Wananchiwalijitolea wa kuchimba kifusi cha mchanga na kukimwaga kwenye barabarahiyo ambayo ilikuwa haipitiki kutokana na uharibifu uliofanywa na malorimakubwa yanayosomba mchanga wa kujengea nyumba kutoka Ituha kwenda

Mjini Mbeya. Wenyeji wa Mtaa wa Sae waliamua kufungia magari yao ndani nakuamua kutembea kwa miguu kwa sababubu ya barabara kutopitika kwa hiyobarabara lakini sasa barabara hiyo imeanza kupitika.

(b) Baada ya Mafunzo, bodi ya maji ya mtaa wa Ituha imewafukuza kazi katibu wa

bodi ya maji na msaidizi wake baada ya kubani kuwa aliisumbua Asasiisiyokuwa ya kiserikali ya Unity In Diversity Foundation (UOF) ilipokuwaikiwasaidia wananchi wa mtaa wa Mtaa wa Tonya kuvuta maji kutoka kwenye

Intake na kugawa kweye Mtaa mzima.(c) Baad a ya mafunzo,Diwani wa kata ya Mwasanga alifika ofisini kwa UOf

kuomba UOF imsaidie kutoa semina ndogo ya namna ya kuunda Vikundi

kusudi viweze kusajiri kama NGOs maana hakuna NGO hata moja kwenyeKata yake na UOF tayari imekwenda kule kutoa hayo mafunzo na tayarivikundi vya akina mama vimeanza kupatikana kule mwasanga vikitakakujisajiri kama NGOs.

(d) Baada ya Mafunzo. Watendaji wa mitaa y a Tonya, Reli,Ituha, Hayanga, IS05O,bombambili wakisaidiana na walimu wa shule za misingi za mwasanga,

Isongwi,Ruanda-Nzovwe, na Mwasanga na Tembela wamewakamata wazazi 20ambao walikuwa hawawapeleki watoto wao shule. Wazazi hao wametozwafaini ya sh 20,000/=. Kila mmoja na kuambiwa kuwanunulia vifaa vya shulewatoto wao.

(e) Baada ya Mafunzo. Imepitishwa agenda kuwa wafanyakazi wa nyumbani

ambao hawajamaliza darasa la saba waandikishwe kwenye madarasa ya MEMkwa hiyo watoto wengi wa kike waliokuwa wakifanya kazi katika nyumba zawatu katika kata ya Ilomba na Mwakibete kata hizo zipo Jijini Mbeya tayariwameandikishwa kwenye madarasa ya MEM yapata watoto 20.

(f) Baada ya Mafunzo Chifu wa Mtaa wa Tonya ametoa eneo kubwa sana kwa ajili

ya kujenga Shule ya Msingi ya Mtaa wa Tonya na Sekondari ya Mtaa, alilokuwaakilimiliki yeye kama Chifu. Pia alilaani vikali kitendo kilichofanywa na bibiyake miaka ya 1950's cha kuwakatalia wamissionari wakatoliki waliokuja eneohilo na kumwomba babu yake awapatie eneo la kujenga shule ya sekondary Bibiyake Alikataa na alivua nguo zote mbele ya hao wamissionari na akachukuaungo na ulezi akaanza kupepeta ulezi huku akiwalaani hao wamissionari wasijetena mahali hapo na kunyang'anya ardhi yao. Wamissionari hao waliamuakwenda kujenga Sekondari, Katika Parokia ya Irambo ambayo Mpaka sasainaitwa Irambo Secondary School.

(g) Baada ya Mafunzo, Chifu wa Ituha amemweleza Mwenyekiti wa Mtaa wa Ituhakwamba kuna watu wamejenga eneo ambalo lilikuwa ni kiwanja cha shule ya

msingi cha Isongwi iliyopo Ituha na mwenyekiti wa mtaa pamoja na Mtendaji

SGA 2007 4

Page 3: HABARI KUHUSU  · PDF fileTuzo ya Asasi Bora 2006/7 ... Baad a ya mafunzo,Diwani wa kata ya Mwasanga alifika ofisini kwa UOf ... wajumbe au mkutano mkuu na majukumu yake

2 Ushirikishwaji wa kllndi au

jamii lengwa ili kuhakikishalIendelevu wa mradi hata

bnnda ya mradi kunzalizika

wa Mtaa wamelifuatilia hilo na wakabaini kuwa ni kweli na watu waliojenga

maeneo h,:Yo ya shule wameamriwa kuondoka bila malipo kwa maanawalielezwa huko nvuma lakini wakakaidi kuhama.

Toa maelezo yanayoonesha jinsi ambavyo jamii imehusishwa katika utekelezaji wa I (20 alama)mradi ili kuwawezesaha wao (walengwa) kumuliki mchakato mzima wa mradi nakuhakikisha kuwa wanafanya utetezi kuhusu maendeleo yao.

Tumeunda Kamati ndogondogo za ufuatiliaji wa matatizo yafuatayo(a) Watendaji wanaokula rushwa katika kesi mbalimbali za wananchi hasa

kwa wale wasio na kipato chochote. Kila mtaa kuna kamati yake.(b) Kushughlikia haki za watoto na walemavu kwenda shule.Kamati

itahakikisha kwamba kila mototo aliyepo mtaani hapo anakwenda bilakujali aina ya ulemavu alio nao.

(c) Huduma za maji kila mtaa. Kuhakiksha kwamba kPa mtaa una maji yakutosha jamii katika mtaa husika.

(d) Huduma kwa wagonjwa wa ukimwi; Kuhakikisha kwamba kila mtu

aliyeathilika na ugonjwa anapata huduma sahihi na haambukizi VirusiVinavyosababiasha Ukimwi katka mtaa husika.

(e) Haki za wanawake; Kamati itahakikisha kwamba hakuna aina yeyote ileya unyanyasaji wa jinsia katika mtaa wao kama mirathi, ardhi, n.k.

(f) Huduma kWil watoto welioadhirika nilugonjwa wa ukimwi; kuhakikishakwamba kila mtoto aliyeathirika na Ukimwi au aliyefiwa na wazazi wakewote anakwenda shule na kupata mahitaji sawa kwa wote.

(g) Kuanzishwa kwa mifuko ya watoto yatima kila mtaa; Kamati itaanzishana kuratibu mfuko wa watoto yatima wa mtaa utakao wasaidia watotowote wasionauwezo wa kwenda shule.

3 Ujenzi wa Mitandao, na

ubia kati va AZAKi, sekta

binafsi na serikali za

mitaa/madiwani au wabunge

Toa maelezo kuhusu jukumu ambalo shirika lako limetekeleza ili kuimarishami tandao ka ti ya asasi za kiraia na sekta binafsi serikali.

UDF imejiunga na Mtandao wa asasi zisizo kuwa za kiraia. Mtandao wa Mkoaunaoitwa MBEYA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATIONS NET WORK

(MBENGONET) na Mtandao wa Wilaya Unaoitwa CINGONET. UDFimechaguliwa, kuwa Katibu Mkuu wa Wilaya ya Mbeya City Non GovernmentalOrganizations Network.(CINGONET) Pia UDF kwenye mtandao wa Mkoa yukokwenye Secretariati ya MBENGONET. Pia UDF imejiunga na Mtandao waUkimwi wa Mkoa unaoitwa MBEYA AIDS TANZANIA. Pia UDF ni

mwanachama wa Mtandao wa Jinsia hapa Mbeya bado haujasajiliwa. Pia UDFinakaribishwa kwenye Vikao vya WOOS vile Vikao vya kamati za kata.nakuchangia mawazo kama wadau wa eneo husika.

Kwenye Sekta Binafsi UDF ni Mwanachama wa Tanzania Chamber ofCommerce. Pia UDF ni mwanachama wa kikundi cha Wamachinga(Wadau)mjini Mbeya. UDF ni Katibu wa chama hicho. Pia UDF imekuwa ikitoa seminaza uendeshaji wa biashara ndogondogo kwa Machinga hao. Pia UDF imekuwaikiwafundisha suala la Semina ya Ukimwi kwa Machinga,Vinyozi, wasukaji waNywele na Urembo (Hair Dreesing Saloon),na wasichana wanauza Bia kwa BaaMbalimbali hapa Mbeya.

(20 alama)

4 Utawala Bora, Uwazi,

uwajibikaji katika ngazi ya

mradi na ngazi ya asasi

BGA 2007

Elezea juu ya muundo wa shirika lenu na mgawanyo wa madaraka kama kuna I (10 alama)bodi, sekretariati, wajumbe au mkutano mkuu na majukumu yake. Elezea namnamaamuzi yanavyofanyika na kama kuna sera au miongozo iliyoandikwa.

MUUNDO WA SHRIKA LA UDF

5

Page 4: HABARI KUHUSU  · PDF fileTuzo ya Asasi Bora 2006/7 ... Baad a ya mafunzo,Diwani wa kata ya Mwasanga alifika ofisini kwa UOf ... wajumbe au mkutano mkuu na majukumu yake

Kiongozi waIDARA YA FEDHANA UTAWALA

-----------MWENYEKITI-m----m--KATIBU_________ m_ MHASIBU

-- ----.----- ---------- ----- ----- ------- -- -,---- ---------------- ----

Kiongozi wa Kiongozi waaendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto

\

1. MKUTANO MKUU;ndiyo chombo chenye mamlaka ya juu katika shirika.Unapitisha mipango yote ya mwaka, kutathimini kazi zililifanywa mwakauliotangulia. Pia mkutano mkuu wa mwaka ndiyo wenye mamlaka yakumwajibisha mtendaji mkuu wa shirika iwapo kutatokea matatizo yoyote.2. MKURUGENZI MTENDAJI; ndiye Mtendaji wa shughuli zote za kila siku zashirika.Nyingi ya shughuli hizo ni zile zilizopitishwa na Mkutano Mkuu Pam,ojana zile zilizopo kwenye utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Shirika.3. MWENYEKITI, KATIBU, MHASIBU Ndio washauri wa Mkurugenzi kwashushuli zote za kila siku.

4. KIONGOZI WA IDARA YA FEDHA; ndiye anayeratibu fedha zote zashirika.Na anawajibika kw Mkurugenzi wa Shirika5. KIONGOZI WA MAENDELEO YA JAMII huyu ndiye anahusika nautekelezaji wa shughuli zote za miradi ya jamii kama miradi ya maji,Ukimwi.Na anawajibika kwa Mkurugenzi wa shrika.6. KIONGOZI WA JINSIA NA WATOTO; Huyu kazi ya ni kuratibu shughulizote za watoto tunaowasaidia ada za shule,chakula, na kuhakiksha kwamba haki

za akina mama nawatoto zinalindwa popote pale alipo. Pia naye anawajibikakwa Mkurugenzi wa Shirika

7. WALINZI Hawa wanawajibika moja kwa moja kwa Mkurugenzi wakisaidiwana kiongozi wa Idara ya fedha.

Kllmbllka kllamballisha yafuatayo

Maelezo mafupi ya ushuhuda kutoka kwa jamii au kundi lengwa la mradi (maelezo mafupi ya watuangalau wane) waliofaidika na mradi uliofadhiliwa na the Foundation;

• Barua walau mbili kutoka kwa viongozi (wa kijiji au kata, au diwani au kiongozi yeyote wa wilaya aumkoa) ambao watasema kwanini asasi yako inastahiri kupewa ushindi katika en eo ulioombakushindania.

• Vielelezo vingine kama mkanda wa video, picha na maelezo yake kuhusu mradi wenu.

BGA 2007 6