Transcript
Page 1: 2. Kifaa cha msingi - koinonia-education.com · KIFAA CHA MSINGI 1 • Malengo mawili tunapotafuta kuelewa maandiko: • 1. Mungu alikuwa na ujumbe gani wakati ule kwa watu wale •

KIFAA CHA MSINGI 1• Malengo mawili tunapotafuta kuelewa maandiko:

• 1. Mungu alikuwa na ujumbe gani wakati ule kwa watu wale • 2. Mungu ana ujumbe gani wakati huo kwetu

• Ndani ya Biblia yetu kuna vitabu ya aina mbali mbali. • Tunahitaji kufahamu namna ya kufanya kazi na kila aina ya kitabu • Tunahitaji kutofautisha mashauri, kanuni na mifano. • Cha kufuata na cha kujihami nayo…..

• Kwa bahati nzuri kuna taratibiu za kufuata • Tutaangalia hizo taratibu kwanza sasa lakini pia tunapoangalia

aina zote za vitabu. • Pia tutaangalia vifaa vya kutusaidia katika kazi hii

Page 2: 2. Kifaa cha msingi - koinonia-education.com · KIFAA CHA MSINGI 1 • Malengo mawili tunapotafuta kuelewa maandiko: • 1. Mungu alikuwa na ujumbe gani wakati ule kwa watu wale •

KIFAA CHA MSINGI 2• Kazi ya kwanza Exegeses (utafiti wa maandiko)

• 1. Mazingira ya kihistoria yalikuwaje? • Muda na mazingira ni muhimu kufahamu • Kwa nini yanaandikwa?

• 2. Uhusiano ya maandishi • Jinsi neno tunalolisoma linahusiana na maneno mengine • Maana au ”point” ya andiko ni nini? • Mawazo ya mwandishi kabla na baada ya andiko ”letu” • Ni mafundisho (dogma) au mfano (kielelezo)

• 3. Kufahamu maana ya mwandishi kwa walengwa wake. • Mfano 2Kor 5:16b

Page 3: 2. Kifaa cha msingi - koinonia-education.com · KIFAA CHA MSINGI 1 • Malengo mawili tunapotafuta kuelewa maandiko: • 1. Mungu alikuwa na ujumbe gani wakati ule kwa watu wale •

KIFAA CHA MSINGI 3• Kazi ya pili Hermeneutics (maana ya maandiko kwetu)

• Kama utaweza kufahamu vizuri maana ya ”hapa na sasa” lazima uwe umefanya kazi nzuri ya ”pale na wakati ule”. Maana ya sasa haiwezi kupinga maana au ujumbe wa wakati ule.

• Ukianza ”hapa na sasa” ni rahisi kufanya kosa ya kutafuta ”nguvu” y hoja yako kwenye maandiko ambayo yakichunguliwa huenda yatakuwa na maana nyingine na ile unayojaribu kuipigia debe…. • Mifano

• Ubatizo wa waliyokufa (Mormons) Msingi 1Kor 15:29 • Theologia ya kufaulu (Mkristo lazima afaulu katika kila

shughuli) Msingi 3Yoh 2

Page 4: 2. Kifaa cha msingi - koinonia-education.com · KIFAA CHA MSINGI 1 • Malengo mawili tunapotafuta kuelewa maandiko: • 1. Mungu alikuwa na ujumbe gani wakati ule kwa watu wale •

KIFAA CHA MSINGI 4• Vifaa vy akutumia:

• Biblia • Tafsiri zaidi ya moja ya Biblia ikiwa nyingi vizuri zaidi

• Kamusi ya Bibilia • Kitabu cha muongozo ya Biblia • Commentary ya Bibilia

• Sasa tutaanza kupitia aina za vitabu na kuangalia taratibu zinazotumika kwa kila sehemu. Tunaanza na masimulizi za Agano

la Kale


Top Related