Transcript
Page 1: Madhara ya Vitoboa-bua na viluwiluwi. Bungua mtama ...hope.icrisat.org/wp-content/uploads/2013/10/Kilimo-Bora...Viluwiluwi na nondo t Kuzuia • Kuvuna mapema • Kukausha kikamilifu

Madhara ya Vitoboa-bua na viluwiluwi. Kuzuia• Kupandamapema• Kuondoa na kuchoma mabua ya msimu

uliopita• Kutumiambeguzenyeustahimilifu• Kutumia madawa ya kunyunyizia kama

vile aina ya chembechembe za Bulldockinayowekwakwenyemimeayaumriwawawiki4kuzuia“vitoboabua”

Waduduwaharibifuwamasukenapunjei) Sorghum midge (Contarina sorghicola)

Madhara huletwa na viluwiluwi wanaokulandani ya kiini cha mbegu punjena kuzuiaukuaji wa mbegu na kuleta mapepe yambegu

Kuzuia:• Upandajimapemanakwawakatimmojawa

mtamakwenyeeneokubwa• Mbeguborazamtama/auchotarazamtama

zinazostahimilimadhara• Matumizi ya madawa kama Endosulfan,

Ambush,MarshalauKarate.

Vichwa vilivyodhuriwa na Midge

Wadudu hifadhiWadudumuhimukatikamaghalayakuhifadhiamtamanikamabunguananondo.i) Bungua-mahindi ( Sitophilus zeamais) na

Bunguamtama-Sitophilusoryzae).Bunguana viluwiluwi huharibu mbegu na kuifanyaisiwenamatumiziyoyote.

(a) Bungua mpunga (b) Nondo wa punje – Viluwiluwi na nondo t

Kuzuia• Kuvunamapema• Kukaushakikamilifu• Kutumiamaghalayakuhifadhiayenyeubora

naambayoyanapitishahewavizuri• Kusafishaghalanakuwekadawawiki6kabla

yakuvuna.NyunyiziadawakamavileActellicSuper,Malathionaupyrethrumdust.

NdegeKunandegekamaqueleaquelea,vilenanjiwa.Kuzuia• Kupanda mapema mbegu zinazokomaa

wakatimmojakatikamaeneoyakaribukaribu.• Kutumia nyaya zamiali kama vile ribbons,

aluminumfoils,kanda.• Mikebe ya mawe iliyofungwa na kamba ili

kutoasautiwakatikambaikivutwa• Kuvunawakatiunaofaa• Kuharibumaeneoyakuzalianandege• Kutumiaainazamitamazenyeuchachu

Kilimo Bora cha Mtama

InternationalCropsResearchInstitutefortheSemi-Arid-Tropics

Kwa maelezo zaidi Dryland Cereals Program

ICRISAT-Nairobi, UN-Ave, Gigiri, Box 39063-00623, Nairobi-Kenya

Page 2: Madhara ya Vitoboa-bua na viluwiluwi. Bungua mtama ...hope.icrisat.org/wp-content/uploads/2013/10/Kilimo-Bora...Viluwiluwi na nondo t Kuzuia • Kuvuna mapema • Kukausha kikamilifu

KILIMO BORA CHA MTAMA Utangulizi

Mtamanizaolachakulanabiashara.Nizaomuhimu katika maeneo yanayokabiliwa

na ukame na pia sehemu ambazo udong unarutubayawastani.Utafitiwazaohiliumewezakutoa teknolojiambalimbaliambazozinawezakutumiwa ili kuongeza tija katika uzalishaji.Teknolojiahizizikokwenyeuwezowawakulimanakipeperushi hiki kinaelezeakilimobora chamtama

Utayarishaji wa shamba Tayarishashambailiudongouwelainikurahisishauotaji.Kamashambalimelimwanatrektainabidilipigweharonaikiwalimetayarishwakwajembela mkono, mabonge mabonge ya udongoyanatakiwayavunjwe

Kiasi cha mbegu Upandaji kwenye mistari pasipo kupungiziakunahitaji kilo 7hadi 8 kwahektanaupandajikwamashineunahitajikilo8hadi10kwahekta

UpandajiUnaweza kupanda kwenye vumbi kabla yamvua kunyesha, au wakati mvua zinapoanzaau,wakatimvuazimenyeshazakutosha.Kina:Kupandakwenyevumbicm5.0–6.0;Kupandakwenyeudongowenyeunyevucm2.5–4.0Nafasi:Sehemuzaunyevumwingi:60cmx20

cm(cm60katiyamstarinamstarinacm20katiyashinanashina);Maeneomakame:cm75xcm20aucm90xcm30

Mbolea: AinambalimbalizamboleanasamadizinatumikakuongezarotubayaudongoSamadi:Inatakiwaisambazwekwenyeshambanakulimiwachiniauiwekwekwenyemistarinakuchanganywa na udongo kabla ya kupanda.Kiasikilichopendekezwanitani5-10kwahektanaiwekwemwezimmojakablayakupanda.

MboleaKablayakupanda:MboleaainayaDAP,20:20:0,23:23:0katikakiwangochakilo20kgNna~20kiloP2O5kwaeka,iwekwewakatiwakupandanakablayakupandambegu.Top dressing: Kilo 20 N za mbolea aina yaUrea,CAN. Iwekwepemebenimwamimeanahakikisha inawekwa wakati kuna unyevu wakutoshawakuyeyushamboleavizuri

Palizi Palizi lifanyike mara mbili. Palizi la kwanzalifanyikewiki2-3baadayambegukuota.DawazakuuamaguguzinazowezakutumikaniainayaLassoauGesaprim(kablayakuota)na2,4D(baadayakuota)

Kupunguzia Mimeaipunguziweikiwanawiki3-4baadayakuotanaipunguziwewakatiudongounaunyevuwakutoshakupunguzamadharakwamimea.

Ukame na aina ya udongo Ukama ni moja wapo ya madhara makubwayanadhurumtamaunaotegemeamvua.Ukameunawezakutokeakablaaubaadayakuchanua.Madhara ya ukame yanaweza kuepukwa kwakupandamapemanakupandaaina zambeguzinazowahi au kuvumilia ukame au kutumiambinumbalimbalizakuhifadhimaji.

Wadudu Waharibifu:i) Inziwabua(Antherigonasoccata)Madhara yanatokea siku 7 hadi 30 baada yakuota.Viluwiluwiwanakulandaniyammeanakusababisha dalili za moyokufa (deadheart).Ucheleweshajikupandahuongezamadhara.

Picha 1a Inzi wa bua;1b Mmea mchanga ulioathiriwa

ii)Vitoboa-bua(StemborersChilopartellus)

Dalili ni vidirisha vidogo kwenye majanimachanga.Viluwiluwihutoboabuanamimeamichangainaonyeshamoyokufa(deadhearts).


Top Related