hake kijaridana 3k 2012 ahadi za serikali 2012: tutegemee nini … govn promise... ·...

2
Ahadi za Serikali 2012: Tutegemee nini katika elimu? Sekondari (MMES II), imeten- ga jumla ya shilingi bilioni 56.3 kwa ajili ya kukamilisha miun- dombinu muhimu ya shule 264. Miundombinu hii ni pamoja na maabara, maktaba, madarasa, nyumba za walimu, vyoo na kuweka umeme. Aidha, Serikali imewaelekeza wakuu wa shule kutumia asilimia 50 ya fedha za ruzuku ya uendeshaji (capita- tion grant) kununulia vifaa kama vitabu na kemikali kwa ajili ya maabara za shule za sekond- ari. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo A. Mulugo, alieleza haya Bunge- ni Julai 24, 2012, akijibu swali la Mh. Susan Lyimo, Mbunge Viti Maalum, kuhusu madai ya walimu na upungufu wa vifaa mashuleni. Kuboresha elimu katika shule za kata Serikali itaendelea na mkakati wa kuajiri na kuwapanga walimu katika shule za sekondari kadri wanavyohitimu na kufaulu na ifikapo mwaka 2014 Serikali itakuwa imeweza kukabili upun- gufu huo kwa asilimia 90 ya ma- hitaji ya walimu nchini. Aidha, ili kuboresha utoaji wa elimu, hasa kwa masomo ya sayansi, maele- kezo yametolewa kwa wakuu wa shule wote kwamba fedha za ruzuku kwa mwanafunzi (capi- tion grant) asilimia 50 zinapaswa kutumika kununua vitabu na vifaa vya maabara pamoja na kemikali. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), ili kubaini uwezekanao wa shule zote za msingi na sekondari nchini kutumia umeme wa jua. Naibu Waziri alibainisha hayo Bungeni siku hiyo, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Diana Chilolo, aliy- etaka kujua serikali ina mpango gani wa kupeleka umeme wa jua katika shule za sekondari, ili kuziwezesha kutumia vema maabara. Chilolo alisema ingawa shule zote za sekondari zinataki- wa kuwa na maabara, lakini ny- ingi hazina umeme, hivyo alitaka kujua serikali imeweka mipango gani ya kuhakikisha kila shule na zahanati zinapatiwa umeme wa jua. Akijibu swali hilo, Sim- bachawene alisema serikali in- aangalia uwezekano wa kutenga fedha kwa ajili ya kufunga mit- ambo ya kuzalisha umeme jua kila shule ya msingi na sekond- ari nchini. Hata hivyo, alizitaka halmashauri nchini kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwa ajili ya kununua mitambo ya kuzalisha umeme jua kwa shule za msingi, sekondari pamoja na zahanati. Kwa kuzingatia umuhimu wa huduma ya umeme katika shule ya sekondari Puma iliyopo Wilaya ya Singida, Serika- li, kwa kushirikiana na TANES- CO, itaingiza mradi huu kwenye maombi ya fedha ya bajeti ya shirika kwa mwaka 2013. Upungufu wa vifaa katika shule za sekondari Katika mwaka wa fedha 2012/13, Serikali, kupitia Mpan- go wa Maendeleo wa Elimu ya HakE Kijarida Na 3k 2012 Majaliwa K. Majaliwa, alieleza haya Bungeni Julai 31, 2012, alipokuwa swali la Mh. Maria I. Hewa Mbunge Viti Maalum, kuhusu kuboresha elimu katika shule za kata wilayani Geita. Naibu waziri alisema Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo wa Elimu ya Sekondari (MMES II) imetenga shilingi milioni 450 katika mwaka 2012/2013 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya shule za sekondari za kata za Bugarama na Nyungwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita. Uboreshaji wa miundombinu hiyo utahusisha pia ujenzi wa maabara katika shule hizo. Ruzuku kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMES) umed- hamiria kufikia kiwango cha ru- zuku cha shilingi 25,000/= kwa kila mwanafunzi kwa mwaka 2012/2013 kupitia mkopo wa Benki ya Dunia. Kwa mwaka wa fedha 2012/2013, Serikali imet- enga fedha jumla ya shilingi bil- ioni 52 kwa shule za msingi, na bilioni 41 kwa shule za sekond- ari. Serikali itahakikisha kwamba fedha hizi zinafika kwenye shule za msingi na sekondari. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Majaliwa K. Majaliwa, alieleza haya Bungeni Agosti 1, 2012, akijibu swali la Mh. John J. Mnyika, Mbunge wa Ubungo, kuhusu ruzuku kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. S.L.P 79401 Dar es Salaam Tanzania. Simu (255 22) 2151852 Faksi (25522) 2152449 [email protected] www.hakielimu.org HakiElimu inawezesha wananchi kuleta mabadiliko katika elimu na demokrasia

Upload: others

Post on 30-Dec-2019

3 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Ahadi za Serikali 2012:Tutegemee nini katika elimu?

Sekondari (MMES II), imeten-ga jumla ya shilingi bilioni 56.3 kwa ajili ya kukamilisha miun-dombinu muhimu ya shule 264. Miundombinu hii ni pamoja na maabara, maktaba, madarasa, nyumba za walimu, vyoo na kuweka umeme. Aidha, Serikali imewaelekeza wakuu wa shule kutumia asilimia 50 ya fedha za ruzuku ya uendeshaji (capita-tion grant) kununulia vifaa kama vitabu na kemikali kwa ajili ya maabara za shule za sekond-ari. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo A. Mulugo, alieleza haya Bunge-ni Julai 24, 2012, akijibu swali la Mh. Susan Lyimo, Mbunge Viti Maalum, kuhusu madai ya walimu na upungufu wa vifaa mashuleni.

Kuboresha elimu katika shule za kata Serikali itaendelea na mkakati wa kuajiri na kuwapanga walimu katika shule za sekondari kadri wanavyohitimu na kufaulu na ifi kapo mwaka 2014 Serikali itakuwa imeweza kukabili upun-gufu huo kwa asilimia 90 ya ma-hitaji ya walimu nchini. Aidha, ili kuboresha utoaji wa elimu, hasa kwa masomo ya sayansi, maele-kezo yametolewa kwa wakuu wa shule wote kwamba fedha za ruzuku kwa mwanafunzi (capi-tion grant) asilimia 50 zinapaswa kutumika kununua vitabu na vifaa vya maabara pamoja na kemikali. Naibu Waziri Ofi si ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu),

ili kubaini uwezekanao wa shule zote za msingi na sekondari nchini kutumia umeme wa jua. Naibu Waziri alibainisha hayo Bungeni siku hiyo, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Diana Chilolo, aliy-etaka kujua serikali ina mpango gani wa kupeleka umeme wa jua katika shule za sekondari, ili kuziwezesha kutumia vema maabara. Chilolo alisema ingawa shule zote za sekondari zinataki-wa kuwa na maabara, lakini ny-ingi hazina umeme, hivyo alitaka kujua serikali imeweka mipango gani ya kuhakikisha kila shule na zahanati zinapatiwa umeme wa jua. Akijibu swali hilo, Sim-bachawene alisema serikali in-aangalia uwezekano wa kutenga fedha kwa ajili ya kufunga mit-ambo ya kuzalisha umeme jua kila shule ya msingi na sekond-ari nchini. Hata hivyo, alizitaka halmashauri nchini kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwa ajili ya kununua mitambo ya kuzalisha umeme jua kwa shule za msingi, sekondari pamoja na zahanati. Kwa kuzingatia umuhimu wa huduma ya umeme katika shule ya sekondari Puma iliyopo Wilaya ya Singida, Serika-li, kwa kushirikiana na TANES-CO, itaingiza mradi huu kwenye maombi ya fedha ya bajeti ya shirika kwa mwaka 2013.

Upungufu wa vifaa katika shule za sekondari Katika mwaka wa fedha 2012/13, Serikali, kupitia Mpan-go wa Maendeleo wa Elimu ya

HakE Kija

rida

Na 3k 20

12Majaliwa K. Majaliwa, alieleza haya Bungeni Julai 31, 2012, alipokuwa swali la Mh. Maria I. Hewa Mbunge Viti Maalum, kuhusu kuboresha elimu katika shule za kata wilayani Geita. Naibu waziri alisema Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo wa Elimu ya Sekondari (MMES II) imetenga shilingi milioni 450 katika mwaka 2012/2013 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya shule za sekondari za kata za Bugarama na Nyungwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita. Uboreshaji wa miundombinu hiyo utahusisha pia ujenzi wa maabara katika shule hizo.

Ruzuku kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondariMpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMES) umed-hamiria kufi kia kiwango cha ru-zuku cha shilingi 25,000/= kwa kila mwanafunzi kwa mwaka 2012/2013 kupitia mkopo wa Benki ya Dunia. Kwa mwaka wa fedha 2012/2013, Serikali imet-enga fedha jumla ya shilingi bil-ioni 52 kwa shule za msingi, na bilioni 41 kwa shule za sekond-ari. Serikali itahakikisha kwamba fedha hizi zinafi ka kwenye shule za msingi na sekondari. Naibu Waziri Ofi si ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Majaliwa K. Majaliwa, alieleza haya Bungeni Agosti 1, 2012, akijibu swali la Mh. John J. Mnyika, Mbunge wa Ubungo, kuhusu ruzuku kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.

S.L.P 79401 • Dar es Salaam • Tanzania. Simu (255 22) 2151852 • Faksi (25522) [email protected] • www.hakielimu.org

HakiElimu inawezesha wananchikuleta mabadiliko katika elimu nademokrasia

Ujenzi wa vyuo vya ufundi Serikali imeandaa mpango wa ujenzi wa vyuo vya ufundi sta-di vya wilaya. Katika hatua ya kwanza, mpango huu umefanya utambuzi wa mahitaji ya stadi zinazohitajika kufundishwa ka-tika wilaya 43 ikiwa ni pamoja na wilaya ya Bukombe. Ujenzi wa vyuo katika wilaya hizo umepangwa kutekelezwa katika awamu mbili ambapo wilaya ya Bukombe ipo katika awamu ya kwanza. Aidha, kwa mujibu wa mpango huo, katika mwaka huu wa fedha (2012/13), ujen-zi utaendelea katika wilaya za Kilindi, Ukerewe, Chunya na Namtumbo. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo A. Mulugo alieleza haya Bungeni Julai 16, 2012, akijibu swali la Mh. Prof. Kulikoyela K. Kahigi, Mbunge wa Bukombe,

24 kwa ajili ya kununua vifaa vya maabara zinazoitwa ‘mo-bile labs.’ Katika mwaka wa fedha 2012/2013 Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo imet-engewa fedha kwa ajili ya miun-dombinu mbalimbali ikiwemo maabara na madarasa; maabara zimetengewa shilingi milioni 108 na madarasa shilingi milioni 144. Halmashauri ina jukumu la kusimamia matumizi sahihi ya fedha hizi ili kukamilisha miradi ya zamani ikiwemo ukamilishaji wa ujenzi wa maabara na mak-taba katika shule ya sekondari Vigwaza, kabla ya kuanza mi-radi mipya. Naibu Waziri, Ofi si ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Ag-grey Mwanry, alieleza haya Bun-geni Julai 3, 2012 wakati akijibu swali la Mh. Zaynabu M. Vullu, Mbunge Viti Maalumu kuhusu kukamilisha ujenzi wa shule ya sekondari kata ya Vigwaza.

Upungufu wa walimu wa hi-sabati na sayansi BahiIdadi ya walimu wa masomo ya sayansi na hisabati ni ndogo sana ikilinganishwa na idadi ya walimu wa masomo ya sayansi jamii. Katika mwaka wa fedha 2011/2012 walimu wapya walio-pangwa vituoni ni 13,639. Kati yao, 1,966 (sawa na asilimia 14.4 tu) ndio waliosomea masomo ya hisabati na sayansi. Serikali, ku-pitia Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari, inatekeleza mikakati mbalimbali ili kupun-guza tatizo la upungufu wa walimu wa masomo ya hisabati na sayansi. Mradi wa kutoa ma-funzo ya awali kwa wanafunzi wa kidato cha sita waliochukua

kuhusu tatizo la vijana kutoen-delea na masomo.

Ujenzi wa chuo cha ufundi Tarime Serikali itajenga vyuo vipya au kutumia vyuo vya maendeleo ya wananchi (Folk Development Colleges, FDCs) kutoa mafunzo ya ufundi stadi katika ngazi ya wilaya. Aidha, katika kutekeleza mpango huo, kipaumbele ki-tatolewa kwa kuanza na wilaya ambazo hazina vyuo vya ufundi stadi. Katika wilaya zenye vyuo vya maendeleo ya wananchi, Serikali imepanga kutumia shi-lingi bilioni 4.2 kwenye Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto kwa ajili ya ukarabati wa vyuo hivyo. Chuo cha Tarime kitakarabatiwa na kuwezeshwa kutoa mafunzo ya ufundi stadi ngazi ya mkoa sambamba na

masomo ya sayansi wenye ufau-lu mdogo unatarajiwa kuanza mwaka 2012/2013 kwa ufadhili wa Benki ya Dunia na utanufai-sha wanafunzi 1,500 ambao hati-maye watakuwa ni walimu wa sayansi tu. Naibu Waziri Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo A. Mulugo, alieleza haya Bunge-ni Julai 25, 2012 akijibu swali la Mh. Omary A. Badwel, Mbunge wa Bahi, kuhusu upungufu wa walimu wa hisabati na sayansi.

Fedha za kusomesha watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu Katika mwaka wa fedha 2012/2013, Mkoa wa Shinyanga umetenga shilingi 67, 250, 000/- kwa ajili ya kusomesha watoto 2,579 wanaoishi katika mazin-gira magumu kwa mchanganuo ufuatao:- Kahama, watoto 1,655 wametengewa Sh 35, 950, 000/-; Kishapu, watoto 170 wamet-engewa Sh 5, 200,000/-; Ma-nispaa ya Shinyanga, watoto 221 wametengewa Sh10, 100, 000/- na Shinyanga Vijijini watoto 533 wametengewa Sh16, 000,000/. Naibu Waziri, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (Tamisemi), Majaliwa K. Majaliwa, alieleza haya Bungeni Juni 14, 2012 akijibu swali la Mh. Ezza Hillal Hamad, Mbunge Viti Maalumu, kuhusu kuwasaidia watoto wa-naoishi kwenye mazingira ma-gumu kupata elimu.

Uwezekano wa Shule za Sekondari kupatiwa umeme Tarehe 13 Juni, 2012, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, alisema wizara ilikuwa inafanya tathmini

majukumu yake ya sasa ya ku-toa elimu kwa wananchi. Ahadi hii ilitolewa Bungeni Julai 18, 2012 na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo A. Mulugo, wakati akijibu swali la Mh. Nyambari Nyangwine, Mbunge wa Tarime, kuhusu kujenga chuo cha ufundi (Veta) Tarime.

Upungufu wa walimu Many-ovu Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inaende-lea kulitatua tatizo hili kwa kua-jiri walimu wote wanaohitimu na kufaulu mafunzo ya ualimu kutoka vyuo vya ualimu na vyuo vikuu vilivyopo. Aidha, kuanzia mwaka wa fedha 2012/2013 wilaya mpya ya Buhigwe pamoja na wilaya 36 nyingine mpya, zi-tapewa mgao wa walimu walio-hitimu kupitia halmashauri husi-ka. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo A. Mulugo, alieleza haya Bungeni Julai 10, 2012 akijibu swali la Mh. Alberto O. Ntabaliba, Mbunge wa Manyovu, kuhusu upungufu wa walimu katika jimbo lake.

Ukarabati na uwezeshaji wa shule za sekondari Serikali inao mkakati wa kubore-sha shule kongwe za sekondari nchini na imezipelekea shilingi milioni 50 kwa ajili ya ukara-bati ili zirudi katika sura yake ya kawaida. Aidha, kila halmashauri nchini imepewa shilingi milioni

Je, unazifahamu ahadi za serikalikatika elimu mwaka huu? Elimu bora ni ile inayoz-

ingatia masuala yafuatayo:

Hali ya wanafunzi: Je, wako tayari na wanaweza kushiriki katika elimu yao? Je, wanapa-ta ushirikiano kutoka kwe-nye familia na jamii zao?

Mazingira ya kujifunzia: Je, ni salama kwa watoto wote bila kujali jinsia, imani na ulemavu? Je, vifaa kama vile madawati, vyoo na vi-tabu vinatosheleza mahitaji yote?

Mambo yanayofundish-wa darasani: Ni aina ipi ya ujuzi ambao mitaala inatilia mkazo? Je, maudhui yake yanaendana na mahitaji ya jamii? Je, yanakuza uele-wano, umoja, amani na haki za binadamu?

Walimu na ufundishaji: Je, kuna walimu wa kutosha na wako tayari kufundisha? Je, ufundishaji unamjali mwa-nafunzi na mahusiano kati ya wanafunzi na mwalimu darasani yakoje?

Matokeo ya elimu: Wahi-timu wana aina gani ya maar-ifa, ujuzi na mitazamo? Na wanayatumiaje katika maisha yao ndani ya jamii?

Chanzo: Unicef (2000)Defi ning Quality in

Education: 4

Elimu bora ikoje?