jamhuri ya muungan0 wa tanania ofisi ya rais -...

11
Head office P.O.Box 53, Masasi JAMHURI YA MUUNGAN0 WA TANANIA OFISI YA RAIS - TAMISEMI MASASI GIRLS' HIGH SCHOOL "TENDA BILA KUSUKUMWA" IS OUR MOTTO Mkuu wa shule : 0784473615 Makaniu Mkuu wa Shule : 0688399725 Matron : 0712646372 Mzazi/mlezi wa Mwanafunzi Email;[email protected] Tarehe YAH: MAELEKEZ0 YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MASASI HALMASHAURI YA MJI MASASI MKOA MTWARA MWAKA 2019/2020 1.0. Kwa iiiaba ya kamati ya uchaguzi ninayo furaha kukuarifu rasmi kwamba umechaguliwa kujiunga na shule hii kidato cha tano Tahasusi ya ........... mwaka 2019. THNDA BILA KUSUKUMWA" maneno hayo ndiyo KAULI (MOTTO) au mwongozo wa shule yetu. Ukiwa umekubali kujiunga na shule hii basi huna budi kuitafakari kauli hiyo. Shule ya Sekondari ya Wasichana Masasi ipo umbali wa kilometa moja na nusu Magharibi mwa mji wa Masasi. Usafiri kutoka mjini Masasi kuja shuleni unapatikana katika kituo,kikuu cha mabasi/stend kuu. Nauli ni shs. 1,000/= kwa pikipiki na 2,000 Bajaji. Muhula wa kuanza masomo unaanza tarehe Unatakiwa kuripoti shuleni tarehe ................. na mwisho wa kuripoti ni tarehe ......... Muhimu; Endapo utachelewa zaidi ya wiki mbili utakuwa umepoteza nafasi hii. 2.0. Mambo muhimu ya kuzingatia 2.1. Sare ya shule (a) Sare za darasani ni: > Sketi Mbili Rangi ya bluu nyeusi(darkblue)-Rinda Box, Isteem mamba moja ni nzuri zaidi ]kipande cha kitambaa na picha ya mshono kimeambatanishwa ni lazima sketi kuwa ndefu kama inavyoonekana kwenye picha ya mshono > Shati nyeupe mikono mifupi na isiyobana [Wakristo]\Nusu kanzu na hijab[kijub] nyeupe isiyofunika goti na mikono[ WAISLAM] jozi mbili > Raba nyeupe za kufunga na kamba zenye kisigino kifupi jozi mbili > Soksi nyeupe zisizo na urembo au alama zozote za rangi. > Sweta rangi ya dark blue mikono mirefu isiyo ya kola (b) Sare za kushindia[Shamba dress] ni gauni yenye mikono mifupi rangi ya ugoi-o[chocolate] mbili [kipande cha kitambaa na picha ya mshono kimeambatanishwa] ni vema hijabu kwa waislarm iwe nyepesi na ifanane na sare ya kushindia[shamba DRESS]

Upload: others

Post on 17-May-2020

22 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: JAMHURI YA MUUNGAN0 WA TANANIA OFISI YA RAIS - …tamisemi.go.tz/app/form5_joining_instructions_2019...v.Mchango wa walinzi,wapishi na vibarua kwa mwaka Tshs 30,000/= vi.Nembo ya shule

Head officeP.O.Box 53,Masasi

JAMHURI YA MUUNGAN0 WA TANANIAOFISI YA RAIS - TAMISEMI

MASASI GIRLS' HIGH SCHOOL

"TENDA BILA KUSUKUMWA"

IS OUR MOTTO

Mkuu wa shule : 0784473615Makaniu Mkuu wa Shule : 0688399725Matron : 0712646372

Mzazi/mlezi wa Mwanafunzi

Email;[email protected]

Tarehe

YAH: MAELEKEZ0 YA KUJIUNGA NA SHULEYA SEKONDARI YA WASICHANA MASASI HALMASHAURI YA MJI

MASASI MKOA MTWARA MWAKA 2019/2020

1.0. Kwa iiiaba ya kamati ya uchaguzi ninayo furaha kukuarifu rasmi kwambaumechaguliwa kujiunga na shule hii kidato cha tano Tahasusi ya ........... mwaka2019. THNDA BILA KUSUKUMWA" maneno hayo ndiyo KAULI (MOTTO) au

mwongozo wa shule yetu. Ukiwa umekubali kujiunga na shule hii basi huna budikuitafakari kauli hiyo.Shule ya Sekondari ya Wasichana Masasi ipo umbali wa kilometa moja na nusuMagharibi mwa mji wa Masasi. Usafiri kutoka mjini Masasi kuja shuleni unapatikanakatika kituo,kikuu cha mabasi/stend kuu. Nauli ni shs. 1,000/= kwa pikipiki na 2,000Bajaji.Muhula wa kuanza masomo unaanza tareheUnatakiwa kuripoti shuleni tarehe ................. na mwisho wa kuripoti ni tarehe .........Muhimu; Endapo utachelewa zaidi ya wiki mbili utakuwa umepoteza nafasi hii.

2.0. Mambo muhimu ya kuzingatia2.1. Sare ya shule(a) Sare za darasani ni:

> Sketi Mbili Rangi ya bluu nyeusi(darkblue)-Rinda Box, Isteem mambamoja ni nzuri zaidi ]kipande cha kitambaa na picha ya mshonokimeambatanishwa ni lazima sketi kuwa ndefu kama inavyoonekanakwenye picha ya mshono

> Shati nyeupe mikono mifupi na isiyobana [Wakristo]\Nusu kanzu nahijab[kijub] nyeupe isiyofunika goti na mikono[ WAISLAM] jozi mbili

> Raba nyeupe za kufunga na kamba zenye kisigino kifupi jozi mbili> Soksi nyeupe zisizo na urembo au alama zozote za rangi.> Sweta rangi ya dark blue mikono mirefu isiyo ya kola

(b) Sare za kushindia[Shamba dress] ni gauni yenye mikono mifupi rangi yaugoi-o[chocolate] mbili [kipande cha kitambaa na picha ya mshonokimeambatanishwa] ni vema hijabu kwa waislarm iwe nyepesi na ifanane na sare yakushindia[shamba DRESS]

Page 2: JAMHURI YA MUUNGAN0 WA TANANIA OFISI YA RAIS - …tamisemi.go.tz/app/form5_joining_instructions_2019...v.Mchango wa walinzi,wapishi na vibarua kwa mwaka Tshs 30,000/= vi.Nembo ya shule

(ci- Sare za michezo ni T-shirt rangi ya grey isiyo ya kola [ mbili] na Truck suitnyeusi isiyobana mwili yenye mchirizi mweupe pembeni na raba nyeusi.(d) Tai ndefu ...... mbili[ rangi ya dark blue]ifanane na rangi ya sketi ya shule[kwawakristo]

Muhimu: Nguo za nyumbani haziruhusiwi kabisa shuleni.

2.2 Ada na michango ya shule:(a) Ada ya shule kwa mwaka ni shilingi 70,000/= au Shs. 35,000/= kwa nusu

mwaka

(b)Michango inayotakiwa kulipwa na kila mwanafunzii.Kitambulisho na picha Tshs 6,000/=

ii.Tahadhari Tshs 5,000/=[Haitarejeshwa]iii.Mchango wa ukarabati wa samani Tshs 15,000/=iv.Taaluma kwa mwaka Tshs 20,000/=v.Mchango wa walinzi,wapishi na vibarua kwa mwaka Tshs 30,000/=

vi.Nembo ya shule sh. Tshs 2,000/=vii.Mchango wa huduma ya afya shuleni[ huduma ya kwanza ] 5000/=Bima ya Afya CHF ,10,000/=kwa wasio na bima ya afya ya NHIF.viii.Mtihani wa pamoja wa Mkoa kidato cha Tano Tshs 20,000/=

ix Mahafali Tshs 10,000/=x Adaya mtihani wa Taifa(NECTA FVI) Tshs 50,000 /= ( Mchango huu

ulipwe kidato cha sita 2020/2021)xi Mchango wa Umisseta 5,000/-

MUHIMU: Ulipaji wa ada na michango yote ufanyike kwa njia ya Benki (NMB)Jina la akaunti ni MASASI GIRLS SECONDARY SCHOOL.Ada ilipwe ACCOUNT NO. 70501200104.Michango mingine ilipwe kwenye ACCOUNT No. 70501200174.

KWA KUWA SHULE INATUMIA MIFUMO YA FEDHA YA SERIKALI,TUNAOMBA ADA NA MICHANGO YOTI] ILIPWE KUANZIATAREHE 01/07/2019 YAANI MWAKA WA FEDHA 2019/2020.

Tafadhali wasiliana na karani wa Benki aandike kuwa ni ada au michangomingine. Usisahau kuandika jina lako kamili ( Mwanafunzi) .Risiti (paying slip) utakuja nayo siku ya kufungua shule.

C] mahitaji muhimu ambayo mwanafunzi anapaswa kuleta shulenii. Madaftari 10 caunter book ,kalam na mkebe wa hesabui/ii.Shuka mbili rangi nyeupe,blanket 1,foronya 1,chandarua 1iii. Nguo za ndani za kutosha (chupi, shimizi, sidiria)iv.Ream ya karatasi 1 A4[kwa mwaka]v. Vitabu vya masomo ya tahasusi husika(Orodha imeambatanishwa)vi.Dissecting kit kwa mwanafunzi wa Biolojiavii. Scientific calculator kwa wanafunzi wa sayansi.

Page 3: JAMHURI YA MUUNGAN0 WA TANANIA OFISI YA RAIS - …tamisemi.go.tz/app/form5_joining_instructions_2019...v.Mchango wa walinzi,wapishi na vibarua kwa mwaka Tshs 30,000/= vi.Nembo ya shule

"-RE-

viii) Laboratory Coat(Nyeupe) linalovuka magoti kwa wanafunzi wa sayansi.

ix).Godoroyafuti2:ftx4x). mafuta ya kupaka isiyo na viambata vya sumu[cream] na harufu kali, piaxi)Kanga au kitenge ¢ozi moja tu)xii) Chandarua rangi ya blue,Taulo, mswaki , dawa ya memo. Sabuni yakufulia nakuogeaxiii). Dawa yoyote ya chooni lita 1.xiv) Nakala ya hati ya matokeo kidato cha iv au" Result slip".xv). Nakala ya cheti cha kuzaliwa.xvi),picha ya mwanafunzi,1,ya wazazi /walezi ,mojamoja,ndugu wa karibu namwanafunzi[ 1 ]xvii).Vyombo vya chakula[Sahani,Bakuli,kij iko,na kikombe]xviii).Ndoo mbili ndogo zenye mfunikoxix) fagio la choo(Hard Bi.oom) na fagio ya nje ya wima(Chelewa)xx.,jembe 1 lenye mpini na kwanja(fyekeo).

5.0 Sheria za shulea. Waiiafunzi wanapaswa kuwaheshimu na kuwatii wakubwa wote

b.Kuheshimu ukumbi wa mkutano,mahali pa chakula,Ofisi za shule najiko la shule nk

c.kuweka shule na maeneo yake yote katika hali ya usafi wakati wote

d.kuwahi katika mikusanyiko na kila mahali wanapotakiwa

e.Wanafunzi wanapashwa kuwa wakimya madarasani na wakati wakijisomea

f.Wanafunzi wanapopata shida kubwa kama kufiwa au kuugua ruhusa ya kwendanje ya shule itatolewa na mkuu wa shule au msaidizi wake

9.Mwanafunzi haruhusiwi kuwa na simu ya mkononi , redio na pasi ya umeme shulenih.Mwanafunzi haruhusiwi kupiga simu popote bila kibali cha uongozi wa shule

ili kuepuka upelekaji wa taarifa zisizo sahihi kwa wazazii.Wanafunzi hawaruhusiwi kuja, au kuletewa chakula cha aina yoyete toka nyumbani.j .Mwanafunzi haruhusiwi kufanya mazungumzo na ndugu yake msikitini,

kanisani au hospitalini. Kama ndugu huyo ana maagizo afike ofisini aonanena uongozi wa shule.

k.Wanafunzi hawaruhusiwi kwenda nyumba za walimu auwafanyakazi wengine bila ruhusa maalum.

I.Mafuta yenye harufu kali, rangi za kucha, wanja, curl nywele na mapambokama bangili n.k. haviruhusiwi kwa mwanafunzi.

in.Wanafunzi wanatakiwa kuheshimu bendera ya Taifa na wimbo wa taifa.n. Mwanafunzi haruhusiwi kukaa bwenini wakati wa vipindi au kazi

(wagonj wa watakaa chumba maalum).o.Wanafunzi hawaruhusiwi kusuka nywele. Wanatakiwa kuwa na

nywele fupi wakati wote wawapo shuleni na si K IDUKU au kiparap. Mwanafunzi haruhusiwi kubadili dini/dhehebu awapo hapa shuleni.q . yawapasa wanafunzi wote kushiriki michezo/ mazoezi ili kulinda afya yaoMUHIMU ;Wanafunzi wote ni lazima kuanza safari mapema na kuripoti Shulenisiku ya kufungua Shule Wakiwa na tiketi zao zinazoonyeshajina,tarehe halali yakusafiri, Na mwisho wa mapokezi hasa wakati wa kutoka likizo ndogo/kubwa ni

Page 4: JAMHURI YA MUUNGAN0 WA TANANIA OFISI YA RAIS - …tamisemi.go.tz/app/form5_joining_instructions_2019...v.Mchango wa walinzi,wapishi na vibarua kwa mwaka Tshs 30,000/= vi.Nembo ya shule

sa9Fio;00 jioni,Ni wajibu wa mzazi kutoa taarifa ya mwanaye kuchelewa kuripoti sikuhusika kwa uongozi wa shule kabla ya shule kufunguliwa ili kuondoa usumbufu kwashule na mwanafunzi na hata mzazi .Na endapo hayatafanyika kwa wakati mzazianalazimika kumleta mwanaye shuleni na kutoa maelezo la sivyo hatopokelewa

6.OMAKOSA YATAKAYOSABABISHA MWANAFUNZI KUFUKUZWA SHULE.

1]. Wiziii. Kupigana wanafunzi kwa wanafunziiii. Kuharibu makusudi mall ya umma na watu wengineiv. Kuolewa.v. Utoro wa siku 90 bila taarifavi. Biashara, ulevi na kutumia dawa za kulevyavii. Kuwa na mimba au kuharibu mimba ndani na nje ya shuleviii. Kuingia na kushiriki kwenye vilabu vya pombe ;nyumba za kulala

wageni.ix. Kugoma na kuhamasisha mgomoxi Kunyoa nywele katika mtindo usiokubalika .Wanafunzi wotewanatakiwa kuwa na nywele fupi wakati wote wawapo shulenixii.kutao lugha chafu kwa Wanafunzi wenzake,walimu/walezi na j amii

kwa ujumla.xiii.Kudharau bendera ya taifa.xiv.Kushiriki matendo ya uhalifu,siasa na matendo yoyote yale

yam.ayovunja sheria ya Nchi.xv.kumiliki,kukutwa au kutumia simu ya mkononi katika mazingira ya

shule.xvi.Uasherati, ubakaj i, ushoga na ulawiti.vii.Kukaa/kulala bwenini wakati wa vipindi au wakati wa kazi za njexviii.kufanya jaribio lolote la kujiua,au kutishia kujiua kama kunywasumu,kuj inyonga nk

Fomu hii ya kujiunga na shule inatakiwa irudishwe ofisini pamoja na cheti chakupima kilichojazwa na mganga mkuu wa hospitali ya serikali ambacho piakimeambatanishwa

KARIBU SANA KATIKA SHULE IHI

MPEMWANA M.MKUU WA SHULE

(r,i,,bfA,S{J\,:lq;d:,lit+,,`J:.rs,?,`J:gin;"h"i\

Page 5: JAMHURI YA MUUNGAN0 WA TANANIA OFISI YA RAIS - …tamisemi.go.tz/app/form5_joining_instructions_2019...v.Mchango wa walinzi,wapishi na vibarua kwa mwaka Tshs 30,000/= vi.Nembo ya shule

Ref. No ...........................

PART A:To the Medical Officer,

REF:

Masasi Girls High School,P.O. Box 53'

MASASIDate......

Please examine the above named student as to her physical and mental fitness for beingstudent. Each defect will hinder a girl for Secondary School Education.

1. (a) Eyesight

(b) Hearing(c) Limbs(d) Speech(e) Venereal Disease(f) Leprosy(g) Epilepsy

2. Neurosis3. Other serious diseases4. Pregnancy

PART 8: MEDICAL CERTIFICATE(To be completed by a GOVEENMENT MEDICAL OFFICER):

I have examined the above named student and consider that she is physically fit/not fit for afull time Secondary School Education.

Eye sightHearingLimbs

Venereal diseases

Date .....................,., ® , ® , ® , ,,

Station .................,, ® , , , ® ® , ,

(f) Leprosy(g) Epilepsy(h) Neurosis(i) Other serious disease¢) Pregnancy

Signature....................................

Designation...............................

Page 6: JAMHURI YA MUUNGAN0 WA TANANIA OFISI YA RAIS - …tamisemi.go.tz/app/form5_joining_instructions_2019...v.Mchango wa walinzi,wapishi na vibarua kwa mwaka Tshs 30,000/= vi.Nembo ya shule

MAELEZO BINAFSI YA MWANAFUNZIr,_REJ_RE

1. Jina la Kami]j

(kama lilivyo kwenye self form)2. Tai.ehe ya kuzaliwa3. Anwani ya nyumbani4. Mahali unapoishi(nyumbani kwenu) : Wilaya .-................. Tarafa ...................

5. Shule ya sekodari uliyotoka6. Dini7. Kabjla8. Taifa(Mtanzania/S i Mtanzania)9. Jamaa katika familia(Watakaohusishwa katika maiezi ya mwanafunzi akiwa hapa

shuleni)(i) Jina la Baba

AnuaniAnaishi/HaishiKazi yake

(ii) Jina la MamaAnuaniAnaishi/Haishi...........

Kazi yake

(iii) Jina la MleziINduguAnuaniAnaishi/HaishiKazi yake

Namba ya simu

Namba ya simu

Namba ya simu

10. Mkataba wa Mwanafunzi kutoshiriki katika migomo, fujo na makosa ya jinai

(Mwanafunzi) nakiri kuwa, nimezisoma sheria, kanuni nataratibu za shule kwa umakini na utulivu mkubwa. Hivyo basi ninaahidi: "Nitazifuata Sheria,Kanuni na Taratibu za shule kana zilivyoelekezwa Aidha ninaamini kuwa Sheria na Taratibuzipo kwa nia ya kunisaidia katika Nyanja zote muhimu ikiwa ni pamoja na nidhamu, maadilina taaluma." Vilevile naahidi kuwa sitoshiriki katika migomo, fujo na makosa ya jinai.Kinyume na hivyo hatua stahiki za kinidhamu zichukuliwe dhidi yangu.

Sahihi ya mwanafunzi Tarehe

11. Form ya Mzazi/Mlezi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni na maelekezoyaliyotolewa na shule

Mimi (Mzazi/Mlezi) wa Mwanafunzi Ninakirikuwa, nakubaliana na sheria, kanumi na maelekezo yote yaliyotolewa na shule. Hivyo basiniko tayari mtoto wangu asome katika shule hii nitakuwa tayari kumpa kila aina ya msaadaulakaohitajika katika kufanikisha masomo yake na malezi yake kwa ujumla akiwa hapashLileni kwa kipindi cha miaka miwili (2).

Sahihi ya Mzazi/M]ezi Tar-ehe

PICHA

PICHA

PICHA

PICHA

Page 7: JAMHURI YA MUUNGAN0 WA TANANIA OFISI YA RAIS - …tamisemi.go.tz/app/form5_joining_instructions_2019...v.Mchango wa walinzi,wapishi na vibarua kwa mwaka Tshs 30,000/= vi.Nembo ya shule

•5se

ORODHA YA VITABU (NUNUA KULINGANA NA MASOM0 YAKO)

1. MATHEMATICS (ADVANCED MATHEMATICS AND BAM)

> ADVANCED MATHIIMATICS FOR ADVANCHD SECONDARY SCHOOLS FV(Septine I. Sillem) - gdy |]ublication.

> ADVANCED MATHEMATICS FOR ADVANCED SHCONDARY SCHOOLS FVI

(Septine I. Sillem) - gdy publication.> PURE MATHEMATICS 1 &2, J.K BACKHOUSE.> BASIC APPLIHD MATHEMATICS FOR ADVANCED SECONDARY SCHOOLS FV

(Septine I. Sillem) - gdy publication.> BASIC APPLIED MATHEMATICS FOR ADVANCED SECONDARY SCHOOLS FVI

(Septine I. Sillem) - gdy publication.

2. PHYSICS.> PRINCIPLIIS 0F PHYSICSFORCLASS XI, S. CHAND.> ADVANCHD PHYSICS , Rogers Muncaster.

3. CHEMISTRY.> A TEXT BOOK FOR CBSE CHHMISTRY FOR CLASS XI AND XII,

S. CHAND.> CONCHPTUAL CHEMISTRY FOR CLASS XI AND XII, S. CHAND.

4. BIOLOGY.> BIOLOGICAL SCIENCH 3'.d HDITION , D.J TAYLOR, N.P.0 GREEN.> BIOLOGY FORCLASS XI, S.CHAND

5. HNGLISH LANGUAGE> ADVANCED LF,VHL HNGLISH; A PRACTICAL APPROACH -NEW

EDITION, NICHOLOUS ASHELI.> ANALYSIS 0F LITHRARY WORKS, NYAMBARI NYANGWINE.

6. FIISTORY> HISTORY PAPHR ONH FOR ADVANCED LEVEL, MWL. SHIBITALI.> ESSENTIALS IN ADVANCED LHVHL HISTORY PAPER 2, SALHHE YASIN.

7. KISWAHILI> NADHARIA YA LUGHA YA KISWAHILI KIDATO CHA 5 NA 6,

SALAHAYA M.C (2016)> NADHARIA YA FASIHI KIDAT0 CHA 5 NA 6, NYAMBAARI NYANGWINH.

8. GELOGRAPHY> COMPREHENSIVH APPROACH TO PHYSICAL GEOGRAPHY.

Msabila D. T.> HSSHNTIAL 0F PRACTICAL GEOGRAPHY. Zisti Kamili.

Page 8: JAMHURI YA MUUNGAN0 WA TANANIA OFISI YA RAIS - …tamisemi.go.tz/app/form5_joining_instructions_2019...v.Mchango wa walinzi,wapishi na vibarua kwa mwaka Tshs 30,000/= vi.Nembo ya shule

•-dr-Lr# ha {ttthE

Page 9: JAMHURI YA MUUNGAN0 WA TANANIA OFISI YA RAIS - …tamisemi.go.tz/app/form5_joining_instructions_2019...v.Mchango wa walinzi,wapishi na vibarua kwa mwaka Tshs 30,000/= vi.Nembo ya shule

®irsrfe 2ff {HuLi=

•.-,....,...„„---..,....-,...----.--.----.---'.1

.i,ji:.+.g~-~.~,,-,~"

(\,,,,:,,",,,,(:,,:,,,,;,,,:,,,,,

r-,__'r--I-..,'`'/

-

•",,,,,,,,;,,,,,,,J(:,(,(,,.,.,.:.,;,l

Page 10: JAMHURI YA MUUNGAN0 WA TANANIA OFISI YA RAIS - …tamisemi.go.tz/app/form5_joining_instructions_2019...v.Mchango wa walinzi,wapishi na vibarua kwa mwaka Tshs 30,000/= vi.Nembo ya shule

r

Page 11: JAMHURI YA MUUNGAN0 WA TANANIA OFISI YA RAIS - …tamisemi.go.tz/app/form5_joining_instructions_2019...v.Mchango wa walinzi,wapishi na vibarua kwa mwaka Tshs 30,000/= vi.Nembo ya shule

Y4, lcae(