jatu public limited company - wordpress.com · 2020-04-21 · kampuni imesajiliwa nchini tanzania...

43
1 JATU Public Limited Company Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

Upload: others

Post on 14-Jul-2020

34 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

1

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

Page 2: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

YALIYOMO

Utangulizi

Uhalali wa Kampuni

Malengo Makuu

Muhtasari wa Wasifu wa Wakurugenzi

Sera ya Kupinga Rushwa

Dira

Muundo wa Kampuni

Benki

Uzoefu wa Kampuni

Miradi ijayo

Waanzilishi

Rasilimali watu

Ofisi zetu

Uanachama

Ushuhuda

Dhima

Wasifu wa Watendaji

Huduma zitolewazo

Uwezo wa Zana na Vifaa

Tuzo na Matukio yaliyohudhuriwa na JATU

4

12

8

18

24

7

14

10

22

25

6

13

9

21

24

7

15

11

23

27

Page 3: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

3Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

Miradi ya Kilimo

Mfumo wa Malipo

Mazao na Ratiba ya Kilimo

JATU SACCOS LIMITED

Maeneo ya Kulima

Jinsi ya Kupakua na Kujisajili na JATU PESA

Gharama za Kilimo

Neno kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji

28

38

30

40

29

39

32

42

Page 4: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo4

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko | Mikopo4

UTANGULIZIJATU PLC ni Kampuni ya Umma yenye ukomo kupitia hisa. Kampuni ilisajiliwa tarehe 20 Oktoba 2016 chini ya sheria ya Makampuni ya mwaka 2002 na kupewa cheti cha usajili namba 130452 kilichotolewa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Tanzania.

Mpango mkakati wa Kampuni ni kufikia wilaya zote za Tanzania kupitia Kilimo, Viwanda na Masoko ya mtandao. Kwa sasa, Kampuni inaendesha shughuli za Kilimo cha maharage wilayani Kilindi mkoa wa Tanga, Kilimo cha Mpunga wilayani Kilombero, Morogoro, Kilimo cha Mahindi na Alizeti huko Wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara na Kilimo cha matunda, Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga.Kampuni huwa inanunua mazao yote ya Wakulima kama malighafi kwa ajili ya viwanda vya Kampuni ambavyo vinachakata na kufungasha bidhaa tofauti tofauti za vyakula.

Viwanda hivyo vinapatikana Kibaigwa – Dodoma (Kiwanda cha kuchakata Unga wa mahindi na mafuta ya kupikia ya alizeti), Kilombero – Morogoro (Kiwanda cha kukoboa Mpunga) na Kilindi Tanga kwa ajili ya kuchakata Maharage. Mpango huu unaenda sambamba na sera ya Taifa ya viwanda.

Bidhaa kutoka viwandani huuzwa kwa wanachama wa JATU kupitia mfumo wa kidigitali ambao unatekelezwa kupitia masoko ya mtandao. Mfumo huo unahakikisha kuwa Mteja ameridhika kwa aina na ubora wa huduma iliyotolewa, pia mteja hupata gawio la faida kwa kila manunuzi anayoyafanya.

Kampuni inatafuta washirika watakaoweza kufadhili na kuwaunganisha wakulima wadogo kwenye mnyororo wa thamani unaotokana na kilimo-biashara kwa kuwawezesha wakulima hao kushiriki kikamilifu kwenye hatua zote za kilimo-biashara chenye faida kupitia uwekezaji ambao utawezesha kufikia masoko. Kwa kuwa ni kampuni ya Umma, Kampuni inaelekea kwenye soko la hisa kwa toleo la awali la hisa 3,000,000 ambazo zitakuwa na gharama ya shilingi 2,500 kwa hisa moja.

Kampuni tayari ipo kwenye biashara, na ni Kampuni ya kiwango cha kati. Kampuni inadhamiria kukusanya fedha kwa ajili ya kupanua biashara iliyopo kwa kukuza viwanda, kuendeleza mradi wa umwagiliaji, kuongeza mashine za kulimia na kuboresha usimamizi hasa kwenye shamba la MATUI lililopo wilaya ya Kiteto, Mkoani Manyara, kanda ya kaskazini mwa Tanzania.

Kilimo ni sekta kubwa na muhimu kwenye uchumi wa Tanzania ikiwa na aina tofauti za uzalishaji kama ufugaji, kilimo cha mazao ya chakula na biashara. Mchango wa sekta ya kilimo kwenye pato la taifa umeongezeka mara tatu kwa miaka kumi (10) iliyopita.

Hii ni fursa kwa wawekezaji kuwekeza kwa kupitia JATU kwa kuwa, matumizi ya bidhaa zilizochakatwa ndani ya nchi unakua siku hadi siku hivyo kusababisha uhitaji mkubwa wa kilimo bora, teknolojia na ujuzi wa uchakataji wa mazao nchini.

Tafadhali ungana nasi kusoma kuhusu JATU kwenye sura zinazofuatia.

Wabia Muhimu

Mambo Muhimu ya Kuzingatia kwenye Uwekezaji

Page 5: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

5

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

Page 6: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo6

JATU Public Limited Company

WAANZILISHI

Peter Isare

Ekaudi Semkiwa

Claudia Simon

Issa Simbano

Paul Kapalata Moses Lukoo

Esther Kiuya

Magreth Fabian Mary ChulleEsther Marino

Charles Mwita

Kenneth Maganga

JATU ilianzishwa na Peter Isare pamoja na wenzake;

Mohamed Issa Simbano, Esther Philemon Kiuya, Charles Mwita Gichogo, Ekaudi Semkiwa, Paul Kapalata Msabila, Magreth Laurent Fabian, Kenneth Maganga, Claudia Albogast Simon, Moses William Lukoo, Esther Christian Marino & Mary Chulle

Page 7: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

7

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

Kuwa kampuni inayoongoza kwa kutoa huduma bora na kuwezesha upatikanaji wa kipato kwa kila mtu Afrika.

Kutumia Rasilimali watu kwenye Kilimo, Viwanda na Masoko ya Mauzo ya bidhaa za chakula kwa wateja kupitia mfumo wa masoko ya mtandao na kuwawezesha kujenga afya na kutokomeza umaskini

DIRA

DHIMA

Page 8: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo8

JATU Public Limited Company

MALENGO MAKUUMalengo makuu ya Kampuni yamegawanyika katike sehemu tatu (3) ;

(a) Kuunganisha wakulima, wakulima wadogo na watu wenye nia ya kufanya kilimo na kuwasadia kufanya kilimo cha kisasa na kwa pamoja.

(b) Kuanzisha viwanda Karibu na maeneo ya kilimo au mashamba na kuendesha shughuli za viwanda vya kuchakata mazao ya chakula.

(c) Kuendesha masoko ya mtandao katika kuuza bidhaa na huduma mbalimbali ili kuhakikisha ugawanaji wa faida baina ya wanachama.

Mkurugenzi Mtendaji JATU PLC akiwa na Kamati ya Bunge

Page 9: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

9

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

OFISI ZETUKampuni ina aina tatu za ofisi kama ifuatavyo;

(a) Makao Makuu:

(b) Ofisi za Shamba:

(c) Ofisi za Masoko:

Makao makuu ya Kampuni yapo Dar es salaam, Wilaya ya Ilala Jengo la PSSSF ghorofa ya kumi na moja (11) kwenye makutano ya Mtaa wa Samora na Barabara ya Morogoro. Ofisi hii inafanya shughuli zote za kiutawala.

Ofisi hizi zinapatikana kwenye maeneo ya uzalishaji ambayo yanajumuisha mashamba yanayomilikiwa na wanachama wa JATU na kusimamiwa na Kampuni na pia kwenye maeneo ambayo yana viwanda vya Kampuni. Ofisi hizo zinajumuisha Ofisi ya Matui iliyopo Wilaya ya Kiteto ambapo Kampuni inaendesha kilimo cha Mahindi na Alizeti; Ofisi ya Kilindi iliyopo eneo la Kibirashi kwa ajili ya kilimo na uchakataji wa maharage; Ofisi ya Kibaigwa iliyopo Dodoma ambapo kuna kiwanda cha kuchakata Mahindi na alizeti na Ofisi ya Kilombero ili-yopo Mbingu ambapo tunaendesha kilimo cha Mpunga kiwanda cha kukoboa mpunga.

Ofisi hizi zinapatikana kwenye maeneo yenye watu wengi kama vile kwenye Wilaya na makao makuu ya mikoa. Ofisi hizi zinajumuisha Ofisi za Mtwara mjini, Mwanza, Dodoma, Arusha na Posta Dar es salaam(Jengo la PSSSF ghorofa ya sita) . Ofisi hizi zimejikita katika masoko na kuuza bidhaa na huduma za JATU.

Page 10: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo10

JATU Public Limited Company

MABENKITunashirikiana na Benki ya NMB na makampuni ya mawasiliano/simu kwenye huduma za kibenki

Page 11: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

11

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

Tunatoa Huduma za Kilimo, Viwanda, Masoko na Mikopo kama ifuatavyo.

Tunafanya utafiti wa mazao na maeneo ya kulima/ mashamba

Tunatoa zana za kilimo na pembejeo kwa wakulima/

wateja wetu.

Tunatoa masoko kwaajili ya mazao ya wateja wetu

Tunatoa mafunzo na kusajiliwatumiaji na wateja wa

bidhaa zetu.

Tunauza bidhaa zetu za chakula kupitia mfumo wa soko la

mtandaoni la Jatu

Tunatoa huduma za kuhudumia shamba kwa wakulima wetu.

Tunatoa huduma yakuhifadhi mazao ya wakulima/ wateja wetu

baada ya mavuno.

Tunachakata mazao naKufungasha bidhaa

Tunatoa gawio kwa wateja wetu wote kulingana na manunuzi ya bidhaa zetu wanazofanya kwa

mwezi kupitia mkakati wa soko la mtandao

Tunasambaza na kuwafikishia wateja wetu bidhaa ambazo

wamenunua mpaka mlangoni.

Tunatoa mikopo rahisi na isiyokuwa na riba kwa wakulima wetu.

Tunawekeza kwenye viwanda vya kuchakata mazao pamoja na

mashine za kutumika mashambani

Tunatoa/ tunawezesha masoko kwa wajasiriamali wengine kupitia soko letu la

mtandaoni.

HUDUMA ZITOLEWAZO

2. KILIMO

3. MASOKO

4. USAJILI

5. SOKO LA MTANDAONI

6. UJASIRIAMALI

11. USAMBAZAJI WA BIDHAA

12. MIKOPO

13. VIWANDA

10. MASOKO YA MTANDAO

9. KUCHAKATA MAZAO

8. KUHIFADHI MAZAO

7. HUDUMA ZA SHAMBA1. UTAFITI

Page 12: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo12

JATU Public Limited Company

UHALALI WA KAMPUNI

Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Na: LENGO TAASISI NAMBA TAREHE YA KUTOLEWA

1. Usajili BRELA 130452 20-10-2016

2. Utambulisho wa Mlipa Kodi TRA 132-718-008 07-02-2017

3. Leseni ya Biashara MANISPAA YA TEMEKE

B2765573 13-02-2019

4. Uchakataji wa mazao TFDA/TBS 0217/F/PRE/REG/0556 19-06-2017

5. Huduma za fedha MSAJILI WA SACCOS

DSR 1655 29-12-2017

6. Huduma za Taarifa za Mtandaoni TCRA TCRA/OCS-005/033/2019 25-7-2019

7. Alama ya huduma/ Biashara BRELA TZ/T/2017/210 28-06-2018

8. Barcode GS1 620301287 06-07-2017

9. Utambulisho wa mtumiaji wa risi-ti ya kielektroniki

TRA 01DP05- 1012641491327180080 TZ114662

28-06-2017

10. Mifuko ya Hifadhi ya Jamii NSSF 1012380 04-04-2018

Page 13: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

13

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

RASILIMALI WATUWanachama wote, waajiriwa na wanahisa kwa ujumla wao ni rasilimali watu ya Kampuni. Kampuni imeunda mfumo wa kisasa ambao unaruhusu usajili usio na kikomo kwa wanachama wapya, wanachama hujisajili kwa kutumia namba ya mdhamini na balozi/wakala ambayo huwasaidia kutanua mtandao wao na kuongeza gawio kulingana na manunuzi ya mwezi wanayofanya wao na watu walioko kwenye mtandao wao. Kwa sasa Kampuni ina wanachama hai zaidi ya elfu kumi na sita (16,000) ambao wamejisajili/wamesajiliwa kupitia mfumo wa JATU unaopatikana Playstore na App store. Mpango uliopo ni kusajili wananchi wote kwenye mfumo wa JATU ili waweze kutumia mtandao wa vizazi na kufanya manunuzi ya bidhaa, hivyo kupata gawio na kutokomeza umaskini.

Kampuni ina waajiriwa wa kudumu zaidi ya 30, waajiriwa wa ajira za muda zaidi ya 100 na vibarua zaidi ya 200 ambao wanafanya kazi kwenye miradi ya Kampuni kama kulima, kusafisha mashamba na kazi za viwandani.

Page 14: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo14

JATU Public Limited Company

MUUNDO WA KAMPUNIMuundo wa Kampuni unajumuisha wanahisa, Bodi ya wakurugenzi, Uongozi wa juu, Wakuu wa idara, Idara, Matawi na wafanyakazi wengine kwenye nafasi tofauti tofauti kama ilivyoelezewa hapo chini:

Page 15: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

15

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

WASIFU WA WATENDAJI

Bwana Peter Isare ni mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Kampuni, Amekuwa mtendaji Mkuu wa Kampuni tangu kusajiliwa kwa kampuni mwaka 2016.Bwana Isare ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam, hivyo ana taaluma ya sheria na ni mjasiriamali ambaye amejikita kwenye kilimo-biashara. Bwana Peter amedhamiria kubadilisha jamii ya Tanzania, hasa kwa vijana nchini kwa kutumia kilimo kama njia ya kujitengezea kipato. Wazo la JATU limetokana na mradi ambao ulikuwa

Ni mhitimu katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam na kutunukiwa Shahada ya kwanza ya sheria mnamo mwaka 2016. Pia ni mwanzilishi mwenza wa Kampuni na shirika lisilokua la kiserikali (LPLIO) ambalo lilikuza wazo la JATU kama mradi. Bwana Simbano kwa sasa ni Meneja mkuu wa Kampuni na Katibu wa Bodi ya wakurugenzi. Mnamo mwaka 2015, alikuwa Afisa wa Sheria wa LPLIO.

Bw, Peter Isare (29)

Bw. Mohamed Issa Simbano (34)

chini ya huduma za jamii (asasi isiyo ya kiserikali) iitwayo Legal Protection and Life Improvement Organization (LPLIO) ambayo Peter pia ni mwanzilishi na mwenyekiti.Taasisi hiyo inashughulika na kulinda haki za binadamu na kuondoa umaskini. Wazo la JATU linaendana na ndoto ya bwana Peter ya kuwa na chombo ambacho kinaweza kuzalisha kipato na kutokomeza umaskini kwa wale ambao wako chini ya piramidi. Kwa nafasi aliyonayo sasa, amekuwa kielelezo cha kuboresha ufanisi wa kiutendaji na kuchochea ukuaji wa Kampuni kwa kuhakikisha kuwa kila mtu ndani ya timu ya JATU anajua jinsi ambavyo jukumu lake ni muhimu kwa mafanikio ya jumla ya Kampuni.

Ana ndoto ya kuwezesha vijana na wakulima wadogo wa Tanzania kusimamia maisha yao kwa faida inayotokana na mnyororo wa thamani unaotokana na kilimo cha pamoja, uchakataji wa mazao, usambazaji na utumiaji wa bidhaa za kilimo kupitia Kampuni.

Alianza uongozi tangu 2012 alipokuwa akisoma Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Ni mtu mwenye msukumo wa kujifunza mwenyewe, mfanyakazi hodari, anayeshirikiana na wengine pia ni mshirika na anaweza kufanya kazi bila kusimamiwa ili kutimiza malengo. Anaendesha dira ya kampuni ya kuwawezesha vijana na wakulima wadogo nchini Tanzania.

Page 16: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo16

JATU Public Limited Company

Esther Marino, ni mwanzilishi wa Kampuni na Mkuu wa Idara ya Fedha. Bi. Esther ana shahada ya masuala ya benki na fedha kutoka Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (IFM) (2012-2015). Hapo awali, alifanya kazi na Kampuni kama Mhasibu kwa muda wa miaka miwili (2) na Wakati huo alionesha uwezo binafsi wa kujihamasisha, ubunifu, na anaweza kufanya kazi chini ya shinikizo. Ana uzoefu mkubwa na wa kuaminikakatika Nyanja ya Uhasibu na Fedha ambao alianza kuujenga akiwa kwenye mafunzo ya vitendo katika Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika wa Serikali ya Tanzania mnamo mwaka 2014.

Bi. Esther Philemon ni mmoja wa waanzilishi wa Kampuni na Mkuu wa Idara ya Miradi. Ana Shahada ya kwanza katika Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam (2012-2015), Tanzania. Awali, Bi Esther alifanya kazi kama afisa Rasilimali watu wa Kampuni, hivyo ana uzoefu wa miaka mitatu kwenye taaluma hiyo. Kabla ya kujiunga na JATU, alifanya kazi kama Katibu Mkuu wa shirika la (LPLIO) ambalo lilishikilia wazo la JATU kama mradi.

Bi Chulle ni Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Umma, Masoko na Mauzo na pia ni mmoja wa waanzilishi wa Kampuni. Ana uzoefu wa zaidi ya miaka 4 kwenye fani ya masoko. Alipata Shahada yake ya kwanza ya Mahusiano ya Umma na Masoko katika Chuo Kikuu cha St. Augustine mnamo mwaka 2015. Uzoefu wa Bi Chulle umetokana na kufanya kazi kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo Sunda International ambapo alifanya kazi kama Afisa wa Huduma kwa Wateja na mauzo mnamo mwaka 2017 hadi 2018; Maria stopes Tanzania ambapo alifanya kazi kama karani wa

data kuanzia 2016 hadi 2017 na Pia Kifaru Community Development Tanzania ambapo alifanya kazi kama afisa Miradi kanzia 2014 hadi 2016 na Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha ambapo alifanya kazi kama na Afisa mahusiano ya Umma na Masoko mnamo mwaka 2014

Bi. Esther Marino (29)

Bi. Esther Philemon (29)

Bi. Mary Richard Chulle (27)

Bw. Lukoo, ni mmoja wa Waanzilishi wa Kampuni na Mkuu kwa idara ya TEHAMA. Alihitimu Stashahada katika Teknohama kutoka St Joseph Instutute of Business and Management, Morogoro Tanzania ambapo alikuwa mwanafunzi bora kabisa katika mwaka wake wa mwisho 2015/2016. Ana uzoefu wa miaka mitatu wa kufanya kazi na ana utaalam mkubwa katika kusimamia mifumo ya teknolojia ya mawasiliano. Bw. Lukoo ni mbobezi kwenye Usimamizi wa Mifumo ya mtandao, Kutatua matatizo ya kimtandao , kutunza na kutengeneza vifaa vya kompyuta na ubunifu wa picha. Pia ni mzoefu kwenye utoaji wa mafunzo na kujenga uwezo wa matumizi ya mifumo ya mtandaoni.

Bw. Moses Lukoo William (27)

Page 17: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

17

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

Bw. Paul Kapalata ni Mkuu wa Idara ya Utafiti na mwanzilishi mwenza wa kampuni. Alikuwa Mkuu wa Idara ya Miradi ya Kilimo tangu 2016 hadi 2018 kwenye Kampuni. Alihitimu Shahada ya kwanza kwenye masuala ya Benki na fedha kutoka Chuo Kikuu cha Kampala cha jijini Dar es salaam (2010-2013).Pia, ana cheti kutoka Taasisi ya Utafiti wa Mchele ya Kimataifa ya Manilla Ufilipino (2019). Kabla ya kujiunga na Kampuni, Bw. Paul alifanya kazi kama afisa mtendaji wa ukuzaji biashara wa TTES CO. LTD (2012); kama Afisa Masoko wa Tanjap Empex (2010-2011) na mshauri wa wateja katika Benki ya Barclays Tanzania (2008-2010).

Bi. Rebecca Kashindye Joseph ni Mkuu wa Idara ya Rasilimali watu na Sheria. Ana Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu cha Mt. Augustino Mwanza. Kabla ya kujiunga na Kampuni Bi. Rebecca alifanya kazi kama Msimamizi Msaidizi katika kampuni ya forever Living Na Afisa habari na Masoko katika shirika la Her-Inititiative, asasi isiyo ya kiserikali ambayo inashughulika juu ya kuwawezesha na kuwasaidia wasichana wadogo kupitia mafunzo ya ujasiriamali nchini Tanzania (2015-2019).

Kenneth John Maganga ni Mkuu wa Idara ya Uzalishaji, Usafirishaji na Usambazaji wa bidhaa na pia ni mmoja wa waanzilishi wa Kampuni. Ana uzoefu katika utangazaji wa redio, uandishi wa habari na mahusiano ya Umma. Awali alikuwa mkuu wa Idara ya mauzo na Meneja Uzalishaji wa Tawi la Kibaigwa (2018-2019)

Ana diploma ya uandishi wa habari kutoka Shule ya Uandishi wa Habari ya Dar es salaam (DSJ) (2011-2013). Kenneth amefanya kazi kama Afisa

Bw. Paul Kapalata (36)

Bi. Rebecca Kashindye Joseph (24)

Bw. Kenneth John Maganga (29)

Mahusiano ya Umma, Mtangazaji wa Redio na Mhariri wa Habari katika vyombo tofauti vya habari nchini Tanzania kama WAPO RADIO ambapo alikuwa Mwandishi wa Habari (2011 - 2012) na RADIO TUMAINI kama Mtangazaji wa vipindi vya watoto (2012-2013).

Page 18: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

JATU Public Limited Company

18

MUHTASARI WA WASIFU WA BODI YA WAKURUGENZI

Mhandisi. Dk Zaipuna Obedi Yonah aliteuliwa kuwa mjumbe na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi mnamo Juni 2019. Ana shahada ya Sayansi ya Uhandisi wa umeme kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es salaam (1985), Shahada ya uzamili (1988) na shahada ya uzamivu Ph. D. (1994) katika Uhandisi wa Umeme kutoka Chuo Kikuu cha Saskatchewan, Saskatoon - Canada. Yeye ni Mhandisi Mshauri katika Mawasiliano aliyesajiliwa.

Abdallah Gonzi ana Shahada ya Sheria (2004) na shahada ya Uzamili ya Sheria (2006) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es sa-laam. Katika shahada yake ya uzamili alijikita katika Uongozi wa Mashirika. Kwa sasa ni mtahiniwa wa shahada ya uzamivu katika sheria. Bwana Gonzi ni wakili na mhadhiri katika shule ya sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Analeta uzoefu wake mkubwa alionao kwenye sheria na uongozi katika kampuni.

Amebobea katika utengenezaji/uongezaji wa thamani, uwezeshaji na ulinzi kupitia Teknohama, na ana uwezo ambao unaweza kutumika kwenye kilimo, usindikaji na uchakataji wa vyakula, usambazaji wabidhaa, mahitaji ya bidhaa na matumizi ya bidhaa za kilimo.Ni Mkurugenzi Mtendaji na Mshauri Mwandamizi katika kampuni ya Applied Engineer-ing & Byte-Works(T) Limited (AEBW), Kampuni ya uhandisi wa Teknohama na Mawasiliano ya simu. Pia ni Mtafiti Mwandamizi katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela ya Afrika (NMAIST) na Mwanachama wa IEEE Inc. Ana zaidi ya miaka 35 ya kufanya kazi katika Nyanja tofauti kama vile nafasi za umeneja na kuunda mikakati na maendeleo ya biashara (Chuo Kikuu cha Dar es salaam - 1985- 2000, Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela ya Afrika (NM-AIST) mwaka 2013 hadi sasa , (Mkurugenzi wa Taarifa za Mitandao na ubunifu wa bidhaa kwenye shirika la TTCL 1998 - 2008) na utengenezaji wa sera katika Teknohama Sekta za Mawasiliano ya simu Mkurugenzi wa Teknohama Serikalini) na kazi zingine ndani ya Tanzania (Alileta mapinduzi ya mkongo wa taifa wa Mawasiliano (NICTBB): 2008 - 2013) kwenye jumuiya za Afrika Mashariki na SADC.Kwenye Kampuni ameleta uzoefu alioupata kwenye kuunda na kuongoza timu zenye utendaji kazi mkubwa kwa uadilifu na mapendekezo yenye tija hivyo kufikia malengo ya kampuni. Ana uzoefu katika kutoa mafunzo, utafiti, uandaaji na utekelezaji wa miradi, kutoa ushauri na kuunda timu, na kutumia tafiti za kisayansi na teknohama kwenye uzalishaji na fikra jumuishi ili kuwawezesha watu kuondokana na umaskini. Hivyo basi ni aina ya mtu ambaye anajitolea na kuwa kiongozi bora.

Kitaaluma amejikita sana kwenye sheria za biashara, usuluhishi wa kimataifa, usuluhishi, haki za binadamu, sheria za mwenendo wa kesi za madaipamoja na sheria za jinai.

Mhandisi Dk. Zaipuna Obedi Yonah (60)

Bw. Abdallah Gonzi (44)

Page 19: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

19

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

Emmanuela Mtatifikolo Kaganda ni mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ambayo ilithibitishwa na Mkutano Mkuu mnamo Juni 2019. Bi. Kaganda aliteuliwa kwenye bodi kutokana na uzoefu wake kwenye taaluma za afya ya jamii, mawasiliano ya umma na mahusiano ya jamii, uhusiano wa Kimataifa, dhana ya miradi ya jamii, ubunifu, utekelezaji na usimamizi wake, pia uhamasishaji wa jamii na kuthaminisha

Bi.Mwajuma Hamza aliteuliwa kuwa Mjumbe na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Kampuni mnamo juni 2019. Uteuzi wake ulitokana na sifa inayohusishwa na uzoefu wake mkubwa katika kukuza biashara na utaalam wa uhamasishaji jamii. Ana shahada ya uzamili ya Biashara ya Kimataifa (MIT) kutoka shule ya Biashara (UDBS) na Shahada katika Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma kutoka Chuo

bidhaa. Ana shahada ya Mawasiliano ya habari kutoka chuo kikuu cha Mt. Augustino Mwanza (2004) na Shahada ya uzamili kwenye afya ya jamii kutoka chuo kikuu cha Afya ya Jamii cha Jiji la New York (CUNY) (2017)

Bi. Kaganda amepata uzoefu wake kwa kufanya kazi kama Mkurugenzi wa Vijana Malezi Initiatives (VMI) (2017 hadi sasa), kama mratibu wa ujenzi na uanzishaji wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS) (2017 hadi leo); kama Mjumbe wa Bodi ya SEWOTA (2017 hadi sasa), na kama Mratibu wa miradi, haswa Miradi ya Vijana, Kanda ya Afrika chini ya United Evangelical Mission (UEM)

kikuu cha Dar es Salaam. Bi Hamza ni mtaalam wa biashara na ujasiriamali kutoka Tanzania na ana uzoefu wa miaka sita kwenye fani hiyo. Kwa sasa anafanya kazi na chama cha wanawake wafanyabiashara (TWCC) kama Mkurugenzi Mtendaji wa muda. Pia ni mtaalam wa uwezeshaji wanawake kwenye masuala ya kiuchumi kama vile kukuza biashara, ujasiriamali, manunuzi, maendeleo ya biashara na masoko, ni Mchambuzi wa sera na mkufunzi wa biashara za kimataifa. Alihudhuria mafunzo kadhaa ikiwa ni pamoja na uongozi, Ujuzi wa ushindani, mauzo ya nje, jukumu la taasisi inayounga mkono biashara, Ubora na viwango, upangaji wa miradi na usimamizi, Utetezi, ustadi wa maonyesho, biashara ufadhili na biashara ya nje ya mipaka ya nchi. Amefanikiwa kuanzisha miradi kadhaa na mipango ya uwezeshaji wanawake na vijana kiuchumi na kusaidia vijana wengi na vikundi vya wanawake kwa kutoa mafunzo. Yeye pia ni mwanachama wa vyama na Kamati kadhaa za Kitaifa na kibiashara.

Mwajuma pia ni mkufunzi na Mshauri wa mashirika tofauti ya Vijana nchini na ni mwanaharakati wa vijana kujiajiri. Katika kampuni ya JATU anaongeza utaalam wake katika biashara na usimamizi wa programu za kusaidia kufanikisha maono ya Kampuni.

Bi. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda (42)

Bi. Mwajuma Hamza (31)

Page 20: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

JATU Public Limited Company

20

Bwana Phinias Opanga aliteuliwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni mnamo Juni, 2019. Opanga ana Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka Taasisi ya Usimamizi wa Fedha, (IFM) Tanzania (1999), Stashahada ya Uzamili ya Uhasibu kutoka Taasisi ya Uhasibu Arusha (2011), na ni mhasibu wa umma aliyethibitishwa (CPA(T) (2012). Yeye pia ni mkaguzi wa Hesabu za Umma aliyethibitishwa (ACPA) na Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi ya Taifa (NBAA), Tanzania.

Bw. Ian Samakande aliteuliwa na kuthibitishwa kuwa mjumbe wa Bodi Ya Kampuni mnamo Juni 2019. Uteuzi wake ulitokana na utendaji wake madhubuti na wenye kushawishi katika Uhandisi wa Kilimo, haswa katika nyanja za upangaji, Ubunifu na usanifu wa mitambo ya shamba, umwagiliaji, utunzaji mazao na usindikaji.Ana Shahada ya Sayansi katika Uhandisi Kilimo Kutoka Chuo Kikuu cha Zimbabwe (2000). Uzoefu wa Samakande umejengwa tangu

Ni mzoefu katika kuandaa kanuni za kifedha na sera za uhasibu, uboreshaji wa Mifumo ya habari ya Uhasibu, kubuni mifumo ya Udhibiti wa ndani, utayarishaji wa sera zilizojumuishwa na zisizo za upeanaji, utayarishaji wa pamoja na taarifa zisizojumuishwa za kifedha,utayarishaji wa Vitabu vya Uhasibu, kuwa mjumbe wa bodi ya Zabuni, ni hodari katika kupanga bajeti na usimamizi vihatarishi na majanga na kutumia Viwango vya Kimataifa vya Uhasibu wa Sekta ya Umma (misingi ya IPSAS).Alipata uzoefu wake wa kina kwenye Uhasibu kutokana na kufanya kazi za uhasibu na mienendo ya usimamizi wa kifedha huko Mansoor Daya & Co Ltd (2000 - 2003); Faulu Tanzania Limited (2003); Wizara ya Fedha na Mipango ya Tanzania (2006 - 2014); kama Mhasibu Mwandamizi katika Idara ya Umwagiliaji wa Wizara ya Kilimo na Usalama wa Chakula (2014 - 2016); kama Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Utawala na Mamlaka ya Maendeleo ya Bonde la Mto Rufiji (RUBADA) (Aprili 2015 - 2016). Kwa sasa anafanya kazi kama Mhasibu Mwandamizi anayesimamia Kitengo cha Fedha na Wakala wa Taifa wa utafiti wa Nyumba na majengo (Julai 2016 hadi leo).Katika kampuni ya JATU anaongeza uzoefu mkubwa wa zaidi ya miaka 19 ya utekelezaji wa Mifumo ya habari ya Uhasibu. ustadi wa usimamizi wa vihatarishi na majanga, uchambuzi wa taarifa za kifedha na kutoa ushauri mkubwa katika maamuzi sahihi ya kifedha.

mwaka 2000 kutokana na Utendaji wa mifumo ya umwagiliaji na usimamizi wa matumizi ya maji wakati akifanya kazi na Chuo Kikuu cha Zimbabwe (2000 - 2003); kama mhandisi mtafiti na Kituo cha Teknolojia ya Umwagiliaji cha Zimbabwe, kitengo cha Kituo cha Teknolojia ya Umwagiliaji chaZimbabwe, kitengo cha Wizara ya Kilimo cha Zimbabwe (2004 -2008). Katika kipindi hicho, aliendeleza na kuainisha ujuzi wake wa vifaa vya kupima umwagiliaji (vilivyoingizwa au kutengenezwa ndani ya nchi) na kuanzisha mashamba ya mfano na kufufua mifumo ya umwagiliaji ikiwa ni pamoja na mfumo wa matone, kumwagilia na pivot. Mnamo mwaka 2008, alianzisha Irrigrow Global Ltd, Kampuni binafsi ya umwagiliaji nchini Tanzania ambayo ililenga katika kubuni na ufungaji wa mifumo ya umwagiliaji, usanikishaji wa viboreshaji vya bustani, kubuni na ujenzi wa mifumo ya uhifadhi wa maji shambani na ugavi na ufungaji wa mifumo ya kusukuma jua; mfano mzuri ni mradi wa maendeleo ulioko huko Iringa ukijumuisha matone na mifumo ya kusukuma maji ya jua huko Igingilanyi, Wangama na Tanangozi. Wateja wa Mhandisi Samakande ni pamoja na watu binafsi na miradi ya maendeleo inayohitaji mifumo ya umwagiliaji wa matone ambayo yanalenga katika kuongeza matumizi ya maji wakati wa kuongeza uzalishaji.

Bw. Phinias Opanga (48)

Bw. Ian Semakande (43)

Page 21: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

21

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

Bw. Samakande analeta katika Kampuni uzoefu wa zaidi ya miaka 10 ya harakati za kufanya bidhaa za shamba na kilimo ziwe za kibiashara. Uzoefu na ujuzi alionao ili kutumiwa kuanzisha mashamba mazuri na kuongeza uzalishaji kutoka kwenye mashamba ya Kampuni.

JATU ni Kampuni ya umma ambayo ina aina zifuatazo za wanachama;

AINA ZA WANACHAMA

MWANACHAMA MTEJA

WANAHISA

MWANACHAMA BALOZI

WAKULIMA

Huyu ni mwanachama ambaye anajiunga na kampuni baada ya kupashwa habari na mwenzake/kizazi/mtu wa juu yake kuhusu JATU na kuamua kujiunga kwa lengo la kununua bidhaa za JATU. Hawa wanachama wanatambulika kwa namba zao za uanachama ambazo zinapatikana mara baada ya kujaza fomu ya usajili kupitia mfumo wa JATU (JATU APP). Wanachama hawa wanapata faida ya gawio la faida kutoka kwa kampuni kila mwezi Kutokana na matumizi yao na wana mtandao wao.

Hawa ni wanachama ambao wanamiliki sehemu ya kampuni kulingana na hisa zao, ni wamiliki wa kampuni na wanastahili gawio la kila mwaka ikiwa kampuni imepata faida katika mwaka wa fedha.

Hawa ni wanachama ambao baada ya usajili, wanajikita zaidi katika kuuza bidhaa za JATU au kubuni bidhaa zao na kuziuza katika mfumo wa JATU. Wanajengewa uwezo wa kutoa mafunzo kwa wanachama wapya na kuwa mabalozi wao wakati wa usajili. Wanalipwa na Kampuni Kulingana na idadi ya watu au wateja waliowahudumia na faida waliyoingiza.

Ni wanachama wenye hisa kadhaa kwenye kampuni lakini pia wanafanya kilimo chini ya usimamizi wa Kampuni. Wanalima kwa pamoja na kuuza mazao yao kwa kampuni. Kampuni inawasaidia kufanya utafiti katika miradi yao, vifaa, zana, huduma za ugani, maghala na soko la uhakika kwa mazao yao.

Page 22: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

JATU Public Limited Company

22

UZOEFU WA KAMPUNIKampuni imefanikiwa kuanzisha na kufanya miradi ifuatayo;

s/n JINA LA MRADI TAARIFA ZA MRADI WAMILIKI HALI

1. Kiwanda cha Unga wa mahindi Kibaigwa

Mashine ya Kutengeneza unga wa mahindi ya 24TD

JATU PLC Umeisha

2. Shamba la kiteto Zaidi ya hekta 1000 Wakulima wa jatu

Unaendelea

3. Kiwanda cha kuchakata na kufun-gasha Mchele Kilombero (Mbingu)

Mashine ya kukoboa mpunga ya 20TD na kufungasha mchele

JATU PLC Umeisha

4. Mashamba ya Kilombero (Mbingu) Zaidi ya hekta 500 Wakulima wa JATU

Unaendelea

5. Kituo cha kuchakata maharage Mashine ya kuchakata maha-rage ya 10TD na kufungasha maharage

JATU PLC Unaendelea

6. Mashamba ya Kilindi Zaidi ya hekta 400 Wakulima wa Jatu

Unaendelea

Page 23: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

23

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

UWEZO WA VIFAA NA ZANA

23

Page 24: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

JATU Public Limited Company

SERA YA KUPINGARUSHWA

Kampuni inakubaliana na kufuata misingi ya ushindani wa zabuni ya ushindani na imejitolea kushindana chini ya ushindani ulio sawa na wa haki bila kushiriki katika kutoa wala kupokea rushwa.

Tunathibitisha kuwa, Kampuni haitatoa au kuwezesha moja kwa moja au kwa namna isiyo ya moja kwa moja wala kushawishi au kutoa kitu au zawadi yoyote kwa afisa wa umma na washirika wa biashara kuhusiana na zabuni au mambo yote yanayohusiana na utendaji.

Shuhuda mbalimbali kutoka kwa Wanachama wetu kwa njia ya picha.

USHUHUDA

KITETO MANYARA

JATU SEMINA

24

Page 25: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

25

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

USAMBAZAJI

MASHAMBA YA JATU

BIDHAA ZA JATU

MIKUTANO YA JATU

Page 26: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo26

JATU Public Limited Company

Kampuni inategemea kuwa na miradi ufuatayo;

S/N MRADI ENEO UWEZO KIASI CHAUWEKEKEZAJI

MUDA

1. Mradi wa Umwagil-iaji Kiteto

Matui, Kiteto

Ekari 500 Bilioni mbili 2020-2022

2. Kiwanda cha Unga wa mahindi Kiteto

Matui, Kiteto

50TD BILIONI 1.5 2020-2022

3. MJI WA JATU Matui/ Kiteto

Ekari 20 Bilioni 2 2020-2022

4. Kilimo cha Matunda Tanga Ekari 1000 Zaidi ya bilioni 14 2020-2024

5. Kituo ya kufun-gasha ndiizi

TARIME 10TD Zaidi ya Bilioni 1 2020-2022

MIRADI IJAYO

Page 27: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

27

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

TUZO NA MATUKIO MBALIMBALIYALIYOHUDHURIWA NA JATU

MAONYESHO YA NYERERE (TANGA)

KITETO - MANYARA

MAONYESHO YA BIASHARA KIGALI (RWANDA)

MAONYESHO YA BIASHARA DAR ES SALAAM

MAONYESHO YA BIASHARA DAR ES SALAAM

Page 28: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

JATU Public Limited Company

28

Page 29: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| MikopoKilimo | Viwanda | Masoko |Mikopo 29

Page 30: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

JATU Public Limited Company

Agriculture | Industires | Marketing | Loans30

Page 31: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo31Agriculture | Industries | Marketing |Loans

Page 32: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

JATU Public Limited Company

32 Kilimo | Viwanda | MAsoko | Mikopo

Page 33: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo 33Kilimo | Viwanda | MAsoko | Mikopo

Page 34: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo34

Page 35: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| MikopoKilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo 35

Page 36: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo36

JATU Public Limited Company

Page 37: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

37

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

Page 38: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo

JATU Public Limited Company

38

844,000/- 281,600/- 563,200/- 31,288.8/- 31,288.8/- 31,288.8/- 31,288.8/-

31,288.8/- 31,288.8/- 31,288.8/- 31,288.8/- 31,288.8/-

Page 39: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo 39

Namna ya Kupakua na KujisajiliNA MFUMO WA JATU PESA

Page 40: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

JATU Public Limited Company

40 Kilimo | Viwanda | Masoko | Mikopo

Page 41: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo 41Kilimo | Viwanda | Masoko | Mikopo

Page 42: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo42

JATU Public Limited Company

Neno Kutoka kwaMKURUGENZI

Ndugu Wawekezaji,

Kwa niaba ya uongozi na wafanyakazi wa JATU. Nawakaribisha kuwekezaJATU. Tunafurahi kuona mmeamua kutaka kuwekeza katika kampuni yetu.

JATU inamilikiwa zaidi na vijana na wakulima wadogo wadogo nchini. Dira ya kampuni ya JATU ni kuwa kampuni inayoongoza kwa kutoa huduma bora kwa wateja ndani na nje ya nchi katika kilimo biashara na bidhaa za kilimo na kutoa faida nzuri kwa wawekezaji wa kampuni.

Kwa kipindi kifupi tangu kuanzishwa kwa kampuni mwaka 2016. Kampuni imeweza kuunganisha mamia ya wakulima wadogo wadogo katika maeneo mbalimbali hapa nchini kupitia kilimo cha kisasa na usimamizi. Shughuli za kilimo na uchakataji wa mazao zilianzishwa katika mikoa ya Morogoro, Tanga, Dodoma na Manyara. Kwa siku zijazo tunatarajia kuanzisha vilimo kama hivi katika mikoa mingine hapa Tanzania. Kwa upande wa huduma maelfu ya wateja wetu wamejiunga na kampuni na wanafurahia huduma zetu bora katika maeneo mbalimbali hapa nchini ambazo ofisi zetu zinapatikana kama vile ofisi ya Mtwara iliyopo kanda ya kusini,ofisi ya Arusha iliyopo kanda ya kasikazini, ofisi ya Mwanza iliyopo kanda ya ziwa na makao makuu ya kampuni yalipo mkoa wa Dar es Salaam. Vile vile tuna matawi mengine yaliyopo sehemu za uzalishaji ambapo tunaendesha shughuli za kilimo na uchakataji wa bidhaa kama vile Kibaigwa – Dodoma kwa kuchakata unga wa mahindi na kukamua alizeti, Mbingu – Morogoro kiwanda cha kumenya mchele, Kiteto – Manyara na Kilindi – Tanga kwa kilimo cha mahindi, alizeti na Maharage.

Lengo letu ni kufikia wilaya zote nchini na kutoa huduma za kilimo, viwanda na masoko.

Kampuni inatazamia kuleta matokeo chanya katika jamii ya Tanzania na zaidi kupitia kilimo, vi-wan-da, huduma za kifedha (mikopo) na masoko. Tunashukuru mpango mkakati wetu wa masoko am-bao unahusisha kuwalipa wateja wetu gawio kila mwezi kutokana na manunuzi yao ya kila siku. Kampuni inazidi kufanikiwa kupata wateja na kukuza soko lake pamoja na kuwa chaguo bora kwa jamii katika uwekezaji na usambazaji wa bidhaa za kilimo kwaajili ya matumizi ya kila siku. Kwa njia hii ya kupunguza umasikini, mda umefika wa kampuni kuamia katika umiliki wa umma, maono haya yakichukuliwa hatua muhimu yataleta faida kubwa kwa wawekezaji wetu wa sasa na wa baadaye, wafanyakazi wetu na wateja wetu. Tunauhakika kwamba uthubutu na ubunifu ulioijenga JATU kuwa kampuni bora ya kilimo biashara utaendelea kujenga malengo yake ya kuwa kampuni ya umma.

Natazamia mahusiano ya muda mrefu na yenye mafanikio ya pamoja, na nyinyi wawekezaji wetu wapya.

Wako mtiifu

Peter IsareChief Executive Officer

Page 43: JATU Public Limited Company - WordPress.com · 2020-04-21 · Kampuni imesajiliwa nchini Tanzania na kupatiwa vyeti vya usajili na leseni kutoka mamlaka za serikali kama ifuatavyo;

43

JATU Public Limited Company

Kilimo | Viwanda | Masoko| Mikopo