mafunzo kwa wafanyakazi wa wakala wa majengo · wa wakala wa majengo • elimu kwa ... •vvu...

35
MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO ELIMU KWA MUELIMISHAJI;YATAMBUE HAYA KABLA HUJAANZA MAJADILIANO Kuishi na UKIMWI si jambo rahisi kwa sababu ni kitu kinachotia hofu kubwa miongoni mwa jamii kwa sababu mbali mbali

Upload: others

Post on 06-Feb-2020

30 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI

WA WAKALA WA MAJENGO

• ELIMU KWA

MUELIMISHAJI;YATAMBUE HAYA

KABLA HUJAANZA MAJADILIANO

• Kuishi na UKIMWI si jambo rahisi kwa

sababu ni kitu kinachotia hofu kubwa

miongoni mwa jamii

• kwa sababu mbali mbali

Page 2: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

MAFUNZO…

• 1. Inaweza kumpa hisia mgonjwa ndio

mwisho wa maisha yake kwa kutoweza

kuyakabili maisha endapo tu atajuwa

ana tatizo

• Inaweza kumfanya mtu awe na

wasiwasi kuhusu uwezo wake wa

kujitunza na hata kutunza familia yake

Page 3: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

MAFUNZO…

• 2. kuanza kuogopa kifo na kumpelekea

• kutokupenda kazi, kutokuwa na

matumaini,

• kukata tama na kuamini kuwa maisha

hayana thamani tena

• na kuamua hata kujiua au kuambukiza

watu wengine kwa makusudi nife na

wengi,

Page 4: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

MAFUNZO…

• Ila kwa kupata elimu sahihi haya yote

hayatakuwepo

• Mtu ataishi maisha ya kawaida endapo

atafika katika vituo vya tiba na kupata

tiba sahihi

• Ikiwemo kutibu magonjwa nyemelezi,

dawa za kupunguza makali ya ongezeko

la virusi na kuongeza kinga ya mwili.

Page 5: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Ukimwi mahali pa kazi

• Kudhibiti maambukizo ya maradhi ya ngono

• Utangazaji na usambazaji wa kondomu

• Unasihi na upimaji wa hiari wa UKIMWI

• Uzuiaji wa uambukizo wa VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto

• Watu wawe wazi, wasaidiwe na wasaidiane, sheria, kanuni na taratibu za kazi zijulikane na zifuatwe

Page 6: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Ukimwi mahali pa kazi

• Kila mtu afahamu haki zake za ajira na gharama za matibabu zinazotolewa na mwajiri.

• Unyanyasaji unatokana na kutofahamu ukweli kuhusu ukimwi

• Kuwaelimisha wafanyakazi wenzako kutawasidia kujifunza kuishi na watu wenye virusi vya UKIMWI kwa UTU na ni njia mojawapo ya kupunguza unyanyapaa

Page 7: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Mambo muhimu ya kufahamu

• 1 Ukweli kuhusu ukimwi

• VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na

athari zake

• Umuhimu wa kujua afya yako

• Magonjwa nyemelezi yanayohusiana na

UKIMWI

• Njia za maambukizi na imani potofu

• Matibabu ya Mgonjwa wa UKIMWI

Page 8: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Lishe Bora

• -Umuhimu wake

-Aina ya lishe bora

• Afya na usafi

-Mwili, mavazi na malazi

-Kuimarisha afya ni pamoja na mabadiliko

ya tabia kwa makundi maalum ya watu

Page 9: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Kujamiana

Ni hatua muhimu katika mapambano dhidi

ya UKIMWI

• Unatakiwa kufikiri nini unapokutana kimwili

• Uanze vipi kulinda afya yako, kwa kujipima

au kwa kujiamini

• Je kutumia kondom ni kutoaminiana

• Tabia zipi hazina usalama

• Ufanyeje ukitaka kufunga ndoa?

• Magonjwa ya zinaa na athari zake

Page 10: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Kujali familia

• Ni pamoja na kuongea nao kuhusu afya

yako

• Kama ni muathirika lazima uwe wazi kwao

• Uiandaaje familia wakati wa matatizo

• Nani ashirikishwe na nani wa kutoa

msaada

• Kujiunga na vikundi mbalimbali vya

wanaoishi na VVU kama vile SHIDEPHA (

SERVICE HEALTH AND DEVELOPMENT

FOR PEOPLE LIVING WITH HIV/AIDS)

DODOMA

Page 11: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Jamii na uchumi

• Jishughulishe katika kuongeza kipato

• Usiwe mnyonge wa mawazo na fikra duni

za kusaidiwa tu

• Jiunge katika vikundi mbalimbali vya

wajasiria amali

• Pata ushauri mbalimbali kwa ndugu

,jamaa na marafiki

Uepukaji wa mila na desturi mbaya

Page 12: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Mirathi na wosia

• Matayarisho kwa watu wote

• Sajili kihalali uliza na fuata taratibu

• Ndoa na rasilimali, watoto, wake

• Nini cha kuandika

• Nani ahusishwe

Page 13: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

MAISHA KWANZA

• WEWE BINAFSI

• Familia

• Marafiki

• Wengine walioathirika na VVU

• Jamii kwa ujumla

• Dini na imani zina nafasi yake katika

kumuweka sawa mgojnwa wa UKIMWI,

kwa kiwango gani na kitu gani ni muhimu

kuzingatiwa katika maisha

Page 14: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Dira ya taifa

• (Tanzania bila ya UKIMWI inawezekana)

-Kuwa na jamii ambayo watoto wetu waweza kukua bila ya tishio la VVU na UKIMWI

-Kuwajali na kuwasaidia ambao wameambukizwa na kuathiriwa na VVU na UKIMWI

-kuweka mikakati ya pamoja , ikiwemo mafunzo elekezi

Page 15: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

UKIMWI

• Kifupisho cha maneno:-

• Upungufu Wa Kinga Mwilini

• Mkusanyiko wa magonjwa yanayotokana

na kudhoofika kwa nguvu za kinga ya

mwili kujikinga na maradhi

• Kunakosababishwa na V V U

Page 16: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Virusi Vya UKIMWI (VVU)

• Ni vimelea vidogovidogo, vinavyodhoofisha na kufanya mwili kupoteza uwezo wake wa kupambana na maradhi

• Kawaida miili yetu hukingwa dhidi ya maradhi na chembechembe nyeupe za damu (WBC)

• VVU vikiingia mwilini hushambulia chembechembe hizo na kuzipunguza

Page 17: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Virusi Vya UKIMWI (VVU)…

• Vinapatikana katika damu

• Majimaji mbalimbali yanayotoka kwenye

mwili

• Na viungo vya uzazi vya wanawake na

wanaume wenye maambukizo

• Njia kuu ya kueneza virusi hivi,hasa katika

Bara la Afrika

• Ni kujamiiana kusiko salama

Page 18: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Virusi Vya UKIMWI (VVU)…

• Njia nyingine

-ni kutoka kwa mama mjamzitomwenye VVU kumwambukiza mtoto wakati akiwa tumboni

-au wakati wa kumnyonyesha

• Pia huambukizwa kwa kuongezewa damu yenye virusi hivyo

• Kuchangia vifaa vyenye mabaki ya damu kama sindano, mikasi, wembe n.k

Page 19: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Njia zifuatazo haziambukizi VVU

• Kushikana mikono na mtu mwenye VVU

• kuishi pamoja na mtu mwenye VVU

• Kushiriki kula chakula pamoja na mtu wa VVU

• Kugusana au kukumbatiana na mwenye VVU

• Kushirikiana bafu na mwenye VVU

• Kuumwa na mbu, viroboto au wadudu wengine

Page 20: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Dalili za UKIMWI

• Hakuna njia ya hakika ya kutambua mtu

aliyeambukizwa VVU zaidi ya vipimo vya

maabara

• Watu wanaoishi na VVU wanaweza

kuonekana wazima na wasionyeshe dalili

zozote za ugonjwa

• Hata hivyo pamoja na kutokuonyesha dalili

zozote

Page 21: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Virusi Vya UKIMWI (VVU)…

• Mtu huyu mwenye VVU anaweza

kuambukiza watu wengine ikiwa atakuwa

na mahusiano yasiyo salama

• UKIMWI ni hatua ya mwisho ya

maambukizi ya VVU

• Hatua hii ikifikiwa

• Mwathirika huanza kushambuliwa na

magonjwa mbali mbali yaitwayo nyemelezi

Page 22: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Dalili za UKIMWI

• Kupungua uzito asilimia 10 au zaidi katika

mwezi mmoja, bila sababu inayoeleweka

• Kuharisha muda mrefu (mwezi 1au zaidi)

• Homa za mara kwa mara

• Utando mweupe mdomoni

• Kikohozi cha muda mrefu

• Mkanda wa jeshi

Page 23: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Dalili…

• Vipele sugu, vyenye kuwasha hasa

mikononi na miguuni

• Mgonjwa akiwa na dalili zaidi ya tatu

• Uwezekano wa kuwa na UKIMWI ni

mkubwa

• Hata hivyo

• vipimo vya maabara vinahitajika

kuthibitisha ugonjwa wa UKIMWI

Page 24: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Jinsi ya kuzuia maambukizi ya VVU

• Ni muhimu jamii ielimishwe umuhimu wa kupima afya zao na kuchukua hatua zinazostahili;

• 1. jinsi ya kuzuia maambukizi ya vvu yanayotokana na kujamiiana

-kutokujamiiana kabisa (kugunga, abstinence)

-kuwa na mpenzi mmoja muaminifu na asiye na uambukizo (be faithful)

Page 25: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Njia za kuzuia……

-Kujamiiana kwa kutumia kondomu ya

kike au ya kiume kwa usahihi na wakati

wote

• 2. Jinsi ya kuzuia maambukizi kwa mtoto

mchanga

-wanawake wajawazito na waume zao

wahudhurie kliniki ili kupima na kufahamu

afya zao

Page 26: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Njia za kuzuia……

• Wanawake wanaobainika kuwa na VVU hupatiwa maelekezo jinsi ya kumkinga mtoto kupata maambukizi kwa njia ya dawa za ART

• Kuhimiza kujifungulia hospitali ili mtoto apatiwe dawa za kumkinga na maambukizi mara tu anapozaliwa

• Ushauri kuhusu muda wa kunyonyesha na lishe mbadala

Page 27: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Njia za kuzuia……

• Jamii kwa ujumla ishirikishwe kutoa

msaada wa hali na mali

• kuwawezesha wakina mama

walioambukizwa VVU kutimiza masharti

ya kuzuia maambukizi

• kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto

Page 28: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Njia za kuzuia……

• Jinsi ya kuzuia maambukizi ya VVU wakati

wa kutoa huduma

-watoa huduma wawe waangalifu wakati

wa kuwahudumia wagonjwa na kuzingatia

mambo yafuatayo

-kuvaa mipira ya mikononi endapo mtoa

huduma au mpokea huduma ana

michubuko , majeraha au vidonda mwilini

Page 29: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Njia za kuzuia……

• Kuvaa mipira kabla ya kugusa nguo au

vifaa vyenye damu, matapishi, mkojo au

kinyesi cha mgonjwa na mgonjwa aelezwe

kabla ya kufanya hivyo

• Nguo au vifaa vyenye damu au maji maji

mengine ya mgonjwa

• Viwekwe kwenye maji ya moto

yanayochemka kwa dakika 20-30 au

Page 30: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Njia za kuzuia……

• Vilowekwe kwenye JIC kwa dakika 20-30

kabla ya kufua/kuosha

• Mhudumu afue/asafishe vifaa hivyo akiwa

amevaa mipira ya mikononi

• Taratibu za kutuma mabaki yasiyohitajika

yafuatwe ,kuchoma au kutumbukizwa

katika choo cha shimo

Page 31: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Njia za kuzuia……

• Viffa vyenye ncha kali vilivyotumika wakati

wa kumhudumia mgonjwa wa UKIMWI na

• Ambavyo vinaweza vikatumika tena

vilowekwe kwenye JIC halafu vichemshwe

• Vile ambavyo havitatumika tena,

vitumbukizwe kwenye choo cha shimo

• Mhudumu aoshe mikono kwa sabuni kabla

na mara baada ya kumuhudumia mgonjwa

Page 32: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Njia za kuzuia……

• Ni muhimu wahudumu wapime

nakufahamu afya zao, ili kujiweka

katika mazingira mazuri ya kujikinga na

maambukizi ya VVU

Page 33: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Kabla ya ushauri na matibabu

Page 34: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

Baada ya ushauri na matibabu

Page 35: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA MAJENGO · WA WAKALA WA MAJENGO • ELIMU KWA ... •VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake •Umuhimu wa kujua afya yako •Magonjwa

MUELIMISHAJI

AHSANTENI KWA KUWA

PAMOJA KATIKA MAPAMBANO

DHIDI YA UKIMWI