mikoa itakayofanya uchaguzi kwa sababu mbalimbali
DESCRIPTION
UCHAGUZI WA UBUNGE NA UDIWANI ULIOAHIRISHWA TAREHE 25 OKTOBA, 2015TRANSCRIPT
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UCHAGUZI WA UBUNGE NA UDIWANI ULIOAHIRISHWA TAREHE 25 OKTOBA, 2015
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawatangazia wananchi wote kuwa Uchaguzi wa Ubunge na Udiwani katika Jimbo na Kata ambazo hazikufanya Uchaguzi tarehe 25 Octoba 2015 kwa sababu mbalimbali isipokuwa kifo, Uchaguzi huu sasa utafanyika tarehe15 Novemba na tarehe 13 Decemba 2015.
Jimbo na Kata zitakazo husika ni kama ifuatavyo:
15 Novemba 2015
Na.
JIMBO MKOA
1. LULINDI– MASASI DC MTWARA
15 Novemba 2015
Na
KATA HALMASHAURI
1. KILOLENI URAMBO DC2. MALAMBO NGORONGORO DC3. NGARESERO4. MIZIBAZIBA NZEGA DC5. TONGI6. LUDETE GEITA7. BUKULA RORYA8. BUPAMWA KWIMBA DC9. MWAMBANI
CHUNYA DC10
.ITEWE
11 MKOLA
.12
.MBUYUNI
13.
ISEBYA MBOGWE DC
14.
MATONGO BARIADI DC
15.
MAJENGO KOROGWE DC
16.
SONGWE KILINDI DC
17.
MKONGOBAKI LUDEWA DC
18.
MAHANJE MADABA DC
19.
KAGERA KIGOMA UJIJI
20.
MILEPA SUMBAWANGA
21.
RUJEWA MBARARI DC
22.
MAGAMBA MPANDA DC
23.
MKONGO GULIONI NAMTUMBO
24.
LISIMONJI
25.
SARANGA KINONDONI
13 Decemba 2015
Na
KATA HALMASHAURI
1. IPALA DODOMA DC2. NYAMILOLELWA GEITA DC
- Vituo vya kupigia Kura ni vile vilivyotumika wakati wa upigaji Kura za Urais Oktoba 25, 2015
- Vituo vitafunguliwa saa 1:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni.
- Wanaoruhusiwa kupiga Kura ni wale walio na kadi za Mpiga Kura na wamo katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
NB: Kumbuka Uchaguzi katika Jimbo la Kijitoupele Zanzibar utafanyika baadaye.
IMETOLEWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
Kailima,R.KMKURUGENZI WA UCHAGUZI