nguvu yetu volume 10€¦ · mnufaika wa mradi kabla na baada ya mafunzo. sambamba na hilo, watu...
TRANSCRIPT
TUSONGE -
UTANGULIZI Hili ni gazeti linaloonyesha mwenendo mzima wa kazi za
TUSONGE kwa kipindi cha miezi mitatu (Julai2017). Katika kipindi hiki, shirika limeweza kufanya
utekelezaji wa miradi mitatu (Mradi wa uchumi, haki za
binadamu na mradi wa kupinga ukatili na ukeketaji) katika wilaya ya Siha (Kata ya Ivaeny na Biriri), Moshi
Vijijini kata ya Mbokomu na kata ya Arusha chini, Moshi mjini kata ya Msaranga, Boma mbuzi. TUSONGE
inapenda kushirikisha wadau mbalimbali kuhusu
maendeleo ya kazi za mradi kulingana na kipindi chake cha utekelezaji. Hii ni moja ya mbinu shirikishi
inayotumiwa na shirika la TUSONGE kwa lengo la kupata maoni na ushauri katika kuboresha kazi za
miradi zinazoendelea ndani na nje ya shirika.
YALIYOFANYIKA KIPINDI CHA JULY-SEPTEMBA MRADI WA UCHUMI � Katika kipindi hiki shirika lilifanya utafiti wa awali
kwa wanufaika wa sekta ya Maduka, pamoja na watu wanaoishi na ulemavu kwa lengo la
kujua uelewa wao wa awali kabla ya elimu kutolea. Zoezi hili ni muhimu sana kwani linasaidia kupima
mabadiliko kwa wepesi na kujua historia ya
mnufaika wa mradi kabla na baada ya mafunzo. Sambamba na hilo, watu wanaoishi na ulemavu
waliweza kueleza mahitaji yao ambayo wa kumbukumbu, mpango wa biashara, elimu ya
fedha, utunzaji wa muda na namna ya kuanzisha
biashara ya pamoja. Haya yote yaliweza kurahisisha utoaji wa elimu iliyolenga mahitaji muhimu ya
wanufaika wetu.
Wanachama wa Sekta ya maduka wakiwa katika kazi za makundi
TOLEO LA 10 JULY-SEPTEMBA
- CDO
Hili ni gazeti linaloonyesha mwenendo mzima wa kazi za
TUSONGE kwa kipindi cha miezi mitatu (Julai-Septemba shirika limeweza kufanya
utekelezaji wa miradi mitatu (Mradi wa uchumi, haki za
binadamu na mradi wa kupinga ukatili na ukeketaji) katika wilaya ya Siha (Kata ya Ivaeny na Biriri), Moshi
Vijijini kata ya Mbokomu na kata ya Arusha chini, Moshi Msaranga, Boma mbuzi. TUSONGE
inapenda kushirikisha wadau mbalimbali kuhusu
maendeleo ya kazi za mradi kulingana na kipindi chake cha utekelezaji. Hii ni moja ya mbinu shirikishi
inayotumiwa na shirika la TUSONGE kwa lengo la ka kuboresha kazi za
miradi zinazoendelea ndani na nje ya shirika.
SEPTEMBA
utafiti wa awali
ka, Chakula pamoja na watu wanaoishi na ulemavu kwa lengo la
kujua uelewa wao wa awali kabla ya elimu kutolea. oezi hili ni muhimu sana kwani linasaidia kupima
mabadiliko kwa wepesi na kujua historia ya
mnufaika wa mradi kabla na baada ya mafunzo. hilo, watu wanaoishi na ulemavu
waliweza kueleza mahitaji yao ambayo ni utunzaji wa kumbukumbu, mpango wa biashara, elimu ya
fedha, utunzaji wa muda na namna ya kuanzisha
Haya yote yaliweza kurahisisha aji muhimu ya
� Shirika lilitoa elimu ya ujasiriamali katika jamii ya Msaranga ndani ya sekta tatu kwa jumla ya
wanufaika 96, kati yao (Maduka 32,
kilimo na ufugaji 34 kwa watu wanaoishi na
Mahitaji maalum. Elimu hii imepokelewa kwa
hamasa kubwa ndani ya jamii kwani wanufaika wengi walijitokeza na kushiriki kwenye mafunzo kwa
lengo la kuinuka kiuchumi.
MRADI WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NA
UKEKETAJI
Kutokana na ongezeko la matukio ya kikatili
za utotoni, ubakaji, ulawiti kuanzia ngazi ya familia hadi jamii, shirika la
TUSONGE limeweza kushirikiana na wadau mbalimbali
wakiwemo (viongozi wa dini, viongozi wa serikali ya kijiji na kata, waalimu, sekta ya afya na dawati la
jinsia katika kutoa elimu kuhusu haki za wanawake, watoto, vijana na makundi ya wanaoishi na mahitaji
maalum. Elimu hii ilitolewa kwa wanufaika 135
(wanawake 65, wanaume 31, watu wenye mahitaji maalum 4 (Wanawake 2, wanaume 2)
na watoto 35.
Kwa lengo la kujenga uelewa wa kuondokana na mila na desturi kandamizi ndani ya jamii. Elimu hii
imekuwa na mapokeo chanya katika kata ya Arusha
chini kwani iligundulika kuwa ni eneo lenye watu wengi wahamiaji wenye tabia na tamaduni tofauti
tofauti zilizo kinyume na maadili na binadamu.
Afisa Mradi wa uchumi akitoa elimu ujasiriamali na ubunifu katika biashara
Wanachama wa Sekta ya maduka wakiwa katika
SEPTEMBA 2017
elimu ya ujasiriamali katika jamii ya Msaranga ndani ya sekta tatu kwa jumla ya
Maduka 32, Chakula 30,
kwa watu wanaoishi na
. Elimu hii imepokelewa kwa
hamasa kubwa ndani ya jamii kwani wanufaika jitokeza na kushiriki kwenye mafunzo kwa
MRADI WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NA
Kutokana na ongezeko la matukio ya kikatili (ndoa
za utotoni, ubakaji, ulawiti na ukeketaji) kuanzia ngazi ya familia hadi jamii, shirika la
TUSONGE limeweza kushirikiana na wadau mbalimbali
wakiwemo (viongozi wa dini, viongozi wa serikali ya kijiji na kata, waalimu, sekta ya afya na dawati la
jinsia katika kutoa elimu kuhusu haki za wanawake, atoto, vijana na makundi ya wanaoishi na mahitaji
Elimu hii ilitolewa kwa wanufaika 135
(wanawake 65, wanaume 31, watu wenye mahitaji maalum 4 (Wanawake 2, wanaume 2)
Kwa lengo la kujenga uelewa wa kuondokana na mila kandamizi ndani ya jamii. Elimu hii
imekuwa na mapokeo chanya katika kata ya Arusha
chini kwani iligundulika kuwa ni eneo lenye watu wengi wahamiaji wenye tabia na tamaduni tofauti
maadili na haki za
Afisa Mradi wa uchumi akitoa elimu ya ujasiriamali na ubunifu katika biashara
Kwa kuheshimu mbinu shirikishi, elimu hiyo ilitolewa
kwa njia ya semina, mikutano na klabu mashuleni ili kujenga uelewa kuhusu haki za binadamu pamoja na
jinsi ya kukabiliana na matukio ya kikatili yatayojitokeza katika jamii ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa kwenye
vyombo husika kama vile dawati la jinsia, Mahakama na wadau mbalimbali.
Kwa kuhakikisha utekelezaji wa elimu iliyotolewa, shirika liliweza kuunda timu ya ufuatiliaji shirikishi
(wanawake 2 na wanaume 3) ndani ya jamii na kuwaelimisha namna ya kukusanya taarifa
zinazoonyesha matokeo baada ya mafunzo. Hii itasaidia
uendelevu na umiliki wa mradi kwa jamii.
TUSONGE - CDO
Toleo la 10 ���� July-Septemba 2017
Viongozi wa dini na serikali wakipata elimu ya jinsi ya kupinga ukatili na ukeketaji – Kata ya Arushachini
Mshiriki mwenye mahitaji maalumu akiwasilisha
Kwa kuheshimu mbinu shirikishi, elimu hiyo ilitolewa
kwa njia ya semina, mikutano na klabu mashuleni ili kujenga uelewa kuhusu haki za binadamu pamoja na
kikatili yatayojitokeza katika jamii ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa kwenye
vyombo husika kama vile dawati la jinsia, Mahakama na
Kwa kuhakikisha utekelezaji wa elimu iliyotolewa, shirika liliweza kuunda timu ya ufuatiliaji shirikishi (watu 5
ndani ya jamii na namna ya kukusanya taarifa
zinazoonyesha matokeo baada ya mafunzo. Hii itasaidia
MRADI WA UELIMISHAJI HAKI ZA
Kwa kipindi cha mwezi wa saba hadi wa tisa,
kumekuwa na kazi za uelimishaji jamii
matumizi ya Kitabu cha Mwongozo kwenye
uelimishaji haki za binadamu. Lengo la warsha hizi ndani ya jamii ni: Kuimarisha uwezo wa wanajamii
katika uelimishaji haki za binadamu na kuzingatia utumiaji wa mbinu shirikishi.
Mashirika 17 yaliyopata elimu ya Kitabu mnamo mwezi Mei, 2017 yameweza kuchagua washiriki katika
jamii za Njoro Sokoni, Njoro Viwandani zilizopo Moshi Mjini pamoja na Akeri iliyopo Tengeru na
mafunzo kwa mfumo wa warsha ambapo zimefikia
hatua ya utekelezaji au kuchukua hatua ya kuelimisha jamii katika maswala yanayogusa jamii. Kazi hizo
zitafanywa na wanajamii wenyewe waliopata mafunzo. Njia hii huwasaidia kumiliki mchakato,
kuongeza ufahamu na kumudu uelimishaji haki za
binadamu ndani ya jamii zao.
Wanajamii waliopata mafunzo wanapitishwa katika hatua tano za Kitabu cha Muongozo wa uelimishaji
haki za binadamu ambazo ni:- 1. Kuchunguza Hamasa
2. Kuchunguza Muktadha
3. Kulenga mabadiliko na kuwek
4. Kuchukua hatua
5. Ufuatiliaji na tathmini Mashirika yamefanikiwa kuwapitisha wanajamii katika
hatua tatu za Kitabu ambapo ziliweza kuwasaidia
kupanga hatua kulingana na swala la uvunjaji haki za binadamu lililokithiri ndani ya jamii zao. Kata ya Ak
Arusha imeamua kulenga swala la ushiriki wa wanawake katika maamuzi. Kata za Njoro Viwandani
na Sokoni zimeamua kutoa elimu katika swala la Ukatili wa Kingono dhidi ya watoto.
Mbinu Shirikishi katika utoaji elimu ya haki za binadamu ni muhimu kwani huwapa fursa wanajamii
kutoa mawazo na michango yao katika mijadala, na pia kutafakari kwa kina maswala yanayogusa jamii
zao na baadaye kupanga mikakati na mipango ya utatuzi wa maswala ya haki za binadamu kwa pamoja.
Hivyo kusaidia kuimarisha utendaji kazi
iliyomo ndani ya jamii na kuchangia kuleta mabadiliko.
jinsi ya Kata ya Arushachini
Mshiriki mwenye mahitaji maalumu akiwasilisha
UELIMISHAJI HAKI ZA BINADAMU
Kwa kipindi cha mwezi wa saba hadi wa tisa,
kumekuwa na kazi za uelimishaji jamii juu ya
Kitabu cha Mwongozo kwenye
uelimishaji haki za binadamu. Lengo la warsha hizi ndani ya jamii ni: Kuimarisha uwezo wa wanajamii
haki za binadamu na kuzingatia
Mashirika 17 yaliyopata elimu ya Kitabu mnamo mwezi Mei, 2017 yameweza kuchagua washiriki katika
jamii za Njoro Sokoni, Njoro Viwandani zilizopo Moshi Mjini pamoja na Akeri iliyopo Tengeru na kutoa
mafunzo kwa mfumo wa warsha ambapo zimefikia
hatua ya utekelezaji au kuchukua hatua ya kuelimisha jamii katika maswala yanayogusa jamii. Kazi hizo
zitafanywa na wanajamii wenyewe waliopata mafunzo. Njia hii huwasaidia kumiliki mchakato,
amu na kumudu uelimishaji haki za
Wanajamii waliopata mafunzo wanapitishwa katika hatua tano za Kitabu cha Muongozo wa uelimishaji
Kulenga mabadiliko na kuweka mipango
Mashirika yamefanikiwa kuwapitisha wanajamii katika
hatua tatu za Kitabu ambapo ziliweza kuwasaidia
kupanga hatua kulingana na swala la uvunjaji haki za binadamu lililokithiri ndani ya jamii zao. Kata ya Akeri,
Arusha imeamua kulenga swala la ushiriki wa wanawake katika maamuzi. Kata za Njoro Viwandani
na Sokoni zimeamua kutoa elimu katika swala la Ukatili wa Kingono dhidi ya watoto.
Mbinu Shirikishi katika utoaji elimu ya haki za uwapa fursa wanajamii
kutoa mawazo na michango yao katika mijadala, na pia kutafakari kwa kina maswala yanayogusa jamii
zao na baadaye kupanga mikakati na mipango ya utatuzi wa maswala ya haki za binadamu kwa pamoja.
Hivyo kusaidia kuimarisha utendaji kazi wa mifumo
iliyomo ndani ya jamii na kuchangia kuleta
Uk. 5
UFUATILIAJI NA TATHMINI
MABADILIKO YALIYOJITOKEZA-MRADI WA UCHUMI
Katika sekta ya maduka, chakula na watu wanaoishi na
ulemavu, wanufaika wameonekana kuwa na mabadiliko kidogo kutokana na elimu kutolewa hivi karibuni, hivyo
wako kwenye hatua ya awali ya utekelezaji. Baadhi ya
mabadiliko hayo ni pamoja na ununuzi wa hisa, kuandaa
mpango wa biashara na kuanzisha biashara ya pamoja
ndani ya vikundi kwa lengo la kuinuka kiuchumi. Sambamba na hilo baadhi ya wanufaika wameweza
kumiliki na kusajili biashara zao kwa kuheshimu mifumo iliyotolewa na serikali.
UANZILISHI WA MRADI WA PAMOJA
Wanufaika wa mradi sekta ya chakula kata ya Msaranga
wameweza kuanzisha mradi wa pamoja wa kuuza na kununua bidhaa za nyumbani kama vile sabuni, mafuta,
mchele na sukari kwa lengo la kuboresha afya ya familia pamoja na kuongeza kipato cha kikundi cha sekta ya
chakula.
UTENGENEZAJI NA MATUMIZI YA MBOLEA YA
ASILI
katika sekta ya kilimo na ufugaji, wanufaika wa mradi wameendelea kuweka kwenye vitendo elimu iliyotolewa
kwa kuweza kutengeneza mbolea ya asili ambayo
imeonekana kuchangia ukuzaji wa mazao ya kilimo yasiyokuwa na madhara kwa afya ya binadamu.
KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Baada ya elimu kutolewa kwa wanufaika wa sekta ya
kilimo na ufugaji, uelewa umeongezeka kuhusu kilimo cha umwagiliaji kwa kutumia mifereji, mito na
mabwawa ya asili yaliyopo kwenye jamii, kwani hapo awali wanufaika walikuwa wakitegemea mvua za
misimu ambapo kiwango cha mazao ya kilimo
hayakuwa yakikidhi mahitaji ya wanufaika pamoja na kuuza kwa lengo la kuingiza kipato. Hadi hivi sasa,
mazao yameongezeka kwa kiasi kikubwa pamoja na kuweza kulima zaidi ya mara mbili ndani ya mwaka
mmoja.
Bustani - kilimo cha umwagiliaji kata ya Biriri
UBUNIFU KATIKA BIASHARA UMEONGEZEKA
Wataalamu mbali mbali ambao wametumika kwa kiasi kikubwa katika kutoa elimu kwa wanufaika wa mradi.
Wadau hao ni pamoja na SIDO. Elimu hii imeweza
kuongeza ubunifu kwa wanufaika wa mradi kuhusu ujasiriamali wa kisasa ikiwa ni pamoja na ufungaji
wa bidhaa, usimamizi wa fedha, utunzaji wa muda, uboreshaji wa bidhaa, utafiti wa masoko, pamoja na
matumizi ya tecknologia kama vile simu. Hii inaonyesha kuwa elimu kwa jamii itakuwa endelevu
na itamilikiwa na jamii yenyewe kutokana na utayari
wa wanufaika wa mradi kujiendeleza kielimu kupitia
TUSONGE - CDO
Toleo la 9 ���� July-Septemba 2017
Uk. 3
Wanufaika wa mradi wa TUSONGE sekta ya
chakula wakiuza na kununua bidhaa za nyumbani
kupitia mradi wa pamoja-Kata ya Msaranga
Mnufaika wa mradi akiwa katika zoezi la kutengeneza mbolea ya asili baada ya mafunzo kata ya Msaranga
WANUFAIKA WA MRADI WAMEPATA ELIMU YA
FEDHA KUTOKA NMB
Katika kipindi hiki, wanufaika wa mradi wa kata ya
Msaranga, wamepata fursa ya kuelimishwa kuhusu
usimamizi wa fedha, matumizi na utunzaji wa fedha kwa lengo la kuinua kipato chao na pia kwa ajili ya matumizi
ya baadae.
Jamii iliyofundishwa imeweza kuwa na uelewa mkubwa
na kupata hamasa ya kufungua akaunti binafsi katika tawi hilo. Hii inaonyesha kuwa matumizi ya fedha yasiyo
ya lazima yatapungua kwa kiasi kikubwa kwa kuwa fedha zitatumika kwa malengo kusudiwa na kuhifadhiwa katika
hali ya usalama.
Sambamba na hilo katika mfumo wa sekta, wanufaika
waliweza kuhamasishwa kuhusu umuhimu wa kufungua akaunti ya pamoja na kuepuka kuhifadhi fedha katika
mazingira hatarishi.
Wanufaika wa mradi wa TUSONGE wakipata elimu kutoka taasisi ya fedha (NMB) kata ya Msaranga
NAFASI ZA AJIRA KWA JAMII
Wanufaika wa mradi wa TUSONGE wameweza kutoa
ajira kwa jumla ya watu 12 (wakiume 6, na wakike 6), kati ya hao, 6 wameajiriwa katika sekta ya duka, 4
wameajiriwa katika sekta ya kilimo na ufugaji na 2
katika sekta ya chakula.
Jambo hili limeonyesha uelewa wa wanufaika wa mradi
kuhusu kujikita katika biashara moja yenye kuleta faida
kuliko kufanya biashara nyingi zenye faida kidogo. Hii
imepelekea kutoa nafasi za ajira kwa jamii hususani vijana ambao wako mitaani bila shughuli yeyote.
Sambamba na hilo baadhi ya miradi ya pamoja iliyoanzishwa kutoka sekta ya kilimo na ufugaji imeweza
pia kutoa nafasi za ajira kwa lengo la kuboresha
utekelezaji wa mradi huo kwa ukaribu zaidi.
UELEWA KWA JAMII KUHUSU HAKI ZA WATU
WANAOISHI NA MAHITAJI MAALUMU
IMEONGEZEKA
Kutokana na ushiriki wa watu wenye mahitaji maalumu kwenye miradi ya TUSONGE, imesaidia jamii
na wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini
kuona umuhimu wa kuawashirikisha watu hao katika
shughuli za maendeleo, hii imepelekea hali ya
unyanyapaa na ubaguzi kupungua kwa kiasi kikubwa. Kwa kuthibitisha hili wanajamii wakishirikiana na
viongozi wa dini kata ya Msaranga waliweza kutoa eneo la kujenga banda la ufugaji wa kuku za mradi
wa pamoja kwa ajili ya kuboresha afya zao na kipato
kuongezeka.
MABADILIKO YA TABIA, ITIKADI, MITIZAMO,
TAMADUNI, MILA NA DESTURI KANDAMIZI
KATIKA JAMII:
Kutokana na elimu ya kupinga ukatili iliyotolewa katika jamii kata ya Ausha chini hivi karibuni, jamii
imeongeza uelewa mkubwa kuhusu athari zinazotokana na ukatili dhidi ya makundi ya
pembezoni kama vile wanawake, watoto na makundi ya watu waishio na mahitaji maalum. Hali hii
imeweza kujidhihirisha wazi kwa baadhi ya wanufaika
waliofundishwa na kuweza kutoa elimu kwa wengine kupitia mikutano mbalimbali na kuacha kuendelea
kufanya vitendo vya kikatili kwani vilikuwa na madhara makubwa sana kama vile vifo, ndoa za
utotoni na migogoro ndani ya familia.
UELEWA KUHUSU MAENEO YA KUTOLEA
TAARIFA ZINAZOHUSU UKATILI NA
UKEKETAJI UMEONGEZEKA MIONGONI
MWA WANAJAMII:
Kupitia ufuatiliaji na tathimini uliofanyika
katika jamii ya Arusha chini baada ya elimu ya
kupinga ukatili kutolewa, jumla ya kesi 5
zinazohusu ukatili zimeweza kuripotiwa
katika ofisi za kata na vijiji. Hii imethihirisha
kuwa elimu imeweza kuthaminiwa na
kufanyiwa kazi kama shirika linavyotarajia.
TULICHOJIFUNZA JULAI-SEPTEMBA, 2017
Katika kipindi hiki cha utekelezaji, shirika
limeweza kujifunza mambo mbalimbali
kutokana na kazi zilizofanyika katika jamii
kama ifuatavyo:
� Elimu ya fedha kwa wanufaika wa mradi
itasaidia kupunguza matumizi ya fedha
yasiyo ya lazima kwa kuhifadhi fedha bank
kwa usalama Zaidi.
TUSONGE - CDO
Toleo la 10 ���� July-Septemba 2017
Uk. 4
TUSONGE - CDO
� Ushirikiano baina ya TUSONGE na viongozi wa
serikali unaongeza kuaminika kwa kazi za TUSONGE
kwa kuweza kushirikisha viongzi katika mipango, utekelezaji na tathimini ya kazi za mradi zilizofanyika.
� Uwepo wawanufaika wenye mahitaji maalumu katika mradi wa TUSONGE, umesaidia jamii iliyowazunguka
kuwathamini, kuwakubali pamoja na kuepuka
unyanyasaji na ukatili dhidi yao kutokana na elimu ya
haki za binadamu kutolewa.
� Mfumo wa utoaji wa elimu kwa njia ya sekta
umesaidia shirika pamoja na wanufaika wa mradi kupata fursa ya kushirikiana na wadau mbalimbali
� Watu wanaoishi na mahitaji maalumu wana uwezo
mkubwa wa kufikiri, kutekeleza, kufanya maamuzi
na kutoa ushauri katika shughuli za maendeleo ndani ya jamii.
� Uwepo wa watu wanaojitolea ndani ya shirika
imesaidia kuboresha shughuli zinazoendelea nadni na nje ya shirika hususani katika suala zima la
utunzaji wa muda, ubunifu, matumizi ya tecknologia
za mawasiliano na uongozi.
� Umoja na ushirikiano baina ya watumishi wa shirika la TUSONGE, umesaidia kurahisisha shughuli za
utekelezaji wa miradi ndani na nje ya shirika.
� Bidhaa zilizotengenezwa kupitia Miradi ya pamoja,
imesaidia kujenga uaminifu kwa walaji kuubora uliotumika.
FURSA TULIZOKUTANA NAZO KATIKA KIPINDI CHA UTEKELEJI
� Taasisi za kifedha katika jamii zinasaidia kuendeleza elimu ya usisimamizi na matumizi sahihi ya fedha
kwa wanufaika wa mradi.kwa mfano NMB, CRDB na AKIBA BENKI.
� Uwepo wa vituo vya maarifa na kujifunzia ndani ya
jamii vinasaiia muendelezo wa elimu ndani ya jamii
kwa kuwahusisha makuni yote bila kujali jinsia, umri, rangi , kabila na hali ya ulemavu.
� Wataalamu mbalimbali waliopo katika meneo ya mradi kusaidia shughuli zinazoendelea katika jamii
kwa kutoa elimu ya kitaalamu zaidi na hata
kutembelea baadhi ya miradi waliyoianzisha na
kutoa ushauri zaidi.
� Vyombo vya kusikiliza/kusadia maswala mbalimbali
ya kikatili kuanzia ngazi ya familia hadi jamii kuweza
kutumika ipasavyo kwa mfano; Familia, serikali ya
kijiji na kata, Dawati la jinsia na watoto.
Toleo la 9 ���� July -Septemba 2017
Uk. 5
Ushirikiano baina ya TUSONGE na viongozi wa
serikali unaongeza kuaminika kwa kazi za TUSONGE
kwa kuweza kushirikisha viongzi katika mipango, tathimini ya kazi za mradi zilizofanyika.
Uwepo wawanufaika wenye mahitaji maalumu katika mradi wa TUSONGE, umesaidia jamii iliyowazunguka
kuwathamini, kuwakubali pamoja na kuepuka
unyanyasaji na ukatili dhidi yao kutokana na elimu ya
Mfumo wa utoaji wa elimu kwa njia ya sekta
umesaidia shirika pamoja na wanufaika wa mradi kupata fursa ya kushirikiana na wadau mbalimbali
Watu wanaoishi na mahitaji maalumu wana uwezo
mkubwa wa kufikiri, kutekeleza, kufanya maamuzi
ushauri katika shughuli za maendeleo ndani
Uwepo wa watu wanaojitolea ndani ya shirika
imesaidia kuboresha shughuli zinazoendelea nadni na nje ya shirika hususani katika suala zima la
utunzaji wa muda, ubunifu, matumizi ya tecknologia
Umoja na ushirikiano baina ya watumishi wa shirika la TUSONGE, umesaidia kurahisisha shughuli za
utekelezaji wa miradi ndani na nje ya shirika.
Bidhaa zilizotengenezwa kupitia Miradi ya pamoja,
imesaidia kujenga uaminifu kwa walaji kutokana na
FURSA TULIZOKUTANA NAZO KATIKA KIPINDI
Taasisi za kifedha katika jamii zinasaidia kuendeleza elimu ya usisimamizi na matumizi sahihi ya fedha
kwa wanufaika wa mradi.kwa mfano NMB, CRDB
wa vituo vya maarifa na kujifunzia ndani ya
jamii vinasaiia muendelezo wa elimu ndani ya jamii
kwa kuwahusisha makuni yote bila kujali jinsia,
Wataalamu mbalimbali waliopo katika meneo ya zinazoendelea katika jamii
aidi na hata
kutembelea baadhi ya miradi waliyoianzisha na
Vyombo vya kusikiliza/kusadia maswala mbalimbali
ya kikatili kuanzia ngazi ya familia hadi jamii kuweza
ipasavyo kwa mfano; Familia, serikali ya
kijiji na kata, Dawati la jinsia na watoto.
CHANGAMOTO TULIZOKUTANA NAZO NA
MIKAKATI ILIYOTUMIKA KUZITATUA
CHANGAMOTO MIKAKATI YA KUTATUA
Uhaba wa maji katika
maeneo ya mradi umeathiri ukuaji wa mazao
(mahindi, maharage na mboga za majani) ya
wanufaika katika miradi ya pamoja.
Tusonge imeweza
kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kuhifadhi maji
kupitia mifumo rahisi ya kama vile, visima kwaajili ya
umwagiliaji.
Baadhi ya wanufaika wamekuwa na uelewa mdogo kuhusiana na mradi
wa pamoja. Hii imepelekea baadhi ya maeneo ya mradi kushindwa kutimiza malengo yake kama
ilivyopangwa.
Shirika likishirikiana na maafisa kilimo na ufugaji limeendelea kutoa elimu zaidi
kuhusiana na faida za kuwa na mradi wa pamoja kwitawasaidia kuongeza kipato kwa haraka zaidi
Baadhi ya wanufaika
wamkuwa na matarajio hasi ya kupewa fedha na shirika kuliko elimu hii inaweza kuathiri uendelevu
wa mradi katika jamii.
Shirika limeendelea kufanya
kazi kwa ukweli na uwazi kuwa lina kazi ya kutoa elimu tuu na wala sio fedha (TUNATOA NYAVU WAENDE WAKAVUE SAMAKI)
HITIMISHO
Ushirikiano baina ya miradi mitatu ndani ya shirika
(mradi wa uchumi, Haki za binadamu na mradi wa kupinga ukatili) inasaidia hali ya uswa kwenye makundi
yote yaliyopo kwenye jamii na pia ongezeko la kipato linalokidhi mahitaji ya wanajamii wote hususani
wamawake, watoto, vijana na wanaoishi na mahitaji
maalumu.
JARIDA HILI LIMETOLEWA KWA UFADHILI
Mkate wa Dunia – Ujerumani
Kituo cha Haki za binadamu - Canada
MAONI, USHAURI TUMA KWA: MKURUGENZI MTENDAJI TUSONGE CDO P.O. Box 1326 – MOSHI Tel: 0272754158/ 0272752578 Mob.: 0769-475577 / 0679-573790 E-mail: [email protected] Website: www.tusongecdo.org
2017
CHANGAMOTO TULIZOKUTANA NAZO NA
MIKAKATI ILIYOTUMIKA KUZITATUA
MIKAKATI YA KUTATUA
Tusonge imeweza
kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kuhifadhi maji
kupitia mifumo rahisi ya kama vile, visima kwaajili ya
umwagiliaji.
Shirika likishirikiana na maafisa kilimo na ufugaji limeendelea kutoa elimu zaidi
kuhusiana na faida za kuwa na mradi wa pamoja kwani itawasaidia kuongeza kipato kwa haraka zaidi
Shirika limeendelea kufanya
kazi kwa ukweli na uwazi kuwa lina kazi ya kutoa elimu tuu na wala sio fedha (TUNATOA NYAVU WAENDE WAKAVUE SAMAKI)
Ushirikiano baina ya miradi mitatu ndani ya shirika
(mradi wa uchumi, Haki za binadamu na mradi wa upinga ukatili) inasaidia hali ya uswa kwenye makundi
yote yaliyopo kwenye jamii na pia ongezeko la kipato linalokidhi mahitaji ya wanajamii wote hususani
wamawake, watoto, vijana na wanaoishi na mahitaji
JARIDA HILI LIMETOLEWA KWA UFADHILI WA:
Kituo cha Haki za Canada
Foundation For Civil Society - Tanzania