ushuhuda wa - churchofjesuschrist.org · huda wangu kwenye mkutano wa jioni ya familia kabla...

1
Aprili 2016 69 68 Liahona WATOTO Na Larry Hiller Kutokana na tukio halisi “Sikiliza, sikiliza. Roho Mtakatifu atano- ng’ona. Sikiliza, sikiliza sauti ndogo tu- livu” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 106). E than aliketi katika mkutano wa mfungo na ushuhuda na kutazama juu kwenye mimbari. Rafiki yake wa dhati, Sam, alikuwa akitoa ushuhuda. Rafiki yake Sarah alikuwa ameketi kwenye jukwaa, akisubiri nafasi yake. Sam aliongea kuhusu mradi wa hu- duma alioufanya. Alisema alikuwa na ushuhuda kuhusu huduma. Sarah alitoa ushuhuda kuhusu familia. Babake Ethan pia alie- nda kwenye jukwaa. Aliongea kuhusu kazi ya hekalu. Wote walishuhudia kuwa Kanisa ni la kweli. Ilionekana kama kwamba kila mtu isipokuwa Ethan alikuwa na ushuhuda. “Nina ushuhuda kuhusu nini?” Ethan aliwaza. Alifikiria kuhusu miaka michache iliyopita wakati ambapo yeye na mara- fiki zake walibatizwa. Mwalimu wake wa Msingi Dada Calder, alikuwa ametoa hotuba kuhusu Roho Mtakatifu. “Roho mtakatifu anaweza kukufa- nya ujisikie kuwaka moyoni mwako. Anaweza kukusaidia ujue kile kilicho cha kweli,” alikuwa ame- sema. “Na hivyo ndivyo unavyo- pata ushuhuda wa kile ambacho unaamini.” Ethan alijaribu kutenda haki ili aweze kumsikia Roho Mtakatifu. Alisoma maandiko na kusali. USHUHUDA WA Lakini hakuwa amewahi kuwa na hisia ile ya kuwaka ambayo watu huiongelea. Je, hilo lilimaanisha hakuwa na ushuhuda? Swali hili lilikwama akilini mwa Ethan siku nzima iliyofuata. Alikuwa bado anafikiria wakati ambapo yeye na Sam walikuwa wakicheza mchezo wa kibao cha kuteleza ba- ada ya shule. Aliwaza jinsi ambavyo angemuuliza Sam kuhusu swali hilo. “Halo, Sam,” Ethan hatimaye aliuliza, “je, ulikuwa na hofu wakati ulipotoa ushuhuda wako jana?” Sam aliruka kutoka kwenye ubao mtelezo na kutembea hadi kwenye nyasi. “Sio kweli,” alisema, huko akiketi chini. “Nimetoa ushu- huda wangu kwenye mkutano wa jioni ya familia kabla yake.” Ethan alijiunga naye na kuweka ubao mtelezo wake mapajani pake. “Lakini ni namna gani ulijua kuwa una ushuhuda?” “Basi, niliomba na nikajisikia vizuri juu ya jambo hilo.” Ethan aliitikia polepole kwa kichwa na kuzungusha gurudumu kwa mkono wake. Kwa namna fu- lani alitaka naye ajisikie hivyo pia. Usiku huo, wakati ambapo nyu- mba ilikuwa na giza na tulivu, Ethan KIELELEZO NA MELISSA MANWILL alipiga magoti kando ya kitanda chake kuomba. “Baba wa Mbinguni,” alisema, “tafadhali nisaidie nipate ushuhuda. Nisaidie nijue kuwa Kanisa ni la kweli. Kuwa Joseph Smith alikuwa Nabii. Na kwamba Kitabu cha Mor- moni ni cha kweli.” Katikati ya maombi yake, Ethan alitulia. Alifikiri kwa dakika chache. Kisha akajiuliza, “Je, ninajua cho- chote hadi sasa?” Na kisha hisia ya utulivu na amani ikaja juu yake. Haikuwa hisia ya nguvu na yenye kuwaka. Lakini Ethan alijua, huyo alikuwa Roho Mtakatifu. Wazo lilikuja akilini mwa Ethan. “Ninajua kwamba ninajua.” Na alipo- fikiria kuhusu hayo, aligundua kuwa alikuwa amewahi kuwa na hisia hii ya amani hapo awali. Wakati wowote aliposoma Ki- tabu cha Mormoni, alijisikia vizuri na sahihi. Sasa alijua kuwa hisia ile ilikuwa ni Roho Mtakatifu akimshu- hudia. Alipoenda kanisani na aliji- sikia vizuri na ni sahihi kuwa pale, huyo alikuwa ni Roho Mtakatifu pia. Alikuwa tayari ameanza kupata ushuhuda. Hakuhitaji kujua kila kitu kwa wakati huu. Lakini alijua ya kwa- mba Roho Mtakatifu alikuwa halisi na angeweza kumsaidia kuendelea kujenga ushuhuda wake. Ethan akaanza kuomba tena. Lakini wakati huu ilikuwa ni kusema asante. ◼ Mwandishi anaishi Utah, Marekani. Ethan Ilionekana kama kwamba kila mtu isipokuwa Ethan alikuwa na ushuhuda.

Upload: others

Post on 31-Aug-2019

10 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: USHUHUDA WA - churchofjesuschrist.org · huda wangu kwenye mkutano wa jioni ya familia kabla yake.” Ethan alijiunga naye na kuweka ubao mtelezo wake mapajani pake. “Lakini ni

A p r i l i 2 0 1 6 6968 L i a h o n a

WATO

TO

Na Larry HillerKutokana na tukio halisi“Sikiliza, sikiliza. Roho Mtakatifu atano-ng’ona. Sikiliza, sikiliza sauti ndogo tu-livu” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 106).

Ethan aliketi katika mkutano wa mfungo na ushuhuda na kutazama

juu kwenye mimbari. Rafiki yake wa dhati, Sam, alikuwa akitoa ushuhuda. Rafiki yake Sarah alikuwa ameketi kwenye jukwaa, akisubiri nafasi yake. Sam aliongea kuhusu mradi wa hu-duma alioufanya. Alisema alikuwa na ushuhuda kuhusu huduma. Sarah alitoa ushuhuda kuhusu familia. Babake Ethan pia alie-nda kwenye jukwaa. Aliongea kuhusu kazi ya hekalu. Wote walishuhudia kuwa Kanisa ni la kweli. Ilionekana kama kwamba kila mtu isipokuwa Ethan alikuwa na ushuhuda.

“Nina ushuhuda kuhusu nini?” Ethan aliwaza.

Alifikiria kuhusu miaka michache iliyopita wakati ambapo yeye na mara-fiki zake walibatizwa. Mwalimu wake wa Msingi Dada Calder, alikuwa ametoa hotuba kuhusu Roho Mtakatifu.

“Roho mtakatifu anaweza kukufa-nya ujisikie kuwaka moyoni mwako. Anaweza kukusaidia ujue kile kilicho cha kweli,” alikuwa ame-sema. “Na hivyo ndivyo unavyo-pata ushuhuda wa kile ambacho unaamini.”

Ethan alijaribu kutenda haki ili aweze kumsikia Roho Mtakatifu. Alisoma maandiko na kusali.

USHUHUDA WA Lakini hakuwa amewahi kuwa na hisia ile ya kuwaka ambayo watu huiongelea. Je, hilo lilimaanisha hakuwa na ushuhuda?

Swali hili lilikwama akilini mwa Ethan siku nzima iliyofuata. Alikuwa bado anafikiria wakati ambapo yeye na Sam walikuwa wakicheza mchezo wa kibao cha kuteleza ba-ada ya shule. Aliwaza jinsi ambavyo angemuuliza Sam kuhusu swali hilo.

“Halo, Sam,” Ethan hatimaye aliuliza, “je, ulikuwa na hofu wakati ulipotoa ushuhuda wako jana?”

Sam aliruka kutoka kwenye ubao mtelezo na kutembea hadi kwenye nyasi. “Sio kweli,” alisema, huko akiketi chini. “Nimetoa ushu-

huda wangu kwenye mkutano wa jioni ya familia kabla yake.”

Ethan alijiunga naye na kuweka ubao mtelezo wake mapajani pake. “Lakini ni namna gani ulijua kuwa una ushuhuda?”

“Basi, niliomba na nikajisikia vizuri juu ya jambo hilo.”

Ethan aliitikia polepole kwa kichwa na kuzungusha gurudumu kwa mkono wake. Kwa namna fu-lani alitaka naye ajisikie hivyo pia.

Usiku huo, wakati ambapo nyu-mba ilikuwa na giza na tulivu, Ethan

KIELELEZO NA MELISSA MANWILL

alipiga magoti kando ya kitanda chake kuomba.

“Baba wa Mbinguni,” alisema, “tafadhali nisaidie nipate ushuhuda. Nisaidie nijue kuwa Kanisa ni la kweli. Kuwa Joseph Smith alikuwa Nabii. Na kwamba Kitabu cha Mor-moni ni cha kweli.”

Katikati ya maombi yake, Ethan alitulia. Alifikiri kwa dakika chache. Kisha akajiuliza, “Je, ninajua cho-chote hadi sasa?”

Na kisha hisia ya utulivu na amani ikaja juu yake. Haikuwa hisia ya nguvu na yenye kuwaka. Lakini Ethan alijua, huyo alikuwa Roho Mtakatifu.

Wazo lilikuja akilini mwa Ethan. “Ninajua kwamba ninajua.” Na alipo-fikiria kuhusu hayo, aligundua kuwa alikuwa amewahi kuwa na hisia hii ya amani hapo awali.

Wakati wowote aliposoma Ki-tabu cha Mormoni, alijisikia vizuri na sahihi. Sasa alijua kuwa hisia ile ilikuwa ni Roho Mtakatifu akimshu-hudia. Alipoenda kanisani na aliji-sikia vizuri na ni sahihi kuwa pale, huyo alikuwa ni Roho Mtakatifu pia. Alikuwa tayari ameanza kupata ushuhuda.

Hakuhitaji kujua kila kitu kwa wakati huu. Lakini alijua ya kwa-mba Roho Mtakatifu alikuwa halisi na angeweza kumsaidia kuendelea kujenga ushuhuda wake.

Ethan akaanza kuomba tena. Lakini wakati huu ilikuwa ni kusema asante. ◼Mwandishi anaishi Utah, Marekani.

EthanIlionekana kama kwamba kila mtu isipokuwa Ethan alikuwa na ushuhuda.