wa ardhi ya kijiji na rasilimali misitu kwa ......uhamasishaji jamii kwa kutumia njia sineam juu ya...

5
Kikao cha kuwezesha Halmashauri ya kijiji kusimamia misitu ya kijiji Mkutano wa vitongoji: Uamasishaji juu ya Uhifadhi wa Misitu ya kijiji kwa maendeleo ya kijiji Mkutano wa vitongoji: Uamasishaji juu ya Uhifadhi wa Misitu ya kijiji kwa maendeleo ya kijiji Ili kujihakikishia uhalali wa rasilimali za kijiji, kijiji cha Diburuma walitatua migogoro ya mipaka na jirani zake Kilimo hifadhi ni kilimo chenye kheri kwa mkulima na mazingira: kinakabiliana na ukame, Ardhi aichoki, kinaongeza mboji shambani na kuongeza kipato cha kaya. Mabadiliko katika sekta ya misitu: Shughuli za Uandaaji wa Uchomaji Mkaa kwa njia Endelevu ambayo inaimarisha uhifadhi wa misitu na kuongeza kipato kwa wanakijiji na kijiji kwa ujumla KIJIJI CHA DIBURUMA: USIMAMIZI MZURI WA ARDHI YA KIJIJI NA RASILIMALI MISITU KWA MAENDELEO UMUHIMU WA KUHIFADHI MISITU YA NGURU KUSINI - Ni chanzo kikuu cha maji na mvua kwa wakazi wa eneo hili na nje ya eneo hili - Ni moja ya maeneo muhimu sana duniani kwa kuwa na wanyama na mimea yakipekee na adimu iliyoko kwenye Atari ya kutoweka duniani - Njia moja wapo ya kupamba na maba diliko ya tabianchi SHERIA INASEMAJE KUSIMAMIA RASILIMALI ZA KIJIJI Sheria ya ardhi ya kijiji Namba 5 (1999), Sheria ya serikali za Mitaa (1982) na Sheria ya Misitu (2002) zinatoa haki ya kisheria kwa vijiji kumiliki na kusimamia rasilimali zilizopo kwenye ardhi ya kijiji kwa njia endelevu na yenye manufaa HAKI NA WAJIBU WA MWANAKIJI - Kila kundi (wanawake na wanaume) wana haki sawa ya kutumia rasilimali za kijiji - Watu wote lazima waheheshimu sheria ndogo za kijiji za matumizi bora ya ardhi na misitu - Kila mtu anahaki ya kupata taarifa na kutoa taarifa bila kuvunja sheria JE WAJUA? -Je wajua Diburuma bila ukimwi inawezekana - Mko wangapi tulizana, mchepuko si dili baki njia kuu - Ukimwi unapoteza nguvu kazi ya Taifa

Upload: others

Post on 12-Jul-2020

17 views

Category:

Documents

0 download

TRANSCRIPT

Page 1: WA ARDHI YA KIJIJI NA RASILIMALI MISITU KWA ......Uhamasishaji jamii kwa kutumia njia sineam juu ya faida zitokanazo na Utunzaji wa misitu ya kijiji Ili jamii iweze kupata kipato kutakana

Kikao cha kuwezesha Halmashauri ya kijiji kusimamia misitu ya kijiji Mkutano wa vitongoji: Uamasishaji juu ya Uhifadhi wa Misitu ya kijiji kwa maendeleo ya kijiji

Mkutano wa vitongoji: Uamasishaji juu ya Uhifadhi wa Misitu ya kijiji kwa maendeleo ya kijiji Ili kujihakikishia uhalali wa rasilimali za kijiji, kijiji cha Diburuma walitatua migogoro ya mipaka na jirani zake

Kilimo hifadhi ni kilimo chenye kheri kwa mkulima na mazingira: kinakabiliana na ukame, Ardhi aichoki, kinaongeza mboji shambani na kuongeza kipato cha kaya.

Mabadiliko katika sekta ya misitu: Shughuli za Uandaaji wa Uchomaji Mkaa kwa njia Endelevu ambayo inaimarisha uhifadhi wa misitu na kuongeza kipato kwa wanakijiji na kijiji kwa ujumla

KIJIJI CHA DIBURUMA: USIMAMIZI MZURI WA ARDHI YA KIJIJI NA RASILIMALI

MISITU KWA MAENDELEO

UMUHIMU WA KUHIFADHI MISITU YA NGURU KUSINI - Ni chanzo kikuu cha maji na mvua kwa wakazi wa eneo hili na nje ya eneo hili - Ni moja ya maeneo muhimu sana duniani kwa kuwa na wanyama na mimea yakipekee na adimu iliyoko kwenye Atari ya kutoweka duniani- Njia moja wapo ya kupamba na maba diliko ya tabianchi

SHERIA INASEMAJE KUSIMAMIA RASILIMALI ZA KIJIJISheria ya ardhi ya kijiji Namba 5 (1999), Sheria ya serikali za Mitaa (1982) na Sheria ya Misitu (2002) zinatoa haki ya kisheria kwa vijiji kumiliki na kusimamia rasilimali zilizopo kwenye ardhi ya kijiji kwa njia endelevu na yenye manufaa

HAKI NA WAJIBU WA MWANAKIJI - Kila kundi (wanawake na wanaume) wana haki sawa ya kutumia rasilimali za kijiji - Watu wote lazima waheheshimu sheria ndogo za kijiji za matumizi bora ya ardhi na misitu - Kila mtu anahaki ya kupata taarifa na kutoa taarifa bila kuvunja sheria

JE WAJUA?

-Je wajua Diburuma bila ukimwi inawezekana - Mko wangapi tulizana, mchepuko si dili baki njia kuu - Ukimwi unapoteza nguvu kazi ya Taifa

Page 2: WA ARDHI YA KIJIJI NA RASILIMALI MISITU KWA ......Uhamasishaji jamii kwa kutumia njia sineam juu ya faida zitokanazo na Utunzaji wa misitu ya kijiji Ili jamii iweze kupata kipato kutakana

Halmashauri ya kijiji ikipitia sheria ndogo za Usimamizi wa Misitu na Matumizi bora ya ardhi ya kijiji

KIJIJI CHA KIBATULA: USIMAMIZI MZURI WA ARDHI YA KIJIJI NA RASILIMALI

MISITU KWA MAENDELEO

UMUHIMU WA KUHIFADHI MISITU YA NGURU KUSINI -Ni chanzo kikuu cha maji na mvua kwa wakazi wa eneo hili na nje ya eneo hili -Ni moja ya maeneo muhimu sana duniani kwa kuwa na wanyama na mimea yakipekee na adimu iliyoko kwenye Atari ya kutoweka duniani

SHERIA INASEMAJE KUSIMAMIA RASILIMALI ZA KIJIJISheria ya ardhi ya kijiji Namba 5 (1999), Sheria ya serikali za Mitaa (1982) na Sheria ya Misitu (2002) zinatoa haki ya kisheria kwa vijiji kumiliki na kusimamia rasilimali zilizopo kwenye ardhi ya kijiji kwa njia endelevu na yenye manufaa

HAKI NA WAJIBU WA MWANAKIJI -Kila kundi (wanawake na wanaume) wana haki sawa ya kutumia rasilimali za kijiji -Watu wote lazima waheheshimu sheri ndogo za kijiji za matumizi bora ya ardhi na misitu -Kia mtu anahaki ya kupata taarifa na kutoa taarifa bila kuvunja sheria

JE WAJUA?

-Je wajuaKibatula bila ukimwi inawezekana

-Mko wangapi tulizana,

mchepuko si dili baki njia kuu

-Ukimwi unapoteza nguvu kazi ya Taifa.

Elimu ya Matumizi bora ya ardhi na usimamizi shirikishi wa Misitu: Jamii wanahaki ya kufanya maamuzi ya matumizi ya ardhi ya kijij na Msitu wa kijijiWakina mama wakianisha changamoto mbalimbali za kijiji na mapendekezo ya kutatua changamoto hizo kupitia mpango wa

matumizi bora ya ardhi na Usimamizi shirikishi wa misitu Wajumbe wa halmashauri ya kijiji wa kijadili Mpango wa matumizi bora ya ardhi na Usimamizi shirikishi kwa mananufaa ya wanakijiji wote Mikutano mbalimbali ya kupanga Matumizi bora ya kijiji na Usimamizi Shirikishi wa Misitu

Uongozi wa kijiji wa kitia sahihi kwenye sheria ndogo za kijijiMipaka ya kijiji ilihakikiwa na kukubalika na wanakijiji wote: Kijiji cha kibatula sasa kina mipaka inayoeleweka na wanasimamia kijiji kwa

mujibu wa sheria, kijiji kinaweza kuomba cheti cha kijiji na hati miliki za kimila kwa wananchi wake

Kilimo hifadhi ni kilimo chenye kheri kwa mkulima na mazingira: kinakabiliana na ukame, Ardhi aichoki, kinaongeza mboji shambani na kuongeza kipato cha kaya.

Vikundi vya kuweka na kukopa: Vinasaidia jamii kuweka na kukopa kwa ajili ya biashara, kuboresha kilimo, Ufugaji na mahitaji ya mikopo midogo kwa ajili ya afya, ada na mengineyo.

Wanakikundi wakikusanya HISA za wanachama Elimu ya ujasiriamali kwa wanavikundi wa HISA Mafanikio ya kuweka na kukopa kwenye vikundi vya HISA: Wanachama wengi wamewekeza kwenye biashara ndogo na kubwa kwa ajili ya kuendeleza maisha

Page 3: WA ARDHI YA KIJIJI NA RASILIMALI MISITU KWA ......Uhamasishaji jamii kwa kutumia njia sineam juu ya faida zitokanazo na Utunzaji wa misitu ya kijiji Ili jamii iweze kupata kipato kutakana

KIJIJI CHA MAGUNGA: USIMAMIZI MZURI WA ARDHI YA KIJIJI NA RASILIMALI

MISITU KWA MAENDELEO

UMUHIMU WA KUHIFADHI MISITU YA NGURU KUSINI -Ni chanzo kikuu cha maji na mvua kwa wakazi wa eneo hili na nje ya eneo hili -Ni moja ya maeneo muhimu sana duniani kwa kuwa na wanyama na mimea yakipekee na adimu iliyoko kwenye Atari ya kutoweka duniani

SHERIA INASEMAJE KUSIMAMIA RASILIMALI ZA KIJIJISheria ya ardhi ya kijiji Namba 5 (1999), Sheria ya serikali za Mitaa (1982) na Sheria ya Misitu (2002) zinatoa haki ya kisheria kwa vijiji kumiliki na kusimamia rasilimali zilizopo kwenye ardhi ya kijiji kwa njia endelevu na yenye manufaa

HAKI NA WAJIBU WA MWANAKIJI -Kila kundi (wanawake na wanaume) wana haki sawa ya kutumia rasilimali za kijiji -Watu wote lazima waheheshimu sheri ndogo za kijiji za matumizi bora ya ardhi na misitu -Kia mtu anahaki ya kupata taarifa na kutoa taarifa bila kuvunja sheria

JE WAJUA?

-Je wajua Magunga bila ukimwi

inawezekana.

-Mko wangapi tulizana, mchepuko si dili.

-Ukimwi unapoteza nguvu kazi ya Taifa.

Matumizi bora ya ardhi upunguza migogoro ya ardhi na kuleta matumizi endelevu na yenye faida kwa wanajamii: Wanakijiji wakipewa elimu juu ya matumizi bora ya ardhi na faida zake Matumizi Bora ya ardhi ya kijiji yanasimamiwa na Kamati ya Matumizi Bora ya Ardhi ya Kijiji (VLUM). Wananchi wakijengewa uwezo katika ngazi ya vitongoji juu ya Matumizi Bora ya Ardhi na Usimamizi Shirikishi wa Misitu ya Jamii

Uhamasishaji jamii kwa kutumia njia sineam juu ya faida zitokanazo na Utunzaji wa misitu ya kijiji Ili jamii iweze kupata kipato kutakana na uhifadhi walipewa elimu juu ya kupanda miti ya mbao, ya kuni, malisho, nguzo na fito kupunguza utegemezi kwenye miti ya asili Baadhi ya wajumbe ya kamati ya Maliasili ya Kijiji wakifanya tathmini ya rasilimali zilizopo ndani ya msitu wao wa kijiji iliwajui nikipi cha kuvuna kipi cha

Mama akishirki kuweka alama za mipaka kwenye kitalu cha uvunaji mkaa kwa njia endelevu kwa manufaa ya kijiji

Baadhi ya wajumbe ya kamati ya maliasili na Mwenyekiti wa kijiji wakifurahia ramani ya vitalu vya uchomaji mkaa kwa njia endelevu Mafunzo ya uchomaji mkaa kwa njia endelevu: Hii ndio njia pekee inaweza kufanya misitu ikaendelea na watu kunufaika kwa rasilimali hii ya misitu Ujenzi wa Tanuru la kisasa

Kilimo hifadhi ni kilimo chenye tija kwa mkulima na kinatunza mazingira: Kinakabiliana na ukame, Ardhi haichoki, kinaongeza mbolea na mboji shambani na kuongeza kipato cha kaya. Wakulima walipewa elimu ya kuchagua mbegu bora. Mradi uliwapa mbegu za kuanzia ili misimu mingine weweze kuendelea na kilimo hifadhi Mashamba ya binafsi wa wakulima wa kilimo hifadhi walio nufaika na mafunzo ya kilimo hifadhi. Mtaalamu wa Kilimo akiwapa ushauri wa kilimo

Page 4: WA ARDHI YA KIJIJI NA RASILIMALI MISITU KWA ......Uhamasishaji jamii kwa kutumia njia sineam juu ya faida zitokanazo na Utunzaji wa misitu ya kijiji Ili jamii iweze kupata kipato kutakana

UMUHIMU WA KUHIFADHI MISITU YA NGURU KUSINI -Ni chanzo kikuu cha maji na mvua kwa wakazi wa eneo hili na nje ya eneo hili -Ni moja ya maeneo muhimu sana duniani kwa kuwa na wanyama na mimea yakipekee na adimu iliyoko kwenye Atari ya kutoweka duniani

SHERIA INASEMAJE KUSIMAMIA RASILIMALI ZA KIJIJI Sheria ya ardhi ya kijiji Namba 5 (1999), Sheria ya serikali za Mitaa (1982) na Sheria ya Misitu (2002) zinatoa haki ya kisheria kwa vijiji kumiliki na kusimamia rasilimali zilizopo kwenye ardhi ya kijiji kwa njia endelevu na yenye manufaa

HAKI NA WAJIBU WA MWANAKIJI-Kila kundi (wanawake na wanaume) wa nahaki sawa ya kutumia rasilimali za kijiji-Watu wote lazima waheheshimu sheri ndogo za kijiji za matumizi bora ya ardhi na misitu-Kia mtu anahaki ya kupata taarifa na kutoa taarifa bila kuvunja sheria

JE WAJUA?

- Je wajua Makuyu bila ukimwi inawezekana.

-Mko wangapi tulizana, mchepuko si dili.

- Ukimwi unapoteza nguvu kazi ya Taifa

Misitu ni Maisha, ukiitunza itakutunza: Mikutano ya Halmashauri kijiji, Vitongoji na mkutano Mkuu wa kijiji kuhamasisha jamii kuhusu Usimamizi Shirikishi wa Misitu ya Jamii

Tutuheshimu mipaka ya misitu yetu ili kuboresha rasilimali za misitu kwa manufaa ya wanakijiji wote

Kilimo hifadhi ni kilimo chenye kheri kwa mkulima na mazingira: kinakabiliana na ukame, Ardhi aichoki, kinaongeza mboji shambani na kuongeza kipato cha kaya

Vikundi vya kuweka na kukopa: Vinasaidia jamii kuweka na kukopa kwa ajili ya biashara, kuboresha kilimo, Ufugaji na mahitaji ya mikopo midogo kwa ajili ya afya, ada na mengineyo.

KIJIJI CHA MAKUYU: USIMAMIZI MZURI WA ARDHI YA KIJIJI NA RASILIMALI

MISITU KWA MAENDELEO

Page 5: WA ARDHI YA KIJIJI NA RASILIMALI MISITU KWA ......Uhamasishaji jamii kwa kutumia njia sineam juu ya faida zitokanazo na Utunzaji wa misitu ya kijiji Ili jamii iweze kupata kipato kutakana

KIJIJI CHA NDOLE: USIMAMIZI MZURI WA ARDHI YA KIJIJI NA RASILIMALI MISITU

KWA MAENDELEO

UMUHIMU WA KUHIFADHI MISITU YA NGURU KUSINI -Ni chanzo kikuu cha maji na mvua kwa wakazi wa eneo hili na nje ya eneo hili -Ni moja ya maeneo muhimu sana duniani kwa kuwa na wanyama na mimea yakipekee na adimu iliyoko kwenye Atari ya kutoweka duniani

SHERIA INASEMAJE KUSIMAMIA RASILIMALI ZA KIJIJISheria ya ardhi ya kijiji Namba 5 (1999), Sheria ya serikali za Mitaa (1982) na Sheria ya Misitu (2002) zinatoa haki ya kisheria kwa vijiji kumiliki na kusimamia rasilimali zilizopo kwenye ardhi ya kijiji kwa njia endelevu na yenye manufaa

HAKI NA WAJIBU WA MWANAKIJI -Kila kundi (wanawake na wanaume) wanahaki sawa ya kutumia rasilimali za kijiji -Watu wote lazima waheheshimu sheri ndogo za kijiji za matumizi bora ya ardhi na misitu -Kia mtu anahaki ya kupata taarifa na kutoa taarifa bila kuvunja sheria

JE WAJUA?

- Je wajua Ndole bila ukimwi inawezekana

- Mko wangapi tulizana, mchepuko si dili.

- Ukimwi unapoteza nguvu kazi ya Taifa.

Misitu niMaisha, ukiitunza nayo itakukuunza: Mikutano ya Halmashauri, Vitongoji na mkutano Mkuu wa kijiji kuamasisha jamii kuhusu mradi wa AVA, Usimamizi wa Misitu na Matumizi bora ya ardhi

Matumizi Bora ya Ardhi inawapa wananchi uwezo wa kutenga maeneo mbalimbali na kuyasimamia kwa kutumia kamati ya Matumizi Bora ya Ardhi na Kamati ya Maliasili ya Kijiji

Misitu ikivunwa kwa njia endelevu unwapatia wananchi kipato: Mfano uvunaji wa mkaa, Mbao, Mazao yasiokuwa ya timbao kama matunda, madawa ya asili na mengineyo

Misitu ikivunwa kwa njia endelevu unwapatia wananchi kipato: Mfano uvunaji wa mkaa, Mbao, Mazao yasiokuwa ya timbao kama matunda, madawa ya asili na mengineyo

Wanakamati na wachomaa mkaa wakiwa kwenye mafunzo ya mkaa endelevu

Wakulima wakilimo hifadhi wa kijadiliana na Bwana shamba wa kijiji

Wakulima wa kilimo hifadhi wanakagua shamba la mfano

Bwana shamba akimpa ushauri mkulima wa kilimo hifadhi

Wachoma mkaa wakipakua mkaa

Wanakamati na wachoma mkaa wakiandaa tanuru la kisasa la mkaa

Wachoma mkaa wamepumzika baada ya shughuli nzito ya kupakua mkaa

Wanakamati na wachoma mkaa wakiandaa tanuru la kisasa la mkaa

Mkaa ukiwatayari kwa kujazwa kwenye mifuko

Wanakamati na wachoma mkaa wakiandaa tanuru la kisasa la mkaa

Wachoma mkaa wakipata elimu ya kuhifadhi mkaaa

Wanakamati na wachoma mkaa wakiandaa tanuru la kisasa la mkaa

Wanakamati na wachoma mkaa wakiandaa tanuru la kisasa la mkaa

Mkaa tayari kwa ajili ya sokoni