kenya shirika la huduma ya misitu mkataba wa … service chart.pdfshirika la huduma ya misitu...

4
Shirika la Huduma ya Misitu Mkataba wa Huduma 2011 Forest Service KENYA Mawasiriano kupita Mkurugenzi Mkuu KFS barabara ya Kiambu SLP 30513 – 00100 Nairobi, Kenya Simu: (254) 020-2020285, 020-2014663, 020-2689863, 020-2689865, 020-2689882 Fax: (254) 020-2385374, 020-202490388 [email protected] www.kenyaforestservice.org

Upload: others

Post on 22-Jan-2020

65 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: KENYA Shirika la Huduma ya Misitu Mkataba wa … service chart.pdfShirika la Huduma ya Misitu Mkataba wa Huduma 2011 Forest Service KENYA Mawasiriano kupita Mkurugenzi Mkuu KFS barabara

Shirika la Huduma ya Misitu

Mkataba wa Huduma

2011

Forest ServiceKENYA

Mawasiriano kupita

Mkurugenzi MkuuKFS barabara ya Kiambu

SLP 30513 – 00100 Nairobi, KenyaSimu: (254) 020-2020285, 020-2014663, 020-2689863,

020-2689865, 020-2689882Fax: (254) 020-2385374, 020-202490388

[email protected]

Page 2: KENYA Shirika la Huduma ya Misitu Mkataba wa … service chart.pdfShirika la Huduma ya Misitu Mkataba wa Huduma 2011 Forest Service KENYA Mawasiriano kupita Mkurugenzi Mkuu KFS barabara

#

#

#

###

#

#

#

#

NORTH EASTERN

EWASO NORTH

NORTH RIFT

MAU

EASTERN

CENTRAL

COAST

NYANZA

WESTERN

NAIROBI

Ngong

Eldoret

Kakam ega

K isumu Nyeri

Em bu

Isiolo

Garissa

Mo mbasa

Nakuru

N

FOREST CONSERVANCY AREAS

72

9. Wafanyikazi wetu

10. Wajibu wa wateja

11. Matendekezo ya wateja

12. Utaratibu wa kumudu malalamiko

13. Mwito wetu

Shirika linatambua wafanyikazi wake kama rasilimali muhimu zaidi na kwa hivyo litaendelea kuwahamasisha kwa;

·Kutoa fursa sawa kwa wanaume na wanawake.·Kuendeleza wafanyikazi kwa njia ya mafunzo.·Kuweka mazingira bora ya kazi.·Kuendelea na utathmini wa utendaji.·Kumudu kwa ufanisi masuala ya wafanyikazi.

·Kutendea shirika na wafanyikazi wake kwa heshima na uungwana.

·Kusadia kutoa taarifa muhimu kwa wakati unaofaa.·Kutii sheria ya misitu, amri na kanuni.·Kushiriki kikamilifu katika upandaji miti na uhifadhi wa misitu

iliyoko.·Kukoma kuharibu kiholela misitu na miti.·kulipa na kupata stakabadhi rasmi za shughuli zote.

·Shirika linania ya kuboresha utoaji huduma na litathamini matendekezo yako kwa ushirikiano endelevu. Ili kuboresha huduma zetu toa habari za utendaji usioridhisha kwa mkurungezi.

·Iwapo utoaji huduma haujaridhisha suluhu yaweza afikiwa kwa njia ya mazungumuzo na uelewano. Malalamiko inaweza kuletwa kwa usikifu wa DFO, mkuu wa hifadhi au mkurungezi kupitia; barua, kuonana ana kwa ana, simu, kipepesi na barua pepe.

·Kwa njia zote, mawasiliano lazima yaangazie uwazi na ukweli wa matukio. Wateja wetu wanahimizwa kujitambulisha ili kukwepa ugumu wa kuhudumia taarifa siri.

·Misitu; sasa yetu, kesho yetu

Page 3: KENYA Shirika la Huduma ya Misitu Mkataba wa … service chart.pdfShirika la Huduma ya Misitu Mkataba wa Huduma 2011 Forest Service KENYA Mawasiriano kupita Mkurugenzi Mkuu KFS barabara

3

KIELELEZO

1. UTANGULIZI

2. ONO

3. UJUMBE WETU

4. JUKUMU LETU

5. SHUGHULI KUU

Shirika la huduma ya msitu la Kenya (Kenya Forest Service-KFS)lilianzishwa kupitia bunge chini ya sheria ya misitu ya mwaka 2005 (Forest Act, 2005) kufanikisha ubunifu, uendelevu na usimamizi endelevu, kwa kushirikisha, uhifadhi na matumizi bora ya rasilimali za misitu kwa ajili ya maendeleo ya jamii na uchumi nchini.

Huu mkataba wa huduma unaangazia jinsi unavyoweza kunufaika na huduma zinazotolewa na shirika la huduma ya misitu(KFS). Unaangazia jinsi tunavyotegemea misitu yetu. Unafafanua ufahamu juu ya shuguli zetu kuu, maadili na huduma mbalimbali tunazotoa, viwango tulivyoviweka kama dhamira ya kuendelea kuboresha huduma kwa wateja wetu ili kuwakidhi. Mkataba utafanyiwa marekebisho mara kwa mara ili kuzingatia mabadiliko ya mazingira nchini.

Kuwa shirika kiongozi kwa ubora katika usimamizi endelevu na uhifadhi wa misitu.

Kuboresha uhifadhi na usimamizi endelevu wa misitu rasilimali zinazoambatana kwa utulivu wa mazingira na maendeleo ya jamii na uchumi.

kufanikisha ubunifu na usimamizi endelevu, uhifadhi na matumizi bora ya rasilimali za misitu kwa ulinzi wa mazingira na maendeleo ya jamii na uchumi nchini.

i. Usimamizi endelevu wa misitu ya kiasili kwa manufaa ya jamii kiuchumi na mazingira.

ii. Kuongeza uzalishaji wa misitu ya viwanda na kuboresha ufanisi katika upasuaji wa mbao.

iii. Kuendeleza kilimo cha misitu mashabani na kilimo cha miti biashara.

iv. Kuendeleza ufanisi katika matumizi na soko la mazao ya misitu.

v. Kuboresha usimamizi endelevu wa misitu katika sehemu kavu

inayotokana na misitu kwa ajili ya vikundi vya misitu mashinani (CFA) itafanyika kwa muda usiozidi wiki tatu baada ya kupokea ombi lililoandikwa.

2. Taarifa za misitu na rasilimali zinazoambatana zinazotolewa kwa muda usiozidi siku saba mahali zipatikanapo katika KFS. Sheria na masharti kutumika.

3 Ushauri wa kiutaalam kwa sekta binafsi itatolewa kwa muda usiozidi wiki tatu baada ya ombi lililoandikwa. Sheria na masharti kutumika.

4 Tutawezesha na kuratibu maendeleo ya vifaa vya utalii wa kimazingira kwa mujibu wa maswala ya kitaalamu.

5 Shirika la KFS litaendeleza mtindo mmoja wa bustani ya miche katika kila Wilaya nchini Kenya.

1. Misitu yote ya kiserikali italindwa dhidi ya vitisho vyote vinavyotokana na binadamu, wanyama pori, moto na vinginevyo.

2. Misitu yote iliyosambaratika itakarabatiwa kwa kupanda miti mingine au kuilinda ili imee upya yenyewe tukishirikiana na washika dau.

3. Mipaka yote ya misitu itadumishwa na ramani kusahihishwa kila mwaka.

4. Wawekezaji wote halali wa misitu wataruhusiwa kuingia kwa misitu.

5. Mipango ya usimamizi wa vitalu vyote vya misitu itatayarishwa kufikia mwaka wa 2012.

1. Maswala yote ya ndani yatajibiwa kwa muda usiozidi juma moja. Maombi yote ya kujiunga na chuo yatajibiwa kabla ya majuma matatu ya masomo kuanza.

2. Masomo ya chuo kwa umma yatatangazwa katika magazeti ya kila siku mwezi mmoja kabla ya uteuzi. Watakaofuzu watatumiwa barua za kujiunga majuma matatu kabla ya masomo kuanza.

3. Taratibu ya masomo ya chuo itafanyiwa mabadiliko mara kwa mara kuambatana na mahitaji ya maendeleo.

Huduma za ulinzi, usimamizi na uhifadhi wa misitu

Chuo cha misitu-(Kenya forestry college)

6

Page 4: KENYA Shirika la Huduma ya Misitu Mkataba wa … service chart.pdfShirika la Huduma ya Misitu Mkataba wa Huduma 2011 Forest Service KENYA Mawasiriano kupita Mkurugenzi Mkuu KFS barabara

za nchi.vi. Kulinda rasilimali za misitu na mali ya shirika la huduma ya

misitu(KFS).vii. Kuendeleza na kudumisha miundomsingi muhimu kwa ajili ya

usimamizi bora na ulinzi wa misitu.

i. Kuzingatia kanuni ya kisayansi na taaluma.ii. Uadilifu na maadili iii. Kudumisha upatano.iv. Kufanya kazi kwa ushirikiano.v. Usimamizi bora wa rasilimali.vi. Kuboresha usawa wa kijinsia.vii. Kufwatilia ustahili, ubunifu na uvumbuzi.

Lengo letu ni kukidhi mahitaji ya wateja wetu kwa ufanisi na kwa gharama nafuu zaidi na namna ya kusaidia wateja wetu kutumia rasilimali za misitu ya Kenya kwa manufaa ya shirika (KFS), jamii na mazingira.

I. Jamii na wamiliki wa mashamba: kwa mfano; vyama ya jamii, vikundi vya jamii, wakulima, wafugaji na wakulima wa miti ya kibiashara.

II. Sekta Binafsi: Kwa mfano; wenye Leseni, kandarasi ya kukodi misitu, wapasua mbao, utalii wa kimazingira, makampuni msingi ya kibiashara (madogo na ya kati) na wauzaji.

III. Mashirika yasiyo ya kiserikali(taifa na kimataifa)

IV. Washirika kimaendeleo (wa kiserikali na wasio wa kiserikali) V. Mashirika ya kiserikali, serikali za mitaa na mashirika ya

umma.

VI. Raia kwa jumla.

VI. Wahudumu.

6. MAADILI

7. WATEJA NA WASHIRIKA WETU

Wateja wetu;

4

8. HUDUMA NA UWAJIBIKAJI KWA WATEJA WETU

Uuzaji Wa Bidhaa Za Misitu Na Mazao Yanayoambatana

Huduma ya udhibiti

Biashara na huduma za ushauri

Huduma ya misitu nyanjani

1. Tutatoa huduma bora kwa wakati ufaao kwa ajili ya maendeleo ya biashara ya kimisitu.

2. Angalau kikao kimoja cha ufahamisho juu ya upandaji miti kitafanyika katika kila Tarafa kila mwaka.

3. habari za kuangazia misitu zitasambwazwa kila tarafa nchini punde zitakapochapishwa.

4. Afisa wetu wa misitu Tarafani watakuwa wakisaidia kutoa habari muhimu za misitu.

1. Twawajibika kutoa bidha za misitu za hali ya juu kwa bei nafuu.

2. Bei za bidhaa za misitu zitabandikwa kwenye kuta za afisi ya mkuu wa hifadhi na tarafa.

3. mapato yote yastahiliyo shirika yatakusanywa kwa mujibu wa sheria.

1. Shirika la KFS litatoa uongozi kwa kushiriki kikamilifu kwenye vikao vinavyohusu misitu.

2. Hati za mamlaka zitatolewa haraka iwezekanavyo baada ya maombi na ukaguzi kwa mujibu wa sheria iliyoko. Muda maalum wa kutolewa kwa kila hati utabandikwa kwenye kuta za afisi kuu ya shirika la KFS na vile vile afisi za nyanjani.

3. Daftari zote za usajili zilizobainishwa na sheria ya misitu 2005 zitasahihishwa kila mwaka na kupeanwa kwa umma kwa ukaguzi.

4. Shirika la KFS litatoa uongozi juu ya mikataba na makubaliano ya kimataifa kuhusu misitu ili kukubalika nchini.

5. Askari wa misitu watakuwa wakarimu kwa wateja wetu na watalinda misitu na raslimali ziambat. Pia watalinda misitu na rasilimali ziambatanazo dhidi ya vitisho bila uoga ama upendeleo.

1. Ushauri wa kiutaalam juu ya uanzishaji wa biashara

5