wiki ya uwekezaji mkoa wa kagerakagera.go.tz/storage/app/uploads/public/5d5/7e8/f06/5d57...ufugaji...

33
UZINDUZI WA MWONGOZO WA UWEKEZAJI MKOA WA KAGERA Wiki ya Uwekezaji Mkoa wa Kagera Viwanja vya Gymkhana 14 Agosti 2019 Mwongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Kagera umetayarishwa kwa msaada wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) na Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF)

Upload: others

Post on 22-Oct-2020

22 views

Category:

Documents


1 download

TRANSCRIPT

  • UZINDUZI WA

    MWONGOZO WA

    UWEKEZAJI MKOA WA

    KAGERA

    Wiki ya Uwekezaji

    Mkoa wa Kagera

    Viwanja vya Gymkhana

    14 Agosti 2019

    Mwongozo wa Uwekezaji

    Mkoa wa Kagera

    umetayarishwa kwa msaada

    wa Shirika la Maendeleo la

    Umoja wa Mataifa (UNDP) na

    Taasisi ya Utafiti wa

    Kiuchumi na Kijamii (ESRF)

  • UtanguliziMhe Mgeni Rasmi

    Awali ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa ukuu wake na neema

    alizotujalia katika kuandaa Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa wa

    Kagera

    Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa ESRF, Dr. Tausi Kida na timu ya

    walioshiriki kuandaa Mwongozo - Prof Haidari Amani, Mama Margreth

    Nzuki, Bw. John Shilinde na mwenzangu, Bw. Mussa Martine, naomba

    kutoa Shukrani maalum na za dhati kama ifuatavyo;

    Kwako Mkuu wa Mkoa wa Kagera,

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera,

    Wakuu wa Wilaya zote za Mkoa: (Bukoba, Muleba, Biharamulo,

    Karagwe, Kyerwa, Missenyi na Ngara),

    Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zote,

    Wataalam wa Mkoa na wa Halmashauri zote,

    Bw. Isaya Tendega ambaye tumeshirikiana pamoja toka wakati wa

    kukusanya taarifa, pamoja na wadau wote wa Taasisi binafsi na

    Mashirika ya Umma,

    Pia kipekee tunawashukuru UNDP kwa kuitikia wito wa Waziri Mkuu,

    na kusaidia Mkoa Kuandaa Mwongozo wa Uwekezaji. Itifaki imezingatiwa

  • Fursa za Uwekezaji

    1. Ujenzi wa Masoko ya KisasaMipakani

    Missenyi (W): Wawekezajiwanakaribishwa kujenga soko la kimataifa la mazao ya kilimo kwaubia – hekta 8.9 zimetengwaMutukula.

    Kyerwa (W): Ujenzi wa soko la kimataifa la mazao ya kilimo kwaubia – hekta 1.295 Murongo.

    Ngara (W): Soko la kisasa la mazao ya kilimo na bidhaanyingine – hekta 8 Rusumo.

    Mhe. Mgeni Rasmi,

    katika kutimiza lengo la

    nchi kufikia uchumi wa

    kati na uchumi wa

    viwanda, Tanzania

    imechukua hatua

    mbalimbali za kimkakati

    kuhakikisha malengo haya

    yanafikiwa. Hii inaenda

    sambamba na kuandaa

    miongozo ya uwekezaji

    kwa lengo la kubainisha

    fursa zilizopo katika kila

    mkoa.

    Zifuatazo ni fursa za

    uwekezaji Mkoani Kagera

    ambazo zimepewa

    kipaumbele na Mkoa

    pamoja na Halmashauri

    zake:

    Biashara za Mipakani…1

  • Biashara za Mipakani…2

    Missenyi (W): Ujenzi wa ghala la bidhaaza kilimo – hekta 3.5 Mutukula.

    Ngara (W): Ghala la bidhaa za kilimo –hekta 8.2 Rusumo.

    Biharamulo (W): Ghala la bidhaa zakilimo – hekta 3.24 Lusahunga.

    2.Ujenzi waMaghala(Warehouses)

  • Kilimo, Misitu na Nyuki … 1

    Bukoba (W) - 90 hekta; Missenyi (W) -hekta 5,463; Karagwe (W) – hekta 570; Biharamulo (W) – hekta 1,120; Muleba(W) – hekta 1,180; Ngara (W) - 1,002; na Kyerwa (W) maeneo yapo yakutosha.

    1.Ujenzi waMiundombinuya Umwagilajiwa Vanila, Mpunga naMazaoMengine

  • Kilimo, Misitu na Nyuki … 2

    Bukoba (W): Hekta 1,576 zimetengwa kwa ajili yakilimo cha Chai

    Ngara (W): Hekta 5,000 zimetengwa kwa ajili yakilimo cha mihogo

    Bukoba (W): Hekta 1,000 zimetengwa kwa ajili yakilimo cha Parachichi

    2. Kilimo cha Chai

    3. Kilimo cha Mihogo

    4. Kilimo cha Parachichi

    https://www.google.com/url?sa=i&rct=j&q=&esrc=s&source=images&cd=&ved=2ahUKEwje9vGUxf_jAhUOyIUKHUBMBxIQjRx6BAgBEAQ&url=https://www.makemoney.ng/how-to-start-cassava-farming-business-in-nigeria/&psig=AOvVaw2BjFjckAJUhJKCM6Z4ZPMO&ust=1565775140487218

  • Kilimo, Misitu na Nyuki … 3

    Biharamulo (W): Wawekezajiwanakaribishwa kufuga nyuki nakutengeneza mizinga ya kisasa kwa ajiliya matumizi yao wenyewe pamoja nakuwauzia wengine. Uhitaji wa asali nimkubwa ndani na nje ya nchi.

    5.Kutengeneza Mizinga yaKisasa na Ufugajiwa Nyuki

  • Ufugaji

    Biharamulo (W): Wawekezajiwanakaribishwa kuwekeza katikaranchi na unenepeshaji mifugo. Kuna hekta zaidi ya 9,500 zimetengwa maeneo yaNyabugombe, Mihongora, and Nyambale kwa ajili ya ranchi

    Ranchi naunenepeshajimifugo

  • Uvuvi

    Bukoba (W), Karagwe (W), Muleba(W), and Kyerwa (W): Kuna fursakubwa ya kuwekeza katika ufugaji wasamaki kwenye vizimba; Ufugaji wasamaki majumbani; Kuuza vifaa vyakufugia samaki majumbani yakiwemomatanki; kufuga samaki wa mapambona kutotolesha vifaranga vya samaki, pamoja na utengenezaji wa chakulacha samaki.

    Ufugaji wa samaki, vifaranga na chakula cha samaki(TZ tunazalisha karibu tani337,000 za samaki kwa mwaka avsMahitaji ni karibu tani 731,000 kwa mwaka.

    http://www.google.com/url?sa=i&rct=j&q=&esrc=s&source=images&cd=&cad=rja&uact=8&ved=2ahUKEwiN0p_x87jiAhUMD2MBHdwsAQEQjRx6BAgBEAU&url=/url?sa=i&rct=j&q=&esrc=s&source=images&cd=&ved=2ahUKEwiN0p_x87jiAhUMD2MBHdwsAQEQjRx6BAgBEAU&url=https://www.farmersweekly.co.za/animals/aquaculture/fish-farming-booming-zambia-not-sa/&psig=AOvVaw0jNZzatmTRNV9MlJ2gFZlw&ust=1558949999759544&psig=AOvVaw0jNZzatmTRNV9MlJ2gFZlw&ust=1558949999759544

  • Viwanda….1Ujenzi wa kiwanda cha kutengenezavifungashio kwa ajili ya kuongezathamani mazao ya kilimo, nyuki, samaki na bidhaa za viwandani. Hekta1.5 kwa ajili ya ujenzi wa kiwandahicho zimetengwa eneo la Kemondo, Bukoba (W).

    1.Vifungashio

    http://www.google.com/url?sa=i&rct=j&q=&esrc=s&source=images&cd=&ved=2ahUKEwi9orSq77jiAhXaAmMBHfTsD2cQjRx6BAgBEAU&url=http://yfadvisors.in/portfolio_item/packaging-industry/&psig=AOvVaw0EYhDKMYMDR9H40zbH6G9y&ust=1558948783676181

  • Viwanda…. 2

    Ngara (W): Kiwanda cha kisasa cha kuchakata mihogo – Hekta 5 zimetengwa kwa ajili uwekezaji huo.

    2.Kuchakata Mihogo

  • Viwanda…. 3

    Bukoba Manispaa: Utengenezaji wachakula cha mifugo hasa ng’ombe nakuku pamoja na samaki. Hekta 2 zimetengwa kata ya Buhembe

    3.Kuchakata Chakula cha Mifugo naSamaki

  • Viwanda…..4Karagwe (W): Kiwanda cha kuchakataMaharage. Hekta 5 zimetengwa kwaajili ya kiwanda hicho

    5.Kuchakata Maharage

  • Viwanda…..5

    Biharamulo (W): Kuna fursa yakuwekeza kwenye ujenzi wa kiwandacha kuchakata na kufungasha asali.

    Hekta 20 zimetengwa kwa ajili yakujenga kiwanda hicho.

    Muleba (W): Kuna fursa ya kuwekezakwenye ujenzi wa kiwanda cha kuchakata na kufungasha samaki.

    6.Kuchakata Asali

    7. Kuchakata Samaki

  • Viwanda…..6

    Kuna fursa ya kuwekeza kwenyeujenzi wa kiwanda cha mvinyo katikahalmashauri ya Manispaa ya Bukoba– hekta 1.18, Kyerwa (W) – hekta 7.6, Karagwe – hekta, Muleba (W) – hekta0.39, na Ngara (W) – hekta 5

    8.Kiwanda cha kuchakataNdizikutengenezaMvinyo

  • Viwanda….7

    Kuna fursa ya kuwekeza kwenyeviwanda vya uchakataji wa matundaili kutengeneza juice na bidhaanyingine. Mwekezaji atajengakiwanda hicho ndani ya hekta 21.21 zilizotengwa na Bukoba (W) kwa ajiliya viwanda na Karagwe (W) ndani yahekta 200.

    9.Kuchakata matundakutengenezajuice na bidhaanyingine

  • Viwanda….8

    Karagwe (W): Mwekezaji anakaribishwakuwekeza katika kuchakata maziwa ilikutengeneza bidhaa mbalimbalizitokanazo na maziwa – hekta 30 eneo la Kihanga

    Bukoba (M): Mwekezaji anakaribishwakuwekeza katika kiwanda cha barafu –hekta 1.3 kata ya Kifungwa

    Bukoba (W): Mwekezaji anakaribishwakuwekeza katika kiwanda cha barafu –hekta 2 kata ya Kemondo

    10. Kiwanda cha Kuchakata Maziwa

    11. Kiwanda cha Kutengeneza Barafu

  • Viwanda….9

    Bukoba (M): Wawekezajiwanakaribishwa kuwekeza kwenyemachinjio ya kisasa – hekta 3.32 Rwamishenye.

    12. Machinjio yakisasa

  • Viwanda….10

    Bukoba (M): Mwekezajianakaribishwa kuwekeza katikakiwanda cha kuchakata taka ngumueneo la Nyanga – hekta 5.4.

    Kiwanda kitakuwa na uhakika wakupata zaidi ya tani 15,000 za taka ngumu kwa siku.

    Unaokoa mazingira na kupunguzamagonjwa ya mlipuko.

    13. KuchakataTaka Ngumu

  • Viwanda…. 11

    Bukoba (W): Wawekezajiwanakaribishwa kuwekeza kwenyeujenzi wa kiwanda cha kutengeneza vioo.

    Mchanga mweupe unaofaa kwakutengeneza vioo upo wa kutosha.

    14. Kiwanda cha kuchakatamchangakutengenezavioo

  • Viwanda…. 12

    Muleba (W): Wawekezajiwanakaribishwa kuwekeza kwenyeujenzi wa eneo jumuishi la viwanda – industrial park.

    15. Maeneojumuishi yaviwanda(Industrial Parks)

  • Elimu

    Mkoa wa Kagera unawakaribishawawekezaji kuanzisha chuokitachotoa ujuzi kadri ya mahitaji yaeneo husika.

    Ujuzi unaohitajika ni pamoja nanamna ya kuongeza thamani mazaoya ngozi, kilimo, uvuvi, misitu nk.

    Pia kuna fursa ya kuanzisha shule zamsing na sekondari zenye hadhi yakimataifa

    Chuo Maalumcha Ujuzi (skills) pamoja na shuleza msingi nasekondari

  • Utalii

    Halmashauri zote zimetenga maenokwa ajili ya ujenzi wa hotel nauwekezaji unaofanana na huo.

    Mkoa una vivutio vingi vya utalii naunazidi kukua hivyo uhitaji wa hotel na huduma nyingine ni mkubwa.

    Uwekezaji katikaHoteli, nyumbaza starehe, kambi za watalii, huduma zawatalii, nk.

  • Miundombinu na Masoko…1

    Muleba (W): Ujenzi wa madukamakubwa – hekta 0.8 zimetengwa

    Biharamulo (W): Ujenzi wa madukamakubwa – hekta 4 zimetengwa

    1. MadukaMakubwa(Supermarkets)

  • Miundombinu na Masoko…2

    Bukoba (M): Uendelezajiwawa uwanja wa Kaitaba –ubia.Missenyi (W): Ujenzi wakiwanja cha mpira namichezo eneo la Bunazi –3.2 hektaMuleba (W): Uendelezajiwawa uwanja wa David Zimbihile

    2. UendelezajiViwanja vyaMpira

  • Miundombinu na Masoko…3

    Bukoba (W): Ujenzi wa Kituo cha Makontena eneo la BandariKemondo - Rwagati. Hekta 10 zimetengwa

    3. UendelezajiBandari

  • Miundombinu na Masoko…4Bukoba (M): Ujenzi wa Kituo cha Mabasi eneo la Nyanga. Hekta 8.3 zimetengwaBiharamulo (W): Ujenzi wa Kituo cha Mabasi eneo la Nyakanazi. Hekta 1.2 zimetengwa

    4. Ujenzi waStendi za kisasaza mabasi

  • Miundombinu na Masoko…5

    Missenyi (W): Ujenzi wa Kituocha Magari eneo la Mpakani. Hekta 3.5 zimetengwa eneo la Mutukula (ubia)

    Ngara (W): Ujenzi wa Kituo cha Magari eneo la Mpakani. Hekta8 zimetengwa eneo la Benako(ubia) Biharamulo (W): Ujenzi waKituo cha Magari eneo la Nyakanazi. Hekta 2 zimetengwa(ubia)

    5. Ujenzi waKituo cha Magarimakubwa

  • Madini

    Kyerwa (W): Uchimbaji wa wadini yaBati (Tin) na kuongeza thamanimadini hayo.

    Biharamulo (W): Ujenzi wa viwandavidogo vya kuchakata Dhahabu eneola Nyakahura. Hekta 5 zimetengwakwa ajili hiyo

    Kuchimba nakuongezathamani madini

  • Nini Kifanyike baada ya Mwongozo wa Uwekezaji waMkoa wa Kagera

    • Kutengezeza Mazingira ya Kuvutia Wawekezaji

    k.m. Kuondoa kero na vikwazo visivyo na tija

    • Kuandaa Upembuzi Yakinifu (Feasiility Studies), na Maandiko Biashara (Business Plan)– Yawe ni maandiko yanayozivutia benki (Bankable

    Projects) ili yaweze kupata mitaji

    – Tutumie wataalamu tulionao kwenye mabenki nataasisi zingine za kiuchumi kama ESRF, DoE etc

    • Kuzitangaza kwa nguvu fursa tulizonazo(Aggressive Marketing)

  • Ukubwa Kidogo sana Kidogo Cha Kati Kikubwa

    Idadi ya

    Wafanyakazi

    1-4 5-49 50-99 100 au zaidi

    Ukubwa wa

    Mtaji

    (kwa Tsh )

    Chini ya 5

    milioni

    Hadi 200

    milioni

    Hadi 800

    milioni

    Zaidi ya 800

    milioni

    Tafsiri Fupi ya Viwanda na

    Uwekezaji

  • Maelezo zaidi kuhusu fursa, sababuza kuwekeza Kagera, maelezo yaMkoa kwa ujumla, mazingirawezeshi, hatua za kufuata ukitakakuwekeza nk. yapo ndani yaMwongozo.

    Natumaini mtapata au mmeshapatanakala ya mwongozo ili mweze kupitiavizuri na kuwekeza. Pia Mwongozoutakuwa unapatikana kwenyemtandao kuanzia leo.

    Asanteni kwa kunisikiliza

    Mh. Mgeni Rasmi, Mabibi naMabwana

    Hizi fursa zilizotajwakwa kifupi ni fursaambazo ukitakakuwekeza hata leoziko wazi namazingira wezeshiyameshaandaliwa

    Hitimisho

  • WAWEKEZAJI MNAKARIBISHWA

    KAGERA