hifadhi ya jamii kwa kila kaya, je, inawezekana?

Post on 14-Apr-2017

134 Views

Category:

Healthcare

26 Downloads

Preview:

Click to see full reader

TRANSCRIPT

HifadhiyaJamiikwawote:Je,Inawezekana?

KassimHussein,PhDkassimhussein2002@yahoo.com

255754360

Maanayahifadhi

HifadhiyaJamiinimfumowakujikingadhidiyamajangayasiyotarajiwa.MajangahayonikamaMaradhi,Ulemavu,Kupotezakazi,Kuachakazikwasababuyauzee(kustaafu)

Kinga C

haku

la (N

jaa

kuto

kana

Uka

me)

Afy

a ya

wat

oto

chin

i ya

mia

ka 5

Kuj

ifung

ua k

wa

mam

a

Msa

ada

wa

mak

undi

maa

lum

: w

alem

avu

Mis

amah

a ya

kod

i, to

zo

Men

gine

yo

Pens

ion

kwa

wot

e: C

HF,

Kin

ga…

cha

njo

za m

iripu

ko

Historia : Aina za Hifadhi kamilifu

Maf

ao y

a B

ima:

PPF,

LAPF

, NSS

F, G

EPF,

NH

IF

Maf

ao y

a w

a w

atum

ishi

Maj

anga

: M

afur

iko,

Tet

emek

o, V

imbi

mbu

nga,

Aja

li

Waz

ee: P

ensi

on n

a tib

a ya

was

taaf

u

Serazahifadhi-nguzokuutatu(3)

• Nguzoyakwanza-NguzohiiinahusishaHifadhiyaJamiikaSkamfumowahudumazakijamiizinazogharamiwakwakodiyaSerikali,mashirikayawahisaniwandaninanjenataasisizakijamii

•  Nguzoyapili-HifadhiyaJamiiinahusishauchangiajiwalazimawawenyekipatonawalioajiriwa.HiindionguzoambayoMifukoyaHifadhiyaJamiiinahusika.UchangiajikaSkamifukohiyohugharamiwakwapamojakaSyaWaajiripamojanaWafanyakazi.

Serazahifadhi-nguzokuutatu(3)

• Nguzoyatatu-mfumowauchangiajiwahiariambaounawalengazaidiwatuwenyekipatochaziadanahuchangiakamaziadabaadayakutekelezamajukumuyakisheriakwenyenguzoyapili.

Serazahifadhi-nguzokuutatu(3)

Mfumo

Hifadhikwahiyari

HifadhiyamsingikwashuruS

Hifadhiyaawalikwawote

Hifadhihasainahusu:

•  kupoteakipatokutokananakifo,ulemavuauuzee.

•  KuumwanakutowezakujiSbu•  AtharizaMajangakamavilemafuriko,ukamenkunaoathirimaishapamojanamakazi.

Viashiriavyakuwainawezekana?

• Dhamira(intenSon,will)• Kukubalinautayari(readiness)• Uwezo–kiuchumi(ability)• Uwezo–kiorganizaSon

Je,Dhamiraipo?

• Ndio,dhamiraiponaimekuwepotangumfumowetuwahifadhiwakiasilikaSkangaziyakifamilia

•  (Tungaraza(1988),Mlyansi(1991),WangweandTibandebage,(1999)Bossert(1987)

Je,Dhamiraipo?

• Mfumowafamiliawakuchukuamajukumuyahifadhiulikuwepo–kijima.

•  SasaumebadilikasanakaSkakarnehii(kivipi?)

•  KaSkamiakamiongo5hiiiliopita,hifadhiyaujimaimebadilkanahajayakuwanamfumowahifadhiwakisasaumekuwaniwalazima

Je,Dhamiraipo?

•  SerikaliimekuwanadhamirakwanzakwakuhakikishahifadhimaalumkamavileafyakwawoteburekaSkamiakaya1970;unafuuwakodi(taxrelief)kwawanandoa;

•  Kuendeleakulipwamashaharakwamfanyakaziakiwamgonjwa(1972)

•  Malipoyamshaharakwamfanyakazimzazi(1975)

UwezonakadhiayaUmaskiniwetu

• WatanzaniawengiwaliojiajirinawaliokaSkasektaisiyorasmihawamokaSkamfumowaHifadhiyaJamii.

•  KitakwimuWatanzaniawengiwapokwenyesektaisiyorasmi.

•  Asilimia70wapokwenyeukulimamdogo

UwezonaUmaskini

•  Asilimia10niWajisiriamali:wamejiajiriwenyewe

• biasharandogondogo,madini,

• Sanaa,• michezonauchuuzimwingine.

UwezonaUmaskini

• WatanzaniawenyeajirarasminisehemundogosanayanguvukaziyaTanzania.

•  HifadhiyaJamiiTanzaniakwanzauliwalengawatuwachachetukwenyeajiratu.

MaswaibuyaUwezo

•  UwezowaserikalikutoahudumakwamfanokaSkaafyabureulipungua

•  Uborawahudumapiaulishukasana•  Ikadhihirikakuwaserikalihainauwezonaseraya‘uchangiajigharama’ikaanza1985kwaafyalakinipiakaSkaelimu

Uwezowanani?

•  Ikaanzakujilikanakuwauwezowaserikalikumudusiotuunapunguadhidiyauengezekowaidadiyawatu

Uwezowanani?

• Uwezowawananchiwenyewekujimuduunaongezekaiwapowatajihudumiakwapamoja

• Hatahivyouwezowamwanachikuchukuabimazakibiashara(medicalInsurance)nimdogokufuatananakipatochachini

SerayaKuchangiaIlitoaunafuukwa:

•  Kwawazee•  Wenyemagonjwasugu(TB)•  HIVARV’s•  Akinamamawazazi•  Chanjo–PENTA(surua,homayaini,polioBCGnk)

MagonjwayaMiripuko

•  Surua•  Kipindupindu•  Majisafi

Serikaliinapojitoa-Uwezo:Njiapanda

Uwezomkubwawakipato

Uwezomdogowakipato

Ubo

rawahu

duma

Uboraw

ahuduma

Changamoto

HudumaborainayogharamiwanikubwalakinipiainahitajiuwezomkubwawakuzilipiaJeafyayako,nauwezowakoutakuwahivyohivyo…auunawezakupungua?

Umasikini

•  Mwaka2000maskiniilikuwaasilimia35.7•  Mwaka2007ilikuwaasilimia33.6(HBS)•  Mwaka2009ilikuwaasilimia42(DHS)

•  Sasa…millioni12wanaishikamamaskini.

Umaskini–ulinganishoduniani

Hifadhikwawote…

•  Njiayakupunguzaumaskini•  Umrinaumaskinininjiarahisiyautambuzi•  Elimukwawotesasa‘inawezekana’•  Afyayamsingi….Inawezekana

UmaskininaElimu

Mifano:Kenya

•  NchiyaKenya,WBwalipendekezakuwabimayaafyakwawote..Utafikiaasilimia62baadayamiaka10.

•  Serikaliyakenyanataasisimbalimbalizikaungamkonojitahadazabimayaafyakwawotekwa.Mwaka2004,theKenyaNSHIFikaanzishwa

Mifano:Namibia

• Wazeewanapension• Wenginewanapensionzao• WatotowaliokaSkamazingiramagumu–wanatambuliwanakusaidiwa

Mifano:Rwanda

• NchiyaRwandaina(RAMA),theMedicalMilitaryInsurance(MMI)naAssurancesMaladiesCommunautaires(AMCs).RAMAnilazimaKwawatumishiwaserikalinahiarikwawatuwenginebinafsi.Wotewanachangiaasilimia15yamapatoyao.

Mifano:Rwanda

• MMIambayohuchangiaasilimia22nizaidimashsusikwawanajeshi

Mifano:Rwanda

•  AMCsnimpangowawatuwasiokuwanakipatoaukipatochachininandiowengichininaohuchangiakwakimacha1000RwandanFrancs(sawana1.85US$)kwamwakanaserikalihuchangiakaisikamahikotenakaSkamfuko

DhanayaUwezo:Kutaka,Kuhitaji,kumudu

Hojayakujumuishahifadhi

Pension

RuzukuCapitaSon

RuzukuMishaharanaothercharges

Hudumazaafyazabure

MipangonamifukomengineTASAF

MfukowaMajanga

BimazaJamiiCHF

BimayaAfyaNHIF

Mifukoimekomaa

• Mifukosasainauzoefu•  Inawafanyikazi•  ‘Acturially’ikovizuri•  Inamtandaomzurimikoani•  KunaSSRAkwaudhibiS

11 | 37

Kukuwa kwa wanachama… michango

0

1

2

3

4

5

6

7

8

9

2006 2007 2008 2009 2010 2011 2012

Figure 2: Contribution/membership Growth

Con/membership

Ongezeko la

michango

Utawala bora wa

Mfuko

Ongezeko la

Thamani ya mifuko

ViashiriavyaKumudu•  Asilimia1yaPatolaTaifa(asilimia7)•  KuingiauchumiwakaS,Kuchukakwaongezekolabei(inflaSon)

•  Kubadilishamatumizi(expenditureswitching)•  KasiyaJPMkaSkaukusanyajiwaKodi,kupunguzagharama

•  Serayakushushanakusameheviwangovyakodi•  Kuongezekakwavikundivyaujasiriamali•  Uwezekanowakuunganishaainazahifadhi.•  KuanzishwakwapensionkwawazeeZanzibar

Viashiriakinzani

•  Utayariaukutohamasikawabaadhiyawatukuchangia,kujitoakwabaadhi

•  Ufinyuwamafao•  UkubwawadenilaTaifanakuongezekakwadenihilo

•  NakisikaSkabajeSyaserikali

Kuhusu Wazee

• Ni wachache… zaidi wako vijijini, zaidi ya asilimia 73 bado wanafanya kazi

• Gharama yao sio kubwa… • Kumudu Social pension kwa

kundi hili inawezekana?

Safarinihatua

Kuhusu

Wajasiriamali •  Mifuko

imefanya vizuri kwa wale walio katika CHF, Vikoa, ….

•  Inawezekana kutumia Halmashauri, CBO, vikundi, vicoba, Saccos

Kuhusu mifuko rasmi

• Mifuko imefanya vizuri kwa wale walio katika ajira

• Imeanza kusajili kwenye sekta isio rasmi

• Kumekuwa na kutoridhika na ubora wa mafao

HiSmisho:Mazingirarafikiyajengwe

•  PatolaTaifalataifa…asilimia25lielekezwekwenyehifadhizote(viwangovyakimataifa)

•  TaraSbu,kidogokidogo..Hatuakwahatuakwahiari

•  KushirikishawatukaSkangazizachini

HiSmisho:Mazingirarafikiyajengwe

•  Elimunaushawishiuwepo

•  MatumiziyaKitambulishochaTaifa,unasaidiautambuzi.

•  Ainayahudumaziwerafiki,michangokwateknologiayasimu,vikundink

Jumuisho

•  Inawezekana,•  Dhamiraipo,hajaipo,•  Watuwahitajiwapo•  Uwezokiuchumiupo,unakuwa•  UwezokiorganizaSonupo

Ahsante

Q & A

Kassim Hussein, PhD Kassimhussein2002@yhaoo.com

+255 754 360

top related