ataendelea kuwa rafiki yangu

30
Tanzanian German Programme to Support Health (TGPSH) S. L. P. 65350 Dar es Salaam www.tgpsh.or.tz Kitabu hiki kimetolewa katika mfululizo wa vitabu vidogo tisa vikiwa na vichwa vya habari vifuatavyo: Kuingia Utu Uzima Uhusiano kati ya Msichana na Mvulana Uhusiano wa Kimwili Mimba Usalama katika Mapenzi UKIMWI na Kizazi Kipya Dawa za Kulevya Pombe na Sigara Haki za Uzazi ISBN 978 - 9987 - 449 - 60 - 6 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. Mkuki na Nyota Publishers S. L. P. 4246 Dar es Salaam www.mkukinanyota.com Kitabu hiki kimetayarishwa kwa kushirikisha vijana wa Tanzania na TGPSH-GTZ MASWALI WALIYOULIZA VIJANA KUHUSU NA MAJIBU YAKE Kitabu cha 6 RAFIKI MWENYE UKIMWI ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

Upload: others

Post on 20-Apr-2022

9 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

Tanzanian German Programme to Support Health (TGPSH) S. L. P. 65350Dar es Salaamwww.tgpsh.or.tz

Kitabu hiki kimetolewa katika mfululizo wa vitabu vidogo tisa vikiwa na vichwa vya habari vifuatavyo:

Kuingia Utu Uzima

Uhusiano kati ya Msichana na Mvulana

Uhusiano wa Kimwili

Mimba

Usalama katika Mapenzi

UKIMWI na Kizazi Kipya

Dawa za Kulevya

Pombe na Sigara

Haki za Uzazi

ISBN 978 - 9987 - 449 - 60 - 6

1.

2.

3.

4.

5.

6.

7.

8.

9.

Mkuki na Nyota PublishersS. L. P. 4246Dar es Salaamwww.mkukinanyota.com

Kitabu hiki kimetayarishwa kwa kushirikisha vijana wa Tanzania na TGPSH-GTZ

MASWALI WALIYOULIZA VIJANA KUHUSU

NA MAJIBU YAKEKitabu cha 6

RAFIKI MWENYE UKIMWI

ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

Page 2: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

Kimechapishwa na:Mkuki na Nyota Publishers LtdS. L. P. 4246Dar es Salaam

Pepe: [email protected]: www.mkukinanyota.com

Kwa hisani ya Serikali ya Ujerumani

© Tanzanian German Programme to Support Health (TGPSH), 2007

Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS)

ISBN 978 - 9987 - 449 - 60 - 6

Haki zote za kunakili zimehifadhiwa.

Shukrani

Tunapenda kuwashukuru vijana wote waliohusika katika kuandaa vijitabu hivi kwa mchango mkubwa walioutoa. Hawa ni vijana balehe kutoka shule za msingi mbalimbali za mikoa ya Lindi, Tanga na Dar es Salaam waliochangia kwa kuibua maswali ya awali, waelimishaji rika wa vikundi kutoka Student Partnership Worlwide (SPW) na wa UMATI ambao walipitia na kuchambua maswali ya awali pamoja na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam kwa mchango wao wakati wa kufanya marekebisho ya pili ya hivi vitabu.

Vilele tunatoa shukrani nyingi kwa watu wote kutoka katika makundi yote ya jamii ndani na nje ya Tanzania amabo walisoma vijitabu hivi, na wakatupa mrejesho, kutupa moyo na kuuliza maswali ambayo yameongeza ubora wa nakala hii.

Shukrani ziwaendee walimu wote wakuu wa shule za msingi ambazo zilihusika kwa msaada wao, na kwa Bwana Walter Mbunda na marehemu Elisha Kapinga (UMATI) na pia kwa Bwana Yassin Ally wa SPW kwa uwezeshaji.

Tunapenda pia kuwashukuru Dkt. Elizabeth Mapella (MoHSW-RCHS), Bi Rehema Mwateba na Bi Akwillina Mlay kwa ushauri wao wa kitaalamu katika masuala ya afya ya uzazi kwa vijana. Dkt. Clemens Roll na Dkt. Suzanne Mouton (CCBRT) kwa ushauri wa uganga. Shukrani kwa Bi Magret Kilembe na Bwana Simon Kilembe kwa kutafsiri, Bwana Benedict Raymond na Bi Dorothea Coppard (wataalamu wa Elimu – Mradi wa PASHA) na Cordula Schuemer (Mshauri wa Afya ya Uzazi-gtz) kwa ushauri wao mzuri na wa kujenga pamoja na Dkt. Zubeida Tumbo-Masaba ( Mtafiti Mwandamizi, Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili) na Kate Forester Kibuga pamoja na Karen Walker kwa kusoma na kuhakiki.

Shukrani za pekee kwa Dkt. Regina Goergen (EvaPlan) siyo tu kwa moyo wake wa ujasiri katika kuchochea maandalizi ya hivi vijitabu bali pia katika kusambaza wazo hili, na kuwezesha vijitabu hivi kukubalika katika nchi 17 ulimwenguni. Vijitabu hivi vimekuwa zana mwafaka kwa maana ya njia bora ya kufikisha habari kuhusu ujinsia na afya ya uzazi kwa vijana.

Tunamshukuru mchoraji wa katuni Nd. David Chikoko kwa mchango wake mkubwa katika kuchora vielelezo vilivyotumika katika mfululizo huu.

Kwa njia ya pekee tunapenda kuwashukuru Meja Jenerali (mstaafu) Herman Lupogo (aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa TACAIDS) na Bi Rustica Tembele (TACAIDS) na Dkt. Catherine Sanga (RCHS) kwa mchango wao endelevu katika kusambaza vijitabu hivi na bila kusahau mashirika yote yaliyosaidia katika machapisho na usambazaji wa vijitabu hivi kwa miaka yote hiyo.

Dkt. Axel Doerken

Mkurugenzi GTZ Tanzania.

Page 3: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

Yaliyomo:

Utangul�z�............................................................................................. v

Je,.kuna.tofaut�.gan�.kat�.ya.neno.V�rus�.vya.UKIMWI.kwa.k�fup�.VVU..na.UKIMWI?.................................................................1

K�nga.ya.mw�l�.n�.n�n�?........................................................................2

N�n�.k�natokea.wakat�.V�rus�.vya.UKIMWI.(VVU).v�napo�ng�a.mw�l�n�.na.v�nakwenda.wap�.kat�ka.sehemu.ya.mw�l�?.................2

Je,.�nachukua.muda.gan�.tangu.mtu.aambuk�zwe.na.VVU.had�..v�onekane.kwenye.damu?..................................................................3

Je,.watu.wote.wenye.v�rus�.vya.UKIMWI.watapata...UKIMWI?.Na.kama.nd�yo,.�tachukua.muda.gan�?......................3

Je,.mtu.mwenye.kuonekana.na.afya.nzur�,.anaweza.kuwa.na.v�rus�.vya.UKIMWI?.........................................................................4

Je,.n�.tab�a.z�p�.z�nazochang�a.kuenea.kwa.v�rus�.vya.UKIMWI?............................................................................................5

Je,.mwanaume.ak�toa.uume.nje.ya.uke.kabla.ya.kumwaga.shahawa.anaweza.kuambuk�zwa.yeye.au.mwanamke..na....V�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI?................................................6

Je,.n�k�jam��ana.na.mtu.mwenye..v�rus�.vya.UKIMWI.b�la.kutum�a.kondomu,.n�tapata.v�rus�.vya.UKIMWI.na...UKIMWI?............................................................................................6

Je,.V�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI.v�naambuk�za.kwa.kujam��ana.kwa.nj�a.ya.sehemu.ya.haja.kubwa.au.mdomon�.?..7

Kunyonyana.ul�m�.kunaweza.kuchang�a.kupata.v�rus�.vya.UKIMWI?............................................................................................7

Je,.n�taweza.kupata.v�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI.n�k�jam��ana.na.ms�chana.au.mvulana.wa.umr�.mdogo.sana?.....8

Page 4: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

��

Kwa.n�n�.nao.watu.wana�sh�.kwenye.ndoa.wanapata..maambuk�z�.ya..v�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI?....................9

Je,.mtu.anaweza.kuambuk�zwa.v�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI.�wapo.ataval�ana.nguo.na.mtu.mwenye.V�rus�.vya..UKIMWI.na.UKIMWI?.................................................................. 10

N�k�tum�a.nyembe.kal�.au.s�ndano.pamoja.na.mtu.mwenye.V�rus�.vya.UKIMWI.n�naweza.kupata.V�rus�.vya.UKIMWI....na.UKIMWI?..................................................................................... 10

Je,.n�naweza.kuambuk�zwa.na.V�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI.kwa.kuumwa.na.mbu?.....................................................11

Je,.n�k�la.na.mtu.mwenye.V�rus�.vya.UKIMWI,...n�taambuk�zwa.na.v�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI?..............11

Je,.n�k�toa.au.kupata.damu.hosp�tal�n�,.�takuwepo.hatar�.......ya.kupata.v�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI?............................ 12

Mama.mwenye.v�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI,.anaweza.kuzaa.mtoto?.Na.anaweza.kumwambuk�za.mtoto.al�ye..tumbon�.au.wakat�.wa.kumnyonyesha?........................................ 12

N�.as�l�m�a.�p�.ya..Watanzan�.ambao.wameambuk�zwa.na..V�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI?.............................................. 13

Hal�.ya.maambuk�z�.ya.VVU.Tanzan�a.k�mkoa............................ 14

Je,.n�fanye.n�n�.�l�.kuj�k�nga.na.maambuk�z�.ya..v�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI?.................................................................. 14

Je,.n�.kwel�.kwamba.kufanya.ngono.na.b�k�ra.�naponyesha.maambuk�z�........................................................................................ 16

N�fanye.n�n�.�l�.kujua.kama.n�na.au.s�na.maambuk�z�.ya.......V�rus�.vya.UKIMWI?....................................................................... 16

N�ende.wap�.kup�ma..kama.n�na.V�rus�.vya.UKIMWI?............. 17

Page 5: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

���

Je,.n�k�ambuk�zwa.v�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI......n�fanye.n�n�?...................................................................................... 18

Je,.matokeo.ya.kup�ma.na.kukutwa.huna.v�rus�.vya.Uk�mw�.....n�.yap�?................................................................................................ 19

Je.,.v�p�mo.vya.V�rus�.vya.UKIMWI.v�nasema.ukwel�?........... 20

Je,n�was�l�ane..na.n��sh�.v�p�.na.watu.wanao�sh�.na.v�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI?................................................................. 20

N�.tahadhar�.gan�.n�chukue.n�napomhudum�a.mgonjwa.wa.UKIMWI?.......................................................................................... 21

Page 6: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

�v

Page 7: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

v

Utangulizi

V�jana.wa.enz�.h��.wanakab�l�wa.na.changamoto.ny�ng�.z�k�wemo.za. k�afya,. k�jam��. na. za. . k�uchum�.. Changamoto. ny�ng�. za.k�afya.z�naath�r�.urefu.na.ubora.wa.ma�sha.yao.ya.utu.uz�ma..Ul�mwengun�.kote,.v�jana.weng�.wako.hatar�n�.kush�r�k�.ngono.z�s�zo. salama,. ambazo. z�naweza. kuwaambuk�za. magonjwa.yatokanayo na kujamiiana. Takwimu za utafiti wa 2003-04 kuhusu.v�dokezo.vya..V�rus�.vya.UKIMWI.(VVU).na.UKIMW�.Tanzan�a. (Tanzan�a. HIV/AIDS. Ind�cator. Survey). umeba�n�.kuwa 3.5% ya vijana wenye umri kati ya miaka 15-24 na 2% ya vijana wenye umri wa miaka 15-19 kuwa na maabukizo ya VVU. Utafiti huo pia umebaini kuwa ukosefu wa elimu ya kutosha juu. ya. uhus�ano. wa. k�mw�l�. na. j�ns�. VVU. v�naelezwa. kuwa. n�.mojawapo.ya.sababu.z�nazochang�a.kuwepo.na.tat�zo.h�l�..Kwa.wale vijana kati ya miaka 15-19, ni wasichana 40% na wavulana 43%.ambao.wana.el�mu.ya.kutosha.juu.ya.VVU,.wakat�.v�jana.wenye umri wa miaka 20-24 nusu yao ndiyo wenye elimu sahihi juu.ya.VVU.

K�j�tabu.h�k�.k�metayar�shwa.kwa.aj�l�.ya.kuwapa.v�jana.taar�fa.muh�mu..juu.ya.VVU.na.UKIMWI..B�la.el�mu.ya.kutosha,.v�jana.wanapotoshwa. kwa. urah�s�. na. hawawez�. kufanya. maamuz�.sah�h�..Halafu.�nakuwa.rah�s�.kwao.kupata.maambuk�zo.ya.VVU.na.ku�sh�a.kuteseka.na.madhara.yake.meng�.

Watu wengi wanafikiria kuwa elimu juu ya mambo haya haswa kat�ka. umr�. mdogo. �nah�m�za. tab�a. ya. kutowaj�b�ka,. lak�n�.kumbe hii ni kinyume cha fikra hizo. Uzoefu umeonyesha wazi kuwa.v�jana.wak�pata.taar�fa.huchagua.mwenendo.salama.

Maswal�. yal�yomo. kwenye. k�j�tabu. h�k�. yal�kusanywa. kat�.ya. mwaka. 2000. –. 2006. kutoka. kwa. . wanafunz�. wa. shule. za.ms�ng�,.sekondar�.na.chuo.k�kuu..V�jana.hawa.wal�tokea.m�koa.tofaut�.hapa.Tanzan�a. . na.umr�.wao.n�.kat�. ya.m�aka. 11.had�.24.. K�j�tabu. h�k�. k�metayar�shwa. na. jopo. la. wataalamu. wa.fan�.mbal�mbal�.wal�o.kwenye.sayans�.ya.jam��,.afya.na.el�mu..

Page 8: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

v�

V�jana.wal�hus�shwa.kat�ka.hatua.zote.za.kuk�tayar�sha..Kwa.nj�a. ya. kuchap�sha. k�j�tabu. h�k�,. tunategemea. tumechang�a.ku�nua.uelewa.ambao.utawajengea.v�jana..tab�a.ya.kuwaj�b�ka.kat�ka.maswala.ya.uhus�ano.ya.k�mw�l�.yas�yokuwa.na.matokeo.mbadala..Kumbuka.haya.n�. juu.ya.mw�l�.wako.na.ma�sha.yako.kwa.h�yo.yath�b�t�.kwa.kuyas�mam�a..Kwa.v�jana.wa.Tanzan�a,.chukuen�. h��. kama. changamoto.. Taar�fa. �nawezesha.. Tum�a.uwezo.huu.kujenga.ma�sha.yako.ya.baadaye..Kat�ka.mapambano.dh�d�.ya.maambuk�zo.ya.VVU,.k�la.mmoja.wetu.ana.nafas�.yake.ya.utendaj�..Kwa.as�l�m�a.kubwa.VVU.ha�j�.kwako.bal�.n�.wewe.una�fuata.na.kuj�ambuk�za..Tunawapa.wote.changamoto.kat�ka.kuwaj�b�ka.na.kuh�m�l�.ma�sha.yako.

Dkt. Fatma Mrisho

Mwenyek�t�.Mtendaj�.Tume.ya.Kudh�b�t�.UKIMWI.Tanzan�a.(TACAIDS).

Page 9: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

1

Je, kuna tofauti gani kati ya neno Virusi vya UKIMWI kwa kifupi VVU na UKIMWI?

Neno. VVU. n�. . v�rus�. au. v�j�dudu. v�navyosabab�sha. ugonjwa.wa.UKIMWI..Neno.h�l�.kwa.lugha.ya.K��ngereza.n�.HIV.yaan�.“Human Immunodeficiency Virus”. UKIMWI ni kifupi cha maneno. matatu. ambayo. n�. Upungufu. wa. Kinga. Mw�l�n�.. Kwa.K��ngereza. j�na. la. UKIMWI. AIDS. ambacho. k�refu. chake. n�.“Acqu�red. Immune. Deficiency Syndrome”. Neno UKIMWI tayar�. l�naonyesha. tayar�. a�na. ya. ugonjwa,. �k��man�sha. kuwa..mw�l�.umepungua.uwezo.wake.wa.k�nga.kwa.maradh�.mbal�mbal�.mw�l�n�..Dal�l�.za..upungufu.huu.uk�anza.kuj�tokeza.bas�.maradh�.haya.hu�twa.UKIMWI.

Tofaut�.kat�.ya.VVU.na.UKIMWI.n�.kuwa.mtu.al�yeambuk�zwa.VVU.bado.anaweza.kuonekana.mz�ma.wa.afya..Pamoja.na.kuwa.v�rus�.h�vyo.v�taonenekana.kat�ka.damu.yake,.n�.kwamba..v�rus�.h�vyo. v�takuwa. hav�jaanza. bado. kushambul�a. chembechembe.nyeupe.za.damu..Kwa.upande.mw�ng�ne..k�nga.ya.mw�l�.ya.mtu.anayeumwa. UKIMWI. �takuwa. tayar�. �mepungua.. Mw�l�. wake.

Page 10: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

2

utaanza. kuugua. magonjwa. nyemelez�.. Magonjwa. nyemelez�.hupata. nafas�. ya. kushambul�a. mw�l�. huu. ambao. tayar�. k�nga.�mepungua.. Watu. wnaoumwa. UKIMWI. wanaweza. kupungua.uz�to.wa.mw�l�,. kuhar�sha.au.kupata.matat�zo.ya.ngoz�..Hata.h�vyo.maradh�.haya.s�yo..laz�ma.yatokane.na.kuwa.na.VVU..Il�.kuwa.na.uhak�ka,.onana.na.mtaalamu.yaan�.dakatar�.wako.

Kinga ya mwili ni nini?

K�nga.ya.mw�l�.n�.mpang�l�o.wa.mw�l�.kuj�k�nga.na.maradh�..Chem-bechembe.nyeupe.z�l�zopo.kat�ka.damu.ya.mw�l�.mz�ma.wa.b�-

nadamu.z�na.kaz�.maalum.kat�ka. kuhak�k�sha. k�nga.ya.mw�l�. �po.. Kama. aska-r�. jesh�. wanaol�nda. nch�.yao,.chembechembe.h�zo.kwa. pamoja. z�nal�nda.mw�l�.dh�d�.ya.magonjwa..Hivyo, kama chembeche-mbe.h�zo.z�k�shambul�wa,.mw�l�. hauwez�. kuj�k�nga.na.maradh�.au.magonjwa.

Nini kinatokea wakati Virusi vya UKIMWI (VVU) vinapoingia mwilini na vinakwenda wapi katika sehemu ya mwili?

V�rus�.h�v�.v�nakaa..kat�ka.chembechembe.nyeupe.z�l�zopo.kwenye..maj�maj�.ya.mw�l�. .wa.b�nadamu.hasa.kwenye.damu,.shahawa.na. maj�. maj�. ya. uken�. na. maz�wa. ya. mama. anayenyonyesha...Ndan�.ya.chembechembe.nyeupe.nd�yo.mahal�.v�rus�.v�nakaa.na.kuendelea.kuzal�ana..V�k�wa.ndan�.ya.chembechembe.nyeupe.h�z�,.v�rus�. huendelea. kuzal�ana. had�. kusabab�sha. chembechembe.

Page 11: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

3

nyeupe.h�z�.kupasuka...V�rus�.h�v�.hupata.nafas�.ya.kuendelea.kushambul�a. chembechembe. ny�ng�ne. nyeupe. za. damu.. Kwa.kadr�.chembechembe.nyeupe.z�l�zoshambul�wa.z�navyoendelea.kupasuka.n�. kwa.k�wango.h�cho.h�cho.chembechembe.nyeupe.z�naendelea.kuhar�b�wa.na.kupungua..Matokeo.yake.n�.kupungua.kwa kinga mwilini na mtu kuendelea kudhoofika.

Je, inachukua muda gani tangu mtu aambukizwe na VVU hadi vionekane kwenye damu?

Inakad�r�wa.huchukua.m�ez�.m�tatu.tangu.kuambuk�zwa.na.VVU.had�..v�rus�.h�vyo.v�o-nekane. kwenye. damu..Itakuwa.kaz�.bure.ku-k�mb�l�a. kwenda. kup�-ma.VVU.mara.tu.baa-da. ya. kufanya. ngono..�s�yo. salama.. Inab�d�.kusub�r�. m�ez�. m�tatu.kabla.ya.kwenda.kwe-nye.Ushaur�.Nas�h�.na.Up�maj�.wa.H�ar�.

Je, watu wote wenye virusi vya UKIMWI watapata UKIMWI? Na kama ndiyo, itachukua muda gani?

Nd�yo,. baada. ya. muda. fulan�. kar�b�a. watu. wote. wenye.maambuk�z�.ya.V�rus�.vya.UKIMWI.wataanza.kuugua.UKIMWI..Lak�n�.muda.kat�.ya.kuambuk�zwa.na.kuanza.kuugua.UKIMWI.unatofaut�ana.. Weng�ne. wana�sh�. muda. mrefu.. Kwa. wastan�.watu. wazee. waz�ma. wanaendelea. ku�sh�. m�aka. kum�. kabla. ya.

Page 12: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

4

kupata.dal�l�.za.awal�..Watoto.wanaopata.v�rus�.kabla.ya.umr�.wa.m�aka.m�tano.kwa.wastan�.wanendelea.ku�sh�.mwaka.moja.had�.m�tatu.

Hakuna. j�bu. la. ujumla. n�. m�aka. m�ngap�. ata�sh�. tena. mtu.al�yeambuk�zwa. na. v�rus�. vya. UKIMWI.. Idad�. ya. m�aka. ya.ku�sh�. baada. ya. kuambuk�zwa. �nategemea. v�tu. v�ng�,. k�nga.as�l�a.�nayomk�nga.mtu,.hal�.ya.l�she.ya.mtu,.wakat�.muafaka.na.usah�h�.kat�ka.kut�bu.magonjwa.nyemelez�.na.wakat�.muafaka..na..usah�h�.wa.kutum�a.dawa.za.kupunguza.makal�.ya.UKIMWI..kwa Kiingereza Anti-Retro-Viral drugs (ARVS )

Je, mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI?

Nd�yo,.mtu.anayeonekana.na.afya.nzur�.anaweza.kuwa.na.v�rus�.vya.UKIMWI..Kat�ka.hatua.ya.mwanzo.baada.ya.kuambuk�zwa.mtu. anakuwa. na. v�rus�. vya. UKIMWI. kwenye. damu. lak�n�.haonyesh�.dal�l�.zozote.za.kuumwa..Hatua.h��.�naweza.kuchukua.za�d�. ya. m�aka. kum�!. H��. n�. hatar�. sana,. kwa. sababu. kama.unajam��ana. na. mtu. mwenye. kuonekana. na. afya. nzur�,. lak�n�.ndan�. ya. mw�l�. tayar�. anavyo. v�rus�. vya. UKIMWI,. anaweza.

kukuambuk�za..

Nj�a. pekee. ya. kuwa. na. uhak�ka.kama. mtu. ameambuk�zwa. na.VVU.au. la. n�. kwa. nj�a. ya. kup�ma.damu. kat�ka. V�tuo. maalamu. vya.kup�ma. au. hos�p�tal�n�.. Kwa. h�yo,.kujam��ana. b�la. kuj�k�nga. kwa.kutum�a. kondomu. �nawezekana.kuhatar�sha. ma�sha. yako,. hata.kama.mpenz�.wako.n�.mtu.mwenye.kuonekana.na.afya.nzur�.

Page 13: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

5

Je, ni tabia zipi zinazochangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI?

V�rus�. vya. UKIMWI. kwa. k�as�. k�kubwa. v�naenea. kwa. nj�a. ya.kujam��ana.. Kama. mtu. ana. wapenz�. weng�. wa. kufanya. ngono,.uwezekano. wa. kupata. maambuk�z�. unaongezeka,.. H�. n�. kwa.sababau. k�la. mpenz�. anaweza. kuwa. chanzo. cha. maambuk�z�.endapo.watash�r�k�.ngono.za.a�na.yeyote..(uken�.au.sehemu.ya.haja.kubwa).b�la.kutum�a.kondomu..

P�a.kuchelewa.kut�bu.magonjwa.meng�ne.ya.z�naa,. �nachang�a.kuenea.kwa.v�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI..Kwa.mfano,.kama.mtu.anaugua.ugonjwa.wa.z�naa,.v�j�dudu.vya.UKIMWI.v�naweza.ku�ng�a.mw�l�n�.kwa.urah�s�.za�d�.kwa.sababu.ya.v�donda.sehemu.zake.za.s�r�..

Mw�sho,.matum�z�.ya.dawa.za.kulevya.pamoja.na.ulev�.wa..pombe.wa. kup�nduk�a. yanaweza. kuchang�a. kufanya. maamuz�. yas�yo.sah�h�.kat�ka.matendo.ya.ngono.

Page 14: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

6

Je, mwanaume akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga shahawa anaweza kuambukizwa yeye au mwanamke na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Nd�yo,.hata.ak�toa.uume.nje.ya.uke.kabla.ya.kumwaga.mbegu.anaweza. akaambuk�zwa. V�rus�. vya. UKIMWI. na. UKIMWI..N�.hatar�. kwa.mwanamke.na.p�a.kwa.mwanaume,.kwa.sababu.v�j�dudu. v�mo.ndan�. ya.maj�maj�. uken�. na. uumen�..Hasa.kama.mmoja. kat�. ya. wapenz�. ana. v�donda. au. m�chubuko. m�dogo.sehemu.za.s�r�,.V�rus�.vya.UKIMWI..hu�ng�a.kwa.urah�s�.

Kutoa. uume. nje. ya. uke. kabla. ya. kumwaga. shahawa. s�yo. nj�a.salama.ya.kuj�k�nga.na..maambuk�z�.ya.V�rus�.vya.UKIMWI.

Je, nikijamiiana na mtu mwenye virusi vya UKIMWI bila kutumia kondomu, nitapata virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Uwezekano. wa. kuambuk�zwa.na. V�rus�. vya. UKIMWI. na.UKIMWI. uk�jam��ana. na. mtu.mwenye.v�rus�.vya.UKIMWI.b�la.kutum�a.kondomu.n�.mkubwa..

Mpaka.leo,.kondomu.n�.nj�a.pekee.ya. kuzu�a. kuambuk�zwaV�rus�.vya. UKIMWI. na. . UKIMWI.wakat�. wa. kujam��ana.. Kama.kondomu. �natum�wa. �pasavyo.na. k�la. unapojam��ana. na. mtu.mwenye. v�rus�. vya. UKIMWI,.

uwezekano.wa.kuambuk�zwa.n�.mdogo.sana..Kutum�a.kondomu.�pasavyo..�na.maana.kutum�a.kondomu.mpya,.ku�vaa.v�zur�.uumen�.na.ku�toa.kabla.ya.uume.kulegea..

Page 15: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

7

Je, Virusi vya UKIMWI na UKIMWI vinaambukiza kwa kujamiiana kwa njia ya sehemu ya haja kubwa au mdomoni?

Nd�yo,.kuna.hatar�.kubwa.ya.kuambuk�zwa.V�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI.wakat�.wa.kujam��ana.kwa.nj�a.ya.sehemu.ya.haja.kubwa.au.mdomon�.

Ngoz�. ya. . ndan�. ya. sehemu. ya. haja. kubwa. n�. la�n�. sana. na.uwezekano.wa.kupata.m�chubuko.wakat�.wa.kujam��ana.n�.mkubwa,.kwa.sababu.hakuna.maj�maj�.kama.uken�.yanoyorah�s�sha.uume.ku�ng�a.. Kwah�yo. v�rus�. vya. UKIMWI. n�. rah�s�. sana. ku�ng�a.mw�l�n�.mwa.mwanamke.kup�t�a.kwenye.m�chubuko.h��..

P�a. ngono.kwa.nj�a. ya.mdomon�. (. „kula. kon�,. chumv�. chumv�. ,.kulamba. uken�). hatar�. sana. kama. mwanamke. ana. v�donda. au.m�chubuko. mdomon�. na. mwanaume. au. v�donda. au. m�chubuko.uumen�,.wanaweza.kuambuk�zana.

Watu. wote. wanashaur�wa. kutum�a. . kondomu. �l�. kuzu�a.maambuk�z�.

Kunyonyana ulimi kunaweza kuchangia kupata virusi vya UKIMWI?

Uwezekano. wa. kuambuk�zwa. v�rus�. vya. UKIMWI. kwa.kunyonyana. nd�m�. n�. mdogo. sana.. Kwa. kubad�l�shana. mate.wakat�.wa.kubus�ana.tu,.ha�wezekan�.maambuk�z�.ya.v�rus�.vya.UKIMWI. kutokea.. Lak�n�. kama. mmoja. kat�. ya. wapenz�. ana.v�donda. /. m�chubuko. mdomon�,. uwezekano. wa. kuambuk�zana.huongezeka..

Page 16: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

8

Je, nitaweza kupata virusi vya UKIMWI na UKIMWI nikijamiiana na msichana au mvulana wa umri mdogo sana?

Nd�yo,. utaweza. kuv�pata. v�rus�. vya. UKIMWI.. Uwezekano.wa. kuambuk�zwa. hautegeme�. umr�. wa. mpenz�. wako,. lak�n�.unategemea.afya.yake!.Kama.huyu.ms�chana.au.mvulana.tayar�.ameshapata.v�rus�.vya.UKIMWI.na.unajam��ana.naye.utaweza.kuambuk�zwa.

Mara.ny�ng�.huwez�.kufahamu.kama.mtu.ana.v�rus�.vya.UKIMWI.au. hapana,. kwa. sababu. kat�ka. hatua. ya. mwanzo. baada. ya.kuambuk�zwa.hakuna.dal�l�.zozote.za.kuugua..

V�lev�le.n�.tab�a.mbaya.sana.kushaw�sh�.was�chana.au.wavulana.wadogo.kujam��ana..Kwa.usalama.na.fa�da.ya.wote,.mnashaur�wa.kuacha.mapenz�.na.was�chana.au.wavulana.wadogo.

Lak�n�.huyu.ms�chana.al�kuwa.mdogo sana, na nilifikiri al�kuwa.b�k�ra

Page 17: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

9

Kwa nini nao watu wanaishi kwenye ndoa wanapata maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Kuna.sababu.kuu.mb�l�..kwa.wana.ndoa.kupata.maambuk�z�..ya.V�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI..

Kwanza,. �nawezekana.kuwa.mmoja.kat�. yao.al�kuwa.tayar�. na.maambuk�z�.ya.V�rus�.vya.UKIMWI.kabla.ya..s�ku.ya.kuoana..Kwan�. hata. mtu. al�yeambuk�zwa. na. V�rus�. vya. UKIMWI.anaweza..kuonekana.mwenye.afya.nzur�..na.kuwa.navyo.mw�l�n�.s�ku.ya.harus�..H��.n�.pale.ambapo.awal�.al�fanya.ngono.na.mtu.al�yeambuk�zwa.V�rus�..ama.al�v�pata.kwa.kup�t�a.nj�a.ny�ng�ne.kwa.mfano,.nj�a.ya.damu.�s�yo.salama..

Kama.mtu.al�wah�.kufanya.ngono.kabla,.nj�a.pekee.ya.kuhak�k�sha.kuwa. hana. v�rus�. kabla. ya. kufunga. ndoa. n�. kwenda. kup�ma.damu.

P�l�,.wanandoa.hao.wanaweza.kuambuk�zwa.baada.ya.kufunga.ndoa,. pale. ambapo. mwenz�. mmoja. atafanya. mapenz�. na. mtu.

Page 18: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

10

mw�ng�ne..Kama.mmoja. .wao.au.wote.waw�l�.watafanya.ngono.na.mpenz�.mw�ng�ne.(mahus�ano.nje.ya.ndoa).wanaweza.kupata.maambuk�z�.ya.V�rus�.vya.UKIMWI..

Je, mtu anaweza kuambukizwa virusi vya UKIMWI na UKIMWI iwapo atavaliana nguo na mtu mwenye Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Hapana,. V�rus�. vya. UKIMWI. na. UKIMWI. hauambuk�zw�.kwa. kuval�ana. nguo. na. mgonjwa,. kwa. sababu. v�j�dudu. vya.UKIMWI.v�nakufa.baada.ya.muda.mfup�.v�k�wa.hewan�..Hata.hivyo, kufuatana na kanuni za usafi, ni vizuri zaidi kuvaa nguo z�l�zoful�wa.na.kup�gwa.pas�.

Nikitumia nyembe kali au sindano pamoja na mtu mwenye Virusi vya UKIMWI ninaweza kupata Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Nd�yo,.unaweza.kuambuk�zwa.uk�tum�a.nyembe.kal�.au.s�ndano.kwa. kuchang�a. pamoja. na. mtu. mwenye. v�rus�. vya. UKIMWI..Matum�z�. ya. vyombo. vyenye. makal�,. kama. s�ndano,. v�su. au.nyembe. yana. hatar�.. Kama. baada. ya. kutum�ka. damu. husal�a.kat�ka. vyombo. h�v�,. na. endapo. v�tatum�ka. b�la. kutakaswa. au.kuchemshwa,.matum�z�.yake.yanaweza.kusabab�sha.maambuk�z�.ya.magonjwa.mbal�mbal�,.pamoja.na.UKIMWI.

Kwa.h�yo.n�.muh�mu.sana.kutochang�a.v�faa.vyenye.makal�.na.watu.weng�ne.au.laz�ma.kuv�takasa.na.kuchemsha.k�la.baada.ya.kuv�tum�a..

Page 19: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

11

Je, ninaweza kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI kwa kuumwa na mbu?

Hapana,. mbu. na. wadudu. weng�ne. hawawez�. kukuambuk�za.v�rus�. vya. UKIMWI. kutokana. na. mfumo. wa. m��l�. yao.. V�rus�.vya. UKIMWI. hav�wez�. ku�sh�. kwenye. m��l�. yao,. kwa. sababu.s�yo.maz�ng�ra.v�navyoyapenda..V�rus�.vya.UKIMWI.v�naj�l�sha.na. kuzal�ana. kat�ka. chembechembe. nyeupe. za. damu,. lak�n�.chembechembe. za. a�na. h��. haz�po. kat�ka. mw�l�. wa. mbu.. Kwa.h�yo,.v�rus�.vya.UKIMWI.v�nakufa.mara.baada.ya.mbu.kufyonza.damu. na. ak�ng‘ata. mtu. mw�ng�ne. baadaye. hakuna. hatar�. ya.kuambuk�zwa..

Th�b�t�sho.j�ng�ne.la.ukwel�.huu.n�.kwamba.s�s�.sote.tungekuwa.tumebeba. v�rus�. vya. UKIMWI. kama. mbu. angel�kuwa.anaambuk�za. .kwa.sababu.s�s�.sote.tuna�sh�.kat�ka.maz�ng�ra.yenye.mbu.na.kar�bu.na.watu.weng�ne..

Je, nikila na mtu mwenye Virusi vya UKIMWI, nitaambukizwa na virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Page 20: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

12

Hapana,.uk�la.na.mtu.mwenyemaambuk�z�.ya.V�rus�.vya..UKIMWI.huwez�. kuambuk�zwa. V�rus�. vya. UKIMWI. wala. UKIMWI,.�s�pokuwa. pale. ambapo. wote. waw�l�. mna. v�donda. mdomon�. na..mnachang�a. k�j�ko. k�moja.. Lak�n�. uwezekano. huu. n�. mdogo.sana,.k�as�.tunachoweza.kusema.kwamba.huwez�.kuambuk�zwa.V�rus�. vya. UKIMWI. na. UKIMWI. uk�la. sahan�. moja. na. mtu.al�yeambuk�zwa.na.v�rus�.

Lak�n�,. kufuatana. na. kanun�. za. afya,. n�. v�zur�. za�d�. k�la. mtu.atum�e.v�faa.vyake.na.baada.ya.kuv�tum�a.av�oshe.k�kam�l�fu..

Je, nikitoa au kupata damu hospitalini, itakuwepo hatari ya kupata virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Kat�ka. swal�. h�l�. laz�ma. tutofaut�she. kat�. ya. kutoa. damu. na.kuwekewa.damu..Kutoa.damu.hakulet�.hatar�,.kama.mtaalamu.wa.afya.al�yechoma.s�ndano.kwa.aj�l�.ya.kutoa.damu.anatum�a.s�ndano.na.v�faa.v�l�vyochemshwa.

Kwa. kawa�da. hakuna. matat�zo. kuongezwa. damu,. kwa. sababu.damu. �nap�mwa. kabla. ya. kumuongeza. mgonjwa. hosp�tal�n�..Iwapo.damu.�mep�mwa.na.s�ndano.z�l�zochemshwa.z�metum�ka.hakuna.ubaya.wowote.kat�ka.kuongezwa.damu.

Mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI, anaweza kuzaa mtoto? Na anaweza kumwambukiza mtoto aliye tumboni au wakati wa kumnyonyesha?

Nd�yo,.mama.mwenye.v�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI..anaweza.kubeba.m�mba.kama.mwanamke.mw�ng�ne.yeyote..Ila.n�.muh�mu.kukumbuka.kwamba.kuna.uwezekano.wa.mtoto.kuambuk�zwa.na.V�rus�.vya.UKIMWI.

Page 21: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

13

Lak�n�.s�yo.watoto.wote.wal�ozal�wa.na.mama.mwenye.maambuk�z�.watabeba.v�rus�..Kuwa.moto.ataambuk�zwa.au.hataambuk�zwa.�tategemea.na.�dad�.ya.v�rus�.ambavyo.v�ko.kwenye.damu.ya mama na sababu nyingine. Tafiti z�meonyesha.kwamba..watoto.waw�l�.kat�. ya. watoto. watatu. wal�ozal�wa.na.ak�na.mama.wenye.maambuk�z�.ya.V�rus�.huambuk�zwa.na.h�vyo.v�rus�.

Pamoja. na. hayo,. mama. mwenye......v�rus�. vya. UKIMWI. anaweza. kum-wambuk�za. .mtoto.wake.wakat�.wa.kumnyoshesha.kwa.sababu.ya.kuwe-po. v�rus�. kwenye. maz�wa. ya. mama..Ak�na.mama.wal�o.na.maambuk�z�.ya.

UKIMWI.na.UKIMWI.wanashaur�wa.kuacha.kuzaa.na.kutum�a.nj�a.za.uzaz�.wa.mpango.

Ni asilimia ipi ya Watanzani ambao wameambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Nchini Tanzania ni 7% ya watu wenye umri kati ya miaka 15-49 wana.maambuk�z�.ya.V�rus�.vya.UKIMWI..H��.�namaan�sha.kuwa.kat�.ya.watu.100.wa.umr�.huu.7.wao.wameambuk�zwa.na.V�rus�.vya.UKIMWI.

K�la.mkoa.una.watu.wal�oambuk�zwa.kwa.k�wango.tofaut�,.m�koa.m�ng�ne. �k�wa.na.k�wango.cha.juu. ..Jedwal�. l�l�oambatan�shwa.hapa. l�naonyesha. Mkoa. wa. Mbeya,. Ir�nga. na. Dar. es. Salaam.kuath�r�ka.za�d�.na.�dad�.kubwa.ya.watu.wal�op�ma.na.kuonekana.kuwa.na.v�rus�..vya.UKIMWI.

Natuma�n�.s�tapata.VVU

Page 22: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

14

Hali ya maambukizi ya VVU Tanzania kimkoa

Mkoa As�l�m�a1..Mbeya 13,52..Ir�nga 13,43..Dar.es.Salaam 10,94..Mtwara 7,45..Pwan� 7,36..K�l�manjaro 7,37..Mwanza 7,28..Tabora 7,29. Ruvuma 6,810.Sh�nyanga 6,511.Rukwa 6,012.Tanga 5,713.Morogoro 5,414.Arusha 5,315.Dodoma 4,916.Kagera 3,717.L�nd� 3,618.Mara 3,519.S�ng�da 3,220.Manyara 2,021.K�goma 2,0

Chanzo: TACAIDS:HIV/AIDS Indicator Survey, Tanzania 2003-2004, Ukurasa 76

Kwa.ujumla.n�.kwamba.maambuk�z�.yamez�d�.m�j�n�.au.sehemu.zenye.b�ashara..Weng�.wal�oath�r�ka.n�.v�jana.

Je, nifanye nini ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

.Hakuna.chanjo.dh�d�. ya.maambuk�z�. ya.V�rus�. vya.UKIMWI.na.UKIMWI,.Lak�n�.kuna.m�enendo.ya.tab�a.ambayo. �taweza.

Page 23: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

15

kukusa�d�a.kuj�k�nga.na.maambuk�z�.ya.UKIMWI.na.UKIMWI..Kutokufanya. ngono. kab�sa. n�. nj�a. mojawapo. ya. kuj�k�nga. na.maambuk�z�. ya. UKIMWI. na. UKIMWI.. Kuwa. mwam�n�fu. na.kuwa. na. mpenz�. . ambaye. hajaambuk�zwa. n�. nj�a. ny�ng�ne. ya.kuj�k�nga.. Lak�n�. h��. �nah�taj�. wote. muwe. kat�ka. afya. nzur�. (.b�la.maambuk�z�).wakat�.mnaanza.uhus�ano.wa.kujam��ana.kwa.mara.ya.kwanza.

P�a.�nashaur�wa..h�ma.kutafuta.mat�babu.ya.magonjwa.ya.ngono.mara. pale. yatakapoj�tokeza.. V�donda. v�navyosabab�shwa. na.magonjwa.ya.ngono.v�nasabab�sha.mw�ng�l�ano.wa.maj�.maj�.ya.uken�,.maj�.maj�.ya.uumen�.na.damu.wakat�.wa.kujam��ana.na.kuwezesha..V�rus�.vya.UKIMWI.kup�ta..kwa.urah�s�.

Kufuata.kanun�.za.ngono.salama.n�. nj�a.ny�ng�ne.ya.kuj�k�nga.�l�.us�ambuk�zwe.na.V�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI..Ngono.

UKIMWI unauaAcha

Zinaa

Kuwa na mpenzi

mmoja

mwaminifu Acha kutembea peku

Page 24: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

16

salama.kwa.upande.mw�ng�ne.n�.k�tendo.cha.kukar�b�ana.ambacho.hak�tahus�sha. uume. ku�ng�a. uken�. au. nj�a. ya. haja. kubwa.. P�a..utum�aj�.wa.kondomu.k�la. .wakat�.ngono. �tahus�sha.ku�ng�zwa.kwa. umme,. uken�. au. nj�a. ya. haja. kubwa. n�. nj�a. ny�ng�ne. ya.kuj�k�nga

Je, ni kweli kwamba kufanya ngono na bikira inaponyesha maambukizi?

Hapana,.huwez�.kupona.V�rus�.vya.UKIMWI.au.UKIMWI.kwa.kufanya.ngono.na.b�k�ra..Hakuna.t�ba.ya.maambuk�z�.ya.V�rus�.vya.UKIMWI!

Pamoja.na.hayo,.kama.utakuwa.na.maambuk�z�.ya.magonjwa.ya.ngono,.utaweka.afya.ya.huyo.b�k�ra.kat�ka.hatar�.kama.ngono.h�yo.�tafany�ka.b�la.k�nga..

Nifanye nini ili kujua kama nina au sina maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

Ipo.nj�a.moja.ya.kuhak�k�sha.kama.umeambuk�zwa.V�rus�.vya.

Twende tukapime

Kituo cha Ushauri na Unasihi

Page 25: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

17

UKIMWI.na.UKIMWI.au.hapana...Nj�a..h��.n�.ya.kup�ma.damu.yako.kat�ka..v�tuo.vyenye..utaalamu..wa.up�maj�.

.N�.muh�mu.kukumbuka.kuwa.V�rus�.vya.UKIMWI,..v�naonekana.kwenye.damu..ya.b�nadamu.m�ez�.m�tatu.baada.ya.kuambuk�zwa..Kipindi hiki kati ya kuambukizwa hadi kufikia miezi mitatu kipimo h�k�. .hak�wez�.kuonyesha.kama.maambuk�z�.ya.v�rus�.yapo.au.hayapo..K�p�nd�.h�k�.n�.cha.hatar�.sana.,.kwan�.al�yeambuk�zwa.anaweza.kuwaambuk�za.weng�ne.b�la.kujua.

Niende wapi kupima kama nina Virusi vya UKIMWI?

V�tuo.vyenye.utaalamu..na.kat�ka.hosp�tal�. .au.Taas�s�s.kama.vile Shirika la Amref au CCBRT wana uwezo wa kutoa ushauri nasaha. na. v�p�mo. vya. kuam�n�ka.. Ushaur�. nasaha. unakusa�d�a.wewe.kuelewa.k�p�mo.h�cho.n�.cha.n�n�,.n�.maj�bu.gan�.yanayoweza.kupat�kana.au.kutopat�kana..Up�maj�.huu.hufanywa..kwa.s�r�,.n�.wewe.tu.pekee.yako.unaweza.kupewa.maj�bu..Kat�ka.m�j�.m�ng�,.vituo vya ANGAZA vipo na pia vituo hivi hutoa huduma rafiki kwa.v�jana.

Huduma.za..up�maj�.haz�pat�kan�.kwa.urah�s�.sehemu.za.v�j�j�n�.

Page 26: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

18

kwa.sababu.vyombo.v�navyotum�ka.kat�ka.up�maj�.n�.vya.gharama.kubwa.na.v�nah�taj�.umeme.na.uangal�z�.mkubwa..Mpaka.sasa.huduma. h�z�. z�napat�kana. kat�ka. hosp�tal�. na. kwa. baadh�. ya.mash�r�ka. . yanayoj�shughul�sha. na. maambuk�z�. ya. V�rus�. vya.UKIMWI.na.UKIMWI.

Jambo.nzur�.n�.wewe.kuul�za..habar�.za�d�.kat�ka.k�tuo.cha.afya.k�l�cho.kar�bu.nawe.

Je, nikiambukizwa virusi vya UKIMWI na UKIMWI nifanye nini?

Jambo. la.ms�ng�. n�. kutokukata. tamaa.na.kuwa.na.matuma�n�..Mara.ny�ng�ne.�nasa�d�a.kama.utakuwa.na.mazungumzo.na.watu.ambao. tayar�. wana�sh�. na. V�rus�. vya. UKIMWI. na. UKIMWI.au marafiki na ndugu unaowaamini. Jaribu kuongea na mwenzi wako.�l�.kumfaham�sha.juu.ya.hal�.yako.ya.maambuk�z�..Yeye.p�a.anaweza.kuwa.ameambuk�zwa.na.angependa.kup�ma..N�.muh�mu.

BADILI

TABIA

UKIMWI.s�na

Page 27: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

19

kuz�ngat�a.kanun�.muh�mu.za.afya.nzur�.kama.v�le.kula.vyakula.vyenye mlo kamili na kujiweka katika hali ya usafi. Kwa mantiki h�yo. h�yo. n�. laz�ma. . kuharak�sha. kut�bu. maradh�. meng�ne.yatakayoj�tokeza.. Watu. wanao�sh�. na. v�rus�. vya. UKIMWI.wanashaur�wa. was�tum�e. pombe. wala. kuvuta. s�gara,. kwa.sababu vyote hivyo huchangia katika kudhoofisha mwili. Kama watafanya.ngono,.n�.laz�ma.watum�e.kondomu.�l�.was�ambuk�ze.weng�ne.

Al�yeambuk�zwa,.baada.ya.m�aka.k�nga.ya.mw�l�..wake.�taanza.kupungua. na. atatak�wa. kupata. dawa. za. kupunguza. makal�. ya.UKIMWI (ART).

Kama.mtu.al�yeambuk�zwa.na.v�rus�.vya.UKIMWI.ataz�ngat�a.mashart�.haya,.kuna.uwezekano.wa.ku�sh�.na.kufurah�a..ma�sha.kwa.m�aka.m�ng�.

Je, matokeo ya kupima na kukutwa huna virusi vya Ukimwi ni yapi?Kwa. kawa�da. mtu. anapoamua. kwenda. kup�ma. mara. ny�ng�.anakuwa. na. sababu. za. kumfanya. ah�s�. kuwa. au. kutokuwa. na.maambuk�z�.ya.V�rus�.vya.UKIMWI..Kwa.h�yo.mtu.ak�pata.j�bu.kuwa..hana.maambuk�z�.ya.V�rus�.vya.UKIMWI,.�tab�d�.aj�ul�ze.huo.was�was�.ul�tokea.wap�.

Pale. mtu. anapojua. n�. k�tu. gan�. k�l�mfanya. aende. kup�ma,. n�.vyema.mtu.huyo.kukaa.mbal�./.kuacha.kurud�a.h�lo. jambo.au.tab�a.�l�yomweka.kat�ka.hatar�.ya.kupata.maambuk�z�.ya.V�rus�.vya.UKIMWI.na.UKIMWI..Kwa.mfano,.kama.al�fanya.ngono.na.mtu.za�d�.ya.mmoja.na.kwa.nyakat�.zote.hakutum�a.kondomu..Baada.ya.kup�ma,.mtu.huyu.anatak�wa.aache.tab�a.ya.kuwa.na.wapenz�.weng�.na.p�a.awe.anatum�a.kondomu.kuj�k�nga.dh�d�.ya.maambuk�z�. ya.V�rus�. vya.UKIMWI.na.UKIMWI..N�.muh�mu.kuchukua.tahadhar�.zote.�l�.kuj�k�nga.na.maambuk�z�.ya.V�rus�.na.UKIMWI.na.UKIMWI.

Page 28: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

20

Je , vipimo vya Virusi vya UKIMWI vinasema ukweli?

Uwezekano.wa.kupata.maj�bu.ya.uwongo.n�.mdogo.sana,

�s�pokuwa. tu. kama. v�p�mo. v�tafany�ka. . k�p�nd�. ch�n�. ya. m�ez�.m�tatu. baada. ya. maambuk�z�. ya. V�rus�. vya. UKIMWI. na.UKIMWI. kukupata.. Hata. kama. v�p�mo. v�l�vyofany�ka. n�. vya.kuam�n�ka,.�tab�d�.uende.kup�ma.mara.ya.p�l�,.kama.una.was�was�.na.matokeo.ya.h�cho.k�p�mo.

Je,niwasiliane na niishi vipi na watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Mtu. anaye�sh�. na. v�rus�. vya.UKIMWI.na.UKIMWI.anah�taj�.ushaur�.na.mara.pale.atakapoh�s�.unamjal�........(.unamhesh�mu).na.kumjal�,.uz�to.wa.ugonjwa.unakuwa.mwepes�..Mtu.mwenye..UKIMWI. n�. mgonjwa. kama. wagonjwa. weng�ne,. �s�pokuwa.

anah�taj�.faraja.za�d�.kwa.sababu.ugonjwa.wake.hauna.t�ba..

Matunzo. sah�h�. . kwa. . watu.wanao�sh�.na.V�rus�.vya.UKIMWI.na. UKIMWI. n�. muh�mu,. Mtu.anaye�sh�.na.V�rus�.vya.UKIMWI.apate. l�she. bora. �l�. aweze.ku�mar�sha. afya. yake. na. awe.msafi wa mwili, nguo, nyumba na vyakula.. P�a. apat�we. mat�babu.haraka. na. kwa. ukam�l�fu. kwa.maradh�. yote. yatakayoj�tokeza.na.asa�d�we.kufanya.kaz�.nz�to..

Mtu. anaye�sh�. na. V�rus�. vya.UKIMWI. na. UKIMWI. ana. hak�.za. b�nadamu. kama. b�nadamu.

RAFIKI MWENUEUKIMWI

ATAENDELEAKUWA RAFIKI YANGU

Page 29: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

21

wengine. Kumbuka kwamba rafiki au ndugu yako mwenye Virusi vya UKIMWI na UKIMWI bado ni rafiki au ndugu yako!

Ni tahadhari gani nichukue ninapomhudumia mgonjwa wa UKIMWI?

Maambuk�z�.ya.V�rus�.vya.UKIMWI.mara.ny�ng�.huenea.sana.kwa. nj�a. ya. kujam��ana,. na. hauambuk�zw�. kwa. kumhudum�a.mtu.mwenye.maambuk�z�.ya.V�rus�.vya.UKIMWI.au.UKIMWI...Hata.h�vyo.n�.muh�mu.kuwa.mwangal�fu.na.kuchukua.tahadhar�.�l�.kuzu�a.kuambuk�zwa..

Uk�mt�bu. v�donda. vya. mtu. al�yeambuk�zwa. na. V�rus�. vya.UKIMWI,..n�.vyema.kuvaa.m�p�ra.ya.m�konon�.(glavu.).na..da�ma.n�.v�zur�.kufunga.k�tambaa.au.plasta.mahal�.penye.jeraha..V�faa..vyenye.ncha.kal�.v�navyotum�wa.na.mtu.mwenye.maambuk�z�.ya.v�rus�.vya.UKIMWI,.kwa.mfano.nyembe,.kutunzwa.sehemu.ya.pekee.na.v�s�tum�we.na.watu.weng�ne..

Hatua. h�z�. n�. muh�mu. na. za. ms�ng�. kwa. wahudumu. wa. watu.wenye. v�rus�. vya. UKIMWI. �l�. kuzu�a. yeye. au. watu. weng�ne.was�pate.maambuk�z�.ya.v�rus�.vya.UKIMWI..Kama.unamtunza./. unamhudum�a. mtu. al�yeambuk�zwa. na. V�rus�. vya. UKIMWI..na. huna. uhak�ka. au. una. was�was�. na. tahadhar�. za. kuchukua,.unashaur�wa. kutafuta. msaada. kutoka. kwa. mtoa. huduma. wa.afya..�l�.akupe.maelezo.za�d�..

Page 30: ATAENDELEA KUWA RAFIKI YANGU

22

Mambo ya Kukumbuka