kupotea na kupatikana - church of jesus christ...2018/04/04  · moja na kumwambia mama yangu kwamba...

1
74 Liahona Na Cael S., umri miaka 8, Virginia, USA N inajua kwamba Baba wa Mbi- nguni hujibu maombi. Wakati familia yangu ikiishi Ujerumani, tuli- enda Volksmak kijijini kwetu. Volks- mak ni mahali ambapo marafiki na majirani hufurahia pamoja kwa kufa- nya matembezi ya kuona mazingira ya asili kwa pamoja. Wazazi wangu walisema kwamba ningeweza kutembea mbele ya kundi nikiwa na mmoja wa rafiki zangu, na tukaanza msafara huo mrefu. Baada ya dakika chache sikuweza kumuona mtu yeyote wa familia yangu. Nilimwambia rafiki yangu kwamba ningebaki nyuma kuwasubiri. Punde sikuweza kabisa kumuona rafiki yangu au familia yake, na wazazi wangu bado hawakufika. Nilikuwa peke yangu pale Kupotea na Kupatikana KIELELEZO NA SHEYDA ABVABI. msituni, na nilihisi uoga. Niliamua kuomba kwamba mtu angeniona. Upande mwingine wa msitu, baba yangu alimsikia Roho Mtakatifu akimuambia, “nenda kamtafute mwanao.” Alihisi jinsi gani nilimhitaji, kwa hivyo aligeuka mara moja na kumwambia mama yangu kwamba alikuwa anaenda kunitafuta. Dakika chache baadaye baba yangu alikuja akikimbia kwenye njia ile ambayo mimi nilikuwa nikisubiri na akaniona. Nilikuwa na furaha kumuona baba yangu! Aliponiambia kuhusu kuwa na hisia kali ya kwamba mimi nilihitaji msaada, nilijua kwamba Baba wa Mbinguni alikuwa amejibu maombi yangu. Nina furaha kujua kwamba popote niwapo, ninaweza kuongea na Baba wa Mbinguni. Atanisaidia kuiona njia yangu. ◼

Upload: others

Post on 02-Feb-2021

3 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

  • 74 L i a h o n a

    Na Cael S., umri miaka 8, Virginia, USA

    Ninajua kwamba Baba wa Mbi-nguni hujibu maombi. Wakati familia yangu ikiishi Ujerumani, tuli-enda Volksmak kijijini kwetu. Volks-mak ni mahali ambapo marafiki na majirani hufurahia pamoja kwa kufa-nya matembezi ya kuona mazingira

    ya asili kwa pamoja. Wazazi wangu walisema kwamba ningeweza kutembea mbele ya kundi nikiwa na mmoja wa rafiki zangu, na tukaanza msafara huo mrefu.

    Baada ya dakika chache sikuweza kumuona mtu yeyote wa familia yangu. Nilimwambia rafiki yangu kwamba ningebaki nyuma kuwasubiri. Punde sikuweza kabisa kumuona rafiki yangu au familia yake, na wazazi wangu bado hawakufika. Nilikuwa peke yangu pale

    Kupotea na Kupatikana

    KIEL

    ELEZ

    O N

    A SH

    EYDA

    ABV

    ABI.

    msituni, na nilihisi uoga. Niliamua kuomba kwamba mtu angeniona.

    Upande mwingine wa msitu, baba yangu alimsikia Roho Mtakatifu akimuambia, “nenda kamtafute mwanao.” Alihisi jinsi gani nilimhitaji, kwa hivyo aligeuka mara moja na kumwambia mama yangu kwamba alikuwa anaenda kunitafuta. Dakika chache baadaye baba yangu alikuja akikimbia kwenye njia ile ambayo mimi nilikuwa nikisubiri na akaniona. Nilikuwa na furaha kumuona baba yangu! Aliponiambia kuhusu kuwa na hisia kali ya kwamba mimi nilihitaji msaada, nilijua kwamba Baba wa Mbinguni alikuwa amejibu maombi yangu.

    Nina furaha kujua kwamba popote niwapo, ninaweza kuongea na Baba wa Mbinguni. Atanisaidia kuiona njia yangu. ◼