chicken management

Upload: mdh3born

Post on 03-Jun-2018

502 views

Category:

Documents


23 download

TRANSCRIPT

  • 8/12/2019 Chicken Management

    1/29

    KIBOKO QUALITYANIMAL FEEDS

    Kwa chakula Bora cha Kuku

    Ngombe na Mifugo mingine

    Chakula cha kuk u ch a KIBOKO n i chaku la chenyeUbora wa hal i ya juu na k inatengenezwa kwa

    ku zingat ia maadi l i y ote ya Uzalishaj iyanavyo pasw a ku tekelezwa.

  • 8/12/2019 Chicken Management

    2/29

    UTANGULIZI:

    Tunafuga kuku ili tupate mazao yafuatayo: MayaiNyamaFedhaMbolea

    Layers -kuku wa mayaiBroilers - kuku wa nyamaIndigenous - kuku wa kienyeji

    Kwanini tufuge kuku?

    Aina ya kuku tunaoweza kuwafuga.

  • 8/12/2019 Chicken Management

    3/29

    Ufugaji huria - free range/extensive systemUfugaji wa ndani kwa ndani -intensive systemUfugaji wa nje kwa ndani Semi intensive

    Eneo linalopitisha maji (proper drainage)

    Eneo linaloruhusu hewa kupita bila shida (good ventilation)

    Njia za ufugaji wa kuku.

    Ni vipi utachagua eneo la kujenga nyumba ya kuku?

  • 8/12/2019 Chicken Management

    4/29

    Liwe na kuta imara ili kuhimili upepo mkali.Paa liwe halivuji mvua ikinyeshaTumia sementi kutengeneza sakafu kwa urahisi wakusafisha.

    Madirisha yazungushwe napazia ya nyaya (wire mesh)Weka vifaa vya kulishiachakula na kunywea maji

    Funika sakafu namatandiko

    Banda la kuku.

  • 8/12/2019 Chicken Management

    5/29

    Kazi ya matandiko.

    Kukausha kinyesiKuhifadhi joto kwa vifarangaKudhoofisha na kuua vimelea

    (micro organisms)

    Maranda ya mbao,pumba ya ngano/mpunga(rice/wheathusks)

    Mfano wa matandiko (litter materials).

  • 8/12/2019 Chicken Management

    6/29

    ULISHAJI WA KUKU

    Viinilishe muhimu kwa kuku. ProtiniWanga(carbohydrate)Mafuta(fat)VitaminMadini(minerals)

    Maji

    Umuhimu wa chakula kwa kuku. Kuku wanahitaji chakula kwa ajili ya:

    Kukua na kujenga mwili (growth and development)Kutaga mayai

    Uzalishaji (reproduction)Kinga dhidi ya magonjwa

  • 8/12/2019 Chicken Management

    7/29

    Aina ya vyakula vinavyotengenezwa kitaalamu naKIBOKO ANIMAL FEEDS:

    KIBOKOANIMAL

    FEED

    chick s ta r ter50kg

    Kuku wa Mayai (Layers):

    LAYERS MASH (50Kg)SUPER CHICK STARTER (50Kg)SUPER GROWERS MASH (50Kg)SUPER LAYERS MASH (50Kg)

    KIBOKOANIMAL

    FEED

    Broiler Mash .50kg

    Kuku wa nyama (Broilers): BROILER MASH (50Kg)SUPER BROILER STARTER (50Kg)

    SUPER BROILER FINISHER (50Kg)

  • 8/12/2019 Chicken Management

    8/29

    MCHANGANUO WA MATUMIZI NA

    MAPATO YA UFUGAJI WA KUKU WAKISASA.

  • 8/12/2019 Chicken Management

    9/29

    MATUMIZI NA MAHITAJI YA MTAJI:1.KUKU WA MAYAI kuku 100) ;

    Bei ya kawaida ya kifaranga mmoja ni Tshs. 2,500/=.Kwa vifaranga mia moja(100) ni Tshs. 250,000/=.Kuanzia siku ya kwanza mpaka wiki ya 8 ulajiwa kifaranga kimoja ni kama ifuatavyo:

    Muda (wiki) Kiasi cha ulaji kwakifaranga

    Jumla ya ulaji kwa wiki

    Siku 1 wiki 2 (siku 14) 12.5g X siku 14 175gWiki 2 4 (siku 14) 25g X siku 14 350gWiki 4 6 (siku 14) 37.5 X siku 14 525gWiki 6 8 (siku14) 50g X siku 14 700g

    Jumla 1750g

    Hivyo, kiasi cha chakula (KIBOKO CHICK STATER) kwa vifaranga 100 kwa wiki zote nane za kwanza ni1750g x vifaranga 100 = 1750000g (175Kg).

  • 8/12/2019 Chicken Management

    10/29

    Ikiwa mfuko mmoja wa kilogram hamsini (50) waKIBOKO CHICK STATER ni Tshs. 38,000/= hivyokwa m if u k o 4 ni sawa na:

    = mifuko 4 x Tshs. 38,000/==Tshs. 152,000/=

    MATUMIZI /MA HITAJ I YA M TAJ I...

    Hivyo kwa wiki nane za kwanza,

    gharama za chakula itakuwa niTsh s . 152,000/= tu.

    KIBOKOANIMAL

    FEED

    chick s ta r ter50kg

    175Kg ni sawa na wastani wa mifuko 4 yaujazo wa 50Kg kila mmoja.

  • 8/12/2019 Chicken Management

    11/29

    KIBOKOANIMALFEED

    GrowerMash .50kg

    Kuanzia wiki ya nane m paka kum i nanane(s ik u 70) ,kila kuku atapaswa kupewa

    chakula cha KIBOKO Growers Mash kamaifuatavyo:

    Hivyo, kuku 100 watatumia jumla ya4900g X kuku 100 = 490000g (490Kg) yachakula.Hii ni sawa na wastani wa m ifuko 10 ya50kg kwa kila mmoja.

    MATUMIZI /MA HITAJ I YA M TAJ I...

    Hivyo, mifuko 10 x Tshs. 32,000/= ambayo ni bei ya mfuko mmoja ni sawa na Tshs. 320,000/=

    Muda (wiki) Kiasi cha ulaji kwakuku

    Jumla ya ulaji kwawiki

    Wiki 8 10 (siku 14) 50g X siku 14 700gWiki 10 12 (siku 14) 60g X siku 14 840gWiki 12 14 (siku 14) 70g X siku 14 980gWiki 14 16 (siku 14) 80g X siku 14 1120gWiki 16 18 (siku 14) 90g X siku 14 1260g

    Jumla 4900g

  • 8/12/2019 Chicken Management

    12/29

    Kuanzia wiki ya kumi na nane mpaka tisini(18-90),hiki ni kipindi cha kutaga mayai ambacho ni jumla yasiku 504(wiki 72) .

    MATUMIZI /MA HITAJ I YA M TAJ I...

    Kuku wote 100 watapewa kilogramu 13 ikiwa wastani waulishaji wa kuku mmoja ni 130g za KIBOKO Layers Mash kwa

    siku (kuku 100 X 130g = 13000g (13kg)) .Kwa kipindi chote cha ufugaji ni sawa na:Kg13 x siku 504(wiki 72) = 6600kg

    Ambazo ni sawa na mifuko 132 ya 50kg kila mmoja.

    Hivyo mifuko 132 x Tshs 36,500/=(bei ya mfuko mmoja)=Tshs. 4,818,000/=

  • 8/12/2019 Chicken Management

    13/29

    Wastani wa juu wa gharama zamfanyakazi (usimamizi na ulinzi) kwa mwezi ni Tshs. 40,000/= , kwa muda wa wiki 90 ni

    jumla ya Tshs.900,000/=.

    Wastani wa gharama za madawa na chanjo kwamwezi inakadiriwa kuwa Tshs.13,500/= Hivyo, kwakipindi chote cha wiki 90 ni sawa na Tshs. 300,500/=kwa kuku wote 100.

    MATUMIZI /MA HITAJ I YA M TAJ I...

    Ikiwa gharama za juu za unit moja ya umeme ni Tshs 250/=na zitahitajika balbu 4 kwa muda wa siku 28 za kwanza.Hivyo gharama za umeme niTshs. 250/= X balbu 4 X siku 28 =Tshs. 28,000/=.

    Wastani wa gharama za mkaa kwa siku 28 za mwanzo nigunia 4 X Tshs 20,000/= ambayo ni sawa na Tshs. 80,000/= kwa kuku wote 100.

  • 8/12/2019 Chicken Management

    14/29

    Isitoshe, wastani wa gharama za maji ni kama ifuatavyo:

    Wastani wa gharama za matandiko(maranda) kwa kipindichote cha ufugaji ni Tshs.5000/= X miezi 22.5 = Tsh 112,500/=.

    MATUMIZI /MA HITAJ I YA M TAJ I...

    Kiutaalam, katika eneo la 15m 2 wanatakiwa kukaa kuku 100na gharama za banda/nyumba inakadiriwa kuwa niTshs. 5000/= kwa mwezi.Hivyo kwa kipindi chote cha ufugaji (wiki 90/miezi 22.5) nisawa na Tshs.5000 X miezi 22.5 = Tshs. 112,500/=.

    Muda Kiasi cha maji kwa siku(ndoo = lita 20) Gharama Jumla kwakipindi choteSiku 1 - wiki 8(siku 56) Ndoo 2 Tshs. 50 Tshs. 5600

    Wiki 8 - 18 (siku 70) Ndoo 5 Tshs. 50 Tshs. 17,500Wiki 18 - 90 (siku 504) Ndoo 7 Tshs. 50 Tshs. 176,400

    Jumla Tshs. 200,500

  • 8/12/2019 Chicken Management

    15/29

    J UML A YA MATUMIZI YOTE:

    MATUMIZI /MA HITAJ I YA M TAJ I...

    Manunuzi ya vifaranga mia moja(100) Tshs. 250,000/=Gharama za chakula kwa Chick Starter Tshs. 152,000/=Gharama za chakula kwa Grower Mash Tshs. 320,000/= Gharama za chakula kwa Layers Mash Tshs. 4,818,000/= Gharama za mfanyakazi Tshs.900,000/=Gharama za madawa na chanjo Tshs. 305,000/=Gharama za umeme Tshs. 28,000/= Gharama za mkaa Tshs. 80,000/=

    Gharama za banda/pango Tshs. 112,500/= Gharama za matandiko Tshs. 112,500/= Gharama za maji Tshs. 200,500/=

    JUMLA Tshs. 7,278,500/=

  • 8/12/2019 Chicken Management

    16/29

    MAPATO YA MAUZOWastani wa chini wa Trei za mayai zitakazopatikana ni

  • 8/12/2019 Chicken Management

    17/29

    MAPATO YA MAUZO

    Bei ya mauzo ya kuku hao baada ya ukomo wao wakutaga ni wastani wa TShs.6,500/= kwa kuku mmojamara 85 (idadi ya wastani wa kuku watakaokuwa

    wamebakia kwa wakati huo) ni Tshs. 552,500/=

    Bei ya mauzo ya mbolea inakadiriwa kuwa Tshs. 2000/=kwa kiroba/mfuko na kwa kipindi chote cha ufugajiitapatikana mifuko 236 ya mbolea.

    Hivyo mapato ya mauzo ya mbolea niTshs. 2000 x mifuko 236 =Tshs. 472,000/=.

    MAPATO YA MAUZO

  • 8/12/2019 Chicken Management

    18/29

    J UML A YA MA PATO YOTE:

    Mapato ya mayai Tshs. 9,282,000/=Mauzo ya mbolea Tshs. 472,000/=Mauzo ya kuku Tshs. 552,500/=

    JUMLATshs. 10,306,500/=

    MAPATO YA MAUZO

    Hivyo, faida atakayopata mfugaji kwakipindi chote cha ufugaji ni:

    ambazo ni Tshs. 10,306,500 7,278,500/=

    Tshs. 3,028,000/=

    Jumla ya Mapato Jumla ya Matumizi

  • 8/12/2019 Chicken Management

    19/29

    KIBOKOANIMAL

    FEED

    Broi lerstarter

    50kg

    Kuku mia mbili(200), utawanunua kwa TShs.1,300/= kwa

    kifaranga kimoja , vyote mia mbili itakuwa ni Tshs. 260,000/=

    2.KUKU WA NYAMA kuku 200);

    Kuanzia siku ya kwanza mpaka wiki yatatu(siku 21) watapewa chakula cha KIBOKOBroiler starter kama ifuatavyo:

    MATUM IZI /MA HITA JI YA MTAJ I...

    Hivyo, kwa kuku wote 200 zitahitajika980g x kuku 200 = 196000g (196Kg) ambazo ni sawa wastaniwa mifuko 4 ya ujazo wa kilogramu 50 kwa gharama ya:= Mifuko 4 x Tshs. 38,000 (bei ya mfuko mmoja)/==Tshs.152,000/=

    Muda Kiasi cha ulaji Jumla Siku 1 - wiki 1 (siku7) 25g X siku 7 175g Wiki 1 - wiki 2 (siku7) 50g X siku 7 350g Wiki 2 - wiki 3 (siku 7) 65g X siku 7 455g

    Jumla 980g

  • 8/12/2019 Chicken Management

    20/29

    Kuanzia wiki ya tatu mpaka ya wiki ya 6 (siku 21) ,watapewa chakula cha KIBOKO Broiler Finisher kamaifuatavyo:

    MATUM IZI /MA HITA JI YA MTAJ I...

    Wastani wa juu wa gh aram a za m fanyakazi kwa mwezi niTshs. 40,000/= . Hivyo kwa kipindi chote cha ufugaji ni sawa naTshs. 40,000/= X mwezi 1.5 = Tshs. 60,000Wastani wa gh aram a za m adawa na ch anjo niTshs. 50,000/= kwa kipindi chote cha wiki sita kwa kuku wote.

    Hivyo kwa kuku wote 200 zitahitajika2240g x kuku 200 =448,000g (448Kg) sawa na mifuko 9 ya50Kg, kwa gharama ya:

    Mifuko 9 x Tshs 38,000 (bei ya mfuko mmoja)/= Tshs. 342,000/=

    Muda (wiki) Kiasi cha ulaji Jumla

    Wiki 3 - 4 (siku7) 80g X siku 7 560g Wiki 4 - 5 (siku7) 110g X siku 7 770g Wiki 5 - 6 (siku 7) 130g X siku 7 910g

    Jumla 2240g

    MATUM IZI/MA HITA JIYAMTAJ I

  • 8/12/2019 Chicken Management

    21/29

    MATUM IZI /MA HITA JI YA MTAJ I...

    Ikiwa gharama za juu za unit moja ya umeme ni Tshs 250/= nazitahitajika balbu 4 kwa muda wa siku 14 za kwanza .Hivyo gharama za umeme niTshs. 250 X balbu 4 X siku 14 =Tshs. 14,000/=.

    Wastani wa gh aram a za m kaa kwa siku 14 zamwanzo nigunia 2 X Tshs. 20,000/= (bei ya gunia moja)ambayo ni sawa na Tshs. 40,000/= kwa kuku wote200.

    Wastani wa kias i cha m aji kw a kuku wo te 200 kwa siku ni ndoo5 (lita 100), na wastani wa ndoo moja ya maji ni Tsh s . 50/=.Hivyo kwa kipindi chote cha ufugaji (wiki 6) ni sawa naNdoo 5 X wiki 6 (siku42) X Tshs.50/= ni sawa na Tshs. 10,500/=

    kwa kuku wote 200.

    MATUM IZI/MA HITA JIYAMTAJ I

  • 8/12/2019 Chicken Management

    22/29

    MATUM IZI /MA HITA JI YA MTAJ I...

    Wastani wa gh aram a za m atand iko kwakipindi chote cha ufugaji ni :Tshs.10,000 X mwezi 1.5 = Tsh 15,000/=

    Kiutaalam, katika eneo la 16m 2 wanatakiwa kukaa kuku 200 nagharama za banda/nyumba inakadiriwa kuwa ni Tshs. 5000/=kwa mwezi.Hivyo kwa kipindi chote cha ufugaji (wiki 6/mwezi 1.5) ni sawa naTshs.5000/= X mwezi 1.5 = Tshs. 7,500/=.

  • 8/12/2019 Chicken Management

    23/29

  • 8/12/2019 Chicken Management

    24/29

    MAPATO YA MAUZOWastani wa chini wa mauzo ya kuku ni Tshs.6,500/= (Kilakuku akiwa na uzito wa wastani wa kilo 1.3) kwa kuku,hivyo kwa kuku wote 200 ni sawa naTshs. 6,500 x kuku 200 = Tshs. 1,300,000/=Mauzo ya mbolea itakayopatikana yanakadiriwa kuwa

    Mifuko/viroba 26 na ikiwa wastani wa bei ya kirobakimoja ni Tshs. 2000/= hivyo jumla ya mauzo ya mboleani Mifuko/viroba 26 X Tshs. 3000/ = Tshs. 78,000/=

    FAIDA itakayopatikana ni :Tshs. 1,378,000 Tshs. 951,000 = Tshs. 427,000/=kwa muda wa wiki sita tu, ukitoa gharama zote.

    Hivyo, jumla ya mapato yote ni Tshs. 1,378,000/=

  • 8/12/2019 Chicken Management

    25/29

    MAMBO MUHIMU:

    Matokeo bora ya ufugaji wa faida unaanzia kwenyemazingira/mabanda na sio kwa kuku mwenyewe, hivyo zingatiavipimo vya banda kwa kutambua idadi kamili ya kuku wanaohitajika.(1m 2 = Layers 7 9 na 1m 2 = Broilers 9 12)

    Zingatia usafi wa banda kila baada ya kuchafuka au kila baada yakutokea mlipuko wa ugonjwa.

    Fuatilia ratiba za chanjo bila kukosa kwa kutumia chanjo iliyo salama.

    Ni vyema kufanya matibabu mara tu dalili za ugonjwa zinapoonekanana kuwatenga kuku walioathirika katika kundi.

    Magonjwa karibu yote ya kuku husambaa kwa kinyesi, hivyo epukamazingira ya kuingiza kinyesi cha kuku mgonjwa bandani kwa kuwamakini kwenye chakula, matandiko, vyombo, n.k.

  • 8/12/2019 Chicken Management

    26/29

    MAPENDEKEZO

    Ni vyema kwa mfugaji kununua chakula kilichotengenezwakiutaalamu kwa sababu zifuatazo:a. Kudhibiti magonjwa kwa kuku.b. Kudhibiti sumu kwa kuku (poisoning i.e mycotixins).c. Kuepuka uchanganyaji mbaya wa viinilishe kwa kundi

    husika la kuku.d. Kuokoa muda na kuongeza jitihada zaidi kwenye

    uzalishaji.Hakikisha unakuwa na kumbukumbu sahihi za mapato namatumizi.Hakikisha unakuwa karibu na Afisa Mifugo aliye karibu nawekwa msaada zaidi.Nunua vifaranga kwenye mashamba yaliyo salama kwakushirikiana na wataalamu (free from diseases).

  • 8/12/2019 Chicken Management

    27/29

    Zingatia : Kiwango kizuri cha joto kinachohitajika kwa ufugajibora wa kuku ambayo ni kati ya 60 F 90 F (15.6 C 32 C).

    Mkaa wa MOTOMOTO ni chanzokizuri cha joto hilo kwa ukuzaji borawa vifaranga sababu hautoi hewa yaCarbon kama mkaa wa kawaidaambao huathiri vifaranga. Pia ni

    mkaa rafiki wa mazingira.

    MAPENDEKEZO.

  • 8/12/2019 Chicken Management

    28/29

    KIBOKOANIMALFEEDS

    Broi lerstarter

    50kg

    KIBOKOSUPERSEMBE

    5Kg

    KIBOKO ANIMAL FEEDS itamsaidiamfugaji katika upatikanaji wa soko lauhakika la MAYAI na KUKU WA NYAMA.

    Pia ni watengenezaji na wauzaji wa unga bora wa

    KIBOKO SUPER SEMBE kwa beinafuu zaidi.

    Ili kuhakikisha ubora wa huduma na bidhaazetu, KIBOKO ANIMAL FEEDS

    watakufikishia bidhaa zako hadi mlangoni

    nyumbani kwako.

  • 8/12/2019 Chicken Management

    29/29

    Wasiliana nasi:

    Tunapatikana eneo la Ipogolo TANZAM HIGH WAY (barabara kuu ya Iringa Mbeya)

    KIBOKO ANIMAL FEEDS AND MILLERS,P.O.Box 333, Iringa, Tanzania.

    Tel : (026) 2725039, (026) 2725053 Fax : (026) 2725004.

    Mobile : 0712604888, 0754767767,0763787700. Email : [email protected] , [email protected] Website : www.kiboko.biz, www.kiboko.co.tz

    Technical Assistance : 0769458157 Sales and Marketing : 0754615632, 0753222657