mkataba wa huduma kwa mteja...ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma mkataba wa huduma kwa...

39
OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA Toleo la Pili June 2008

Upload: others

Post on 24-Dec-2019

94 views

Category:

Documents


1 download

TRANSCRIPT

Page 1: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

OFISI YA RAISMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA

MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJAToleo la Pili

June 2008

Page 2: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

��

Page 3: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

���

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

YALIYOMO Ukurasa

DIBAJI ................................................................................................................. v

MAJUKUMUYETU................................................................................................. vii

1. DIRAYETU................................................................................................ 1

2. DHAMIRAYETU....................................................................................... 1

3. HUDUMAZETU......................................................................................... 1

4. WATEJAWETU.......................................................................................... 1

5. MAADILIYETU.......................................................................................... 3

5.1Uadilifu.............................................................................................. 3

5.2KuzingatiaUtaalamu....................................................................... 3

5.3UwajibikajinaUsikivu....................................................................... 3

6. AHADIZAIDARAKWAWATEJANAWADAUWETU............................ .. 3

6.1IdarayaUendelezajiRaslimaliWatu............................................. 3

Page 4: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

�v 6.2IdarayaUtawalawaUtumishiwaUmma.................................. .. 5

6.3IdarayaKuendelezaSera.............................................................. 6

6.4IdarayaMifumonaUchambuziwaKazi.................................... .. 8

6.5IdarayaKumbukumbunaNyaraka............................................ .. 10

6.6IdarayaMifumoyaTaarifazaKiutumishinaSerikaliMtandao.. 11

6.7IdarayaMaadili............................................................................... 14

6.8IdarayaUtawalanaUtumishi........................................................ 15

6.9KitengochaAnuaizaJamii............................................................ 18

6.10 Kitengo cha Habari�� Elimu na Mawasiliano6.10KitengochaHabari��ElimunaMawasiliano.............................. .. 19

6.11KitengochaUnunuzinaUgavi..................................................... 20

6.12KitengochaUkaguziwaNdani................................................... 22

7. HAKINAWAJIBUWAMTEJA.................................................................. 23

7.1 Kushughulikia Malalamiko7.1KushughulikiaMalalamiko.............................................................. 24

7.2MaoninaMalalamiko..................................................................... 24

Page 5: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

v

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

DIBAJI

Mwaka 2001 Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma ilizindua kwamarayakwanzaMkatabawakewaHudumakwaMteja.Lengola Mkataba huo lilikuwa ni kuweka bayana huduma tunazozitoa

na viwango vyetu vya huduma ambavyo wateja wetu wanayo haki yakuvitarajia;Kuwekautaratibuwakutoamwitikoutakaotuwezeshakutambuanamnawatejawetuwanavyotuonakatikautoajihudumazetu��nautaratibuwakupokeanakushughulikiamalalamikoiwapoyatajitokeza.

Katika Mkataba wetu wa kwanza tuliahidi kuwa tutaendelea kuuboreshaMkataba huo kuendana na mahitaji ya utoaji huduma yanayozingatiamabadiliko ya kiuchumi na kijamii�� mabadiliko ya teknolojia na kadhalika.Baada ya miaka saba ya matumizi ya Mkataba huu tumeweza kujifunzamengi hasa kutokana na changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji waahadizetukwakutumiamifumoiliyopo��maonitokakwawatejawetunahatamalalamiko yaliyojitokeza kwa namna mbalimbali. Ujumla wa yote hayoumetufanyatujitazameupyanahivyokuonaumuhimuwakuwanaMkatabampyaunaozingatiayoteniliyoelezahapajuu.

Page 6: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

v�LengolaMkatabahuunililelilelakuwekakwauwazihudumazetunaviwangovyetuvyautoajihudumaambavyo wateja wetu wanaweza kuvitarajia.Mkataba huu tunataraji uwe kiungo rahisishi chauhusianowetunawaletunaowahudumia.Naridhiamatumizi yake nikitarajia kuwa wateja wetuwataendelea kuutumia na kutupatia mwitiko kamailivyokuwawakatiwakutekelezaMkatabauliopitailikuuwekahaiMkatabawetunakuwakichocheochakuboreshautendajiwetu.

.................................................... .....................................HawaA.Ghasia(Mb) Tarehe

WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAISMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA

Juni2008

Page 7: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

v��

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

MAJUKUMU YETU:

1. KubuninakutekelezaSerayaUsimamiziwaRasilimaliWatukatikaUtumishiwaUmma.

2. KupangamipangoyarasilimaliwatukatikaUtumishiwaUmma.

3. Kutunga na kusimamia utekelezaji wa sera za utawala katikaUtumishiwaUmma.

4. KutunganakusimamiautekelezajiwaSerayaSerikaliMtandao.

5. Kutunga na kusimamia utekelezaji wa Sera ya Nyumba za KuishikwaWatumishiwaUmma.

6. Kuratibumaboreshokatikasektayaumma.

7. Kusimamia:

TaratibuzaUtumishiwaUmma.

MaadiliyaUtumishiwaUmma.

Uboreshajimifumoyautoajihuduma.

Uendelezajirasilimaliwatu.

*

*

*

*

Page 8: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

v���Usimamizi wa kumbukumbu na nyaraka katika Utumishi waUmma.

UratibuwauanzishwajinautendajiwawakalazaSerikali.

Uendelezaji wa watumishi waajiriwa wa Ofisi ya Rais, Menejimenti yaUtumishiwaUmma.

Wakala zilizo chini ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.

Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.

*

*

*

*

*

Page 9: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

1. DIRA YETUOfisi ya Rais- Menejiment ya Utumishi wa Umma (OR-MUU) kuwa taasisi itakayowezesha kuwa na Utumishi wa Umma uliotukuka kwa kutoahuduma bora kwa umma na hivyo kuchangia katika kukuza uchumi��hivyo kuchangia katika kukuza uchumi��kupunguza umasikini na kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania ifikapo mwaka2025.

2. DHAMIRA YETU Kuhakikishakuwautumishiwaummaunasimamiwavizurinakwaufanisikwakupitiausimamiziwarasilimaliwatu��mifumonamiundo.

3. HUDUMA ZETUHudumazitolewazonipamojanauandaajinamapitioyasera��kutayarishaikama na kuajiri�� kuendeleza watumishi na kufuatilia utekelezaji wasera�� sheria�� kanuni na sheria ndogondogo. Tunaamini Mkataba huuutawasaidiawatejawetukudaihakizaonapiaumewekawaziutaratibuwa jinsi ya kutoa na kutufikishia malalamiko na maoni yao.

4. WATEJA WETUOfisi yetu inahudumia wateja wengi na tofauti. Katika Mpango Mkakati wetuwaMudawaKatitunawatambuaWatejanaWadauwetukamaifuatavyo:

Page 10: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

�UmmawaTanzania;

Wizara�� Idara Zinazojitegemea�� Wakala wa Serikali�� Mikoa naSerikalizaMitaa;

MkaguzinaMdhibitiMkuuwaHesabuzaSerikali;

Bunge;

Wanasiasa;isani/Wafadhili;

VyamavyaWafanyakazi;

Watumishi wa Umma wakiwemo wa OR-MUU;

SektaBinafsi(jamiiyawafanyabiasharanawatoahudumakwaOfisi yetu, n.k.);

TaasisiZisizozaKiserikali;

Wastaafu;

VyombovyaHabari;na

Taasisi za Mafunzo, Watafiti na Wanataaluma.

*

*

*

*

*

*

*

*

*

*

*

*

Page 11: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

5. MAADILI YETUTunatekeleza na kukuza maadili ya msingi yafuatayo:-

5.1 Uadilifu:Tunafanyakazizetukwauadilifumkubwa.5.2 Kuzingatia Utaalamu: Tunazingatia utaalamu na maadili ya

kiutendaji��hivyokutoahudumazenyeuborawahaliyajuu.

5.3 Uwajibikaji na Usikivu:Tunawajali��tunawasikilizanatunawathaminiwadauwetu.

6. AHADI ZA IDARA KWA WATEJA NA WADAU WETUOfisi yetu inaahidi kutoa huduma zake kupitia Idara zake kamaifuatavyo:-

6.1 IdaRa Ya ueNdeLeZajI RaSILIMaLI watu Majukumu ya Idara ya Uendelezaji Rasilimali WatuMajukumu ya Idara ya Uendelezaji Rasilimali Watu ni kuandaa nakusimamiautekelezajiwaserananyarakambalimbalizamafunzokwawatumishiwaumma;kuandaamipangoyarasilimaliwatu;kutambua��kuendelezanakustawishauwezowauongozikatikautumishiwaumma;nakuratibuajirazaWataalamwakigenikwenyeutumishiwaUmma.

Page 12: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

� Ahadi za Idara:6.1.1Tutatoavibalivyawataalamwakigenikufanyakazikatikautumishi

wa umma baada ya kupokea maombi kutoka Wizara na Mikoa–ndani yasiku tano (5)zakazi;

6.1.2Tutasaidia Wizara�� Idara Zinazojitegemea na Wakala kutayarishamipangoyarasilimaliwatubaadayamakubalianoyakufanyakazihiyokukamilika–ndani ya siku thelathini (30)zakazi;

6.1.3Tutasaidia Wizara�� Idara Zinazojitegemea kufanya tathimini yamahitaji ya mafunzo na kuandaa mipango ya mafunzo baadaya makubaliano ya kufanya kazi hiyo kukamilika - ndani ya siku thelathini (30)zakazi;

6.1.4Tutatoa taarifa kuhusunafasi zamafunzo zinazopokelewakutokakwawafadhili–ndani ya siku kumi (10) zakazi;

6.1.5Tutawasilisha maombi ya mafunzo yaliyopokelewa kutoka kwawaombajikwendakwawafadhili navyuoni–ndani yasiku saba (7) zakazi;

6.1.6Tutatoataarifayanafasizakazizinazopokelewakutokamashirikaya kimataifa - ndani yasiku saba (7) zakazi;

Page 13: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

6.1.7Tutatuma maombi yaliyopokelewa ya nafasi za kazi kutoka kwawaombajikwendamashirikayakimataifayaliyotangazanafasihizo–ndani yasiku saba (7) zakazi.

6.2 IdaRa Ya utawaLa wa utuMISHI wa uMMa

Majukumu ya Idara ya Utawala wa Utumishi wa UmmaMajukumuyamsingiyaIdarahiinikuhakikishakuwautumishiwaummaunaendeshwakwakuzingatiasera��sheria��kanuni��taratibunamiongozombalimbalikatikautumishiwaumma;kufuatilianakutafsirisera��sheria��kanuni�� taratibu na miongozo ya utumishi wa umma na kusimamiauwianishajiwaajirakatikautumishiwaumma.

Ahadi za Idara:6.2.1Tutatoakibalichakujazanafasimbadalandaniyasiku21zakazi

baadayakupokeamaombiyenyevielelezovilivyokamilika;6.2.2Tutatoakibalichaajirampyakamailivyoidhinishwa��yaani��ndani

ya siku 21 za kazibaadayakupokeamaombiyaliyokamilika;6.2.3Tutatoakibalichalikizobilamaliposiku 21 za kazibaadayakupata

maombiyaliyokamilika;6.2.4Tutatoakibalichauhamishondaniyautumishiwaummandani ya

siku 30 za kazibaadayakupokeamaombiyaliyokamilika;

Page 14: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

�6.2.5TutatoabaruayakibalichaPasipotizaUtumishi(Service Passports)��

kuongezeamudawapasipotinakubadilihadhiyapasipotikatikamudawaSiku tano (5) za kazi;

6.2.6Tutakamilishamadaiyawafanyakaziwaliopunguzwakazindani ya siku tisini (90) za kazi;

6.2.7Tutatoa majibu ya ufafanuzi kwa maandishi ya malalamikombalimbali kuhusu ajira�� upandishwaji vyeo�� marekebisho yamishaharandani ya siku 30 za kazibaadayataarifazotemuhimukupatikana;

6.2.8Tutashughulikiamasualayoteyakinidhamundani ya siku 30 za kazibaadayavielelezovyotemuhimukukamilika.

6.3 IdaRa Ya kueNdeLeZa SeRaMajukumu ya Idara ya Kuendeleza SeraMajukumu ya msingi ya Idara hii ni Kutunga na kuhuisha sera�� sheria��kanuni�� taratibu na miongozo mbalimbali katika Utumishi wa Umma;Kupanga��kusimamianakudhibitimishaharanaposhombalimbalikwawatumishiwaumma;KutoaushaurikuhusumishaharanamaslahikwaWakala za Serikali; Kufuatilianakutathminiutekelezajiwa sera�� sheria��kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali inayotolewa na Ofisi ya Rais,

Page 15: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

Menejimenti ya Utumishi wa Umma; Kufuatilia�� kuratibu na kutathminiutekelezajiwaProgramuyaKuboreshaUtumishiwaUmma��AwamuyaPili(PSRP–II). Ahadi za Idara:6.3.1Tutajibubaruanakutoaufafanuzimbalimbalikuhususera�� sheria��

kanuninanyarakambalimbalizautumishiwaummandani ya siku 14 za kazibaadayakupokeabarua.

6.3.2Tutachambua na kuidhinisha mapendekezo ya marekebisho yamishaharayaWakalazaSerikalindani yasiku kumi na nne (14) za kazibaadayakupokeamaombiyenyevielelezovilivyokamilika.

6.3.3Tutaidhinishanakujibumaombiyavibalivyaposhomaalumkamaifuatavyo:-

Maombiyamalipoyaposhomaalumyasafarizakikazinjeyanchindani ya siku 14 za kazibaadayakupokeamaombi.Maombi ya malipo ya posho za kamati mbalimbali ndani ya siku 14 za kazi baada ya kupokea maombi yenye vielelezovilivyokamilika.

6.3.4Tutajibu na kuidhinisha maombi ya vibali vya kukopa/kununuamagari na pikipiki ndani ya siku 14 za kazi baada ya kupokeamaombiyenyevielelezovinavyostahili.

*

*

Page 16: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

�6.4 IdaRa Ya MIFuMO Na uCHaMbuZI wa kaZI

Majukumu ya Idara ya Mifumo na Uchambuzi wa KaziMajukumu ya Idara hii ni Kuchambua na kuhuisha miundo namgawanyo wa kazi za Wizara�� Idara Zinazojitegemea na Wakala zaSerikali;KuwezeshaWizara��idaraZinazojitegemeanaWakalazaSerikalikuanzishamifumoyamenejimenti;Kushirikishasektabinafsikatikautoajiwa huduma na kusimamia utekelezaji wake; Kuwezesha uanzishwajiwaWakalawaSerikali;Kuwezeshaurahisishajiwataratibuzautoajiwahuduma ili kupunguza urasimu; Kuwezesha uainishaji wa mahitaji yawatumishinakuwekaviwangovyakimenejimenti.

Ahadi za Idara:6.4.1Tutawezesha Wizara�� Idara Zinazojitegemea na Wakala kuandaa

mpangomkakatiwakendani ya siku ishirini na moja (21) za kazi.

6.4.2Tutawezesha Wizara�� Idara Zinazojitegemea na Wakala kuandaaMkatabawaHudumakwaMtejandani ya siku tano (5) za kazi.

6.4.3Tutawezesha Wizara�� Idara na Wakala kufanya marekebishoya muundo wake ndani ya miezi mitano (5) baada ya kupokea maombi.

6.4.4Tutawezesha Wizara�� Idara Zinazojitegemea na Wakala kuandaa

Page 17: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

nakukamilishaOrodhayaKazi(job list)ndani yamiezi mitatu (3).6.4.5TutawezeshaWizara��IdaraZinazojitegemeanaWakalakuboresha

mchakatowautoajihudumakatikaWizara��Idara��naWakalandani ya miezi mitatu hadi tisa (9)kutegemeananaainayamchakatounaoboreshwa.

6.4.6Tutatoa mafunzo kwa Wizara�� Idara Zinazojitegemea na WakalanamnayakutumiafomuzaOPRASndani ya siku tatu (3) za kazi.

6.4.7TutawezeshaWizara��IdaraZinazojitegemeanaWakalakushirikishasektabinafsikatikakutoahudumakwaummaambazosio lazimazitolewenaserikali;

Upembuzi yakinifu wa maeneo yatakayoainishwa kushirikishasektabinafsi:ndani ya siku kumi na nne (14) za kazi;Kuziwezesha Wizara�� Idara Zinazojitegemea na Wakala waSerikalikupatamakandarasiwakutoahudumanausimamiziwamikataba: ndani ya miezi saba (7);Taratibuzakukamilishamkataba:ndani ya mwezi mmoja (1)

6.4.8 Tutawezesha Wizara kuanzisha Wakala mpya kwa mchakatoutakaochukua miezi kumi na miwili (12) baada ya kuanzamchakato.

*

*

*

Page 18: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

�06.5 IdaRa Ya kuMbukuMbu Na NYaRaka

Majukumu ya Kumbukumbu na NyarakaKazizaIdarayaKumbukumbunaNyarakazaTaifanikuhakikishakuwaWizara��IdaraZinazojitegemea��WakalanaTaasisizaummazinafuatanakutumiamfumoborawautunzajiwakumbukumbu;KutoaushaurikwaWizara��Idarazinazojitegemea��WakalanaTaasisizaummajuuyataratibunaviwangovinavyofaakutumiwakatikautunzajiwakumbukumbuzaserikali; Kuweka na kutekeleza taratibu za kuhamisha kumbukumbuambazozinaumuhimuwakudumuilizihifadhiwekwenyeghalalaNyarakaza Taifa; Kuweka taratibu za uteketezaji wa kumbukumbu zilizopotezathamani ya kuendelea kutunzwa; Kuhifadhi kumbukumbu na vitu vyawaasisiwaTaifa(Mwl.JuliusK.NyererenaSheikhAbeidAmanKarume);na kutoa huduma kwa watafiti wa ndani na nje wanaokuja kusoma /kutumianyarakazataifa.Ahadi za Idara:6.5.1Maombi yote yenye maswali tutayajibu ndani ya siku ishirini na

moja (21) za kazi;

6.5.2 Kibali cha kufanya utafiti kwa kutumia Nyaraka za Taifa kitatolewa ndani ya siku mbili (2) za kazi baadayakupokeamaombi;

Page 19: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

��

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

6.5.3 Kibali cha kuazima kumbukumbu tuli (semi-current records) kwa ofisi zaserikalikitatolewasiku moja baadayakupokeamaombi;

6.5.4Tutaweka mfumo mpya wa utunzaji kumbukumbu katika Wizara��IdaraZinazojitegemea��WakalazaSerikalinaSerikalizaMitaandani ya kipindi cha Mwezi mmoja.

6.5.5Tutatoa kibali cha kutelekeza na kutunza kumbukumbu ndani yamiezi 3 baadayakupokeamaombi;

6.5.6TutaandaamajibuyaMaswaliyaBungendani ya siku kumi (10) za kazi baadayakupokeamaswali.

6.6 IdaRa Ya MIFuMO Ya taaRIFa Za kIutuMISHI Na SeRIkaLI MtaNdaOMajukumu ya Idara ya Mifumo ya Taarifa za Kiutumishi na Serikali MtandaoMajukumu ya msingi ya Idara yanahusu usimamizi�� uratibu na ushauriwamatumiziyateknolojiayakompyuta.KusimikaMfumowaKompyutawa Kuhifahdi Taarifa na Kumbukumbu za Watumishi na Mishahara(Intergrated Human Capital Management System);pamojanautekelezajiwaSerayaSerikaliMtandao(e-government policy)katikautumishiwaumma.Majukumuhayayanatekelezwakwakuandaasera��kanuninamiongozo;kuwekamifumonakujengauwezowawatumishinaWizara��

Page 20: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

��Idara Zinazojitegemea na Wakala za Serikali itakayosaidia kutumiateknolojiayakompyutakatikakutoahudumaborazaidikwawatejanawananchikwaujumla.Ahadi za Idara:6.6.1 Tutafungua anuani ya barua pepe za Watumishi OR-MUU ndani ya

saa 1 baadayakupokeamaombi.6.6.2 Tutabadilisha neno la siri (pass-word) la mtumiaji wa kompyuta wa

OR-MUU ndani ya nusu saa (1/2)baadayakupokeamaombi.6.6.3Tutaweka programu mbalimbali za kompyuta kwenye kompyuta

za Watumishi wa OR-MUU ndani ya saa 3 baada ya kupokeamaombi.

6.6.4 Tutashughulikia maombi ndani ya OR-MUU kuhusiana na matengenezo ya vifaa na mifumo ya TEKNOHAMA kamaifuatavyo:-

Kutafiti tatizo – saa 3 baadayakupokeamaombi.

Kutatuatatizo–saa 3 baadayakupokeamaombi.

Iwapo tatizo ni kubwa na haliwezi kutatuliwa ndani ya OR-MUU

–siku 3 baadayakupokeamaombi.

*

*

*

Page 21: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

��

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

6.6.1TutachambuanakujibumaombiyaWizara��IdaraZinazojitegemeanaWakalazaSerikaliyanayohusu“technical specifications” zavifaavyaTEKNOHAMAndani ya siku 3baadayakupokeamaombi.

6.6.2TutayatoleaufafanuzimaombiyaWizara��IdaraZinazojitegemeanaWakalazaSerikalikuhusuushauriwakitaalamunaHadiduzaRejeazauanzishajiwamifumombalimbaliyaTEKNOHAMAndani ya siku 14zakazibaadayakupokeamaombi.

6.6.3TutatoataarifambalimbalizakiutumishikwenyemfumoKompyutawaTaarifanakumbukumbuzaKiutumishinaMishaharandani ya siku 2 baada ya kupata kibali toka ofisi ya Utawala wa Utumishi wa Umma.

6.6.4Tutasimika Mfumo wa Kompyuta wa Taarifa na Kumbukumbu zaKiutumishinaMishaharakwenyeIdaraZinazojitegemeanaWakalazaSerikalindani ya miezi 2baadayakupokeamaombi.

6.6.5TutashughulikiamaombiyaWizaranaTaasisizaUmmakuwekewamfumo wa kompyuta ndani ya miezi 6 baada ya kupokeamaombi.

Page 22: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

��6.7 IdaRa Ya MaadILI

Majukumu ya Idara ya MaadiliMajukumu makuu ya idara hii ni kukuza maadili pamoja na kufuatiliautendajiwakimaadilikatikautumishiwaumma.Katikakukuzamaadili��Idara itahakikisha kunakuwepo na Kanuni za Maadili zinazokwendana wakati na kutumia njia mbalimbali za kuhamasisha watumishi nawananchi iliwaelewemaadili yautumishiwaummanakuyazingatia.Katikakufuatilia�� idara inashughulikiamalalamikoyautovuwamaadilinakuwekataratibuzakuongezauadilifunauwajibikaji.

Ahadi za Idara:6.7.1TutaiwezeshaWizara��IdaraInayojitegemeaauWakalawaSerikali

kuanzishamfumowakushughulikiamalalamiko–ndaniyasiku 90 za kazi tangu ombi litakapopokelewa kwa kufanya yafuatayo:-

Tutaitisha mikutano na wadau wa ndani wa Wizara�� Idara

ZinazojitegemanaWakala–ndani ya siku 14 za kazi.

Tutawezeshauteuziwawasimamiziwamfumo–ndani ya siku tano (5) za kazi.

*

*

Page 23: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

��

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

Tutafanyatathmininaufuatiliajiwautekelezajiwamfumo–ndani ya siku 45 za kazi.

Tutatoataarifayaawaliyautekelezajiwamfumo–ndani ya siku 12 za kazi.

6.7.2Tutajibubaruazamalalamikoyaukiukwajiwamaadiliauhojazozotezakimaadilindani yasiku 14 za kazibaadayakupokeabarua.

6.8 IdaRa Ya utawaLa Na utuMISHI

Majukumu ya Idara ya Utawala na UtumishiMajukumuyaIdarahiinikutoamichangoyakimkakatikwaMenejimentikatika mambo yahusuyo Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watukamaajira��uendelezaji rasilimaliwatunauelimishaji��upandishajivyeo��menejimentiyautendajikazinakushughulikiamaslahiyawatumishikwaOfisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Aidha Idara inatunza na kuhuishakumbukumbuzarasilimaliwatunakutoahudumazakiutawalailikuhakikishamazingiramazuriyakufanyiakazi.

*

*

Page 24: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

��Ahadi za Idara:6.8.1 Kutafuta jalada na kuliwasilisha kwa mhusika katika Ofisi ya Rais,

MenejimentiyaUtumishiwaUmmandani yadakika kumi na nane (18) tanguombikupokelewamasjala;

6.8.2Tutafanya marekebisho ya mishahara baada ya mabadiliko yamshahara ndani ya siku 14 za kazi baada ya vielelezo vyotekukamilikanavikaohusikakutoamaamuzi.

6.8.3 Tutatoa tangazo la nafasi wazi za kazi katika Ofisi ya Rais, Menejimenti yaUtumishiwaUmmandani yasiku 14 za kazibaadayakupokeakibalichaajira.

6.8.4Tutakamilishauchambuziwamaombiyakazindani ya siku 21 za kazi baadayatareheyamwishoyakupokeamaombiyakazi.

6.8.5TutaitishakikaochaKamatiMaalumuyaAjirandani yasiku 14 za kazibaadayakupatakibalichakuidhinishaorodhayausailikutokakwamwajiri.

6.8.6TutatoabaruazaajirampyabaadayavikaovyaKamatiMaalumuyaAjira:ndani yasiku14 za kazibaadayamwajirikutoaidhiniyakuajiri.

Page 25: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

��

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

6.8.7Tutajibu barua/madokezo ya watumishi wanaohitaji ufafanuzi/ruhusa: ndani ya saa 12 za kazi baada ya kupokea barua/dokezo.

6.8.8Tutatoabaruazakupandishwavyeokwawatumishindani yasiku 7 za kazibaadayakuidhinishwanaKatibuMkuu.

6.8.9Tutatoakibalichamaombiyalikizondani yasaa 24 za kazi baadayakupokeamaombiyaliyokamilika.

6.8.10TutashughulikiamaombiyafedhakwaajiliyaviongoziwastaafunakuyawasilishaHazina/kwenyemalipo: ndani ya saa 4 za kazi baadayakupokeamaombiyaliyokamilika.

6.8.11Tutafaili barua kwenye majalada baada ya kutoka (mapitio):ndani ya saa 12 za kazi.

6.8.12Tutajibumalalamikombalimbaliyawatumishindaniya siku 3 za kazi baadayakupokeabarua.

6.8.13Tutaandaanakusambazamihutasariyavikaombalimbali(M9R)��PIRnavinginevyondani ya siku mbili (2)baadayavikao.

Page 26: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

��6.9 kIteNGO CHa aNuaI Za jaMII

Majukumu ya Kitengo cha Anuai za JamiiKitengo cha Anuai za Jamii kinashughulikia uingizwaji wa masualaya Anuai za Jamii katika sera�� kanuni�� mipango�� miongozo�� miundo��n.k. serikalini ili kuhakikisha kuwa haki na usawa kwa makundi yoteyanazingatiwa.Utekelezajiwajukumuhiliunatokananatofautikubwailiyopo kati ya wanawake na wanaume�� hasa katika ajira�� nafasi zauongozi��elimunaupandajivyeo.Vilevilekitengokinashughulikiamasualaya UKIMWI pamoja na makundi yaliyokuwa hapo awali hayakupewakipaumbele.

Ahadi za Idara:6.9.1Tutashughulikia uingizaji wa anuai za jamii kwenye sera ya mteja

husikandani ya siku kumi na nne (14) za kazi.

6.9.2Tutashughulikiamaombiyaufadhiliwamafunzoyawanawakenawatumishiwenyeulemavundani yasiku thelathini (30).

6.9.3TutatoahudumazauandaajiwamipangoyaUKIMWI/JINSIAkwamtejahusikakatikakipindikisichozidisiku kumi (10) za kazi.

6.9.4 Tutatoa tafsiri ya masuala ya anuai za jamii kwa mteja anayefika ofisini ndani yasaa moja (1)baadayakupokeamaombi.

Page 27: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

��

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

6.10 kIteNGO CHa HabaRI, eLIMu Na MawaSILIaNOMajukumu ya Kitengo cha Habari, Elimu na MawasilianoKitengo cha Habari�� Elimu na Mawasiliano kina jukumu la kuhakikishaOfisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma (OR-MUU) inafanya mawasilianonawadauwakejuuyashughulizotezinazohusumasualayautumishiwaummakupitianjiambalimbalizikiwemomagazeti��majarida��vitabu, vipeperushi, radio, TV na tovuti. Aidha, Ofisi hii ina jukumu la kupokea na kushughulikia malalamiko ya wadau yanayohusu OR-MUU.

Ahadi za Kitengo:6.10.1Kujibu maswali ya Waandishi wa Habari kwa muda usiopungua

dakika 30 mara baada ya kuyapokea na kwa yale yanayohitajiufafanuzizaidiyatapatiwamajibundani yasiku tatu (3) za kazi.

6.10.2Kupokea Malalamiko ya wateja wetu kila siku kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 9.30 mchana Jumatatu hadi Ijumaa katika ofisi zetu.

6.10.3Kushughulikiamalalamikoyawatejandani ya siku 14 za kazikwayaleyanayohitajikupatataarifakutokataasisinyingine.Malalamikoyasiyohitajitaarifazaziadayatashughulikiwandani ya nusu saa.

Page 28: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

�06.10.4KutoataarifambalimbalikuhusuUtumishiwaUmmakwawateja

kupitia vitabu na nyaraka mbali mbali zinapohitajika ndani yadakika 30 kwa wateja wanaokuja ofisini kwetu.

6.11 kIteNGO CHa uNuNuZI Na uGaVI Majukumu ya Kitengo cha Ununuzi na Ugavi

Kitengokinatoahudumakwawatejawakekatikamasualayanayohusuununuzi wa vifaa�� kazi na huduma�� utunzaji na usambazaji vifaa nakushaurijuuyanamnaborayakusimamiamikatabambalimbali. Ahadi za Kitengo:6.11.1KujibuMadokezoSabiliyanayopokelewandani ya siku tatu (3)za

kazi.

6.11.2Kujibubaruazinazopokelewandani ya siku sita (6) za kazi.

6.11.3Kutoavifaavinavyoombwanawatumiajindani ya siku saba (7) za kazi.

6.11.4KutayarishaHadiduzaRejeailikutangazazabunizakitaifa(NationalCompetitiveSelection)ndaniyasikuishirininamoja(21)zakazi.

6.11.5 Kutayarisha Hadidu za Rejea ili kutangaza zabuni za kimataifa

Page 29: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

��

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

(International Competitive Selection) ndani ya siku thelathini (30) za kazi.

6.11.6Kutangazanakupokea“ExpressionofInterest”kwamudawasiku kumi na nne (14)namudawasiku thelathini (30)ilikupatawashauriwakimataifa.

6.11.7Kupokea��kuchambuanakupataidhinikwa“ExpressionofInterest”ndani ya siku kumi na nne (14) ili kupata washauri wa kitaifa nandani ya siku ishirini na moja (21)ilikupatawashauriwakimataifa.

6.11.8Kutangazanakupokeamaombiyawazabunikwamudawasiku thelathini (30)ilikupatawashauriwakitaifanamuda wa siku 45ilikupatawashauriwakimataifa.

6.11.9 Kutayarisha zabuni muda wa siku kumi na nne (14) ili kupatawashauriwakitaifanasikuishirini na moja (21)ilikupatawashauriwakimataifa.

6.11.10 Kutangaza zabuni muda wa siku kumi na nne (14) ili kupatawashauriwakitaifanasiku ishirini na mojailikupatawashauriwakimataifa.

6.11.11Kutangazazabuniyakandarasizaujenzindani ya siku tisini (90).

Page 30: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

��6.11.12KufanyauchambuziwazabuninakupataidhiniyaBodiyaZabuni

ilikupatawazabuninawashauriwakitaifanakimataifandani ya siku saba (7).

6.11.13Kufanyauchambuziwazabuni, kutayarishanakutoamkatababaadakupataidhiniyaBodiyaZabuni:ndani ya sikuthelathini (30) za kazi.

6.12 kIteNGO CHa ukaGuZI wa NdaNI Majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa NdaniMajukumu ya Kitengo hiki ni kuangalia kama sheria na taratibuzilizowekwazamatumizinamanunuzizinafuatwa.Ahadi za Kitengo:6.12.1TutatoaRipotizaUkaguzizaRoboMwakasiku 10baadayarobo

yamwakakumalizika.

6.12.3 Tutatoa ushauri kwa Mhasibu mara tu inapoonekana umuhimuwakufanyahivyo.

Page 31: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

��

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

7. HAKI NA WAJIBU WA MTEJA:Tumelengakutoaahadizaviwangovyahudumaambavyotunaimaniwateja wetu wanayo haki ya kuvitarajia kutoka kwetu. Pamoja nakuvitarajia kutoka kwetu. Pamoja nawatejawetukuwanahakiyakupatahudumakwakiwangochajuupiatunaamini wateja wetu wana haki zifuatazo:-

Kupitianakukatarufaakwakuzingatiataratibuzilizowekwa;

Kutumamalalamiko;

Kutunziwasirikatikamasualayao;

Kuonataarifazinazowahusukwakufuatataratibuzilizopo;

Kuhudumiwakwaheshimanabilaupendeleo;na

Kushaurinjiaborayakuongezaufanisi.Aidha�� tunaamini kwamba�� mteja ana jukumu la kuzingatia kanuni zautendaji katikaUtumishiwaUmma ili kutusaidia tuwezekuwahudumiavizurizaidinakuendeleakudumishauhusianokatiyetu.

Wateja wetu wana wajibu wa:-Kutoaushirikianokwawatumishiwanaowahudumia;

*

*

*

*

*

*

*

Page 32: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

��Kutoshawishiwatumishiilimtejaahudumiwekwaupendeleo;

Kuhudhuriamikutanoaumihadikwawakatiuliopangwa;

Kutoa taarifa sahihi zinazotakiwa kwa usahihi na kwa wakatiunaotakiwa;na

Kuzingatiataratibuzakisheriakwahudumazozotemnazostahilikupatiwa.

7.1 kuSHuGHuLIkIa MaLaLaMIkOTutajitahidi wakati wote kurekebisha masuala yote haraka na kwauhakika na tutajifunza kutokana na malalamiko. Aidha�� tutakuwa nautaratibuuliowaziwakushughulikiamalalamikoutakaosambazwakilamahalinautakaokuwarahisikutumiwa.

7.2 MaONI Na MaLaLaMIkOTutajitahidi kutoahudumaborakwawatejanawadauwetu.Endapowateja na wadau wetu mtakuwa na maoni yoyote kuhusu hudumazetu au malamiko kutokana na kutoridhishwa na huduma tunazotoa��tunaomba maoni na malamimiko hayo yawasilishwe moja kwa mojakwenye ofisi au anuani zifuatazo:-

*

*

*

*

Page 33: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

��

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

OFISI SIMU BARUA PEPE

KatibuMkuu (+255)0222130122 [email protected]

NaibuKatibuMkuu (+255)0222120352 [email protected]

IdarayaUtawalanaUtumishiwaUmma

(+255)0222121838 [email protected]

IdarayaKuendelezaRaslimaliWatu

(+255)022 21229080222122908 [email protected]

IdarayaKuendelezaSera (+255)[email protected]

IdarayaMifumonaUchambuziKazi

(+255)0222125669 [email protected]

IdarayaMifumoyaKompyuta

(+255)[email protected]

IdarayaMaadili (+255)0222132714 [email protected]

IdarayaKumbukumbunaNyaraka

(+255)0222151279 [email protected]

IdarayaUtumishinaUtawala

(+255)0222122866 [email protected]

KitengochaJinsia (+255)0222133470 [email protected]

Page 34: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

��KitengochaHabari��ElimunaMawasiliano

(+255)[email protected]

KitengochaUnunuzinaUgavi

(+255)[email protected]

Piamaoninamalalamikokuhusuhudumazetuyanawezakuwekwakwenyevisanduku vya maoni hapa ofisini kwetu au kuwasilishwa kwa maandishi au kwa mdomo kwa Katibu Mkuu (UTUMISHI) ama kwenye ofisi yetu ya malalamiko kama inavyoelekezwa hapa chini:-

KatibuMkuu�� Ofisi ya Rais,MenejimentiyaUtumishiwaUmma��KivukoniFront/MtaawaMagogoni��DaresSalaam��S.L.P.2483��DAR ES SALAAM.Simu: (+255) 022 218531 - 4Nukushi: (+255)0222125299

Page 35: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

��

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

Baruapepe: [email protected]: http://www.estabs.go.tz

Ofisa wa Malalamiko,BlockD��ChumbaNa.5C�� Ofisi ya Rais,MenejimentiyaUtumishiwaUmma��KivukoniFront/MtaawaMagogoni��DaresSalaam��S.L.P.2483��DAR ES SALAAM.

Simu: (+255)022218531–4(Ext.219)Baruapepe: [email protected]: http://www.estabs.go.tz

Page 36: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

��

Page 37: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

��

Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa

Mkataba wa HuduMa kwa Mteja

Page 38: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

Kimetolewa na: Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dar es Salaam - 2008

Page 39: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA...Ofisi ya Rais, MenejiMenti ya UtUMishi wa UMMa Mkataba wa HuduMa kwa Mteja v Lengo la Mkataba huu ni lile lile la kuweka kwa uwazi huduma zetu na viwango

MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJAOFISI YA RAIS - MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA