mkataba wa huduma - kra.go.ke · mkataba wa huduma viwango vya utoaji huduma uaminifu...

32
MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFU UWEZO USAIDIZI

Upload: others

Post on 08-Oct-2019

92 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma

UAMINIFU UADILIFU UWEZO USAIDIZI

Page 2: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA

RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA WATEJA WETU.

TUNAAHIDI KUWA NA WAFANYAKAZI WENYE UJUZI NA

UFAHAMU WA MICHAKATO NA TEKNOLOJIA YA KISASA

NA WANAOLENGA KUMPA MTEJA HUDUMA SAFI KWA LENGO

LA KUIMARISHA ULIPAJI NA UKUSANYAJI WA USHURU.

AHADI YETU

Page 3: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

MALENGO YAHUDUMA ZETU

Kujitolea kukuhudumia kila siku kuanziajumatatu hadi Ijumaa,kuanzia saa mbiliasubuhi (8.00) hadi saa kumi na moja

jioni (5.00) katika afisi zetu kotenchini,vituo vya msaada na vituo vya

huduma.

Kukuhudumia kwa harakavyema na kitaaluma.

Kukuhudumia kwa uadilifu na heshima.

Kuwa na wafanyakaziwanyenyekevu, waadilifu,wenye ujuzi na waliojitolea

katika kutatua shida za wateja.

Kutoa taarifa kamilifu, kwa mudaunaofaa na sahihi kuhusu haki zako na

wajibu chini ya vifungu mbalimbalivya sheria.

Daima kujitolea kukusaida na kukuhudumia kwa wale wasiofahamu

kiingereza.

Kuhifadhi taarifa muhimu na za kibinafsi za mteja.

Kutoa taarifa sahihi kwa ufupi kuhusuhuduma

na bidhaa zetu.

Page 4: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

KODI YA NDANI

Pasipoti halisi na nakala yake.Barua ya kutambulishwa kutoka kwa wakala wa kodi au wakili na PINI ya wakala.

Taarifa hiyo iwekwe kwenye fomu ya kielektroniki ya usajili.

Ushahidi wa stakabadhi za uwekezaji.Kibali cha uwekezaji na ukurasaulioidhinishwa wa pasipoti halisi na nakala yake.Risiti ya KRA iliyokubalika.Usajili kwa njia ya mtandao.

USAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA MUDA

KINACHOHITAJIKAUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI

Siku 1

MUDA

• Kitambulisho cha kitaifa • Usajili kwenye mtandao

baada ya kuwasilisha stakabadhi katika vituo vya huduma–KRA.

Siku uliyojisajili

Mwekezaji wa kibinafsi (Anayeishi nchini Kenya)

Kwa raia wa Kenya

Page 5: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

KODI YA NDANI

USAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA

USAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA

Siku 1

Siku 1

• Pasipoti halisi na nakala yake.• Barua ya kutambulishwa kutoka kwa mwajiri au wakala wa mwajiri na PINI ya mwajiri ama wakala. Maelezo lazima yaingizwe katika fomu ya kielektroniki ya usajili.• Nakala halisi ya pasi maalum ya Kenya na ukurasa ulioidhinishwa na nakala yake.• Risiti ya KRA iliyokubalika.• Usajili kupitia kwenye mtandao.

• Pasipoti halisi na nakala yake.• Barua ya kutambulishwa kutoka kwa mwajiri au wakala wa mwajiri na PINI ya mwajiri ama wakala. Maelezo lazima yaingizwe kwenye fomu ya kielektroniki ya usajili.• Kibali halisi cha Kenya cha kufanya kazi nchini na ukurasa ulioidhinishwa wa kibali hicho na nakala yake.• Risiti ya KRA iliyokubalika.• Usajili kupitia kwenye mtandao.

Kwa asiyekuwa raia wa Kenya anayefanya kazi nchini kwa muda usiozidi miezi sita.

Mfanyakazi asiyekuwa raia wa Kenya

MUDA

MUDA

baada ya kuwasilisha stakabadhi kwenye vituo vya huduma–KRA.

baada ya kuwasilisha stakabadhi kwenye vituo vya huduma–KRA.

Page 6: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

KODI YA NDANIUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA

KINACHOHITAJIKAUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI

• Pasipoti halisi na nakala yake.

• Kadi ya Kidiplomasia na nakala yake.

• Barua ya kutambulishwa iliyothibitishwa

na Wizara ya Masuala ya Kigeni.

• Nakala ya ukurasa maalum

ulioidhinishwa wa uhalalishaji kwenye

pasi.

• Risiti ya KRA iliyokubalika.

• Usajili kwa njia ya mtandao.

• Pasipoti halisi na nakala yake. • Pasi ya mtegemezi na ukurasa maalumulioidhinishwa wa pasi maalum na stakabadhi zote mbili.• Nakala ya cheti cha ndoa iliyoidhinishwa.• Kitambulisho cha Kenya na PINI ya bwana ama mke.• Risiti ya KRA iliyokubalika.• Usajili kwa njia ya mtandao.

MUDA

MUDA

Mwanadiplomasia (Anayeishi nchini Kenya)

Siku 1baada ya kuwasilisha stakabadhi kwenye vituo vya huduma–KRA. Raia wa kigeni aliyeoa ama

kuolewa na Mkenya

Siku 1baada ya kuwasilisha stakabadhi kwenye vituo vya huduma–KRA.

Page 7: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

KODI YA NDANIUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA

KINACHOHITAJIKAUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI MUDAKINACHOHITAJIKAUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI

• Pasipoti halisi, kitambulisho halisi cha shule cha mwanafunzi na nakala ya hati zote mbili.• Barua ya utambulisho kutoka utawala wa taasisi ya kujifunza.• Pasi ya mwanafunzi/tarajali/utafiti na nakala zake na pasi iliyo na ukurasa maalum wa kuidhinishwa kwa mwanafunzi/tarajali/utafiti.• Risiti ya KRA iliyokubalika.

• Nakala ya pasipoti halisi na

vitambulisho vya viongozi na nakala

za stakabadhi zote mbili.

• Ujitambulishaji na uidhinishwaji

kutoka kwa wizara husika.

• Nakala ya ukurasa wa uhalalishaji

uliothibitishwa kwenye pasipoti.

• Risiti ya KRA iliyokubalika.

• Usajili kupitia mtandaoni.

MUDA

MUDA

Mwanafunzi ambaye si raia wa Kenya/Rijali.

Siku 1baada ya kuwasilisha stakabadhi kwenye vituo vya huduma–KRA.

Wafanyakazi wa mashirika yaliyo chini yakifungu cha sheria, cha haki na kinga kifungu nambari 179.

Siku 1baada ya kuwasilisha stakabadhi katika vituo vya huduma–KRA.

Page 8: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

Mwekezaji binafsi

(Anayeishi nje ya Kenya)

KODI YA NDANIUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA

KINACHOHITAJIKAUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI MUDAKINACHOHITAJIKAUSAJILI WA PINI ISIYO YA MTU BINAFSI

• Nakala ya pasipoti iliyonukulishwa na kuthibitishwa na mthibitishaji wa umma wa viapo kutoka nchi ya asili.• Barua ya kutambulishwa kutoka kwa wakala wa Kenya na PINI ya wakala lazima kuingizwa katika mtandao wa kujisajili wa KRA unaokubalisha.• Cheti cha ushahidi wa uwekezaji.• Barua kutoka kwa Halmashauri ya Uwekezaji nchini Kenya na CR-12 kutoka kwa msajili wa makampuni.• Risiti ya KRA inayokubalika.• Usajili kupitia mtandao.

Makampuni, vilabu, vyama, vyama vya ushirika na mashirika

• Cheti cha kujumuisha siku.• PINI ya mkurugenzi. Siku 5

Siku 1baada ya kuwasilisha stakabadhi katika vituo vya huduma–KRA.

MUDA

MUDA

Page 9: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

KINACHOHITAJIKAMAREKEBISHO

KODI YA NDANIUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA

USAJILI WA PINI ISIYO YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA

Siku 5

Siku 2

Mashirika

• Hati ya ushirikiano.

• PINI za washiriki.

• Usajili kupitia mtandao.

• Hati ya amana.• PINI za wadhamini kuthibitisha nyaraka ya usajili kwa ajili ya mashamba na ujenzi.

Kitambulisho cha kitaifa(Iwapo ungependa kubadilisha jina)

MUDA

MUDA

MUDA

Wanunuzi wa mashamba na wajenzi naamana.

Mtu binafsi

Siku 5

Page 10: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

MAREKEBISHO YA KUONGEZA MAJUKUMU/ KINACHOHITAJIKA

KINACHOHITAJIKAWAJIBU

KINACHOHITAJIKA

KODI YA NDANI

WAJIBU KATIKA PINI

Hakuna kinachohitajika.

Idhini ya meneja wa kituo chako chaKRA.

Kuondoa majukumu au wajibu katikaPINI

Nyongeza

Isiyo ya mtu binafsi

Miezi 2

MUDA

MUDA

MUDA

• Barua ya kuomba marekebisho.

• Cheti cha maelezo kuhusu marekebisho

yanayotakikana.

• Usajili kupitia mtandao.Siku 2

Siku 2

WAJIBU

Page 11: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

CHETI CHA KUONYESHAYA KWAMBA UNALIPA KODI

USAJILI

WA MALIPO YA UZEENI

KODI YA NDANIKINACHOHITAJIKA

MAOMBI YA KUFUTILIWA MBALI KWA KODIYA KUONGEZEKA THAMANI (VAT) KINACHOHITAJIKA

KINACHOHITAJIKA

• Hakuna kinachohitajika.• Usajili kupitia mtandao.

• Kuwasilisha ombi kwa Afisi ya Hazina ya Kitaifa.• Madai ya malipo ya mwenye kutoa huduma.

Kuwasilisha ombi la usajili

Siku 5baada ya malipo iwe huna madeni.

Siku 30

Siku 30baada ya kuwasilisha ombi, na

kupewa idhini kutoka kwa Afisi ya

Hazina ya Kitaifa.

MUDA

MUDA

MUDA

Page 12: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

Ripoti ya ukaguzi wa KRA.

KODI YA NDANIRIDHAA YA USHURU WA BIDHAA KINACHOHITAJIKA

MUDA

RIDHAA YA KODI YA ONGEZEKO LATHAMANI

KINACHOHITAJIKA

MUDA

RIDHAA YA KODI YA ONGEZEKO LATHAMANI INAYOHITAJI UKAGUZI

KINACHOHITAJIKA

• Barua ya ombi.• Ripoti ya ukaguzi wa KRA.

• Ombi kupitia mtandao.• Ripoti ya ukaguzi.• Cheti cha ukaguzi.• Ripoti ya mapato kwa kipindi unachodai.

kuanzia tarehe ya kupokea ombi. Siku 90

kuanzia tarehe ya kupokea ombi. Siku 60

kuanzia tarehe ya kupokea ombi. Siku 60

MUDA

Page 13: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

KINACHOHITAJIKA

MUDA

MUDA

Stakabadhi za kuthibitisha madai yako.

MADAI KINACHOHITAJIKA

KINACHOHITAJIKAMAOMBI YA RIDHAA YA MAPATO KWAMTU BINAFSI

KODI YA NDANIRIDHAA INAYOHUSIANA NA MAUZOYA NCHI ZA NJE

90

• Thibitisho la mauzo kulingana na bidhaa husika.• Stakabadhi za mauzo ya nje.

• Stakabadhi zinazoonyesha madai yako.• Stakabadhi za malipo ya kodi.

kuanzia tarehe ya kuwasilisha ombi.

MUDA

Siku 60

baada ya kuwasilisha ombi.

Ndani ya siku

30 baada ya kuwasilisha ombi.

Ndani ya siku

Page 14: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

KINACHOHITAJIKA

KINACHOHITAJIKA

KWA WALEMAVU

MALIPO YA RIDHAA YASIYO YA MTU

ULIPAJI WA MADAI

KINACHOHITAJIKACHETI CHA UHALALISHAJI WA KUTO-LIPA USHURU

KODI YA NDANI

• Stakabadhi za kuthibitishia madai husika.• Ripoti ya ukaguzi.

• Madai yaliyothibitishwa.• Kuwepo kwa ushahidi wa madai ya kodi mengineyo.

Barua kutoka kwa mashirika ya watu wanaoishi na ulemavu. Siku 30

MUDA

MUDA

MUDA

30 baada ya kuwasilisha ombi.

Ndani ya siku

Siku 4baada ya kukubaliwa kwa ombi, na kutegemea uwepo wa fedha.

BINAFSI

Page 15: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

Miezi 2

KODI YA NDANI

USHURU

PIN

KINACHOHITAJIKA

KINACHOHITAJIKA

KINACHOHITAJIKA

• Barua ya maombi.• Katiba ya kampuni.• Barua kutoka kwa utawala wa mikoa.• Cheti cha usajili.• Taarifa kutoka katika benki na hati nyingine muhimu.

Tembelea kituo cha ulipaji ushuru.

• Maombi yanafanywa kupitia mtandao.• Lipa madeni uliyonayo.• Endelea kujaza fomu ya mapato kila mwezi mpaka itakapoidhinishwa.

Miezi 6kulingana na hali iliyopo

Siku 60

CHETI CHA UHALALISHAJI WA KUTOLIPAUSHURU MUDA

MUDA

MUDA

KUONDOA PINI

PINI ISIYOTUMIKA

Page 16: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

FORODHA

Page 17: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

kuandaa stakabadhi ya kibali cha ukubalifu.

FORODHAUTARATIBU WA FORODHA KINACHOHITAJIKAMAELEKEZO

Saa 24

MALIPO KINACHOHITAJIKA

MUDA

Kuchukua taarifaD.P.C.

Kupata nambari maalum za E.P.Z

Kuandaa maridhiano ya masoko.

Ukaguzi wa D.R.S.

MAELEKEZO MUDA

• Maombi ya ana kwa ana.• Uwasilishaji wa stakabadhi sahihi zote zinazohitajika.

• Wasilisha rekodi zote na stakabadhi zinazohitajika.

Siku 1

Siku 2

• Uwasilishaji wa taarifa sahihi ikiwemo stakabadhi zote kama ushahidi.• Kulipa ushuru kwa wakati.

Siku 5

Siku 10

Uwasilishaji wa taarifa sahihi.

Page 18: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

MUDA

MSAMAHA WA KUTOLIPAUSHURU

UKAGUZI MAELEKEZO KINACHOHITAJIKA MUDA

KINACHOHITAJIKA

FORODHA

USHURUChini ya siku

2

10Ndani ya siku

Kujiandikisha kupata cheti cha msamaha wa kutolipa ushuru.

Wasilisha stakabadhi muhimu zinazohitajika.

Ukaguzi wa bidhaabaada ya kuwasili nchini.

Wasilisha stakabadhizote zinazohitajika, maelezo na rekodi zote.

MAELEKEZO

Page 19: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

VINAVYOHITAJIKA MUDA DHAMANA YA USALAMA MAELEZO

.

.

.

MUDAMAELEZO

.

.

MALIPO YA RIDHAA

FORODHA

Saa

48

Siku

3

WIKI

2

MIEZI

6

MUDA DHAMANA YA USALAMA

MUDAMAELEKEZO

MALIPO YA RIDHAA

FORODHA

KINACHOHITAJIKA

KINACHOHITAJIKA

Utekelezaji dhamana ya usalama. Siku 3

Saa 48

Wiki 3

Miezi 6

Ufutaji wa dhamanaya usalama

Ustaafu wa dhamana.

Toa habari kamili kuhusu dhamana yako.

Jaza fomu za C-26 na uambatanishe na stakabadhi zote husika.Hakikisha ya kwamba matukio yote yamefafanuliwa.

Jaza fomu za C-26 pamoja na nakala tatu za dhamana halisi na stakabadhi zote zinazohitajika.

Uandikaji wa maombi ya kudai ridhaa.

Wasilisha stakabadhi muhimu zinazohitajika.

MAELEKEZO

Page 20: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

FORODHA

4Ndani ya miezi

14Ndani ya siku

3Ndani ya miezi

Kwa wakala wa kupokea na kusafirisha mizigo,makampuni,vifaa vya bohari na leseni ya bidhaaza usafiri.

Jinsi ya kutoa dhamana.

Mwombaji leseni mpya. Uwasilishaji maombi na stakabadhi zote zinazohitajika.

Maombi mapya ya leseni.

Uwasilishaji wa maombi na stakabadhi zote muhimu na nakala zakupokea na kusafirishamizigo,makampuni na leseni ya wasafirishajimizigo.

1. Fomu ya P26. 2. Stempu ya ushuru. (inapatikana kutoka kaunta ya uhasibu wa forodha). 3. Nakala nne halisi za dhamana.

MUDALESENI MAELEKEZO KINACHOHITAJIKA

Page 21: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

KINACHOHITAJIKA MUDA JINSI YA KUTOA MIZIGO KATIKA

UWANJAWA NDEGE WA JKIA

Kutolewa mizigo moja kwa moja.

Wasilisha stakabadhi zote sahihi zinazohitajika. 1

unapowasilisha nyaraka sahihi.

2

12

KINACHOHITAJIKA MUDA MAELEKEZO KUPOKEA NA KUONDOA ABIRIA

FORODHA

1 3

AINA A NA B-DAKIKA-1

AINA C-DAKIKA-3

Kutolewa mizigo mapema.

Kuwasilisha stakabadhi zote sahihi.

Kuwasilisha stakabadhi sahihi.

Kutolewa mizigo kwa njia ya kawaida.

Ndani ya saa

Chini ya saa

baada ya uwasilishajiwa nyaraka sahihi.

Saa

baada ya uwasilishaji wa stakabadhi sahihi na kufuzu uingizaji katika DPCU.

Kupokea na kuondoa abiria wanaoingia Kenya.

Kuwasilishwa kwa abiria, kuwasilisha vibali vyao vya usafiri na mizigo kwa forodha.

MAELEKEZO

Page 22: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

KINACHOHITAJIKA MUDAUINGIZAJI BIDHAA NCHINIKWA MUDA MFUPI

KINACHOHITAJIKA MUDA MAELEKEZOUHAMISHO WA FEDHA

FORODHA

Uandikishaji wa ombila muda la kuingiza bidhaa nchini kwa mujibu wa kifungu cha 117 cha EACCMA, 2004.

Tuma maombi ya kuzingatiwa yakiambatana na stakabadhi za ununuzi kutoka nje kwa mujibu wa bidhaa husika.

Siku 3

Siku 2Fanya uhamisho wa fedha kutoka sehemu moja hadi nyingine.

Tuma maombi ya uhamisho wa fedha, ushahidi wa malipo yaliyofanywa kulingana na wasilisho na nakala za wasilisho na stakabadhi za kupokea/wapokeaji.

MAELEKEZO

Page 23: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

KINACHOHITAJIKAMADUKA YASIYOLIPISHWAUSHURU

FORODHA

24

MAELEKEZO MUDA

Kupokea bidhaa za mabohari.

Bidhaa za zamanizilizohifadhiwa katikamabohari.

Kuongeza muda wa kuhifadhi katika mabohari.

• Kupeana stakabadhi kamili za kuingia forodhani na stakabadhi za kuthibitisha.• Uwezekano wa kupata dhamana ya kutosha ya usalama.• Weka mwenyewe bidhaa zako katika maduka yasiyolipishwa ushuru.

• Tuma maombi kwa wakati unaofaa.• Wasilisha stakabadhi zote zinazohitajika.

• Tuma maombi kwa

wakati unaofaa.

• Wasilisha maombi

marefu na stakabadhi

zote muhimu

zinazohitajika.

Ndani ya saa

24 Ndani ya saa

48 Ndani ya saa

Page 24: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

HAKI ZA WALIPA KODI

Page 25: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

HAKI ZA WALIPA KODI

.

HAKI YA MAELEZO

Una haki ya kupata taarifa sahihi na kamilifu kuhusu vitengo na wajibu wako kulingana na

vifungu mbalimbali kisheria.

HAKI YA KUHOJI

Una haki ya kuhoji habari, ushauri na huduma zinazotolewa kwako. Tutakueleza kuhusu

njia mbadala zilizoko za kusuluhishia mizozo na tutashirikiana nawe kufikia mwafaka.

KUTOPENDELEA

Una haki ya kisheria kutobaguliwa.Ni wajibu wa KRA kukusanya kiasi kamili cha kodi, ada,

nyongeza na malipo.

UADILIFU NA HISANI

Una haki ya kuhudumiwa kwa njia ya uadilifu, hisani na kutobaguliwa wakati wa kufanya kazi

na maafisa wa KRA, iwe katika kutaka habari muhimu, kupanga mahojiano, uhasibu ama

shughuli nyinginezo zinazohusiana na KRA.

Page 26: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

HAKI ZA WALIPA KODIKUDHANIWA KUWA MWAMINIFU

Uko mwaminifu hadi pale ambapo itathibitishwa kuwa kinyume na hivyo.

SIRI

Unahakikishiwa ya kwamba taarifa yako ya kibinafsi na ya kifedha inayotolewa kwa KRA

itatumika tu kwa madhumuni ya kutekeleza majukumu yake kulingana na sheria na wala

haitatumika vinginevyo isipokuwa kwa amri ya mwenyewe ama inavyoruhusu sheria.

UDUMISHAJI WA USAWA

Tutawajibika kisheria kuhakikisha kwamba kila mtu analipa kodi kwa njia sawa.

Tutazingatia hali yako ya kimapato kwa mujibu wa sheria.

KITAMBULISHO

Una haki ya kuitisha kitambulisho rasmi cha KRA kutoka kwa maafisa wetu wote wanaokutembelea ama kukuhudumia wanapokuwa kazini. Pale una shaka nao, piga simu kwenye kituo cha huduma ili kuhakikisha kitambulisho na uhalali wa afisa aliyekutembelea.

Page 27: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

UWAKILISHI

HAKI ZA WALIPA KODI

.

Kama umechaguliwa kwa ajili ya uhasibu, una haki ya kujulishwa mapema, ingawa katika hali

fulani,huenda ukafanyiwa uhasibu ama ukaguzi wa ghafla.

Ikiwa unakubaliana na matokeo ya utafiti au sehemu ya matokeo ya uhasibu/uchunguzi,

utahitajika kulipa haraka malipo ya makubaliano pamoja na fidia zingine ili kuepuka

kuongezeka kwa malipo na ushuru wa ziada kwa ushuru unaodaiwa.

Una haki ya kupinga tathmini ya uhasibu ndani ya siku 30 kuanzia tarehe ya suala na

kukubaliana na matakwa yote, ambayo yanahusisha stakabadhi zote zinazohitajika ili

malalamishi yaweze kukubalika.

Una haki ya kuwakilishwa na mamlaka/wakala yeyote aliye na leseni uliyemchagua wewe.

Page 28: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

HAKI ZA WALIPA KODI

Una haki ya kupinga uamuzi wa Mkuu wa Halmashauri ya KRA. Ikiwa unaazimia kutumia njia

mbadala ya usuluhishaji wa mizozo, basi unahitajika kujulisha halmashauri ya utatuzi wa

mizozo ya mashirika kitengo cha KRA kuhusu nia yako ya kufanya hivyo mradi tu ushuru

ambao hauna ubishi umelipwa.

Iwapo hujaridhika na maamuzi yaliyotolewa hapo juu, una haki ya kukata rufaa kwa Tume

ya Rufaa ya Kutatua Mizozo ya Ushuru (Chini ya kifungu cha sheria cha Tume ya Kutatua

Mizozo ya Ushuru) ili kuamua kesi yako.

Iwapo suala halitakuwa limesuluhishwa kwa njia ya kuridhisha hapo juu, una haki

ya kwenda kwenye Mahakama Kuu.

Page 29: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

WAJIBU WA WALIPA KODI

Page 30: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

– Una wajibu wa kujiandikisha kupata PINI yako ya kodi. Usajili

– Walipakodi wote wanaolipia bidhaa na waliojisajili wana wajibu wa Tasijala ya kielektroniki ya kodi (ETR)

kutumia njia hiyo ya malipo.

– Una wajibu wa kutoa taarifa kuhusu malipo ya kodi na kulipa kwa mujibu wa vifunguKutuma taarifa ya malipo ya kodi

mbalimbali kisheria.

– Sheria inatoa adhabu kwa wanaohadaa kwa kutoa taarifa isiyo sahihi Usahihi wa mapato yako/uingizaji wa Forodha

ikiwemo kifungo, kwa uzembe na kuhadaa.

– Una wajibu wa kufanya malipo ya kodi kuambatana na tarehe zilizowekwa.Malipo ya kodi na adhabu

– Ni wajibu wako kuwasilisha madai yako ndani ya miezi 12 kuanzia tarehe ya malipo; la sivyo maombi yako Madai na Fidia

hayatashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

– Pale ambapo kuna ubishi unatakiwa kutoa malipo yasiyokuwa na ubishi tu. Malipo mengine yatafidiwa Malumbano

kupitia njia nyingine kama pesa taslimu, ama dhamana ya benki ama mdhamini.

– Una wajibu wa kushirikiana na maafisa wa KRA, kuwapa heshima na uhuru wa kufanya Ushirikiano na Maafisa wa KRA

kazi yao.

– Una wajibu wa kufichua na kutoa habari zote muhimu, kumbukumbu na stakabadhi zote Kutoa taarifa ya habari muhimu

zinazohitajika na maafisa wa KRA wakati wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao kuambatana na sheria.

WAJIBU WA MLIPA KODI

Page 31: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

AINA YA MAPATO WAKATI WA KUJAZA WAKATI WA KUWASILISHA

Kodi ya ongezeko la thamani

(V.A.T) Kila mwezi

Kila mwezi

Kodi ya zuio Kila mwezi

Kodi ya makampuni a

Mapato ya watu binafsi

T.O.T. Siku ya 20 ya mwezi wa nne.

Kila malipo

Ushuru wa bidhaa Kila mwezi

WAJIBU WA MLIPA KODI

Kodi ya uwekezaji raslimali

Kila mwaka

Kila mwaka

Mnamo tarehe 20 au kabla ya mwezi

ufuatao.

Mnamo tarehe 9 au kabla ya mwezi

ufuatao.

Mnamo tarehe 20 au kabla ya mwezi

ufuatao.

Siku ya 30 ya mwezi wa nne baada ya

mwisho wa mwaka wa mahesabu.

Siku ya 30 ya mwezi wa sita baada ya mwisho wa mwaka.

Siku hiyo au kabla ya kuweka maombiya uhamisho katika afisi za Wizara ya Ardhi.

Mnamo tarehe 20 au kabla ya mwezi

ufuatao.

Baada ya robo ya mwaka

Kodi ya mapato yatokanayo na ajira (P.A.Y.E.)

Page 32: MKATABA WA HUDUMA - kra.go.ke · MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma UAMINIFU UADILIFUUWEZOUSAIDIZI . AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA

TEMBELEA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA K.R.A. KATIKA JUMBA LA TIMES TOWER, KITUO CHA K.R.A. KILICHO KARIBU NAWE, KITUO CHA USAIDIZI CHA K.R.A. AMA HUDUMA KENYA Ikiwa unahitaji msaada wa kujua kituo cha KRA kilicho karibu

mtandao wa www.kra.go.ke kwa maelezo zaidi.

254 20 4999999 or 0711-099999

katika

12.00 hadi

Kama hatutimiza ahadi zetu: Andika malalamishi yako kwa: [email protected] Ikiwa hujaridhika, andika Barua pepe kwa Kamishna Mkuu:

Ikiwa unahitaji msaada wa kujua kituo cha KRA kilicho karibu, mtandao wa www.kra.go.ke kwa maelezo zaidi.

254 20 4999999 or 0711-099999

tembelea

12.00 hadi

Kama hatutimizi ahadi zetu:

Andika malalamishi yako kwa: [email protected]

Ikiwa hujaridhika,andika barua pepe kwa Kamishna Mkuu:

Ilichapishwa: Juni 2017

TEMBELEA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA KRA

KATIKA JUMBA LA TIMES TOWER, KITUO CHA KRA

KILICHO KARIBU NAWE, KITUO CHA USAIDIZI CHA KRA AMA

HUDUMA KENYA

Kenya Revenue Authority

@KRACare

Kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa

kati ya saa kumi na mbili asubuhi na

saa kumi na mbili jioni.

[email protected]

[email protected]