kugeuza mioyo katika wakati wa mwishowamkaribie. yesu pia anatukaribisha tumkaribie (mathayo 11:28)....

9
KUGEUZA MIOYO KATIKA WAKATI WA MWISHO Somo la 13 kwa ajili ya Juni 29, 2019

Upload: others

Post on 21-Oct-2020

6 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

  • KUGEUZA MIOYO KATIKA WAKATI WA MWISHO

    Somo la 13 kwa ajili ya Juni 29, 2019

  • Unabii juu ya mapatano: Malaki 4:5-6

    Aliye mfano wa kuigwa wa mapatano: Eliya

    Eliya na familia (1 Wafalme 17)

    Eliya na Kanisa (1 Wafalme 18)

    Kutimizwa kwa Unabii: Yohana Mbatizaji

    Mapatano katika wakati wa mwisho: Eliya wa leo

    “Kabla ya kuja siku ya Bwana,” Eliyaanakuja kwa kielelezokuwapatanisha wazazi na watotowao.

    Mtu ameitwa kutimiza utume waEliya kabla ya kuja kwa Yesu maraya pili.

    Ni kwa jinsi gani Eliya alizipatanishafamilia? Ni kwa namna gani Yohanambatizaji alifanya? Ni kwa jinsi ganitunaweza kufanya leo?

  • Kuna nyanja mbalimbali za mapatano katikaunabii huu:

    • Mungu huwasamehe watoto wake na huwashauriwamrudie yeye (Mika 7:18-19; Isaya 44:22)

    • Kujikita katika agano la wazee wetu pamoja naMungu (Kumbukumbu la Torati 4:29-31)

    • Kurejesha amani na kuelewana ndani ya familia(Mithali 4:3-4)

  • Eliya aliitwa kuipinga hali hiyo, na badaeakimbie kuokoa maisha yake.

    Ukame ulipokithiri, alitambulishwa kwamwanamke mjane aliyempokea.

    Imani yake ilikuwa imara (Luka 4:26), lakini alifikiria kwamba kufa kwa mtotowake ni madhara ya dhambi zake (mama) (Mika 6:7).

    Nguvu za Mungu zinaweza kuzirejeshafamilia, na imani katika Mungu na Nenolake likainuka upya ndani ya moyo wake.

    Ufalme wa Israeli ulimwacha Mungu. Wakayafuata mafundishoyaliyozitukuza ndoa, familia namatendo halisi ya kujamiana ambayoyalichochea ukahaba, mahusiano yakimapenzi kati ya ndugu naunyanyasaji wa kingono.

  • “Kisha Eliya akawaambia watu wote, nikaribieni mimi. Watu wote wakamkaribia. Akaitengeneza madhabahu yaBwana iliyovunjika.” (1 Wafalme 18:30)

    Hatua ya kwanza ya Eliya ilikuwa ni kuwaambia watuwamkaribie. Yesu pia anatukaribisha tumkaribie(Mathayo 11:28).

    Katika hatua ya pili, akaitengeneza madhabahu. Je, kunamadhabahu zozote zinatotakiwa zitengenezwe upya katikamaisha yako? Madhabahu ya familia yako ikoje?

    Hatimaye watuwalikuwa

    wamepatana naMungu, na

    chemichemi zamibarakazikashuka.

    Hatimaye , moto ukashuka wakati wa kafara ya jioni. moto haukushuka kwawaovu, lakini juu ya kafara [Yesu]. Watu [Kanisa] wakasifu sana na kuziachadhambi [hivyo kuwaua manabii wa uongo].

  • “Na ikiwa mnataka kukubali, yeye [Yohana] ndiye Eliya atakayekuja.”

    (Mathayo 11:14)

    Yohana alitimiza utume wake waupatanifu kwa kuhubiri kanuni kuumbili:

    1. Toba (Mathayo 3:1-2)

    2. Kubadilika tabia (Mathayo 3:8)

    Yohana aliwaongoza watukujipatanisha wenyewe kwaMungu kwanza. Badae, kwamsaada wake, kutafuta utakatifu(kama ilivyokuwa kwa wazeewao).

    Tunapobadilika tabia zetu, tunaweza pia kujipatanishawenyewe kwa wengine.

    Hivi ndivyo Yohana alivyowaandaawatu kumpokea Mwokozi. Alifanikiwa sana mpaka wanafunziwake mwenyewe walimwacha nakumfuata Yesu (Yohana 1:35-37).

  • “Naye atatangulia mbele zake katika roho yaEliya, na nguvu zake, ili kuigeuza mioyo ya babaiwaelekee watoto, na kuwatilia waovu akili zawenye haki—na kumwekea Bwana tayari watuwaliotengenezwa.” (Luka 1:17)

    Baba yetu wa Mbinguni ameigeuza mioyo ya watoto wake kumrudia yeye na ameigeuza mioyo ya watoto wake kilammoja kwa mwenzake kupitia Msalaba wa Kristo. Hivyoamepewa huduma ya upatanisho kwetu (2 Wakorintho 5:18).

    Ni lazima tuwaandaewatu kumpokea Yesuanaporudi mara ya pili.

    Ujumbe hauwezi kupokelewa ikiwa wajumbehawakiishi kile wanachokihubiri.

    Ushuhuda ulio na nguvu zaidi ni ule wa maishaya mtu binafsi na familia ambavyo vinaonyeshatoba, uongofu wa kweli, upendo na hudumahalisi kwa wengine.

  • “Pale ambapo kama watu kazi zetu zitaendana

    na taluma zetu, tutaona mengi sana

    yakitimizwa kuliko sasa. Tukiwa na watu

    waliojitoa kama Eliya, na wakiwa na imani

    kama aliyokuwa nayo, tutaona kwamba

    Mungu anajifunua kwetu kama alivyofanya

    kwa watakatifu wa zamani. Tukiwa na watu

    ambao, wakati wakitambua madhaifu yao,

    watamwomba Mungu katika imani ya dhati

    kama alivyofanya Yakobo, tutaona matokea

    kama yale. Nguvu itashuka kutoka kwa

    Mungu kuja kwa mtu katika kujibu ombi la

    imani. […] Ni lazima tuwe na huduma ongofu,

    na ndipo tutakapoona nuru ya Mungu na

    nguvu yake zikisaidia jitihada zetu.”

    E.G.W. (Testimonies for the Church, vol. 4, p. 402)

  • “Leo, katika roho na nguvu ya Eliya na ya Yohana

    Mbatizaji, wajumbe wa ahadi ya Mungu wanawaita

    watu kuwa tayari kwa hukumu-kufunga ulimwengu

    kwaajili ya matukio makini yatakayotokea

    yakiambatana na saa ya mwisho ya Rehema na

    kurudi kwa Yesu Kristo ka a Mfalme wa wafalme na

    Bwana wa mabwana. Mapema kila mtu

    atahukumiwa kwa aliyatenda katika mwili. Saa ya

    hukumu ya Mungu imekuja, na juu ya kila mshiriki

    wa kanisa lake duniani umewekwa wajibu makini

    wa kutoa onyo kwa wale wanaosimama kama

    ilivyokuwa katika uharibifu wa milele. Kwa kila

    mtu katika ulimwengu ambaye atadhibitika, kanuni

    ambapo hatima ya kila mwanadamu imewekwa.”

    E.G.W. (Prophets and Kings, cp. 59, p. 716)