taarifa ya utekelezaji wa shughuli za ustawi wa jamii...

18
1| Page TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII KIPINDI CHA JANUARI HADI MACHI 2017, MANISPAA KIGOMA/UJIJI N A MPANGO LENGO UTEKELEZAJI GHARAMA MAELEZO 1 Upatikanaji wa haki kwa familia Utoaji wa huduma ya haki na ustawi wa familia ambapo jumla ya mashauri 75 yalipaswa kusikilizwa. Mashauri 69 yalipokelewa ambapo mashauri 51 yalisikilizwa na yalipatiwa ufumbuzi, Mashaur 7 yanaendelea kusikilizwa, mashauri 11 yamepatiwa rufaa kwenda mahakamani. HAKUNA Kazi hii ni endelevu. 2 Upatikanaji wa haki kwa familia Utoaji wa huduma ya haki na ustawi watu wanaofanyiwa uatili wa kijinsia na watoto wanaotelekezwa, ambapo mashauri 75 yalipaswa kusikilizwa. Pia Mashauri 6 ya unyanyasaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto yamepokelewa. Mashauri yote hayo mashauri 6 ni ya unyanyasaji na ukatili wa kihisia, nashauri 1 ni la unyanyasaji na ukatili wa kingono kwa mtoto na mashauri ya ukatili wa kimwili yalikuwa 3 na ya kutelekezwa ni 4. HAKUNA Kazi hii ni endelevu inayohitaji elimu zaidi kutolewa katika. 3 Upatikanaji wa haki kwa familia Ukusanyaji wa fedha kiasi cha Tsh 4,000,000/= kwa ajili ya matunzo ya watoto waliozaliwa nje ya ndoa na walio katika ndoa zenye migogoro Jumla ya Tshs. 1,657,000/= zimekusanywa kwa ajili ya matunzo ya Watoto 47 walio katika ndoa zenye migogoro na waliozaliwa nje ya ndoa (Jumla ya familia hizo ni 31) HAKUNA Wazazi wa kiume wanatakiwa kutambua wajibu wao katika kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia Kutoa huduma kwa watoto wanaookotwa na wale ambao wanaopaswa kupelekwa kwenye makao ya watoto. Mtoto mmoja (1) wa kiume mwenye wiki 2 aliotwa eneo la standi ya Masanga akiwa ametelekezwa na amepelekwa katika kituo cha kulelea watoto wachanga cha Matyazo.Aidha watoto 3 wa kiume waliokotwa Gungu na wamepelekwa Makao ya watoto MWOCACHI. Lita 20 za mafuta .Jumla ya 11 kutoka Manispaa ya Kigoma/Ujiji wanalelewa Matyazo.Halmashauri ina wajibu wa kwenda kuwaona Watoto hao kila mwezi na kuwapelekea mahitaji.

Upload: others

Post on 22-Jan-2021

4 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

1 | P a g e

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII KIPINDI CHA JANUARI HADI MACHI 2017, MANISPAA KIGOMA/UJIJI

NA

MPANGO LENGO UTEKELEZAJI GHARAMA MAELEZO

1 Upatikanaji wa haki kwa familia

Utoaji wa huduma ya haki na ustawi wa familia ambapo jumla ya mashauri 75 yalipaswa kusikilizwa.

Mashauri 69 yalipokelewa ambapo mashauri 51 yalisikilizwa na yalipatiwa ufumbuzi, Mashaur 7 yanaendelea kusikilizwa, mashauri 11 yamepatiwa rufaa kwenda mahakamani.

HAKUNA Kazi hii ni endelevu.

2 Upatikanaji wa haki kwa familia

Utoaji wa huduma ya haki na ustawi watu wanaofanyiwa uatili wa kijinsia na watoto wanaotelekezwa, ambapo mashauri 75 yalipaswa kusikilizwa.

Pia Mashauri 6 ya unyanyasaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto yamepokelewa. Mashauri yote hayo mashauri 6 ni ya unyanyasaji na ukatili wa kihisia, nashauri 1 ni la unyanyasaji na ukatili wa kingono kwa mtoto na mashauri ya ukatili wa kimwili yalikuwa 3 na ya kutelekezwa ni 4.

HAKUNA Kazi hii ni endelevu inayohitaji elimu zaidi kutolewa katika.

3 Upatikanaji wa haki kwa familia

Ukusanyaji wa fedha kiasi cha Tsh 4,000,000/= kwa ajili ya matunzo ya watoto waliozaliwa nje ya ndoa na walio katika ndoa zenye migogoro

Jumla ya Tshs. 1,657,000/= zimekusanywa kwa ajili ya matunzo ya Watoto 47 walio katika ndoa zenye migogoro na waliozaliwa nje ya ndoa (Jumla ya familia hizo ni 31)

HAKUNA Wazazi wa kiume wanatakiwa kutambua wajibu wao katika kuwatunza na kuwalinda watoto wao.

4 Upatikanaji wa haki kwa familia

Kutoa huduma kwa watoto wanaookotwa na wale ambao wanaopaswa kupelekwa kwenye makao ya watoto.

Mtoto mmoja (1) wa kiume mwenye wiki 2 aliotwa eneo la standi ya Masanga akiwa ametelekezwa na amepelekwa katika kituo cha kulelea watoto wachanga cha Matyazo.Aidha watoto 3 wa kiume waliokotwa Gungu na wamepelekwa Makao yawatoto MWOCACHI.

Lita 20 za mafuta

.Jumla ya 11 kutoka Manispaa ya Kigoma/Ujiji wanalelewa Matyazo.Halmashauri ina wajibu wa kwenda kuwaona Watoto hao kila mwezi na kuwapelekea mahitaji.

Page 2: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

2 | P a g e

5 Kuratibu asasi zisizo za kiserikali na wadau wengine wanaotoa huduma kwa mtoto

Kusimamia huduma za Ustawi wa Jamii zinazotolewa na Taasisi za Serikali dini na mashirika yasiyo ya kiserikali

Kufanya ziara ya ukaguzi katika vituo vya Kulelea watoto wadogo mchana vinachoitwa Malaika, Casa Bei,Magorwa na The Little Angels kwa lengo kuandaa taarifa za usajili. Kituo cha Malaika naThe Little Angels wameombewa usajili kwa Kamishina. Kituo cha Casa Bei na Magorwawameelekezwa taratibu za kukamilisha kwa ajili ya kuombewa usajili.

HAKUNA Kazi hii ni endelevu na taratibu za kusajiri vituo hivi zinaendelea

6 Utoaji wa haki kwa watoto walio katika mikinzani na sheria

Kuwezesha jamii katika kuwezesha suala la ulinzi na Usalama wa mtoto.

Mashauri ya watoto walio katika mikinzani na sheria yaliyopokelewa yalikuwa 2 na yote yalikuwa yanahusu watoto wa kike waliobakwa. Ambapo shauri 1 lilisikilizwa na kutolewa hukumu baada ya kukosekana ushahidi na linguine linaendelea mahakamani.

HAKUNA Kazi hii ni endelevu.

7 Kusimamia upatikanaji wa haki za msingi kwa WWKMH.

Kuhakikisha rejesta na Kamati za WWKMH zinahuishwa katika Mitaa ya Mlole, Mwenge, Gezaulole, Kikungu na Masanga.

Zoezi la kuhuisha rejesta (daftari za WWKMH) na kamati ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi limefanyika katika Mitaa 5 ya Mlole, Mwenge, Gezaulole, Kikungu na Masanga limefanyika na jumla ya watoto wamepatikana.

630,000 Changamoto la zoezi hili ni ufinyu wa bajeti.

8 Kusimamia utoaji wa elimu ya madhara ya utumiaji wa madawa ya kulevya katika Manispaa ya Kigoma

Kutoa elimu ya madhara ya utumiaji wa madawa ya kulevya katika Kata 6 za Kipampa, Rusimbi, Gungu, Kibirizi, Katubuka na Mwanga Kusini.

Elimu ya madhara ya utumiaji wa madawa ya kulevya katika jamii imetolewa katika Kata 6 za Kipampa, Rusimbi, Gungu, Kibirizi, Katubuka na Mwanga Kusini. Jumla ya wajumbe 48 walifikiwa na wameelimishwa kwa lengo la kuwafikia wananchi walioko kwenye ngazi za mitaa.

1,187,500 Elimu hii inatakiwa kufikishwa katika kata 13 zilizobaki za Manispaa.

9 Kusimamia utoaji wa huduma kwa makundi maalumu ya kijamii.

Kufanya utambuzi wa wazee kwa lengo la kupata takwimu na kuhakikisha wanapatiwa kadi za huduma ya

Jumla ya wazee wametambuliwa katika Manispaa, ambapo Wazee 1044 wataanza kupatiwa kadi za matibabu bure kwa muda wa mwaka mmoja ambapo kila kata itakuwa na wazee wanufaika 54.

3,420,000 Majina ya wazee yanaendelea kuingizwa kwenye komputa.

Page 3: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

3 | P a g e

afya.10

Kusimamia utoaji wa huduma kwa makundi maalumu ya kijamii.

Kuunda kamati za watu wenye ulemavu na kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi.

Kamati za watu wenye ulemavu na za watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi zimeuundwa katika mitaa yote 68 ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji.

HAKUNA Kamati hizo zinatakiwa zijengewe uwezo.

11

Kusimamia utoaji wa huduma kwa makundi maalumu ya kijamii.

Kufanya utambuzi wa watoto wanaishi katika mazingira hatarishi katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji

Zoezi la utambuzi wa Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Hatarishi (WWKMH) limefanyika kwa kushirikia na Shirika la BAKAIDS. Jumla ya watoto 16010(ME 7720,KE 7,577)wametambuliwa katika mitaa 68 ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji. Watoto 253 wameunganishwa na huduma katika vituo 2 vya Compassion International vya Bangwe na Rusimbi.Kiambatanisho Na.1 kinafafanua.

- Watoto hawa wanahitaji kupatiwa na huduma za msingi kama vile afya,elimu,chakula,mavazi,nyumba,ulinzi na usalama na mahitaji ya kisaikolojia.

12

Upatikanaji wa misamaha kwa makundi maalumu mfano wazee, WWKMH, watu wenye magojwa sugu na watu wenye ulemavu.

Kuwezesha makundi maalumu katika jamii kupatiwa haki yao ya matibabu ambapo watu 10,000 walipaswa kupatiwa huduma hiyo.

Misamaha ya matibabu imetolewa kwa makundi maalumu ya kijamii kama inavyoonesha kwenye jedwali hili

KUNDI MAALUMU ME KE JMLWazee Wasiojiweza Kiuchumi 308 449 757

Watoto Chini ya Miaka Mitano 2871 4261 7,132

Wanawake Wajawazito 0 928 928

Watu Wasiojiweza Kiuchumi 47 91 138

Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Hatarishi(WWKMH)

8 31 39

Watu Wenye Magonjwa Sugu 362 658 1,020

JUMLA 3,596 6,418 10,014

HAKUNA Kazi hii ni endelevu

Page 4: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

4 | P a g e

3. KIAMBANISHO NA 1: MAPATO YA FEDHA KUTOKANA NA TIBA KWA KADI (TIKA).

NA KITUO MAKUSANYO PAPO KWA PAPO MAKUSANYO YA TIBA KWA KADI (TIKA)

JANUARI FEBRUARI MACHI JUMLA JANUARI FEBRUARI MACHI JUMLA

1 BAPTIST HOSP2 UJIJI H/C 422,000 733,000 596,000 1,751,000 30,000 40,000 0 70,0003 GUNGU H/C4 BANGWE 230,000 148,000 152,000 530,000 30,000 10,000 30,000 70,0005 BUHANDA 490,000 413,000 322,000 1,225,000 10,000 40,000 0 50,0006 BUSINDE 94,000 60,000 70,000 224,000 20,000 10,000 0 30,0007 KIGOMA 81,000 32,000 60,000 173,000 130,000 140,000 330,000 600,0008 MSUFINI 83,000 61,000 83,000 227,000 0 0 300,000 300,0009 RUSIMBI 207,500 178,500 191,500 576,000 30,000 10,000 150,000 190,000

JUMLA 1,607,000 1,625,500 1,474,000 4,706,500 250,000 250,000 810,000 1,310,000

Page 5: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

5 | P a g e

Changamoto

Baadhi ya wadau wanatoa huduma kwa Watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi bila kufuata utaratibu(Compansion International Tanzania na Joy in the Harvest)Barua Kumb.Na.C.50/59/185 ya tarehe 26/01/2017 na Barua Kumb.Na C.50/115/86 YA 06/03/2017 Zimeambatanishwa.

Wadau waliokuwa wanatekeleza mradi wa WEKEZA kutowasilisha taarifa kama ilivyoazimiwa kikao kilichopita. Kuwepo kwa ongezeko la kutupa watoto wachanga Kamera inayotumia kupiga picha wateja wa TIKA iliharibika na hivyo kushindwa kuwapiga picha wateja wapya wa TIKA

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA SHIRIKA WOMEN PROMOTION CENTRE(WPC) JANUARI- MACHI 2017

NA MPANGO LENGO UTEKELEZAJI GHARAMA

MCHANGANUO WA MATUMIZI

MAELEZO MUHUSIKA

1. MSAADA WA KISHERIA IKIWEMO KUTENGENEZEWA NYARAKA ZA KUPELEKA MAHAKAMANI.

Kuwapatia wanawake misaada ya kisheria wanawake waliofanyiwa ukatili wa kijinsia na kuwatengenezea nyaraka za kupeleka mahakamani.

Kuanzia Januari adi Machi, 2017 Jumla ya kesi saba(7) ziliweza kufika ofisini.-Wanawake ao 7waliweza kupatiwa ushauri wa kisheria ikiwemo kupewa rufaa ya kwenda ustawi wa jamii na dawati la jinsia. - -

Katika kesi 7 zilokuja ofisini 4 Zilikuwa za migogoro ya ndoa na 3 zilikuwa za migogoro ya ardhi.

WPC

2 MAFUNZO KWA WATAFITI

Kuwapa uelewa wafanya utafiti(Qualitative research) kwa ajili ya kuendesha utafiti katika kata ya Bangwe na gungu. Mafunzo yalilenga kuwapatia ujuzi katika mbinu/dodoso

Mafunzo yalifanyika tarehe 17-20 jan, 2017. Washiriki walikua:- watafiti 4, staff wa WPC 3, na wakufunzi kutoka Raising Voice, Uganda 1 na Chuo kikuu cha Califonia Marekani-1. Ukumbi wa TACARE

Tsh3,560,000/=

Chakula na vinywaji-680,000/=Ukumbi-800,000Staff na watafiti -1,680,000/=Stationary-400,000/=

WPC

Page 6: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

6 | P a g e

zitakazotumika katika kukusanya taarifa wakati wa utafiti.

3 UTAFITI KATIKA KATA YA BANGWE NA GUNGU

“utafiti wa kuangalia viwango vya ukatili katika jamii ya Gungu na bangwe”

Utafiti ulifanyika kuanzia tarehe 23-31 Januari 2017, utafiti ulifanywa kwa wanajamii, viongozi wa mitaa, polisi jamii, walimu,watoa huduma wa afya na pamoja na wanaharakati wa mtaa (wa WPC)

Tsh4,140,000/

Gari 700,000/=Staff na watafiti 2,940,000/Malipo kwa wahojiwa 500,000/-

Utafiti ulifanyikaKwa Mahojiano ya kina (IDIs) na mahojiano katika kikundi (FGDs)

WPC

4 MAFUNZO KWA WANAHARAKATI WA MTAA NA VIKUNDI VYA SANAA KUTOKA KATA YA GUNGU NA BANGWE

Kuongeza uelewa kwa wahamasishaji jamii wa WPC kuhusu kutoa msaada kwa wanawake wanaofanyiwa ukatili (mradi wa SASA! awamu ya kutoa msaada)

Jumla ya wanaharakati 30, na wanaharakati 20 kutoka kata za gungu za bangwe walipewa mafunzo. Tarehe 12-14 januari, 2017. Ukumbi wa Ndela.

Tsh4,476,000/

Chakula 1,272,000/=Nauli kwa wanaharakati 2,250,000/=Staff-405,000/=Ukumbi 180,000/Stationari 369,000/=

WPC

5 UHAMASISHAJI JAMII KWA WANAHARAKATI NA VIKUNDI VYA SANAA KATA YA GUNGU NA BANGWE

Kuhamasisha jamii kuhusiana na masuala ya ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

Shughuli ilifanyika mwezi wa kwanza na wapili, 2017 na mwezi march..Jumla ya wanaharakati 30, na vikundi vya sanaa viwili (watu 20) waliendesha shughuli za uhamasishaji

Tsh 2,000,000/

Allowance kwa wanaharakati wa mtaa, 20,000/-kila mmoja.

WPC

6 UFUATILIAJI WA SHUGHULI ZA

Kuangalia shughuli za uhamasishaji zinazofanywa na

Ufuatiliaji umefanyika mwezi wa tatu.

Tsh. 480,000/

Usafiri na pesa ya mawasiliano kwa staff wawili kwa

WPC

Page 7: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

7 | P a g e

HUDUMA YA COMPASSION, KITUO CHA HUDUMA YA MTOTO (FPCT MWANGA STUDENT CENTRE TZ 830)

NO MPANGO LENGO UTEKELEZAJI GHARAMA

MCHANGANUO WA MATUMIZI

MAELEZO MUHUSIKA

1 KUGHARAMIA ELIMU NA VIFAA

Kugharamia vifaa vya watoto vya shule.

Madaftari, kalamu, viatu, soksi na ruler vimenunuliwa.

3,972,100/=

453,600/= kalamu,madaftari na ruler3,513,500/= viatu na soksi

Fedha zimetokana na msaada kutoka kwa wafadhili

Watoto wote walioandikishwa katika huduma 225

UHAMASISHAJI KATA ZA GUNGU NA BANGWE.

wanaharakati wa mtaa na vikundi vya sanaa, na pia kuwapatia msaada wa kuendesha shughuli za uhamasishaji.

mwezi mmoja.

7 USTAWI WA JAMII NA DAWATI LA JINSIA

Kutoa mrejesho wa Mradi wa SASA! na Pia kupeana ujuzi wa jinsi ya kusaidia wanawake wanaofanyiwa ukatili.

Shughuli ilifanyika ukumbi wa Kividea, tarehe 22-23 feb,2017.Mafunzo yalijumuisha afisa ustawi 3, dawati la jinsia 4, na staff 3 wa WPC.

Tsh.992.000/

Usafiri kwa washiriki 420,000/=Ukumbi- 120,000Staff-270,000Chakula 160,000Stationary-22,000/=

WPC

3 Mafunzo kwa walimu wasimamizi wa club za afya ya uzazi mashuleni

Kuwajengea uwezo kimaarifa na kuwapa mbinu za kuwafikishia vijana taarifa sahihi kuhusu afya ya uzazi ili kuondoa tatizo la mimba za utoto mashuleni.

Mafunzo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa WPC tarehe 9, 10 ,11 mwezi 2/2017.

2,390,000/=

Kulifanyika mafunzo ya siku tatu kwa walimu wasimamizi wa club za afya ya uzazi mashuleni.

WPC

Page 8: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

8 | P a g e

Kununua sare za watoto waliopo chekechea na wanaonza darasa la kwanza

Zimenunuliwa 330,000/= 330,000/= Fedha zimetokana na msaada kutoka kwa wafadhili

Watoto 33 ndio waliopata msaada huu

Kugharamia masomo ya ziada kwa watoto waliopo shule ya msingi

Watoto wanalipiwa masomo ya ziada kwa walimu waliotafutwa na kituo kwa ajili ya kuwafundisha

849,000/= Kuna walimu 6 na wanalipwa kiasi cha 141500/= kwa mwezi kila mmoja

Fedha zimetokana na msaada kutoka kwa wafadhili

Watoto wote 180 walioandikishwa katika huduma ya mtoto.

Kugharamia ada ya shule ya chekechea

Watoto ambao bado hawajafikisha umri wa kuanza darasa la kwanza wanagharamiwa masomo ya chekechea

795,000/= Kugharamia wapishi 2, walimu 2, uji pamoja na vifaa vya masomo

Fedha zimetokana na msaada kutoka kwa wafadhili

Watoto 45 ndio wanufaika.

2 KUTOA LISHE KWA WATOTO NA WAZAZI NA WATOTO WANAOISHI NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI

Kuwapa chakula kila mwezi angalau cha kuwasaidia kupata nguvu mwilini

Chakula kama vile mahindi, mchele, maharage, ulezi, karanga, blueband, sukari, chumvi na pesa ya usafiri kwenda CTC vimekua vikitolewa kwa walengwa hawa.

1,560,000/=

1,560,000/= Kifungu maalumu kutoka makao makuu ya Compassion

Watoto 4Wazazi/Walezi 11

3 KUTOA FEDHA KWA WAJASIRIAMALI NA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WAZAZI

Kutoa fedha kwa ajili ya kusaidia kundi la VICOBA linaloundwa na wazazi wa watoto walioandikishwa na elimu ya ujasiriamali kwa kutafuta wataalamu kutoka SIDO

Pesa imetolewa VICOBA 892912/=Elimu ya ujasiriamali860,000/=

860,000/= Fedha zimetokana na msaada kutoka kwa wafadhili

Jumla ya wazazi 90 wamenufaika.

4 KUWALIPA WALIMU WANAOFUNDISHA WATOTO

Walimu hawa ndio wanaosaidia kuwafundisha watoto ujuzi mbalimbali ili

Wanalipwa kila jumamosi wanapokuja ambayo ni siku ya program day ambayo

1,122,000/=

Kila mwalimu analipwa kulingana na elimu yake

Fedha zimetokana na msaada kutoka kwa wafadhili

Tuna jumla ya walimu 9

Page 9: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

9 | P a g e

MASOMO YA KIAKILI, KIJAMII, KIMWILI NA KIROHO KILA JUMAMOSI

kuwafungua kutoka katika umaskini wa njanja zote

watoto wote wanakusanyika kituoni

5 MISHAHARA YA WATENDAKAZI

Kituo kina watendakazi watatu ambao ni Mkurugenzi, Mwanajamii na Mhasibu

Ndio watekelezaji wa shughuli za huduma ya mtoto kituoni na wanafanya kazi chini ya uangalizi wa kanisa kama waajiri. Mishahara yao inakatwa TRA na NSSF

6,581,448/=

6,581,448/= Fedha zimetokana na msaada kutoka kwa wafadhili

Watendakazi 3

6 CHAKULA Watoto wanahudumiwa chakula cha asubuhi na mchana kila jumamoswanapokuja

Uji wa lishe pamoja na chakula cha mchana hasa wali, maharage, matunda, mboga za majani na nyama hutolewa kila jumamosi watoto wanahudhuria kituoni.

3,252,000/=

Kila mtoto anatumia kiasi cha Tsh 1200/= kwa siku

Fedha zimetokana na msaada kutokakwa wafadhili

Watoto wote waliondikishwa kituoni 225.

7 ZAWADI Kuna watoto ambao huwa wanatumiwa zawadi na wafadhili wao ambazo huamua wenyewe vitu vya kununua kama vile chakula, mavazi, mifugo, viwanja n.k

Pesa hizi huwafikia walengwa moja kwa moja na wao hupenda cha kununua

5,718,567.11/=

Kila mtoto hutumiwa kiwango tofauti

Fedha zimetokana na msaada kutoka kwa wafadhili

Watoto 60 ndio wamepokea msaada kwa miezi hiyo.

8 MALAZI Familia za watoto 2 zimenufaika na mradi wa ujenzi wa nyumba za kuishi

Nyumba zimeshaanza kujengwa na ziko katika hatua za mwisho za kumaliziwa muda wowote wataruhusiwa

Mradi umegharimu kiasi cha Tsh 21,317,00

Kila nyumba imegharimu kiasi cha Tsh 10,658,500/=

Fedha zimetokana na msaada kutoka kwa wafadhili

Familia mbili ndio wanufaika wa mradi huu.

Page 10: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

10 | P a g e

kuanza kutumia hizo nyumba.

0/=

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA HUDUMA KWA MAKUNDI MAALUM YA KIJAMII NDANI YA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI. KIPINDI CHA JANUARI- MACHI 2017 JINA LA SHIRIKA: KIVIDEA

NA MPANGO LENGO UTEKELEZAJI CHANZO CHA FEDHA

MCHANGANUO WA GHARAMA MAELEZO

01 Kuendesha mafunzo ya stadi za maisha ya siku tatu kwa waelimishaji rika 12 kutoka katika kata za Katubuka, Buhanda, Gungu na Rusimbi ikiwa ni wastani wa waelimishaji rika 3 kila kata.

Kuwajengea Vijana uwezo vijanaili waweze kufanyamaamuzi sahihikatika maisha yao na pia wawe kama mabalizo watakaopeleka elimu hii kwa Vijana wenzao.

Shughuli ilitekelezwa kwa kuendesha mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi wa VETA Kigoma..

TDH Nauli za waelimishaji 360,000/- Chakula cha mchana kwa Vijana 12 kwa

siku 3 360,000/- Nauli za wawezeshaji wa ndani 120,000/- Gharama ya kukodi ukumbi 150,000/- Vifaa vya kufundishia 60,000/-

Shughuli imetekelezwakamailivyopangwa.

02 Kufanya mafunzo ya siku 3 kwa walimu walezi wa klabu kutoka katika shule nne ambazo ni Katubuka, Rusimbi, Gungu na Buhanda sekondari..

Kuwajengea uwezo waalimu ili waweze kusimamia shughuli za klabu zitakazokuwa zinaendeshwa kwenye klabu.

Shughuli ilitekelezwa kwa kuendeshamafunzo yaliyofanyikia katika ukumbi wa VETA Kigoma.

TDH Nauli kwa waalimu 8 kutoka katika shule

nne.480,000/- Chakula cha mchana kwa watu 8 kwa siku

3 =240,000/- Vifaa vya kufundishia 24,000/- Nauli kwa wawezeshaji 2 120,000/- Gharama za kukodi ukumbi 150,000/-

Shughuli imefanyikakamailivyopangwa

03 Kuunda klabu za ndani ya shule katika shule nne za sekondari zilizopo katika kata lengwa za mradi ambazo ni Katubuka sekondari,

Kuwezesha vijana kukutana na kujifunza elimu ya stadi za maisha

Shughuli imetekelezwa kama ilivyopangwa kwa maafsa kutembelea katika shule husika na kufanya zoezi la uhakiki wa klabu

TDH - CH

Gharama za chakula na nauli kwa maafsa kwa ajili ya kutembelea shule husika 80,000/-

Viburudisho kwa ajili ya wanafunzi 240,000/-

Nauli na viburudisho kwa waalimu 8= 80,000/-

Shughuli imetekelezwa kama ilivyopangwa.

Page 11: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

11 | P a g e

Gungu sekondari, Buhanda sekondari na Rusimbi sekondari.

hizo ambazo ziliundwa kwa ushirikiano na waalimu walezi.

Kuprinti na kutoa nakala miongozo ya klabu 200,000/-

04 Kuendesha mafunzo kwa klabu ya afya ya uzazi nje ya shule katika kata ya Bangwe

Kuwapa vijana elimu ya msingi ya afya ya uzazi

Vijana 20 (Ke 10 na Me 10) walishiriki vipindi 4 vya elimu ya afya ya uzazi vilivyowezeshwa na Waelimishaji rika

ENGENDER HEALTH

Malipo ya mwezi ya Waelimishaji rika 3 Vinywaji na viburudisho kwa washiriki 20

Jumla ya gharma: 248,000

Shughuli imetekelezwa kama ilivyopangwa

05 Kuendesha tamasha la mpira wa miguu (sport bonanza), kata ya Bangwe

Kueneza elimu ya afya ya uzazi kwa vijana kupitia majumuiko ya michezo

Timu 2 za mpira wa miguu zilicheza mechi na kupatikana mshindi. Zawadi wa pesa taslimu zilitolewa kwa washindi wa 1 na wa 2

ENGENDER HEALTH

Posho za waelimishaji rika Posho za watendaji wa Kividea Nauli za viongozi wa mataa/kata Gharama za vifaa vya mchezo (mipira,

filimbi, rangi) Gharama za matangazo (kukodi vyombo,

DJ na usafiri wa vyombo) Vikundi 2 vya uhamasishaji na burudani

vya vijana Zawadi za washindi

Jumla ya Gharama: 2,907,000/-

Shughuli imetekelezwa kama ilivyopangwa

06 Kuendesha mkutano wa uhamasishaji jamii na utoaji huduma za uzazi wa mpango (outreach service)

Kueneza elimu ya afya ya uzazi (uzazi wa mpango, uzazi salama, ngono salama, nk) kwa jamii na kutoa huduma rafiki za uzazi wa mpango

Kampeni ya wazi ilifanyika katika eneo la Zahanati ya Bangwe, elimu ilitolewa na watoa huduma wa afya wa zahanati, watendaji wa kividea na viongozi wa serikali ya kata/mtaa. Huduma za uzazi wa mpango zilitolewa kwa wananchi.

ENGENDER HEALTH

Posho za waelimishaji rika Posho za watendaji wa Kividea Nauli za viongozi wa mataa/kata Gharama za watoa huduma wa afya Gharama za matangazo (kukodi vyombo,

DJ na usafiri wa vyombo) Vikundi 2 vya uhamasishaji na burudani

vya vijana Zawadi za washiriki

Jumla ya Gharama: 3,964,000/-

Shughuli imetekelezwa kama ilivyopangwa

JUMLA YA GHARAM ILIYOTUMIKA – KOTA 1 9,783,000/=

Page 12: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

12 | P a g e

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA HUDUMA ZA NATIONAL MUSLIM COUNCIL OF TANZANIA (BAKWATA)-BAK-AIDS JANUARY-MARCH 2017.

NA.

MPANGO LENGO UTEKELEZAJI GHARAMA MCHANGANUO WA MATUMIZI

MAONI/MAELEZO

1 Kutambua watoto waishio katika mazingira hatarishi katika manispaa ya Kigoma Ujiji

Kutambua watoto walio katika mazingira hatarishi

Kufanya zoezi la utambuzi wa watoto waishio katika mazingizra hatarisha. Jumla ya watoto 16010(M 7720,K 7,577) walitambuliwa kuwa wanaishi katika mazingira hatarishi katika kata zote 19 za manispaa ya kigoma ujiji na mitaa yake 68.

11,855,000/=

Matangazo,usafiri pamoja na viburudisho jumla 822,500/=Mafuta 220,000Maafisa halmashauri na BAK-AIDS jumla 1,750,000Malipo ya viongozi wa mitaa,watendaji wa kata na wenyeviti 7,100,000.matumizi ya shajala 720,000/=

Uhuishaji wa daftari la watoto walio katika mazingira htarishi, ufanyike kila baada ya miezi 6

2 Kutambulisha mradi wa usaidizi wa kisheria kwa wasaidizi wa kisheria na wadau

Kutambulisha mradi

Kikao na wadau kilifanyika na kuhudhuriwa na wanaohusiana na ulizi wa mototo na haki. Wadau walio hudhuria ni Polisi ( dawati la jinsia), ofisi ya maendeleo ya jamii, ustawi wa jamii, mahakama na ofisi ya mwanasheria, pia wasaidizi wa kisheria katika manispaaa ya Kigoma Ujiji ( MAPAO) walihudhuria

577,500/= Malipo ya posho kwa maafisa watatu wa halmashauri ni 105000Malipo kwa wasaidizi 7 ni 210,000Chakula kwa watu

Kuwatambulisha wasaidizi wa kisheria wanaofanya kazi manispaa ambao ni mandela

Page 13: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

13 | P a g e

15 ni 225,000 na stationaries ni 37500

paralegal organization(MAPAO)

3 Mafunzo kwa wasaidizi wa kisheria juu ya utawala Bora na matumizi ya fedha

Kuwajengea uwezo juu utawala bora na matumizi ya fedha

Tuliendesha mafunzo ya siku nne kwa wasaidizi wa kisheria (MAPAO) juu ya utawala bora na matumizi ya fedha.

1,154,000/= Chakula 624,000/=,shajala 50,000/=,malipo ya wasaidizi 240,000/=,ukumbi ni 240,000/=

4 Radio program kwa huduma za usaidizi wa kisheria

Kutangaza mradi kwa jamii zima ya Kigoma

Radio program, BAK – AIDS iliandaa kipindi cha radio kuelezea shughuli za wasaidizi wa kisheria

726,000/= Malipo ya kipindi cha masaa 2 radio joy kuhusu masuala yausaidizi wa kisheria

Kukuza uelewa kwa jamii kuhusu masuala ya wasaidizi wa kisheria manispaa ya kigoma ujiji

5 Kutoa ruzuku kwa wasaidizi wa kisheria ( MAPAO)

Kuwawezesha kutekeleza shughuli za usaidizi wa kisheria

Kutoa ruzuku kwa wasaidizi wa kisheria, Asasi ya wasaidizi wa kisheria imewezeshwa ruzuku ili kusaidia utekelezaji shughuli za usaidizi wa kisheria

2,000,000/= Kufanya mikutano ya utoaji elimu wa huduma za kisheria katika wila ya kigoma na kulipa pango pamoja na kusaidia huduma za stationaries(Shajala)

Kusaidia huduma za usaidizi wa kisheria

6 Mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini kwa wasaidizi wa kisheria

Kuwajengea uweledi juu ya masuala ya ufuatiliaji na

Kufanya mafunzo ya ufuatiliaji na tathmin kwa wasidizi wa kisheria, kuendelea kuwa jengea uwezo wasaidizi wa Kisheria BAK – AIDS ilia andaa madunzo ya siku mbili kwa Asasi ya

510,000 Ukumbi 60,000/=Posho kwa watu10 ni 300,000/=,chakula

Kuhakikisha wasaidizi wa kisheria wanafanya

Page 14: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

14 | P a g e

tathmini wasaidizi wa kisheria MAPAO yaliokuwa na lengo la kuwajengea uweledi kwenye masuala ua ufuatilia na tathmini

kwa watu 12 150,000.

kazi kwa ukaribu na afisa ustawi,mwanasheria na afisa maendeleo ya jamii

Kiambatanisho Na.1: IDADI YA WWKMH WALIOTAMBULIWA KATIKA KATA 19 NA MITAA 168 ZA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI

SNWARD STREET No. YWWKMH TOTAL

ME KE

1 RUSIMBIKawawa 105 109 214

Taifa 235 250 485TOTAL 340 359 699

2 KAGERAMkese 74 83 157Kibwe 16 19 35

Mgumile 5 13 18TOTAL 95 115 210

3 BUSINDE Msufini 78 82 160

Page 15: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

15 | P a g e

Mungonya 55 58 113TOTAL 133 140 273

4 KASINGIRIMA

Matofari 25 35 60Livingstone 23 28 51

Kasulu 17 13 30Mgombewa 45 36 81

TOTAL 110 112 222

5 RUBUGA

Ndarabu 30 30 60Kipande 27 26 53Rubuga 37 43 80

Wahombo 55 29 84TOTAL 149 128 277

6 MAJENGO

Bogogwa 112 98 210Rusimbi 45 46 91Bonde 145 116 261

Katonyanga 27 23 50TOTAL 329 283 612

7 BANGWEButeko 378 357 735Kamala 551 534 1085Katonga 484 504 988

TOTAL 1413 1395 2808

8 KIBIRIZI

Kibirizi 147 153 300Buronge 117 148 265

Bushabani 84 66 150Butunga 60 70 130

Page 16: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

16 | P a g e

TOTAL 408 437 845

9 MACHINJIONI

Kirugu 51 46 97Wakuha 123 89 212Kitenge 25 24 49Ukumbi 161 146 307

TOTAL 360 305 665

10 BUZEBAZEBAL. Tangajika 413 368 781

Burega 103 85 188Sokoine 456 415 871

TOTAL 972 868 1840

11 KITONGONIKabondo 193 174 367Wafipa 100 95 195

M. Mmoja 106 82 188399 351 750

12 KIGOMAShede 7 3 10

Lumumba 89 85 174Mjimwema 86 104 190

TOTAL 182 192 374

13MWANGA

KASIKAZINI

Kisangani 141 111 252Ujenzi 13 19 32Mlole 90 15 105

TOTAL 244 145 389

14MWANGA

KUSINIGame 17 15 32Vamia 19 32 51

Page 17: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

17 | P a g e

Msikiti 26 32 58Shaurimoyo 26 21 47Lumumba 7 3 10

Simu 38 39 77Yusufu 14 20 34

Kilimahewa 14 13 27Muhongwe 54 64 118

Rusimbi 13 14 27TOTAL 228 253 481

15 KIPAMPAKawawa 236 253 489Rutale 281 299 580

TOTAL 517 552 1069

16 KASIMBU

Lumumba 10 14 24

Busumero 57 61 118

Ndahiriwe 54 65 119

Mashine 68 78 146

TOTAL 189 218 407

17 BUHANDAMgeo 159 265 424

Rubabi 166 184 350

TOTAL 325 449 774

18 Gungu

Kikungu 202 174 376

Mwenge 99 99 198

Gezaulole 194 224 418

Masanga 255 248 503

TOTAL 750 745 1495

19 KATUBUKA Mwanga 283 308 591

Page 18: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII ...kigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded... · kuwatunza na kuwalinda watoto wao. 4 Upatikanaji wa haki kwa familia

18 | P a g e

Sokoni

Katubaka 294 222 516

Air port 0 0 713

TOTAL 577 530 1820

TOTAL 7720 7577 16010