tangazo la kuuza nyumba - shelterworkstz.com · tangazo la kuuza nyumba chini ya uangalizi wa...

9
1 TANGAZO LA KUUZA NYUMBA Chini ya Uangalizi wa ensAfrica Tanzania Limited waliopo International House, Ghorofa ya 6, Shaaban Robert Street, Dar es-salaam. Kufuatana na Madaraka tuliyopewa na Mwangalizi wa Mali ya marehemu Sheila Nest Mary Filios wa S.L.Posta 6953, Dar-es-salaam Sisi, Capital Shelterworks Limited tuliopo 107-111 Ghorofa ya Kwanza, Rubada Building, S.L.Posta 10736 ,Dar es Salaam, Tanzania, tunauza Nyumba iliyotajwa hapo juu kwa njia ya Tenda. Masharti ya Tenda: Maelezo ya mandhari ya ndani yanapatikana katika jedwali la masharti ya tenda, yanaweza kupakuliwa toka wavuti www.shelterworkstz.com Maombi ya ununuzi yatakayoletwa nje ya utaratibu ulioelekezwa katika masharti ya Tenda hayatashughulikiwa. Tarehe ya kufanya Ukaguzi : Atakayependa kuiona nyumba hiyo, apige simu na 0785 261116, 0714 881677 omba kuzungumza na Carlington F, utaarifiwa siku /na saa ambayo wote wanaotaka kujiridhisha wataweza kwenda kufanya ukaguzi. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 June 2018. UTAWALA CAPITAL SHELTERWORKS LIMITED Mahali : Kiwanja Na18, ,Barabara ya Lucy Lameck Mikocheni Dar es salaam Hati Milki Namba . 23704 kwa Miaka 99 Tokea 1/1/1979 Ukubwa wa Kiwanja Meta Mraba1,900

Upload: others

Post on 28-Oct-2019

87 views

Category:

Documents


4 download

TRANSCRIPT

Page 1: TANGAZO LA KUUZA NYUMBA - shelterworkstz.com · TANGAZO LA KUUZA NYUMBA Chini ya Uangalizi wa ensAfrica Tanzania Limited waliopo International House, Ghorofa ya 6, Shaaban Robert

1

TANGAZO LA KUUZA NYUMBA

Chini ya Uangalizi wa ensAfrica Tanzania Limited waliopo International House, Ghorofa ya

6, Shaaban Robert Street, Dar es-salaam.

Kufuatana na Madaraka tuliyopewa na Mwangalizi wa Mali ya marehemu Sheila Nest Mary

Filios wa S.L.Posta 6953, Dar-es-salaam

Sisi, Capital Shelterworks Limited tuliopo 107-111 Ghorofa ya Kwanza, Rubada Building, S.L.Posta 10736 ,Dar es Salaam, Tanzania, tunauza Nyumba iliyotajwa hapo juu kwa njia ya Tenda.

Masharti ya Tenda:

Maelezo ya mandhari ya ndani yanapatikana katika jedwali la masharti ya tenda, yanaweza

kupakuliwa toka wavuti www.shelterworkstz.com Maombi ya ununuzi yatakayoletwa nje ya utaratibu ulioelekezwa katika masharti ya Tenda hayatashughulikiwa. Tarehe ya kufanya Ukaguzi : Atakayependa kuiona nyumba hiyo, apige simu na 0785 261116, 0714 881677 omba kuzungumza na Carlington F, utaarifiwa siku /na saa ambayo wote wanaotaka kujiridhisha wataweza kwenda kufanya ukaguzi.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 June 2018.

UTAWALA

CAPITAL SHELTERWORKS LIMITED

Mahali : Kiwanja Na18, ,Barabara ya Lucy Lameck Mikocheni Dar es salaam

Hati Milki Namba . 23704 kwa Miaka 99 Tokea 1/1/1979

Ukubwa wa Kiwanja Meta Mraba1,900

Page 2: TANGAZO LA KUUZA NYUMBA - shelterworkstz.com · TANGAZO LA KUUZA NYUMBA Chini ya Uangalizi wa ensAfrica Tanzania Limited waliopo International House, Ghorofa ya 6, Shaaban Robert

2

PROPERTY FOR SALE

Under Administration of ensAfrica Tanzania Limited whose offices are situated

International House, Sixth Floor , Shaaban Robert Street, Dar es-salaam.

We, M/s Capital Shelterworks Limited whose Offices are situated at First

Floor Rooms 107-111, Rubada Building along National Housing Street, behind

Ubungo Plaza of Post Office Box 10736 , Dar es Salaam, shall sell the above

mentioned property through an open tender.

Tendering conditions and Description of the Property can be downloaded from

company website at www.shelterworkstz.com .

Tenderers are strictly requested to observe tender submission instructions

contained in the information memorandum, short of which such tenders will not

be considered for evaluation.

Inspection Date.

For anyone interested for Site Visit may arrange through Carlington (Mr.) , on

0785-261116, 0714-881677; further enquiries by e-mail: info@shelterworkstz

com.

Deadline for Submission of Offers is 1600hrs on Friday 20th July , 2018.

Administration CAPITAL SHELTERWORKS LIMITED

.

Location : Plot N0 18, , Lucy LameckRoad, Mikocheni Dar es salaam

Certificate of Title No. . 23704 , Ninety Nine 99 since 1/1/1979

Plot Area 1 ,900 sq. meters

Page 3: TANGAZO LA KUUZA NYUMBA - shelterworkstz.com · TANGAZO LA KUUZA NYUMBA Chini ya Uangalizi wa ensAfrica Tanzania Limited waliopo International House, Ghorofa ya 6, Shaaban Robert

3

Agents For:

INFORMATION MEMORUNDUM

EnsAfrica TANZANIA LIMITED

International House, 6th Floor, Shaaban Robert Street, P.O Box 7495, Dar es Salaam,

CAPITAL SHELTERWORKS

LTD.

Property Valuers, Building Contractors, Auctioneers, Estate Agents Property Development

Consultants and General Services

P.O Box 10736 0785-261116 0766-552867

Mobile: 0784-431449 [email protected]

DAR ES SALAAM

SALE OF PROPERTY ON PLOT 18 . LUCY LAMECK ROAD

MIKOCHENI, DAR-ES-SALAAM

Page 4: TANGAZO LA KUUZA NYUMBA - shelterworkstz.com · TANGAZO LA KUUZA NYUMBA Chini ya Uangalizi wa ensAfrica Tanzania Limited waliopo International House, Ghorofa ya 6, Shaaban Robert

4

1.0 Introduction

We, M/s Capital Shelterworks Limited have been appointed as agents to solicit best

offers from serrious and interested buyers through an open tender.

2.0 Eligibility of Bidders. Bidding is open to individuals, Saccos, Cooperative Organizations, local and International

Companies who have never been declared ineligible to bid under the Laws of Tanania or in

the country of an international company.

Except for Charitable Organizations , all other International companies should have

shareholdings with with Corporate Tanzanians companies or Indivuduals and shall have

obtained the requisite certifications from the Tanzania Investment Center before concluding

the Sales Agreement.

3.0 Bid documentation requirements.

Bids may be submitted by:

An individual , Company , Sacccos, Cooperative Society or any other legal person.Potential

bidders shall supply the following Information.

a. Full names of the Inndividual , Association Cooperative or Company

partcipating in the bid.

b. Nationality(ies) of the Individual / Companies partcipating in the bid

c. Complete address( Fax,E-mail and postal address)

d. In case of of company or cooperative/ Saccos’

Type of Company (eg. Private/ Limited) place and date of registration

principal place of business and physical address of the registered office

an authenticated copy of the certificfate of incorporation .

an authenticated copy of Tanzania InvestmentCenter Certificate

Names and addresses of the shareholders and authenticated share

certificates.

Names of subsidiary companies

e. The name of the individual and address (Tele/fax. Email, postal address) who , if

selected, to negotiate on behalf of the bidder.

f. Bid price shall be quoted in Tanzanian Shillings / USDollars.

4.0 Bid Guarantee.

Bids shall be guarateed by payment of 20% of the Bid Value by submitting Bank Pay-in Slips or

Bankers through:

Name of Banker Stanbic Bank

Branch Stanbic Bank

Account Number US$ Account No.9120000768241 or TZS Account No. 9120000768233

Name of Account: EnsAfrica Tanzania Limited This bid guarantee shall be treated as an advance payment by the winning bidder . It shall not be

returned if winning bidder withdraws upon being informed that they have won the bid.

For non-winners , bid guarantebe returned by same address indicated on the Pay-in slips

Page 5: TANGAZO LA KUUZA NYUMBA - shelterworkstz.com · TANGAZO LA KUUZA NYUMBA Chini ya Uangalizi wa ensAfrica Tanzania Limited waliopo International House, Ghorofa ya 6, Shaaban Robert

5

5.0 Taxes and Duties.

Duties payable on transfer are the responsibility of the winning bidder.

6.0 Reservations.

Client is not bound to sell either to the highest bidder and resrve the right not to disclose the reason

for such eventuality.

7.0. Submission of Bids.

Bids shall be submitted in plain sealed envelopes clearly marked :

“Sale of Property on Plot 18, Lucy Lameck Road, Mikocheni, Dar-es-salaam

Addressed To:

EnsAfrica TANZANIA LIMITED

International House, 6th Floor, Shaaban Robert Street, P.O Box 7495, Dar es Salaam .

And DELIVER to Physical addrress:

6TH Floor, International House, Corner of Shaaban Robert /Ohio Street Dar- es- salaam

8.0 .0 Bid Submission Deadline

Deadline for submission is set at 16.00 hrs. on Firday 20th July, 2018

Winning bidder will be informed within fourteen days from date of bid opening date.i.e

23rd July, 2018.

Page 6: TANGAZO LA KUUZA NYUMBA - shelterworkstz.com · TANGAZO LA KUUZA NYUMBA Chini ya Uangalizi wa ensAfrica Tanzania Limited waliopo International House, Ghorofa ya 6, Shaaban Robert

6

Masharti ya Kushiriki Tenda ya Ununuzi wa Nyumba Kwenye Kitalu Namba 18

Lucy Lameck Road , Mikocheni, Dar-es-salaam.

CHINI YA USIMAMIZI WA

EnsAfrica Tanzania Limited

1.0 Utangulizi.

Sisi, Capital Shelterworks Limited tuliopo 107-111 Ghorofa ya Kwanza, Rubada

Building, S.L.Posta 10736 ,Dar es Salaam, Tanzania, tunauza Nyumba iliyotajwa

hapo juu kwa njia ya Tenda

.

2.0 Utambulisho

a. Jina Kamili la (Mtu Binafsi ),au

b. Jina Kamili kwa Makundi Ya Kijamii k.m Saccos , Vikundi Vya Ushirika,

Kampuni Binasfi au Mashirika ya Umma.

c. Kitambulisho na Uthibitisho wa Uraia wa mtu binafsi.

d. Kama (Makundi Ya Kijamii k.m Sacco’s , Vikundi vya Ushirika), Kampuni Binafsi

ambatanisha uthibitisho wa Usajili, Anuani Kamili (Sanduku la Posta, ,Fax,E-mail )

e Kampuni Binafsi / Mashirika ya Umma

aina ya Kampuni =. Binafsi / Limited

mahali na tarehe ya Kusajiliwa

mahali ilipo ofisi na anuani ya mahali pa kufanyia kazi

an authenticated copy of the certificfate of incorporation /

an authenticated Investment Promotion Center Certificate

majina ( jina) na anuani ya wana hisa pamoja na nakal iliyothibitishwa ya

share certificates.

majina ya subsidiary companies.

jina la mwakilishi atakaye husika na taratibu za kisheria hadi kufikia kuhamisha

mali ((Sanduku la Posta, ,Fax,E-mail n.k )

Jina la Benki inayotunza pesa pamoja na account Namba.

3.0 Ununuzi : Mwombaji ataandika kiasi alichokuwa tayari kununua jengo husika halafu atalipa asilimia 20 %

ya bei aliyopendekeza kwenye

Jina la of Benki : Stanbic Bank

Branch Dar es Salaam Account Number US$ Account No.9120000768241 or

TZS Account No. 9120000768233

Bank pay -in slip iambatanishwe pamoja na barua ya maombi ndani ya bahasha iliyofungwa kwa

lakili.

4.0 Dhamana ya Malipo.

Malipo haya ya awali yatatumika kama dhamana ya kumalizia malipo na hayatarudishwa kwa

yeyote ambaye baada ya kuarifiwa kukubaliwa maombi yake/ yao (w)atashindwa kumalizia

malipo ndani ya siku ishirini na moja tokea tarehe ya kuarifiwa hivyo.

Ambao hawatafanikiwa , pesa yao itarudishwa kwa njia hiyo waliyolipia na kwa anuani kama

illivyo tolewa katika kifungu e (risasi ya tatu) hapo juu.

Page 7: TANGAZO LA KUUZA NYUMBA - shelterworkstz.com · TANGAZO LA KUUZA NYUMBA Chini ya Uangalizi wa ensAfrica Tanzania Limited waliopo International House, Ghorofa ya 6, Shaaban Robert

7

5.0 Uwasilishi. Maombi yawasilishwe ndani ya bahasha iliyofungwa na lakili na juu yake yaandikwe maneno

haya “Maombi ya kununua Nyumba kwenye Kiwanja Na18, ,Barabara ya Lucy Lameck

Mikocheni Dar-es-salaam.”

na yatumwe kwa:

ensAfrica (Tanzania) Limited

International House,

6th Floor, Shaaban Robert /Ohio Street,

P.O Box 7495,

Dar es Salaam,

Tanzania.

6.0 Gharama za Uhamisho wa Milki

Ni juu ya Mnununzi.

7.0 Angalizo

ensAfrica Tanzania Limited haitawajibika kuuza Nyumba hii kwa Bei itakayoonekana kuwa

ya juu na haitalazimika kutoa sababu za kutofanya hivyo.

8.0 Mwisho:

Muda wa kuwasilisha maombi hayo ni saa 10. 00 kamili Ijumaa 20th July , 2018.Mshindi

ataarifiwa tarehe 23 Julai , 2018.

Page 8: TANGAZO LA KUUZA NYUMBA - shelterworkstz.com · TANGAZO LA KUUZA NYUMBA Chini ya Uangalizi wa ensAfrica Tanzania Limited waliopo International House, Ghorofa ya 6, Shaaban Robert

8

5.0. Description of the Property

5.1 Swahili version. Nyumba hii ni yenye Gorofa mbili

Ghorofa ya kwanza ina:

Master bedroom kubwa ya kujitoshereza pamoja na choo; bafu na beseni la kuogelea,

Vyumba 2 zaidi vya kulala kila kimoja kikiwa na bafu lake /

Maktaba na sehemu ya kusomea,

Sebule Kubwa ikiwa na Baa ndogo, na mapumziko ya familia

Ardhini ina

Sebule Kubwa,,Chumba kimoja kikubwa kwa wageni kikiwa na sehemu za kuogea, na kuogelea

Jiko pamoja na stoo

sehemu ya kufua na kunyoosha nguo,

Garaji iliyofunikwa na kupanda gorofa ya juu ni kupitia ngazi ya zege iliyojengwa kwa ndani.

Jumla

Sehemu za majimaji zina kuta/ sakafu za marumaru/terrazo na sehemu nyingine zimemaliziwa kwa

unadhifu mkubwa

Matanki ya kuhifadhia maji lita 21,000 Standby Generator 3phase na pia Imezungukwa na uzio wa

matofari na Bustani yake imeoteshwa miti kwa ajili ya kivuli na kupungia upepo.

Page 9: TANGAZO LA KUUZA NYUMBA - shelterworkstz.com · TANGAZO LA KUUZA NYUMBA Chini ya Uangalizi wa ensAfrica Tanzania Limited waliopo International House, Ghorofa ya 6, Shaaban Robert

9

6.0 Typical Advertisement Rates

Space

(14.77*12.7 cm =504,000).