06.c - maria kim
DESCRIPTION
Chapta 6 - Maria Kim: Ana-Expose Ufisadi!TRANSCRIPT
Ee msupa, chill
kidogo...
Sema mresh, najua umeni-
miss.
Sikuwa supposed kukwambia, lakini take care
sweetness, kuna watu hawafurahishwi na kile
unafanya.
Si-understand...
Sasa Maria, naeza ongea na
wewe?
In private.
Mwambie kile unataka nikiwa
hapa.
Twende J.K.
GRRRRRRRR!
18
Nimepata new
info juu ya LATF na ina projects za
constituencies kote nchini.
Last year, constituency yetu
ilipata 4 Million na ikatumiwa kujenga
library.
Hio ni poa, lakini sijaona laibu hapa.
Iko?
si naweza kuwa nafanya homework
kwa laibu?
Fathangu ni pastor. Twende
tumuulize.
Unajua pale library
iliojengwa iko?
Naijua. Twende niwaonyeshe.
19
Hii library ilijengwa na 300,000 shillings!
Nilituma SMS kwa 3002 na
kupata hiyo information.
Asante sana.
Yaani pesa za laibu zime-
tumika vibaya bila sisi wenyeji
kujua?!
Mmm... 3002. Nitajulisha congreta-tion na watu wengine juu ya hio number kwa sermon ya Sunday. Elimu ni nguvu!
Siamini!!
4 million!
Ndio hii library!
Mlitoa 4 million
wapi?
20
Hatutakubali! Wacha ku-jam
hivo Maria, kumbuka fathangu alisema, knowledge is
power.
Finally jobo
imeisha.
Tutaweka hizi posters kesho
morning.
Kwani ulikuwa ukitaka?
Kesho morning ni too late! Hebu tuziweke
usiku!
Sawa, tuanze na sides gani?
LATF meeting ya next itakuwa September. Tunaweza julisha watu juu ya
umuhimu wa kui-attend na juu ya 3002 SMS service. Then watu
wanaweza jua venye LATF inatumiwa kwa area zao na ku-question
maendeleo ya area yao.
21
Sunrise inapendeza.
Kama wewe, Maria...
er... um...Hebu nicheki
brathangu….
Thanks J.K! Tuchekiane baadaye
22
Nonsense!
Deal na huyu msichana once and
for all! Hii ni serious bizness! Naskia unapenda huyu msichana.
Nakupa advice,Pata pesa na wasichana wataifuata. Mnyamazishe
mara moja!
Local Authority Transfer Fund/ LATF ilianzishwa 1999 kupitia LATF act No. 8 ya 1998 ili ku-improve huduma kwa local community kwa kuendeleza projects kwa wards kote nchini. A certain percentage ya budget kwa kila council huwa ni ya LATF.
Mkutano hu-anncounce-iwa ili wana-ward wa-attend. Mmoja wa community hu-appoint-iwa ku-chair mkutano wa ward. Kisha wana-ward hu-discuss venye wanaweza ku-solve shida zao kwa kuanzisha projects kwa ward. Hizi projects ni kama health, education, maji, na ingine itakayo benefit watu wa community.
Community ina-prioritize projects tatu zitakazo anzishwa. Hizi proposed projects hu-forward-iwa kwa council committee inayo-forward kwa local council ili zi-present-iwe kwa Annual LATF Meeting.
Kila mwaka, council huwa na Annual LATF Meeting inayo-announce-iwa through newspapers. Kwa annual LATF meet-
ing, wenyeji wa wards zote za council hukutana na ku-present projects zao ili ziwe-considered kwa plans za council.
Hata kama hizi meetings hu-advertise-iwa, wananchi wachache hujua juu ya hizi meetings za ward na councils. Hii inafanya decisions kufanya na wachache. Miradi pia huchukuliwa na watu wanao ji-benefit wenyewe /cartels na impact ya miradi haifikii wenye kijiji.
Ili LATF fund iweze kutumika ku-benefit local communities, ni kuhimu kwa wenyeji
1. Kupata info juu ya dates za mikutano kupitia posters badala ya newspapers sababu ni wachache hupata kuona announcement Annual LATF Meeting ya kupitia newspapers. Posters na mbinu zingine zinaweza kutumika.
2. Wananchi wachukue jukumu la ku-attend LATF meetings kwa wards wa-participate kwa ku-identify na ku-
run projects ili kuji-develop. In that way, watapata ku-own hizo projects. Ni responsibility yako ku-participate kwa maendeleo ya area yenu.
Infonet imeunda SMS system ya ku-saidia wananchi na info juu ya funds zilizo allocate-iwa kwa matumizi ya LATF kote nchini. Tuma SMS yako kwa 3002 iliyo na jina la ward na mradi/project na utapata amount iliotengwa kwa hiyo project. Hii info itasaidia kufanya viongozi kuwa accountable na transparent.
Mfano: Rabai#Education.
Tumia DJ B views na opinions juu ya hii storo ya LATF on 3002.
Endeleza area yako through LATF
23