agano ya mungu kwa ibrahimu - bible for...

5
Agano ya Mungu kwa Ibrahimu Bibilia ya watoto Inaleta Kitambo baada ya mafuriko, watu duniani walipanga mpango. “Tutajenga mji na kilele chake kifike mbinguni,” wakasema. “Halafu tuishi sote pamoja kila siku.” Wote walizungumza lugha moja. 1 2 Kimetafsiriwa na: Grace Chepkoech Imerekebishwa na: M. Maillot; Tammy S. Kimeandikwa na: Edward Hughes Kimeorodheshwa na: Byron Unger; Lazarus www.M1914.org Bible for Children, PO Box 3, Winnipeg, MB R3C 2G1 Canada Leseni: Unahaki ya kunakili au kuchapisha hadithi hii. Mradi tu. Kiswahili Swahili Hadithi 4 baadhi ya 60

Upload: others

Post on 06-Nov-2020

9 views

Category:

Documents


4 download

TRANSCRIPT

Page 1: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mkewe Sarai na mwana wa nduguye Lutu wakaenda naye pia. Mji ule ambao walikuwa

Agano ya Mungu kwa Ibrahimu

Bibilia ya watotoInaleta

Kitambo baada ya mafuriko, watu duniani walipanga mpango. “Tutajenga mji na kilele chake kifike mbinguni,” wakasema.

“Halafu tuishi sote pamoja kila siku.” Wote walizungumza lugha moja.

1 2

Kimetafsiriwa na: Grace Chepkoech

Imerekebishwa na: M. Maillot; Tammy S.

Kimeandikwa na: Edward Hughes

Kimeorodheshwa na: Byron Unger; Lazarus

www.M1914.org

Bible for Children, PO Box 3, Winnipeg, MB R3C 2G1 Canada

Leseni: Unahaki ya kunakili au kuchapisha hadithi hii. Mradi tu.

Kiswahili Swahili

Hadithi 4 baadhi ya 60

Page 2: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mkewe Sarai na mwana wa nduguye Lutu wakaenda naye pia. Mji ule ambao walikuwa

Abramu akatii. Mungu alimwongoza hadi Kanaani. Mkewe Sarai na mwana wa nduguye Lutu wakaenda naye pia.

Mji ule ambao walikuwa wameanza kujenga uliitwa Babeli, inayomaanisha kuchanganyikiwa.

Mara tu, vikundi tofauti wakaanza kuzungumza lugha tofauti. Mungu aliwapa lugha mpya.

Miaka ilipopita, mahali palipoitwa Uru wa Wakaldayo, Mungu alizungumza na mtu aliyeitwa Abramu. “Toka nchini mwako,” Mungu akaamuru. “Nenda nchini nitakapow-aonyesha.”

Wale ambao walizungumza lugha sawa wakaenenda pamoja. Kwa sababu ya haya watu wakaanza kuogo-pana. Katika jinsi hii, Mungu akaweza kufanya

watu kuishi

katika nchi tofauti.

Mungu aliwataka watu waishi kote duniani alimoumba. Sasa, akatenda jambo la kipekee.

5

7

6

8

3 4

Page 3: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mkewe Sarai na mwana wa nduguye Lutu wakaenda naye pia. Mji ule ambao walikuwa

Watu watatu kutoka kwa Mungu waka-wajia Abramu na Sarai. “Mtaweza kupata mtoto hivi karibuni,” wakasema.

Baada ya Lutu kuondoka, Mungualizungumza tena na Abramu.“Nitawapa mji wa Kanaani wewena watoto wako milele.”

Wachungaji wa Lutu wakawa na ugomvi na wachungaji wa Abramu. “Basi, kusiwepo ugomvi,” Abramu akasema. “Tutatengana. Lutu, chagua unapotaka.”

Abramu na Sarai hawakuwa na watoto. Mungu angetimiza aje agano yake?

Lutu akachagua nchi yenye nyasi tele ikiwa na miji na vijiji. Kulionekana kuzuri lakini miji ile ilijaa maovu.

Kule Kanaani Abramu na Lutu wakawa tajiri. Walikuwa na mifugo lakini hakukuwa na malisho ya kutosha kwa wanyama wengi vile.

9

11

10

12

13 14

Page 4: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mkewe Sarai na mwana wa nduguye Lutu wakaenda naye pia. Mji ule ambao walikuwa

Kwa bahati mbaya mkewe Lutu akakosa kumtii Mungu na akatazama nyuma alipokuwa akitoroka.

Lutu aliamini hadhari ya Mungu ilipokuja, lakini mabwana wa binti zake walikataa kutoka Sodoma. Ilikuwa mbaya aje! Hawakuamini neno la Mungu

Mungu pia akamwambia Ibrahimu kuwa angeangamiza miji miwili yenye uovu ya Sodoma na Gomora.

Lutu na Binti wake ndio walioponea. Kiberiti na moto ikanyesha katika miji ile yenye maovu.

Mwana wa nduguye Ibrahimu, Lutu aliishi Sodoma pamoja na familia yake.

Sarai alicheka sana. Hakuamini neno la Mungu. Yeye alikuwa wa miaka tisini. Mungu akamwambia Abramu kuwa ataitwa Ibrahimu na Sarai ataitwa Sara. 15 16

17 18

19 20

Page 5: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mkewe Sarai na mwana wa nduguye Lutu wakaenda naye pia. Mji ule ambao walikuwa

Agano ya Mungu kwa Ibrahimu

Hadithi kutoka kwa Neno la Mungu, Bibilia,

inapatikana katika

Mwanzo 11-21

"Kufafanusha maneno yako kwatia nuru." Zaburi 119:130

����� ������ ���� ������� ����� ������� ��������� ������ �������� �� ����� � ������

����� �������� ��� ��� �������� ���� ����� ����� ��� ��� �������� � ����� �������� ��� ��

������ � � ��������� � ������ ������� �������� ������ �������� ����� �����

������������ �������� ��� ������ ����� ����������� ����� ���� ������ ������ ���� ����

������� ��� ����� ���� � ����� ���� #������� ���������� ����� � ������� ����� ����� ��� ��� �

������ ����� � ��� ��� ������� $������ ���������� ���� ����� ����� ����� %�&'

��������������������������������������� ����

Mungu angetimiza ahadi ile pia. Mungu hutimiza ahadi zake.

Mungu akatimiza ahadi yake kwa Ibrahimu na Sara. Walizaa mtoto katika uzee wao, jinsi Mungu alikuwa amesema. Walisherehekea sana Isaka alipozaliwa!

Pengine Ibrahimu pia alifikiria kuhusu agano ya Mungu ya kuwapa yeye na watoto wake mji wa Kanaani milele.

Akabadilika na kuwa nguzo la chumvi.

21 22

23 24