god tests abrahams love swahili pda - · pdf filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza....

43
Mungu Ajaribu Pendo la Ibrahimu Bibilia ya watoto Inaleta

Upload: vutu

Post on 16-Feb-2018

254 views

Category:

Documents


19 download

TRANSCRIPT

Page 1: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Mungu Ajaribu Pendo la Ibrahimu

Bibilia ya watotoInaleta

Page 2: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Kimeandikwa na: Edward Hughes

Kimeorodheshwa na: Byron Unger; Lazarus

Imerekebishwa na: M. Maillot; Tammy S.

Kimetafsiriwa na: Grace Chepkoech

Kimedhibitishwa na: Bible for Childrenwww.M1914.org

©2010 Bible for Children, Inc.License: Kuna ruhusa ya kuchapa hadithi

hii, lakini bila ya kuuza.

Page 3: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Usikummoja Mungu

alimwamuru Ibrahimu.

Page 4: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Ilikuwa jaribu kuona kama

Ibrahimu alimpenda mwanawe

Isaka kumliko Mungu.

Page 5: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

“Mchukue mwanawe Isaka na ukamtoe kama sadaka ya kuteketezwa,” Mungu aliamuru. Kumtoa Isaka?

Page 6: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Kumtoa mwana wake kama sadaka? Hii ilikuwa ngumu kwa Ibrahimu. Yeye alimpenda

mwanawe sana.

Page 7: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Lakini Ibrahimu alikuwa amejifunza kumwuamini Mungu hata kama

hakuwa anaelewa.

Page 8: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Asubuhi na mapema aliondoka kuelekea mlima wa sadaka pamoja na Isaka na

vijana wawili.

Page 9: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Kabla kuondoka, Ibrahimu alichanja kuni ya moto ya kuteketeza sadaka. Ibrahimu alipanga kumtii

Mungu.

Page 10: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Baada ya siku tatuwalikaribia mlima

ule. “Kaeni hapa,” Ibrahimu

akawaambiavijana wale

wawili, vijakazi wake.

Page 11: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

“Tutaenda nakuabudu alafu

tutarudi.” Isakaalibeba kuni;

Ibrahimu akabeba moto

– na kisu.

Page 12: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

“Yuko wapi mwanakondoo wa kutoasadaka?” Isaka

akauliza.

Page 13: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

“Mungu atatupa mwanakondoo,” Ibrahimu

akamjibu.

Page 14: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Wakaja hadi mahaliMungu alikuwa

amechagua.Pale.

Page 15: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Ibrahimu akajengamadhabahu na akapanga

kuni ya kuteketezasadaka mbele

ya Mungu.

Page 16: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi.Lakini hii ilikuwa

ngumu zaidi kulikozote.

Page 17: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Ibrahimu alimfunga Isaka kwa kamba na akamwekelea mwana wake mpendwa juu ya madhabahu.

Page 18: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Je, Ibrahimu angemtii Mungu na kumtoa sadaka Isaka, mwana wake wa pekee?

Page 19: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Ndio!Kisu

ilitoamwangazaIbrahimualipokuwa

akiinua juu.

Page 20: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Labdamoyowake

ulikuwaunavunjika, lakini

Ibrahimu alijuani lazima amtii

Mungu.

Page 21: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

“WACHA!” malaika wa

Mungu akanena.

Page 22: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

“Sasaninajua

kuwa unamwogopa

Mungu.

Page 23: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Hukunizuilia mwanao wa

pekee.”

Page 24: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Alipomwonakondoo mumekichak-ani, …

Page 25: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

… Ibrahimu alimfungua Isaka na akmtoa

kondoo yulekama sadaka wa

kuteketezwa.

Page 26: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Labda Isaka alifikiria, “Mungu ametupa

kondoo, kama vilebaba alisema.”

Page 27: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Wakati baba na mwanawewaliendelea kuabudu,

malaika wa Mungualinena na Ibrahimu.

Page 28: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

“Kupitia watoto wako, mataifa yote yatabarikiwa kwasababuumetii.” Siku moja, Yesuangezaliwa kupitia kizazi

cha Ibrahimu.

Page 29: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Ibrahimu na Isaka wakarudi nyumbani. Baada ya muda mrefu

kupita, huzuni ukaja.

Page 30: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Sara akafa. Ibrahimu alipoteza mkewe na Isaka alimpoteza

mamaye.

Page 31: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Baada ya mazishi, Ibrahimu alimtuma

mkubwa wa …

Page 32: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

… watumishi wake amtafutie Isaka mke.

Page 33: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Mtumishi alienda walipokuwa

wakiishi zamani …

Page 34: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

… kumtafuta mke kati ya jamaa wa Ibrahimu.

Page 35: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Mtumishi alimwomba Mungu ishara. “Binti yule amb-aye atajitolea kuwanywesha ngamia wangu maji ndiye atakuwa mke wa Isaka.”

Page 36: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Punde Rebeka akajitolea kuwapa ngamia wake maji.

Page 37: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Rebeka alikuwa mmoja wa jamaa wa Ibrahimu. Mtumishi yule akajua kuwa Mungu alikuwa amejibu

ombi lake.

Page 38: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Rebeka aliwacha familia yakekuenda kumwoa Isaka.

Page 39: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Alimfariji baaada ya kifo chamama yake. Isaka alimpenda

sana!

Page 40: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Mungu Ajaribu Pendo la Ibrahimu

Hadithi kutoka kwa Neno la Mungu, Bibilia,

inapatikana katika

Mwanzo 22-24

"Kufafanusha maneno yako kwatia nuru." Zaburi 119:130

Page 41: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Mwisho

Page 42: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Hii hadithi ya bibilia inatueleza kumhusu Mungu wetu wa ajabu aliyetuumba na

anayetaka tumjue.

Mungu anajua tumetenda mambo mabaya, anayoyaita dhambi. Adhabu ya dhambi ni mauti, lakini Mungu anakupenda sana hata akamtuma mwana wake wa pekee, Yesu, Ili afe msalabani na aadhibiwe kwa dhambi yako. Alafu Yesu akafufuka na kuenda

nyumbani mbinguni! Ukimwamini Yesu na kumwomba msamaha kwa dhambi yako,

Atakusamehe! Yesu atkuja na kuishi ndani yako, na utaishi naye milele.

Page 43: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu

Kama unaamini huu ni ukweli, Sema haya kwa Mungu:

Mpendwa Yesu, ninaamini kuwa wewe ni Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha mapya, na

siku moja nitaenda kuwa nawe millele. Nisaidie nikutii na niishi kwa ajili yako kama

mtoto wako. Amina.

Soma bibilia na uzungumze na Mungu kila siku! Yohana 3:16