agano ya mungu kwa ibrahimu - bible for...

24
Agano ya Mungu kwa Ibrahimu Bibilia ya watoto Inaleta

Upload: others

Post on 06-Nov-2020

4 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Agano ya Mungu kwa Ibrahimu

Bibilia ya watotoInaleta

Page 2: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Kimeandikwa na: Edward Hughes

Kimeorodheshwa na: Byron Unger; Lazarus

Imerekebishwa na: M. Maillot; Tammy S.

Kimetafsiriwa na: Grace Chepkoech

Kimedhibitishwa na: Bible for Childrenwww.M1914.org

©2008 Bible for Children, Inc.License: Kuna ruhusa ya kuchapa hadithi hii, lakini bila ya kuuza.

Page 3: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Kitambo baada ya mafuriko, watu duniani walipanga mpango.

Page 4: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

“Tutajenga mji na kilele chake kifike mbinguni,” wakasema. “Halafu tuishi sote pamoja kila siku.” Wote walizungumza lugha moja.

Page 5: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Mungu aliwataka watu waishi kote duniani alimoumba. Sasa, akatenda jambo la kipekee.

Mara tu, vikundi tofauti wakaanza kuzungumza lugha

tofauti. Mungu aliwapa lugha mpya.

Page 6: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Wale ambao walizungumza lugha sawa wakaenenda pamoja. Kwa sababu ya haya watu wakaanza kuogo- pana. Katika jinsi hii, Mungu akaweza kufanya watu kuishi katika nchi tofauti. Mji ule ambao walikuwa

wameanza

kujenga uliitwa Babeli,

inayomaanisha kuchanganyikiwa.

Page 7: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Miaka ilipopita, mahali palipoitwa Uru wa Wakaldayo, Mungu alizungumza na mtu aliyeitwa Abramu. “Toka nchini mwako,” Mungu akaamuru. “Nenda nchini nitakapow- aonyesha.”

Page 8: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Abramu akatii. Mungu alimwongoza hadi Kanaani. Mkewe Sarai na mwana wa nduguye Lutu wakaenda naye pia.

Page 9: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Kule Kanaani Abramu na Lutu wakawa tajiri. Walikuwa na mifugo lakini hakukuwa na malisho ya kutosha kwa wanyama wengi vile.

Page 10: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Wachungaji wa Lutu wakawa na ugomvi na wachungaji wa Abramu. “Basi, kusiwepo ugomvi,” Abramu akasema. “Tutatengana. Lutu, chagua unapotaka.”

Page 11: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Lutu akachagua nchi yenye nyasi tele ikiwa na miji na vijiji. Kulionekana kuzuri lakini miji ile ilijaa maovu.

Page 12: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Baada ya Lutu kuondoka, Mungu alizungumza tena na Abramu. “Nitawapa mji wa Kanaani wewe na watoto wako milele.” Abramu na Sarai hawakuwa na watoto. Mungu

angetimiza aje agano yake?

Page 13: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Watu watatu kutoka kwa Mungu wakawajia Abramu na Sarai.

Page 14: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

“Mtaweza kupata mtoto hivi karibuni,” wakasema. Sarai alicheka sana. Hakuamini neno la Mungu. Yeye alikuwa wa miaka tisini. Mungu akamwambia Abramu kuwa ataitwa Ibrahimu na Sarai ataitwa Sara.

Page 15: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Mungu pia akamwambia Ibrahimu kuwa angeangamiza miji miwili yenye uovu ya Sodoma na Gomora. Mwana wa nduguye Ibrahimu, Lutu

aliishi Sodoma pamoja na familia yake.

Page 16: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Lutu aliamini hadhari ya Mungu ilipokuja, lakini mabwana wa binti zake walikataa kutoka Sodoma. Ilikuwa mbaya aje! Hawakuamini neno la Mungu

Page 17: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Lutu na Binti wake ndio walioponea. Kiberiti na moto ikanyesha katika miji ile yenye maovu.

Page 18: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Kwa bahati mbaya mkewe Lutu akakosa kumtii Mungu na akatazama nyuma alipokuwa akitoroka. Akaba-dilika na kuwa nguzo la chumvi.

Page 19: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Mungu akatimiza ahadi yake kwa Ibrahimu na Sara. Walizaa mtoto katika uzee wao, jinsi Mungu alikuwa amesema. Walisherehekea sana Isaka alipozaliwa!

Page 20: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Pengine Ibrahimu pia alifikiria kuhusu agano ya Mungu ya kuwapa yeye na watoto wake mji wa Kanaani milele.

Page 21: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Mungu angetimiza ahadi ile pia. Mungu hutimiza ahadi zake.

Page 22: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Agano ya Mungu kwa Ibrahimu

Hadithi kutoka kwa Neno la Mungu, Bibilia,

inapatikana katika

Mwanzo 11-21

“Kufafanusha maneno yako kwatia nuru.”Zaburi 119:130

Page 23: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Mwisho

Page 24: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to_Abraham_Swahil… · uliitwa Babeli, inayomaanisha . kuchanganyikiwa. Miaka ilipopita,

Hii hadithi ya bibilia inatueleza kumhusu Mungu wetu wa ajabu aliyetuumba na anayetaka tumjue.

Mungu anajua tumetenda mambo mabaya, anayoyaita dhambi. Adhabu ya dhambi ni mauti, lakini Mungu anakupenda sana

hata akamtuma mwana wake wa pekee, Yesu, Ili afe msalabani na aadhibiwe kwa dhambi yako. Alafu Yesu

akafufuka na kuenda nyumbani mbinguni! Ukimwamini Yesu na kumwomba msamaha kwa dhambi yako, Atakusamehe! Yesu atkuja na kuishi ndani yako, na utaishi naye milele.

Kama unaamini huu ni ukweli, Sema haya kwa Mungu:Mpendwa Yesu, ninaamini kuwa wewe ni Mungu, na ulifanyika

mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha mapya, na siku moja nitaenda kuwa nawe millele. Nisaidie nikutii na niishi kwa ajili yako kama mtoto wako. Amina.

Soma bibilia na uzungumze na Mungu kila siku! Yohana 3:16