kitabu cha muongozo cha mafunzo ya rocket stove

36
Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove Ufahamu wa ubadilikaji endelevu wa mabadaliko ya tabia za nchi

Upload: phungdang

Post on 05-Feb-2017

441 views

Category:

Documents


63 download

TRANSCRIPT

Page 1: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya

Rocket StoveUfahamu wa ubadilikaji endelevu wa mabadaliko ya tabia za nchi

Page 2: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

2

Page 3: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

3

FaharasaShukrani 4

Utambulisho 4

RocketStoveninini? 5

SababundiyomaanaRocketStovenimajikomazuri 6

VijenzivikuuvyaRocketStoveni: 7

NadhariayaRocketStove 8

KunafaidaganiyaRocketStove? 9

Utengenezaji 10Jinsiyakutengeneza: 10

Kaziyametali 11Vifaavinavyohitajiwakwautengenezajiwametali: 11Nyenzozinzaohitajiwakwautengenezajiwametali: 12

Jinsiyakutengeneza 13

Vijenzivinavyoiimarishasufurianaviangovinavyoitegemeza 17

Kiwiko(Chumbachamwakonaghalalakuni) 20

Kizingiochanje 23

Viangovyaupandevinavyotegemezanamsingi 24

Mashikio 26

Mihimiliyachanjayakuni 26

Chanjayakuni 27

Nyenzoyaudongoinayohamii 28Nyenzozautengenezajiwanyenzoyaudongoinayohamii: 29Nyenzoyaudongoinayohamii: 30

Kuwashatanuri 32

MatendoyamwishokukamilishaRocketStove 34

KutumiaRocketStove 34

Kimeandikwanakimetayarishwana 35

Kitabukilifasiriwana 35

Kataolahaki/dai 35

Page 4: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

4

ShukraniKitabuchamwongozohikikilitayarishwawakatiwamafunzoyamafundinawanafunziwakaziyametaliyaliyojiriChuochaMafunzoyaAmaliMkokotoni,chaMamlakayamafunzoyaAmaliZanzibar,yaWaziriwaElimunaMafunzoyaAmaliZanzibar.

MafunzohayayalitolewanaJasonMorenikejiwaCleanEnergyCompany,Msumbiji,www.tcei.infonayalifadhiliwakwaSerekaliyaWales,UingerezanashirikalaComicReliefkamasehemuyamradiwaCASA(ClimatechangeAdaptionSustainabilityawareness–yaani,Ufahamuwaubadilikajiendelevuwamabadalikoyatabiazanchi)waSazaniAssociateskatikaZanzibar.

UtambulishoKitabuchamuonogozohikikinaonyeshajinsiyakutengenezaainahiiyajikoambalolinaitwa“RocketStove”.Rasimuyakeiliboreshwakwakufikiriakuhusuutaratibuzakijamii,namnazaupishi,namifumonamahusianozakijamiinakiutamadunikatikaZanzibaryakaskazini.Pia,desturinautekelezajizawatuambaowanasanyakuni,nadesturinautekelezajizamafundiwakaziyametalinawapishizilifikiriwakatikauundajiwarasimuyake.

HayaRocketStovesyanaufanisiwa40%zaidikulinganishanamajikoyakawaidaambayoyanatumiamawematatu.Kwahiyomajikohayoyanapunguzamatumiziyakunikwa50/60%kulinganishanamajikoyakawaida.(chanzo:MEMD–EAP:“Institutionalrocketstoveend-usersimpactsurvey”,April2007).

Inadokeza kwamba kiasi cha kuni kinachotumiwa na familia kwa siku moja na jiko la mawe, kinaweza kukitumiwa vilevile kwa siku 2-3 kwa kutumia hili Rocket

Stove.

Nirahisikwamafundiwakazizametaliwowotewenyeuwezokutengenzahayamajiko.KitegauchumichakulinunuaRocketStovekinawezakurejeshwabaadayamudamfupikwakutumiapesaambazozinazodundizwakwaupungufuwamatumiziyakuni.Ujuziwakutengenezaainahiiyajikounawezakusaidiawatuwenyewekuanzabiasharanapiakuuongezaustadiwamafundi.

Page 5: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

5

Rocket Stove ni nini?RocketStovenijikolenyeufanisiwafueliambalolinachomakwaunadhifunalinalotumiakuninyembambaneymbamba.InamaanakwambahiloRocketStovelinaufanisimkubwa;linayapunguzamatumuziyakuniyamudamefunakwahiyolinaipunguzagharamayakuninyumbanijumlani.Kwaajiliyakutumiakuninyembamba,hajayakutumiamakaanakuuharibumwituinapunguzwa,nandiyohiiinatoafaidakubwakwamazingira.

HayaRocketStove,yanacchumbachamwakoamachokimehamiwavizuri,nakinachosabishajotokuongozwapanapoihitajiwawakatiwakupika(yaanikwenyesufuria).Mfumohiiyautenganonamuongozoyajotoinauongezausalamawajkiolinapotumiwanabaadayakutumiwa.

HayaRocketStoveyanafanyakupikanamotorahisizaidisalamazaidinaharakazaidi.Yanawashamotokwaharakazaidi,silazimakuyohudumiasananayanawezakukidhimahitajimahususiyawapishiwanyumbaninawapishiwabiasharakwakiwangokikubwanakidogovilevile.HayaRocketStoveyanpunguzamudakuwashamotonakupikachakulakwasababuyaufanisiwafueliborasanawao.Hainahajakwamtumiajikuvumahewakwenyemoto.Inapowashwa,motoitaendeleakuchomaisipokuwamtumiajianasimamakutiakunindaniyajiko.Kulinganishanajikolamawe,RocketStovelinachukuanusuyamudakupikakiasifulanichachakula.

Kielezo cha matumizi ya Rocket Stove – na 39cm sufuria (chanzo: TCEI)

Page 6: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

6

Sababu ndiyo maana Rocket Stove ni majiko mazuri

RocketStovesyanafaasanakwaniayaupishiwanyumbaninabiasharanakupashamotomajikatikamahalipengi–siyokatikaZanzibartu,lakinikatikaAfrikayaMasharikinzima–mahaliambapokuninighaliauhazipatikanisana.Kunizinachomwandaniyahichochumbachamwakoambachokimehamiwa(onachini).Umbosahilila“kiwiko”linatumiwailikuhakikishahewainapitavizurinakunizinachomwakwajinsiiliyodhibitiilikusabibishamwakomzima(pamojanamoshimkudhuru)namatumiziyenyeufanisiyajotoinayozalishwa.

Kielezo cha umbo la “kiwiko” la Rocket Stove (chanzo: TECI)

Page 7: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

7

Vijenzi vikuu vya Rocket Stove ni:Ghala la kuni: Kunizinawekwakimo.

Chumba cha mwako:Panapochomwakuninahewainaingiakuidumishamoto.

Dohani: Panapotokajotonamoshzinazobaki.

HayaRocketStoveyanwezakuhamishakiasikikubwachajotokwenyesufuriakwasababuyanakolaambayoinaizungukasufuriakabisa.Kolahiyoiniongozavizurijotokutokakunikwenyesufuria.Kwakupunguzamatumizayakuni,hayomajikoyanpunguzagharamayakuninaatharizamazingira.

Kielezo cha umbo la “kiwiko”, mlango wa hewa (buluu) na mtiririko wa joto (manjono): (chanzo: TECI)

Page 8: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

8

Nadharia ya Rocket StoveKwakawaida,jikolamawelinaufanisiwa90%kwakaziyakuzalishajotokutokakuni.Lakinikiasikidogotu,kutoka10%mpaka40%changuvuiliyozalishwainaendakwenyesufuria.Zaidiyauzembewanguvuwakukupikanajikolakawaidalamaweunatokeakwasababujotoyamotohaihamiwivizurikwenyesufuria.

Inawezekanakuuongezauhamishowajotokwakuliongozakwenyemferejimwembambanauliokosambambasufuria.Sifahiiinaitwa“kola”.

Sifa muhimu: Maelezo:

Mlango wa hewa na mtiriiriko wa hewa:

Kuuongezamtiririkowakiasisahihichahewainaisaidiamotokuchomakwajotojuuzaidinakunikuchomavizuri.Kwakuinuakunitokaardhiinaiwezeshaupepokupitachininakwahiyosifayamotoinaboreshwa.

Inabidikipenyochamoto(ghalalakuni),ukubwawasehemundaniyajikoambapoupepomotounapitianaukubwawadohaniziwekaribusawasawa.

Inapochomakunindaniyachumbachamwako,upepounavutwakimo.Hiiitasaidiakudumishamtiririkowahewandaniyajikoilikuhakikishamotoinabakijoto.Kiasisahihichahewakinacoingiakinaisaidiamotokuchomakwanadhifu.

Kola ya sufuria: Kwaniazaupishi,rasimuyaRocketStoveinafanyasufuriakugusananamotojuuyasehemukubwazaidiinayowezekanakuboreshaufanisiwajiko.IngawakolahiiitazuiaRocketStovekwakipimokimojachasufuria.Kolahiyoyasufuriainatumiwakufanyamferejimwembambaambaounalazimishahewajotoyamotokutiririkakandokandopandenachiniyasufuria.

Page 9: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

9

Kuna faida gani ya Rocket Stove?• Mbinu nzuri ya biashara:Nirahisikuzalisha,kudumishanakutumiahayaRocketStoves.Yanaonyeshavichocheodhahirivyafedhakwampishialiyenapatolachininaahangaishayenagharamayakuninamakaa.UkuzajiwaRocketStoveskwakutumiamitandaoyakijamii,unauwezekanokuanzishabiasharandogondogoendelevukwamafundiwakaziyametalinawajasiriamaliwakijamii.

• Athari ya mazingira: RasimuyaRocketStoveinalisabishakutumiakadiriya50-70%kasoroyakunikulikojikolamawe.Pia,linawezakutumiakuninyembambanyembambakwahiyoinamaanakwambamajikohayayanafaakamilikutumiwakatikaZanzibarkwamatumiziyanyumbaninabiashara.Majikohayoyanapunguzamatumiziyakunikwahiyokwazamu,yanapunguzakiasichauharibifuwamsitu.

• Ufanisi bora zaidi:RasimuyaRocketStoveinawezeshakadiriya80%yajotoyajikokuingiakwenyesufuria.Najikoladesturilamawe,10%mpaka40%yajotolililofunguwalinaingiakwenyesufuria.Kwakuboreshauhamishowajotokutokakunikwenyesufuriaitaokoakiasikikubwachakuninahatimayeitayopunguzagharamayajumlayakuni.

• Afya bora zaidi: ChumbachamwakokimechohamiwachaRocketStove,kinahakikishakwambakunizinachomwakabisa,pamojanamoshiwakudhuruwake.Mwakomadhubutihuu,unaupunguzautokezajiwamonoksidiyakaboni(CO)nahiiinafanyamazingirasafizaidikwawotewawiliwanawakenawatoto.RocketStovehalizalishimoshinyingi.Kiasikidogochamoshikinazalishaunapowashwamoto.(Fahamu:Jikolitazalishamoshipiakamakunichepechepezinatumiwa).Hakunatenazaidimachoziaungozimezokifuwakwamoshi.

Page 10: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

10

UtengenezajiUkubwawajikounaamuliwakwaukubwawasufuriaambayoitatumiwakupika.Kwahiyoujazowasufuriauwekituchakwanzakutambuwa.Kitabuhikikinaelezeavipimoyvaukubwatatuzasufuriaambazozitaamuaukubwawajiko.Kwasufuriakubwazaidi,vipimohivivinawezakurekebishwailijikolizifaehizosufuria.

Jinsi ya kutengeneza:

Kielezo kimecholipukwa kinachoonyesha mpango wa TCEI-Rocket Stove

Page 11: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

11

Kazi ya metali

Vifaa vinavyohitajiwa kwa utengenezaji wa metali:

Kifaa cha karakana: Kazi:

Msumenowakukatiachuma Kukatamabombanamapaoyametali

Kulehemukwaumeme Kuungavipandevyametali

Fitozakulehemu Kulehemu

Nyundo Kutoakifusichametalikinachobakibaadayakulehemu

Mashineyakusagakwapembe–diskiyakukata

Kuvilaianishaviungavilivyolehemiwa

Mashineyakusagakwapembe–diskiyakukata

Kukatamabambayametali

Burashiyawaya Kusafishausozametalikablayakulehemu.

Utepewakupimia Kufanyavipimovyamistari

Jiliwa Kushikanyenzo

Nyundo Kukunjamapaonamabambayametali.

Patasi Kukatamabambayametali.

Tupa Kulaianishakingozametali

Mzingo Kuchoraduara.

Kipandechenyeumbolapembemraba

Kuthibitishapembemraba.

Fuawe(aukisawechake) Jukwaakwakugonga

Page 12: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

12

Nyenzo zinzaohitajiwa kwa utengenezaji wa metali:RocketStovelinawezakutengenezwakwakutumiamabambayametali,chumachenyeumbolapembenamabomba-sanifuambazozinazopatikanasana.

Nyenzo ya karakana: Vipimo kamili: Kiasi:

Bambayachumachapualamilimeta2.0

1.5mitax2.4mita Bambamoja

Paolachumachenyeumbolapembe

50mm(milimeta)x50mm(milimeta)x3mm(milimeta)

Paomoja(mita6)

Paoladuaramilimeta12 12mm(milimeta) Paomoja(mita6)

Page 13: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

13

Jinsi ya kutengenezaBamba la msingi (A2): Bambalamsingiladuara(A2)nisehemuyachiniyakolayasufuria(A1).OnakielezokimecholipukwakinachoonyeshampangowaTCEI-RocketStove.Katikatiyabambalamsingiinakatwatunduyamrabayasentimita14x14kwakutumiamashineyakusagaaunyundonapatasi.

Ukubwa wa sufuria 27sm* 32sm 39sm

KipenyoXchabambalamsingi(milimeta2chumachapua)

31sm 36sm 43sm

(*sm= Sentimita)

Page 14: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

14

Kola (A1): Kolainaishikasufuriawakatiwakupikanainahakikishakwambajotoinaongozwakwenyesufuria.Inatengenezwakwamstatiliwachumachapuachamilimeta2uliofanyikakuwaumbolasilinda.Tumiamashineyakusaganadiskiyakukatayametaliilikukatamabambayametali.Inawezekanapiakukatamabambayametalikwakutumianyundonapatasi.

Kamahaiwezekanikupatamabambayametaliyaukubwasahihi,ulehemupamojavipandeviwiliauvitatuvyamabambaambavyovimekatizwakutokamabambamengine.

Ukubwa wa sufuria: 27sm 32sm 39sm

Ukubwawachumachapuachamilimeta2:

14.0x98.5sm 16.0smx114.0sm 18.0smx136.0sm

Picha inayoonyesha upindaji wa kola (A1)

Ukunjekolayasufuriakamainavyoonyeshwajuu.

Page 15: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

15

Bambalamsingi(A2)linawezakutumiwakamamuongozokwakolainapolehemiwakatikanafasiyake.

Kielezo kinachoonyesha mahali pa kola na bamba la msingi kabla ya kulehemu (chanzo: TCEI)

Picha inayoonyesha jinsi ya kuunga kola ili ilikae bamba la msingi

Page 16: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

16

Picha inayoonyesha jinsi ya kulehemu bamba la msingi pamoja na kola

Picha inayoonyesha jinsi ya kuunga kola na bamba la msingi

Page 17: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

17

Vijenzi vinavyoiimarisha sufuria na viango vinavyoitegemeza

Kielezo cha kijenzi kinachoiimarisha/kinachoitegemeza sufuria

Ukubwa wa sufuria: 27sm 32sm 39sm

Kijenzikinachoimarisha:Umbaliy(paoladuaralamilimeta12):

2.0sm 2.0sm 2.0sm

Kijenzikinachoimarisha:Umbalix(paoladuaralamilimeta12):

6.0sm 7.0sm 8.0sm

Kiangokinachotegemeza:Umbaliy(paoladuaralamilimeta12):

3.5sm 3.5sm 3.5sm

Kiangokinachtegemeza:Umbalix(paoladuaralamilimeta12):

6.0sm 8.0sm 10.0sm

Page 18: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

18

Picha zinazoonyesha upindaji wa vijenzi vinavyoimarisha/vinavyotegemeza, kwa kutumia nyundo na jiliwa.

Ulehemukwawepesivijenzivinavyoimarishavinnenaviangovinavyotegemezavinnekamainayoonyeshwachini:

Picha inayoonyesha mahali pa vijenzi na viango vinavyoimarisha/vinavyotegemeza sufuria

Page 19: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

19

Baadayakulehemukwawepesivipandehivimahalimwao,ujaribukuonasufuriainakaajendaniyakolayasufurianakuthibitishakwambainawezakuingizwanakuondolewabilataabu

Page 20: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

20

Kiwiko (Chumba cha mwako na ghala la kuni)UkatenaulehemukiwikochaRocketStovekamainavyoonyeshwachini:

Ukubwa wa sufuria: 27sm 32sm 39sm

Umbali:s 35.0sm 42.0sm 42.0sm

Umbali:t 14.0sm 14.0sm 14.0sm

Umbali:u 14.0sm 14.0sm 14.0sm

Umbali:v 8.0sm 10.0sm 12.0sm

Umbali:w 22.0sm 24.0sm 26.0sm

Page 21: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

21

Picha zinazoonyesha jinsi ya kulehemu chumba cha mwako chenye umbo la “kiwiko”

Fahamu:SifazaRocketStovezinawezakubadilikiwailizifaemahitajiyakaziinayoikusudiwa.

Viwikovirefuzaidivinazalishamoshimdogozaidilakiniurefujuuwaounaupunguzaufanisiwao–kwasababuyaumbalimkubwazaidibainayasufurianamoto,inamaanakwambajotozaidiinapoteakwenyejikolenyenwe.Viwikovifupizaidivinazalishamoshizaidilakinivinauhamishowajotozaidikwasababusufurianikaribunamoto.

Page 22: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

22

UkatenaulehemukiwikochaRocketStovekamainavyoonyeshwachini:

Ulehemia“kiwiko”bambanilamsingikamainavyoonyeshwachini:

Page 23: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

23

Kizingio cha njeKutumiabambayachumachapuayamilimeta2.0,lehemukizingiochanjekinachozunguka“kiwiko”kamainavyoonyeshwachini:

Ukubwa wa bweta la kizingio cha nje:

27sm 32sm 39sm

Umbali:e 39.0sm 40.0sm 42.0sm

Umbali:f 21.0sm 24.0sm 26.0sm

Umbali:g 21.0sm 24.0sm 26.0sm

Kielezo na picha zinazoonyesha jinsi ya kuunga pamoja kizingio cha nje

Page 24: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

24

Viango vya upande vinavyotegemeza na msingiIlikuhakikishaRocketStoveliwethabiti,msingimzitonampanaunatumiwa.Kutumiapaolachumachenyeumbolapembelasentimeta50xsentimeta50,katavipandevinnevya“umbaliq”navipandeviwilivya“umbalip”.LehemiaViangovyaupandevinavyotegemeza(C1)viwilimwiliniwaRocketStove.LehemuvipandevinnevinavyobakikutengenezaMsinginiwamraba(C2)kamainavyoonyeshwachini:

Picha inayoonyesha jinsi ya kutengeneza Msingi kabla ya kuungamanisha

Msinginaviango: 27sm 32sm 39sm

Umbali:p 40.0sm 45.0sm 50.0sm

Umbali:q 40.0sm 45.0sm 50.0sm

Page 25: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

25

LehemiamsinginaviangomwiliniwaRocketStove(kamainavyoonyeshwachini):

Page 26: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

26

MashikioUtumiepaoladuaramilimeta12kutengenezamashikiomawili.Mashikioyanawezakukunjwailiyafaeupendeleo.Kilashikiolinatengenezwakwakutumiatakribansentimeta60zapaoladuara.

Kupima mashikio kabla ya kulehemu

Mihimili ya chanja ya kuniKatavipandeviwilivyapaoladuaramilimeta12(C4)nalehemukamainavyoonyeshwachini:

Kielezo kinachoonyesha mashikio na mihimili ya chanja ya kuni

Page 27: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

27

Chanja ya kuniKuhakikishakunizinachomwakwaufanisindaniyaRocketStove,chanjayakuniinatumiwa.ChanjahiihailehemiwikwenyeRocketStove.Hiinikwasababuinawezakutolewailichumbachamwakokiwezekusafishwakwaurahisi.

Rasimuinaonyeshwachini:

Picha inayoonyesha chanja ya kuni mwake

Chanja ya kuni: 27sm 32sm 39sm

Umbali:j 30.0sm 30.0sm 30.0sm

Umbali:k 40.0sm 45.0sm 50.0sm

Kielezo kinachoionyesha chanja ya kuni (Chanzo: TCEI)

Page 28: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

28

Nyenzo ya udongo inayohamiiNyenzoinayoizungukanainayoihamiimoto(chumbachamwako)inaisaidiamotokuchomakwajotojuuzaidinahiiinasaidiakupunguzamoshinagesizakudhurunyingine.Nyenzohiiinayohamiiiwenyepesinaijazwekwatunduzahewa,kamatofalilaudongowenyeuzitomwepesi,vigaeaunyenzozakujaza.

Fahamu:Mifanoyanyenzozaasilizinazohamiini“vermiculite”(nyenzorahisiyenyeuzitomwepesiambayohaishikimoto.Inazalishwakutokamashapoyaasiliyamadinikatikasehemunyingizadunia)na“perlite”.

Nyenzoinayohamiiinawezakutengenezwakwakutumiaudongokutokachiniyamtoambaoumechanganyikiwanavumbilambaona/aumkaaamabounaowezakuunguzwawakatimwinginetanurinisahiliaumotowaubao.Udongoumeounguzwa(umeokaushwatanurini)hautatiaufahalijotokali.Utaratibuhuuunaachatunduzahewandaniyaudongoambazozinashikajotovizurinakwahiyozinauboreshaufanisiwajiko.

Fahamu:Usitumienyenzonzitokamamchanga,sarujinaudongowakawaida(kwasababuzinatoajotokutokamoto).

Page 29: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

29

Kifaa cha karakana: Kazi:

Shukayaplastiki Kuchanganya/kuhifadhisehemuyakazi

Ndoo Kubebanakupima(udongo,vumbilambaonamaji).

Pauro Kuchimba

jembe Kuchanganyaviambato,kuchimbashimolatanuri

Kuni Kuwashatanuri

Nyenzo za utengenezaji wa nyenzo ya udongo inayohamii:Chinipanahiari3kwanyenzoyaudongoinayohamii:

Hiari: Wingi/uwiano wa mchanganyiko:

a ndoo1yaudongokutokachiniyamto ndoo6zavumbinyembambayambao

b ndoo1yaudongokutokachiniyamto ndoo6zamkaaumeosagwa

c ndoo1yaudongokutokachiniyamto ndoo3zamkaanandoo3zavumbiyambao

Page 30: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

30

Nyenzo ya udongo inayohamii:

Picha inayoonyesha udongo na mkaa kabla ya kuchanganya

Picha inayoonyesha jinsi ya kuchanganya pamoja udongo na vumbi ya mbao kwa mikono

Page 31: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

31

Picha inayoonyesha jinsi ya kuchanganya pamoja udongo, mkaa na vumbi ya mbao kwa miguu

Picha inayoonyesha jinsi ya kujaza pengo linalozunguka “kiwiko”

Page 32: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

32

Kuwasha tanuriKuchomaudongoilikuunguzamkaanavumbiyambao,chimbashimolenyekinakifupi.UkubwawakeuwekutoshakuwekaRocketStovenakuni.Uwekematofalindaniyashimokufanyakutazakeilikuzuiajotozaidi(kamainavyooneyshwachini).BaadayakujazaRocketStovenaudongo,lazimajikoliwekwekukaushajuanikwasiku5-7kablayakukaushatanurini.

Picha inayoonyesha tanuri na kuta za matofali zake (upana wa meta 1 x urefu wa meta 1 na kina cha meta 0.7)

Page 33: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

33

Picha inayoonesha jinsi ya kuwasha tanuri

Picha inayoonyesha Rocket Stove la TCEI baada ya kuwasha moto

Page 34: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

34

Matendo ya mwisho kukamilisha Rocket Stove• Sagakingozotezenyenchakalizamwiliwametaliwajikokuilainisha.

• Tumiaburashiyawayakusafishamwiliwametaliwajikokutoauchafunakutu.

• Pakarangijikonikuzuiakutu

Kutumia Rocket StoveKuwashaRocketStove.Fanyahakikakwambachanjayakuniikaemwake–inafanyakaziyachanjachiniyamoto.

Usiwekekunighorofaniyachumbachamwakokwasababuupepounahitajikupitiachiniyakunizinazochomanajuukwenyemoto.

Niborakuwekakunikaribukaribunazikaesawasawachanjani,napiaziwenapengolahewabainayakilafimbo.Siyolazimakujazakabisakipenyochaghalalakuninakuni.

Nirahisikutiamotokunikutokachini(nyumaniyapengolahewa)kwakutumiavijitivyakuwashiamoto.

Baadayamotoumeshawashwausitiekunikwenyepengolahewa.

Vinapochomavikomovyakuni,kuniambazozinabakizinawezakusukumwakwenyeghalalakuniilikudumishamotowenyeufanisi.Utaratibuhuuunahakikishakunautaratibusafinafanisiwamwako.

Page 35: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

35

Kimeandikwa na kimetayarishwa naSazaniAssociatespamojanaJasonMorenikeji,TheCleanEnergyInitiative(TCEI)(MpangowaNguvuSafi)

CASACASA(ClimateChangeAdaptation,SustainabilityAwareness)

(yaaniUfahamuwaubadilikajiendelevuwamabadalikoyatabiazanchinimpangowaSazaniAssociates)

www.sazaniassociates.org.uk

The Clean Energy Initiative(TCEI)(MpangowaNguvuSafi)

TCEInimpangowamaendeleowa:

www.tcei.info

Tareheyasaba,mweziwasita2012

Kitabu kilifasiriwa na CathrynBell

Katao la daiLikilinganishwanajikoladesturilamawe,RocketStovehililinaaminiwakumtoleamtumiajifaidanyingi–kwamfanoakibazakuni,upungufuwamudawakupikanauchafuwahewandaniyanyumba.KitabuchamuongozowauundajihikikinaaminiwakuwaalainayofaakwamafunzoyautaratibuwauundajiwaRocketStoveTCEI.SazaniAssociatesnaTheCleanEnergyCompanyhawachukuidhimayaukamilifuauutumiziwamaelezoyanayoandikwakatikakitabuhicho.

SazaniAssociatesnaTheCleanEngeryCompanyhawatachukuawajibukulingananamadaiyoyoteyanayowezekanakutokananamadharaau/nahasarazinazowezekanakutokeawakatiwautengenezaji,matumizi,matengenezoyarasimuyaRocketStoveTECIauutaratibuunaoelezewakatikakitabuhicho.

Page 36: Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove

Sazani Associates33QuayStreetCarmarthen

CarmarthenshireWales,UKSA313JL

Namba ya Simu: (01267)243176Barua pepe: [email protected] pa intaneti:www.sazaniassociates.org.uk

Copyright© 2012 All Rights Reserved

C A S AI n i t i a t i v e