suratudh dhaariyat kwa jina ia mwenyezi mungu, · wanauliza (kwa me h ezo, wanasema ) :...

4
JUZUU 26 Ina A.va 60 SURATUDH DHAARIYAT (/meteremka Makka) Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, kuneemesha neema· kubwa kubwa na kuneemesha neema ndogo ndogo. Mwenye Mwenye 1. Naapa kwa pepo zinazotawanya (mvua) barabara 2. Zinazobeba mizigo (ya mawingu) J. Zikenda nayo (mawingu hayo) kwa upole Kisha zikayagawanya (hayo mawingu) kwa amri (ya Mwenyezi Mungu. Kisha kila moja likanyeshe mahala pake) s. Bila shaka mnayoahidiwa ni kweli 6. Na kwa hakika malipo hila shaka yatatokea. N aapa kwa mbingu hizi zenye sura nzuri, 8. Kuwa nyinyi muko katika kauli inayohitilafi- ana (katika kuupinga Uislamu). g. Anageuzwa na haki kwa kauli hiyo anayegeuzwa. IO. Wazushi wameangamizwa I I. Ambao wamo katika ujinga; wanapumbazika (katika ujinga huo) h ) "N1' u. Wanauliza (kwa me ezo, wanasema : lini (kuja kwakc hiyo) Siku ya Hukumu?" I Hiyo Siku watakayoadhibiwa Motoni. 14. (Waambiwe): "Onieni adhabu yenu! llaya ndiyo mliyokuwa mkiyahimiza." 1 s. Kwa yakini wamchao Mwenyezi Mungu . wacakuwa katika Mabustani na chemchem. . 16. W anapokea aJiyowapa Mola wao. K wa hakika wao walikuwa wakifanya wema kabla ya hay a. 1 '- 1 9. J aza wac aka yolipw a watu wema, na wepi hao waru wcma . HAA MYM Ina Makara J

Upload: others

Post on 25-Oct-2020

7 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: SURATUDH DHAARIYAT Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, · Wanauliza (kwa me h ezo, wanasema ) : "N1' lini (kuja kwakc hiyo) Siku ya Hukumu?" I 3· Hiyo Siku watakayoadhibiwa Motoni. 14. (Waambiwe):

JUZUU 26

Ina A.va 60 SURATUDH DHAARIYAT (/meteremka Makka)

Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, kuneemesha neema· kubwa kubwa na kuneemesha neema ndogo ndogo.

Mwenye Mwenye

1. Naapa kwa pepo zinazotawanya (mvua) barabara

2. Zinazobeba mizigo (ya mawingu) J. Zikenda nayo (mawingu hayo) kwa upole

4· Kisha zikayagawanya (hayo mawingu) kwa amri (ya Mwenyezi Mungu. Kisha kila moja likanyeshe mahala pake)

s. Bila shaka mnayoahidiwa ni kweli

6. Na kwa hakika malipo hila shaka yatatokea.

1· N aapa kwa mbingu hizi zenye sura nzuri,

8. Kuwa nyinyi muko katika kauli inayohitilafi-ana (katika kuupinga Uislamu).

g. Anageuzwa na haki kwa kauli hiyo anayegeuzwa.

IO. Wazushi wameangamizwa

I I. Ambao wamo katika ujinga; wanapumbazika (katika ujinga huo)

h ) "N1' u. Wanauliza (kwa me ezo, wanasema : lini (kuja kwakc hiyo) Siku ya Hukumu?"

I 3· Hiyo Siku watakayoadhibiwa Motoni.

14. (Waambiwe): "Onieni adhabu yenu! llaya ndiyo mliyokuwa mkiyahimiza."

1 s. Kwa yakini wamchao Mwenyezi Mungu . wacakuwa katika Mabustani na chemchem.

. 16. W anapokea aJiyowapa Mola wao. K wa hakika wao walikuwa wakifanya wema kabla ya hay a.

1 '- 1 9. J aza wac aka yolipw a watu wema, na wepi hao waru wcma.

HAA MYM

Ina Makara J

Page 2: SURATUDH DHAARIYAT Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, · Wanauliza (kwa me h ezo, wanasema ) : "N1' lini (kuja kwakc hiyo) Siku ya Hukumu?" I 3· Hiyo Siku watakayoadhibiwa Motoni. 14. (Waambiwe):

JUZUU 26 ADH • DHAARIY AT ( S I)

17. Walikuwa wakilala kidogo tu usiku.

18. Nil wakiomba maghufira, (msamaha) nyakati za kabla ya alfajiri. ·

19. N a katika mali zao ilikuwako haki- ya kupewa masikini aombaye na ajizuiaye kuomba.

2 Na katika ardhi zimo (alama namna kwa o. namna za kuonyesha kuwapo Mwenyezi Mungu) kwa wenye yakini

21. N a katika nafsi zenu (pia zimo alama hizo). ]e! Hamu~ni?

22. Na katika mbingu ziko riziki zenu na mliyoabidiwa.

23. Basi naapa kwa Mola wa mbingu na ardhi, kuwa hakika haya ni haki, kama ilivyo (haki) ya kwamba nyinyi mnasema.

24. ]e! lmekujia hadithi ya wageru wahishimiwao wa (Nabii) lbrahimu?

2s. Walipoingia kwake wakasema: "Salaam (Alaykum);" na (yeye lbrahimu) akasema: "EAlaykumus) Salaam." (Na katika moyo. wake anasema): "Ninyi watu nisiokujueni."

26. Mara akaenda kwa ahali yake na akaleta ndama aliyenona

27. Akampeleka karibu yao. (Walipokuwa hawajanyosha mikono kula) Alisema: "Mbona hamuli!"

28. Basi akawatilia shaka (katika nafsi yake; akawaogopa akaona labda maadui zake). Wakasema: "Usiogope," na. wakamtolea habari nzuri za (kuwa atazaa) mtoto mwenye ilimu.

29. Ndipo mkewe (Nabii lbrahimu) akawaelekea, na huku anasema na akijipiga usoni kwa mastaajabu na kusema: "Mwanamke mzee, tasa (nitazaa). ·"

~o. Wakasema: "Ndivyo vivyo hivyo (utazaa, na -bali ya kuwa wewe ni tasa). Amesema Mola wako. Hakika Yeye ndiye Mwenye hikima, Ajuaye (kila kitu)."

HAA MYM

. . l4-l7. Kisa cha wageni wa Nabii lbrahimu na namna inavyopasa kuwapokca wageni: kwa uchangamshi na·

kuwatcngcnezea chakula upesi - japokuwa hawajui - na kuwashughulikia katika kula kwao. l5J, Kuonyesha kuwa mwanamke- akiwa yumo katika mavazi yake kamili - anaweza kuwatokea wanaume ·

na kusema nao maneno yaliyo laiki na hapo.

6S3

Page 3: SURATUDH DHAARIYAT Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, · Wanauliza (kwa me h ezo, wanasema ) : "N1' lini (kuja kwakc hiyo) Siku ya Hukumu?" I 3· Hiyo Siku watakayoadhibiwa Motoni. 14. (Waambiwe):

JUZUU 21 ADH-OHAARIYAT (S ll

31. Akasema, "Basi makusudio yenu (mengine) ni nini, Enyi mliotumwa?"

3l. Wakasema: "Hakika sisi tumetumwa Tukawaangamize wale watu waovu (watu wa Nabii Luti)."

33· "IIi tuwatupie juu yao mawe ya udongo (wa Motoni)".

34· "Yaliyotiwa alama kwa Mola wako kwa ajili ya hao watu wanaopindukia mipaka katika maasia."

3S· (Mwenyai Mungu anasema): "Kwa hivyo Tukawatoa wale walioamini waliokuwa humo (ili adhabu isiwafJke)".

36. Lakini Hatukupata humo ila nyumba moja tu yenye W aislamu. -

37· Na (baada ya kuwaangamiza) Tukaacha humo alama kwa ajili ya wale wanaoogopa adhabu iumizayo.

38. Na katika (habari za) Musa (ziko alama vile vile), Tulipompcleka kwa Firauni na hoja · wazi kabisa.

39. Lakini akakengcuka (asiyafuate hayo) kwa sababu ya nguvu zake na akasema: "Huyu ni mchawi au ni mwandawazimu'?

40. Basi Tukamkamata (tukamtia mkononi) ycye na majeshi yake na Tukawatupa baharini, na mwenyewe alikuwa mlaumiwa.

41. Na katika (habari za), Adi (ziko alama kadhalika). (Kumbusha) Tulipowapelekca upcpo wa papazi uangamizao.

42. Haukuacha chochote ulicholtijia ila ulikifanya kama kamba mbovu.

43· Na katika (habari za) Thamudi (ziko alama vile vile), (Kumbusha) walipoambiwa: "]ifurahisheni kwa muda mdogo tu. (Sasa hivi itakuja adhabu ikuangamizeni)."

44· W akiasi ( wakakataa kwa jeuri) amri ya Mola wao; mara moto wa Radi uliwatoa roho zao na buku wanaona.

31-37. Kunatajwa kuaqamizwa kwa watu wa Nabii Luti. 38-46. Kunatajwa kuaqamiya uma za Mitume weqine.

QALA FAMAA KHATBUKUM

Page 4: SURATUDH DHAARIYAT Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, · Wanauliza (kwa me h ezo, wanasema ) : "N1' lini (kuja kwakc hiyo) Siku ya Hukumu?" I 3· Hiyo Siku watakayoadhibiwa Motoni. 14. (Waambiwe):

JUZUU 27 ADH-DHAARIY AT (51)

4S _ Basi hawakuweza kusimama (kukimbia) wala hawakuweza kujipigania

46. Na (wakumbushe) watu wa Nuhu (tuliowaangamiza) pia, (waliokuwa) kabla (ya hawa). Hakika wao walikuwa watu maasi.

4 7. Na mbingu Tumezifanya kwa kudra (yetu); na hakika Sisi ndio wenye uweza (wa kila kitu).

48. Na ardhi Tumeitandaza; basi Watandazaji W azuri walioje Sisi! /

49· Na katika kila kitu Tumeumba dume na jikc ill mpate kufahamu.

so. Basi kimbilicni kwa Mwenyezi Mungu, mum kwenu ni Muonyaji waziwazi ninayetoka Kwake.

s 1 . W ala msimfanye mwingine kuwa aabudiwaye pamoja na Mwenyezi Mungu. Bila shaka

. mimi ni Muonyaji niliye dhahiri kwenu ninayetoka Kwake.

s 2. Basi ndiyo vivi hivi; hakuna Mtume yoyote aliycwajia wale wa kabla yao (hawa Makureshi) ila waliscma: "Huyu ni mchawi au mwendawazimu."

S3· Je! Wameusiana. kwa (jambo) hili? (La; hawakuusiana chochote); lakini (wote) wao ni watu waovu.

S4· Basi waachilie mbali, nawe hutalaumiwa (ukiwuchilia mbali hivyo).

s s. Na endelca kuwakumbusha; maana ukumbusho huwafaa· wanaoamini.

s6. Sikuwaumba majini na watu ila wapate kuniabudu.

s 7. Sitaki kwao riziki wala Sitaki wanilishe.

s8. Kwa yakini Mwenyezi Mungu ndiye Mtoaji wa riziki, Mwenye nguvu, Madhubuti.

S9· Hakika wale waliodhulumu (katika uma huu) watakuwa na sehemu (yao ya adhabu) kama schcmu ya wenzao (waliotangulia), basi wasinihimize.

6o. Adhabu kali itawathubutikia wale walioikanusha siku yao wanayoahidiwa.

QALA FAMAA KHATBUKUM

~~~ (.t:;f ~ tj~b (J..~Uj:s;; .. t:. , ., 11':01 e. 0'-=IJW~ "

49. Hii ni katika zile Aya zilizosema maneno ambayo ndiyo kwanza sasa yamefahamika. Na haya ni kama yale yaliyomo katika Aya ya 36 ya Surac Yaun.

Sl·H· Kuonyesha kuwa kupingwa Nabii Muhammad si kiroja. Mitume wote walipingwa. s6. Hii ni moja katika sababu zilizotajwa kwa aiili ya kuumbwa vilivyoumbwa. Na sababu nyinginc imetajwa

katika Aya ya n ya Suracul Talaq. Basi yale maneno yanayosema: "Lawlaaka Lawlaaka Maakhalaqtul Af/atik" si maneno ya kutegemewa.

6ss