somo la 10 kwa ajili septemba 5, 2020 2020. 9. 4. · kwa na muda wa pamoja kujufunza neno la mungu...

8
Somo la 10 Kwa ajili Septemba 5, 2020

Upload: others

Post on 02-Feb-2021

2 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

  • Somo la 10 Kwa ajiliSeptemba 5, 2020

  • Mifano ya makundi madogo:

    Kundi dogo la kwanza

    Katika Agano la kale

    Katika Agano jipya

    Kuwa sehemu ya makundi madogo

    Taasisi

    Yanayobadilika

    Kuna namna ya furaha kushiriki katika ukuaji wa Kanisa na kuhubiri injili :Makundi madogo.

    Makundi madogo yako kibiblia. Mungu amechagua makundi madogo ili kukuza imani zetu, kutusaidia kulielewa neno lake vizuri, kuimarisha tabia zetu za kuomba na kutufundisha jinsi ya kishuhudia.

  • Nafsi tatu za Mungu zilikutana kamakama kundi dogo kabla ya kuumbaulimwengu. Lengo lilikuwa ili panga nakutekeleza uumnaji wa wanadamu namazingira yao.

    Waliunda pia mpango mbadala iwapo mwanadamu ataamuakwenda mbali na Mungu: Mpango wa ukombozi (1P. 1:18-20; Mat. 25:34; Ufu. 13:8).

    Tutaona namna ambavyo makundi madogohukusanyika yakiwa na kusudi moja au Zaidi vichwani. Kwa upande wa Mungu, Kukutana kwao(Utatu) mara ya kwanza kilikuwa kikao cha kupanga, na kilichofuatakilijikita katika kutimiza a mpango maalum.

    Hata hivyo, kila kundi dogo lazima liwe nalengo kuu la kuongoa roho kwa ajili yaufalme wa mbinguni.

  • Waisraeli walipotoka Misri, Musa aliwagawa watukatika kambi (kwa kabila zao) na hema (kwa familia). baadaye, Yethro akapendekeza kulipanuahili kwa makundi madogo Zaidi ya watu 1,000, 100, 50 na 10.

    Kila kundi dogo lilongozwa na kiongozi kiongozi mchaMungu. Makundi haya yaliepusha matatizo mbalimbali na kusaidia kupalilia maisha ya kiroho kwa watu, na kujenga mahusiano ya kina na yakaribu ilikuwa nainaendelea kuwa njia bora kwa ajili ya urafiki, ukuajiwa kiroho na utatuzi wa matatizo.

    Baadaye, Samuel alianzisha chuo cha manabii. Walifuatampangilio na malengo ya kundi makundi yalealiyoyaanzisha Musa (1S. 10:10; 2K. 2:3).

  • “Na kila siku, ndani ya hekalu na nyumbani mwao, hawakuacha kufundishana kuhubiri habari njema za Yesu kwamba ni Kristo.” (Matendo 5:42)

    Yesu alianzisha kundi la kwanza katika Agano Jipyakwa kuwachagua mitume kumi na wawili.

    Walifundishwa na kufunzwa kwa videndo jinsi yakutumia karama zao kwa ufasaha kuhubiri injili, wakikua kiroho.

    Moyo wa kanisa la awai ulikuwa nimakundi madogo madogoyaliyokuwa yakikutana nyumbanikol. 4:15; Phlm. 2).

    Watengeneza pia makundi madogoya uinjilisti. Walisaidiana kwa kutumia uzoefu wao banafsi ilikukamilisha utume. Shukurani ziendekwa haya makundi, injili ilienea kwa haraka kwa ulimwengu waiojua (Mdo15:39-41; 20:4; Rum. 15:19).

  • “Bali Mungu amevitia viungo kila kimoja katika mwili kamaalivyotaka. Lakini kama vyote vingekuwa kiungo kimoja, mwiliungekuwa wapi?” (1 Corinthians 12:18-19)

    Mwili wa mwanadamu unaundwa na seli mojamojaambazo kwa pamoja hufanya viungo ambavyo nimifumo iliyopangiliwa. Kila seli ilna kazi yake katikamfumo, na kila mfumo una kazi yake kwenye mwili.

    Wote huingiliana na kufanya kazi kwa umoja . Kanisani mwili wa Kristo nao hufanya kazi kwa namna hiyo. Kila mtu anapokwa sehemu ya kundi dogo, inakuwavigumu kukatishwa tamaa na hivyo ni rahisikukamilisha utume.

    Makundi yamepangiliwa kwa namna ambayo kila tuatatumia karama zake kwa kiwango chote kuusaidiamwili kukua na kukamilisha utume.

  • YAN

    AYO

    BA

    DIL

    IKA “Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa

    Mariamu, mamaye Yohana, ambaye jina lake la pili niMarko; na watu wengi walikuwa wamekutana humowakiomba.” (Acts 12:12)

    Mungu hutumia makundi madogo kulifanya kanisalikue kwa kuirisha Imani ya waumini and kuwafundisha jinsi ya kumshuhudia Yesu.

    Kila kundi linalo lengo kuu la kuwaongoza watu kwa Yesu, Ingawa kila kundi linaweza kuwa na malengoyanayobadilika kulingana malengo yake mahususi.

    Hapana kuna mifano ya baadhi ya malengo mahususi:

    Kuwaombea wengine

    Kuomba kwa ajili mahitajiya kila siku

    Kwa na muda wa pamoja

    Kujufunza neno la Mungu

    Mafuno kwa ajili yahuduma

    Kujifunza jinsi ya kushirikina wengine

    Kufanya huduma za kijamii

    Kushiriki katika shughuli za kimishionari

    Hii sio orodha kamili. Kila kanisa mahalia lazima liyapango makundi yake Madogopomoja na malengo yake mahususi kulingana na upekee wake.

  • “Mibaraka ya Bwana huja kwa washiriki wa

    kanisa wanaoshiriki katika kazi, kujumuika

    katika makundi madogo kila siku kuombea

    mafanikio yake. Washiriki wa namna hii

    watajipatia neema, na kazi ya Bwana itasonga

    mbele.”E.G.W. (Evangelism, p. 111)

    “Vikundi vidogo vilikutana kujifunza maandiko.

    Hautapoteza kitu kwa sababu ya hili, bali utapata

    Zaidi. Malaika wa Mungu watakuwa katika

    kusanyiko lenu, na unapokula mkate wa uzima,

    utapokea mishipa na misuli ya kiroho. utalishwa,

    kama ilivyokuwa, katika majali ya mti wa uzima.

    Ni kwa namna hii pekee utadumisha uadilifu

    wako.” E.G.W. (This Day With God, January 3)