ibilisi&ya&mtu&ni&mtu:&mazoezi& zoezi&la&kwanza: … ·...

3
© Boston University LANGUAGE PROGRAM, 232 BAY STATE ROAD, BOSTON, MA 02215 www.bu.edu/Africa/alp [email protected] 617.353.3673 Ibilisi ya Mtu ni mtu: Mazoezi Zoezi la Kwanza: Toa maana ya msamiati huu i) Shemeji ii) Mandhari iii) Kuonja iv) Kuogopa v) Kujitahidi vi) Hongera vii) Bao viii) Kuficha ix) Kuandaa x) Kusaliti xi) Shetani xii) Kutakata xiii) Utani xiv) Sikutegemea xv) Kukuta Zoezi la 2: Tunga sentensi kwa kutumia msamiati katika swali la Kwanza Zoezi la 3: Chagua jibu lililosahihi 1) Abdala alimwoa a) Shemeji b) Zainabu c) Jirani 2) Siku ya Kwanza Joho alimletea Zainabu a) Pesa b) Kitenge

Upload: lethuan

Post on 21-Jun-2018

292 views

Category:

Documents


1 download

TRANSCRIPT

Page 1: Ibilisi&ya&Mtu&ni&mtu:&Mazoezi& Zoezi&la&Kwanza: … · 2013-10-15 · Microsoft Word - 8 Ibilisi ya Mtu ni mtu-final.docx Author: Peter D. Quella Created Date: 10/15/2013 2:09:14

 

©  Boston  University  

LANGUAGE  PROGRAM,  232  BAY  STATE  ROAD,  BOSTON,  MA  02215  www.bu.edu/Africa/alp  

[email protected]  617.353.3673  

Ibilisi  ya  Mtu  ni  mtu:  Mazoezi  

 Zoezi  la  Kwanza:  Toa  maana  ya  msamiati  huu  

 i) Shemeji  

ii) Mandhari  

iii) Kuonja  iv) Kuogopa  

v) Kujitahidi  

vi) Hongera  vii) Bao  

viii) Kuficha  ix) Kuandaa  

x) Kusaliti  

xi) Shetani  xii) Kutakata  

xiii) Utani  

xiv) Sikutegemea  xv) Kukuta  

 Zoezi  la  2:  Tunga  sentensi  kwa  kutumia  msamiati  katika  swali  la  Kwanza  

 

 Zoezi  la  3:  Chagua  jibu  lililosahihi  

1) Abdala  alimwoa  a) Shemeji  

b) Zainabu  

c) Jirani    

2) Siku  ya  Kwanza  Joho  alimletea  Zainabu  

a) Pesa  b) Kitenge  

Page 2: Ibilisi&ya&Mtu&ni&mtu:&Mazoezi& Zoezi&la&Kwanza: … · 2013-10-15 · Microsoft Word - 8 Ibilisi ya Mtu ni mtu-final.docx Author: Peter D. Quella Created Date: 10/15/2013 2:09:14

 

  2  

c) Chai  

3) Siku  ya  pili  Zainabu  aliletewa  a) Kanga  

b) Pesa  c) hereni  

4) Kila  zawadi  zilipoletwa  Zainabu  

a) alizipokea  b) hakuzipokea  

c) Alimpa  rafiki    yake  

5) Kushibana  maana  yake  ni  a) kuelewana  sana  

b) Kuzaliwa  pamoja  c) Kula  chakula  na  kushiba  

6) Kusamsaliti  mtu  ni  

a) Kumpenda  b) Kumgeuka  

c) Kumsaili  

7) Jirani  alimwonya  Abdala  kuwa  a) Rafiki  yake  ni  mwizi  

b) Rafiki  yake  huja  nyumbani  wakati  yeye  hayupo  c) Rafiki  yake  anatembea  na  mke  wake  

 

Zoezi  la  4:  Kweli    au  Si  kweli  a) Joho  na  Abdala  ni  marafiki  wa  muda  mrefu  

b) Abdala  na  Zainabu  ni  mume  na  mke  c) Abdala  hakumpenda  mke  wake  

d) Joho  alimpenda  mke  wa  raki  yake  

e) Joho  alizoea  kwenda  nyumbani  kwa  rafiki  yake  wakati  mwenyewe  hayupo  f) Joho  alimtamani  mke  wa  rafiki  yake  

g) Zainabu  alitafuta  ushauri  toka  kwa  rafiki  yake  

h) Rafiki  ya  Zainabu  alimshauri  vibaya    

Page 3: Ibilisi&ya&Mtu&ni&mtu:&Mazoezi& Zoezi&la&Kwanza: … · 2013-10-15 · Microsoft Word - 8 Ibilisi ya Mtu ni mtu-final.docx Author: Peter D. Quella Created Date: 10/15/2013 2:09:14

 

  3  

Zoezi  la  5:  Kuandika  Muhtasari  

Andika  Muhtasari  wa  igizo  hili  kama  unamwadithia  mtu  mwingine.    

 Zoezi  la  6:  Kuelezea  maana  

Elezea  maana  ya  methali  hii  “Ibilisi  ya  mtu  ni  mtu”  kama  

Ilivyotumika  katika  hadithi  hii.    

 

Zoezi  la  7:  Linganisha  kisha  tofautisha  Elezea  jinsi  methali  ya  Kikulacho  kinguoni  mwako  inavyofanana  na  methali  ya  Ibilisi  ya  mtu  ni  mtu    

Zoezi  la  8:  Jibu  swali  hili  

Taja  methali  au  msemo  wa  Kiingereza  unayofanana  na  methali  hii  Unaweza  kuelezea  methali  hiyo  hutumikaje?  

 

Zoezi  la  9:  Jibu  swali  hili  Andika  kisa  kifupi  kingine  ambacho  kinaweza  kuelezea  methali  “Ibilisi  ya  mtu  ni  mtu”  

 Zoezi  la  10:  Jibu  swali  hili  

Jaribu  kuigiza  methali  hii    ili  kufanya  mazoezi