somo la 1 kwa ajili ya octoba 5, 2019 - fustero · 2019. 10. 3. · (ezra 1:1) mungu alikuwa...
TRANSCRIPT
Somo la 1 kwa ajili ya Octoba 5, 2019
Vitabu vya Ezra na Nehemia vinaongelea matukiokutoka wakati ule mfalme Koreshi alipowaruhusuwana wa Israeli kurudi Yerusalem kutoka Babeli, hadikuimarika kwa Israel kama taifa huru na imara (chiniya mamlaka ya kisiasa ya himaya ya Umedi naUajemi).
Ni muhimu kumjua aliyechukua sehemu muhimu ya matukio ya Kihistoria katikawakati huo ili kuweza kuelewa vizuri ujumbe wa vitabu hivi viwili.
Isaya alitabirikwambaKoreshiangewaruhusuwatumwakurudi kwao(Isaya 44:28)
Yeremiaalitangazamiaka 70 yautumwa katikaBabeli(Yeremiah25:11)
Yerusalemilihusuriwa. Danieli nawenginewakachukuliwa hadiBabeli(Daniel 1:1)
Miaka 70 baada yaYerusalemkuhusuriwa, Koreshialiwaruhusuwana waIsraeli kurudi(Ezra 1:1)
Mungu alikuwa amelitoa tangazo la Koreshi ambaloEzra alilitaja, miaka 150 kabla halijawa rasmi. Mungudaima huiongoza historia.
Daniel akaomba mbele za Mungu kwa ajili ya Israel (Daniel 9:1-19) na akamwambia Koreshi kuhusu unabiiwa Isaya na Yeremia. Hii ndiyo ilikuwa hatua hadiKoreshi akawaruhusu warudi kutoka uhamishoni.
Koreshi alikuwa katika mji wa Akmetha Septemba 537 K.K. Hapo ndipo alipoipitisha amri iliyopo katika Ezra 6:2-5. Amri hii ilijumuisha mambo yafuatayo:
Watu wapatao 50,000 walisafiri kwendaYerusalem. Walifika kama mwaka wa 536 K.K.
Kulingana na Ezra 2:1, waliongozwa naZerubabel (mjukuu wa mfalme Yekonia) naKuhani Mkuu Yoshua.
Iliwapasa kulijenga Hekalu katika Yerusalem
Kila myahudi aweze kwenda (haikuwa lazima)
Wangeweza kusaidiwa kwa fedha, dhahabu, ng’ombe…
Koreshi Mkuu II 559-530 KK
536 KK Kundi la kwanza lilirejeshwa na Zerubabeli
Ujenzi wa Hekalu ulianza
Cambyses II 530-522 KK
Gaumata (false Smerdis) 522 KK
Dario I522-486 KK
Machi 515 KK Hekalulilikamilika na likawekwa
wakfu
Xerxes I (Ahasuero)486-465 KK
Esta akawa malkiaUjenzi wa Yerusalem
ukasitishwa
Artashasta I465-425 BC
457 KK Ezra arudiYerusalem akiwa na kundi
la pili
Majuma 70 ya Daniel 9 yaanza
444 KK Nehemia arudiakiwa na kundi la tatu
Ukuta wa Yerusalem ukajengwa tena
“Nao wazee wa Wayahudi wakajenga, wakafanikiwa, kwa msaada wa kuhubiri kwao
Hagai nabii, na Zekaria mwana wa Ido. Wakajenga, wakaimaliza kazi yao, kwa maagizoya Mungu wa Israeli, na kwa amri ya Koreshi, na Dario, na Artashasta mfalme wa Uajemi.”
(Ezra 6:14)
Tutaielewa vizuri hadithi iliyoelezwa kwenyevitabu vya Ezra na Nehemia ikiwa tutauelewauhusiano wao na wafalme wa Uajemiwaliowatawala wana wa Israeli.
Koreshi Dario Artashasta
“Na wewe, Ezra, kwa kadri ya hekima ya Mungu wako iliyo mkononimwako, waweke waamuzi na makadhi, watakaowahukumu watu wotewalio ng’ambo ya Mto, yaani, wote wenye kuzijua amri za Munguwako; ukamfundishe yeye asiyezijua.” (Ezra 7:25)
Amri ya Artashasta katika mwaka 457 KK (Ezra 7:12-26) inajumuisha mambo makuu mawili:
1. Hekalu Makuhani na Walawi wametajwa.
Walisamehewa katika kutozwa kodi (fg. 13, 24) Sadaka maalumu ilihitajiwa kwa ajili ya
urejeshwaji. Zoezi la kila mwaka la kafaralikaanzishwa (aya. 15-23)
2. Uhuru wa Yuda Ezra aliruhusiwa kuteua waamuzi na makadhi.
Wakaruhusiwa kupitisha sheria zao wenyewe(aya. 25-26)
Mara hii ya pili walirudi watu wapatao 1,500 viongozi wa kifamilia kutoka koo 12 (Ezra 8).
Alifanya kazi na mfalme Artashasta na alikuwa naushawishi chanya kwake.
Aliandika vitabu vya Biblia vya Esta, Ezra na Mambo ya Nyakati wa 1 na 2. Pia ndiye aliyezikusanyaZaburi na alikuwa na uelewa mpana sana wamaandiko na sheria ya Musa.
Tamaduni za Kiyahudi zinasema kuwa ndiyealiyeanzisha mikusanyiko kwenye masinagogi namaendeleo mengine ya ibada za kiebrania namifumo ya uandishi.
Ezra ni mfano wa kile Mungu awezacho kufanyapale tunapomruhusu afanye kazi ndani yetu nakuziendeleza karama alizotupatia.
Ezra alikuwa msomi mwenye mamlaka kwenye mahakama ya Uajemi.
“Mungu alimchagua Ezra kuwa chombo chema kwa
Israeli, ili kwamba aweke heshima katika ukuhani,
utukufu ambao ulikuwa umeanguka mno wakati wa
utumwa. Ezra akaendelea kuwa mjuzi ajabu na
akawa “mwandishi mwepesi katika sheria ya Musa.”
(Ezra 7:6). Sifa hizi zikamfanya kuwa mtu maarufu
sana katika ufalme wa Umedi na Uajemi.
Ezra akawa kinywa cha Mungu, kuwaelimisha wale
walio wake katika kanuni zinazoongoza mbingu.
Wakati wa miaka yake iliyosalia, akiwa karibu na
mahakama ya mfalme wa Umedi na Uajemi au akiwa
Yerusalemu, kanuni yake ya kazi ilikuwa ni ya kuwa
mwalimu. Alivyokuwa akiongea na wengine ukweli
aliojifunza, uwezo wake wa utumishi uliongezeka.
Akawa mcha Mungu na mwenye bidii sana. Alikuwa
shahidi wa Bwana wa nguvu ya ukweli wa Biblia
kwa ulimwengu kuwezesha maisha ya kila siku.”E.G.W. (Manabii na Wafalme, sura. 50, p. 609)
“Wote tumepewa kazi ya
kufanya, na hii inaweza
kukamilishwa kwa kutoa
jitihada zetu kikamilifu. Je,
tutauacha mfano wa Ezra
utuelekeze mmoja mmoja, na
kutufundisha kutumia ufahamu
wetu wa maandiko?”
E.G.W. (Christ Triumphant, June 27)