web viewkanisa la biblia tanzania. idara ya vijana na watoto. jipau- jitokeze pambana na ukimwi;...

7
KANISA LA BIBLIA TANZANIA IDARA YA VIJANA NA WATOTO. JIPAU- JITOKEZE PAMBANA NA UKIMWI; KANISA LA BIBLIA TANZANIA (Gemeindeverbund “Kirche der Bibel” Tansania) Abteilung für Kinder- und Jugendarbeit JIPAU (Name der Kampagne) RIPOTI YA UTENDAJI WA HUDUMA 3/11/2016 3.11.2016 Bericht über die Durchführung der Hilfsaktionen Kwa ndugu na marafiki munaotuombea na kujitoa kwaajili ya kusaidia huduma katika idara Vijana na watoto. (JIPAU-JITOKEZE, PAMBANA, NA UKIMWI ) ninawashukuru sana Mungu awabariki Für unsere Geschwister und Freunde, die für uns beten und bereit sind, den Dienst in der Kinder-und Jugendarbeit zu unterstützen. Ich danke euch sehr, Gott segne euch!

Upload: vuongdiep

Post on 26-Feb-2018

301 views

Category:

Documents


2 download

TRANSCRIPT

Page 1: Web viewKANISA LA BIBLIA TANZANIA. IDARA YA VIJANA NA WATOTO. JIPAU- JITOKEZE PAMBANA NA UKIMWI; KANISA LA BIBLIA TANZANIA (Gemeindeverbund “Kirche der Bibel

KANISA LA BIBLIA TANZANIA

IDARA YA VIJANA NA WATOTO.JIPAU- JITOKEZE PAMBANA NA UKIMWI;

KANISA LA BIBLIA TANZANIA (Gemeindeverbund “Kirche der Bibel” Tansania)

Abteilung für Kinder- und JugendarbeitJIPAU (Name der Kampagne)

RIPOTI YA UTENDAJI WA HUDUMA 3/11/20163.11.2016 Bericht über die Durchführung der Hilfsaktionen

Kwa ndugu na marafiki munaotuombea na kujitoa kwaajili ya kusaidia huduma katika idara Vijana na watoto. (JIPAU-JITOKEZE, PAMBANA, NA UKIMWI) ninawashukuru sana Mungu awabariki

Für unsere Geschwister und Freunde, die für uns beten und bereit sind, den Dienst in der Kinder-und Jugendarbeit zu unterstützen. Ich danke euch sehr, Gott segne euch!

Page 2: Web viewKANISA LA BIBLIA TANZANIA. IDARA YA VIJANA NA WATOTO. JIPAU- JITOKEZE PAMBANA NA UKIMWI; KANISA LA BIBLIA TANZANIA (Gemeindeverbund “Kirche der Bibel

TAARIFA YA HUDUMA.Mwaka 2014-2016 Mpaka mwezi wa 4. Hatukufanya kampeni kubwa za kujenga uwelewa juu ya VVU/ UKIMWI vijijini kwa kuwa Mratibu wa JIPAU nilikuwa Masomoni.Na kumaliza masomo 8/2/2016. na kufanya mazowezi Hospital ya Wilaya Masasi, mkomaido.

Mwezi 4/2016 Nilianza kazi ya kujitolea katika Hospital ya Mbesa Mission hadi sasa. Kwa kusaidia wagonjwa na kutoa huduma ya ushauri na upimaji wa VVU.Kutokana na taalma na uzowefu nilioupata inanisaidia sana kujuwa taarifa sahihi kuhusu VVU/UKIMWI katika Taifa letu na hasa katika Eneo ninalofanyia kazi.

Informationen über die ArbeitAb 2014 bis zum April 2016 machten wir keine großen Kampagnen zum Aufbau von Verständnis über HIV/AIDS in den Dörfern, denn ich studierte, um Koordinator von JIPAU zu werden. Ich beendete das Studium am 8.2.2016 und übte zunächst im Bezirkskrankenhaus von Masasi.

Im April 2016 begann ich meine Arbeit im Missions-Krankenhaus von Mbesa, wo ich bis heute bin. Hier helfe ich Kranken, berate und biete HIV-Tests an. Aufgrund meiner Ausbildung und Erfahrung kenne ich die korrekten Informationen betreffend HIV/AIDS in unserem Land und besonders in der Umgebung, in der ich arbeite.

TAARIFA KATIKA MATOKEO YA CHUMBA CHA UPIMAJI.

Page 3: Web viewKANISA LA BIBLIA TANZANIA. IDARA YA VIJANA NA WATOTO. JIPAU- JITOKEZE PAMBANA NA UKIMWI; KANISA LA BIBLIA TANZANIA (Gemeindeverbund “Kirche der Bibel

Baada miezi 2 ya kuwepo katika upimaji nimegutua bado tunaitaji kuongeza nguvu katika kutoa Elimu na kujenga uwelewa juu ya VVU/UKIMWI.Baadhi ya vijiji hali ya maambukizi ni kubwa sana hasa pale unapoona kumi kwa watatu wanaopimwa Positive. Hii ni alama ya hatari zaidi. Hasa katika vijiji vinavyozunguka Eneo la Mbesa. Kama vile Mbati, Marumba,Lukumbule, Mkandu, na Mbesa Penyewe.

Bericht von den Resultaten aus dem TestzimmerNach zwei Monaten, die ich Tests durchführe, habe ich noch nicht …. Wir müssen uns verstärkt um die Aufklärung und das Aufbauen von Wissen über HIV/AIDS kümmern.In einigen Dörfern ist die Infiziertenrate sehr groß, besonders sieht man es dort, wo drei von zehn positiv getestet sind. Dies bedeutet ein größeres Risiko, insbesondere in den Dörfern rund Mbesa, wie Mbati, Marumba, Lukumbule, Mkandu – aber auch Mbesa selbst.

WITO WANGU KWA MARAFIKI WA JIPAU NA IDARA.Muendele kuombea huduma hii hatuna mwisho wa kupunzika tunatakiwa kuwa jasiri katika mapambano dhidi ya UKIMWI.Watu wanataka kutusikiliza ili wabadilike, na tanapowasaidia watu kuepuka maambukizi, na kuwatunza waliopata maambukizi tunatangaza upende wa Mungu.

Mein Ruf für Freunde von JIPAU und der AbteilungBetet weiterhin ohne Pause für diesen Dienst, dass wir mutig sein können im Kampf gegen AIDS. Menschen wollen uns zuhören, sodass sie verändert werden, und wir helfen ihnen, Infizierungen zu vermeiden. Außerdem kümmern wir uns um bereits Infizierte, und verkündigen ihnen die Liebe Gottes.

Page 4: Web viewKANISA LA BIBLIA TANZANIA. IDARA YA VIJANA NA WATOTO. JIPAU- JITOKEZE PAMBANA NA UKIMWI; KANISA LA BIBLIA TANZANIA (Gemeindeverbund “Kirche der Bibel

USHIRIKIANO NA VIONGOZI WA SERIKALI.Tuna ushirikiano na viongozi na wanatupa msaada sana kwa kuwaandaa wanakijiji kuhudhuria kampeni zetu, pamoja na vifaa tunavyohita kama meza na viti tunapata kwao.

Zusammenarbeit mit den Leitenden der RegierungWir arbeiten mit den Leitern der Dörfer zusammen und werden von ihnen sehr unterstützt. Sie organisieren, dass die Dorfbewohner zu unseren Veranstaltungen kommen, und kümmern sich um alles, was wir brauchen, wie Tische und Stühle.

TAARIFA KWA WATOTO WA VIJIJINI.Tunafanya kampeni za UKIMWI kwa uwazi ili tuwanasaidia watoto hasa vijana wa kati ambao wapo katika hatua za kukuwa.

Mila na destuli zinawafanya watoto kukosa kupata taarifa sahihi kuhusu tatizo la UKIMWI.Wengine wanajikuta wapo Yatima hawajuwi kwa nini, wengine wanashuhudia wazazi wakiuguwa kwa muda Mrefu bila kujuwa chochote.Tunapofanya kampeni za wazi zinawasaidia kupata uelewa na kujiamini katika mapambano ya UKIMWI.

Kinder und JugendlicheWir führen AIDS-Kampagnen in der Öffentlichkeit durch, sodass wir Kindern und besonders Jugendlichen helfen, die sich in der Phase des Erwachsenwerdens befinden.

Oft sorgen Traditionen und Bräuche dafür, dass Kinder falsche Informationen über die Probleme von AIDS bekommen. Andere Kinder sind Waisen und wissen nicht warum, wieder

Page 5: Web viewKANISA LA BIBLIA TANZANIA. IDARA YA VIJANA NA WATOTO. JIPAU- JITOKEZE PAMBANA NA UKIMWI; KANISA LA BIBLIA TANZANIA (Gemeindeverbund “Kirche der Bibel

andere bezeugen, dass ihre Eltern sich über einen längeren Zeitraum unwohl fühlen, ohne irgendetwas zu wissen. Die öffentlichen Kampagnen helfen ihnen, Verständnis zu bekommen und an sich zu glauben im Kampf gegen AIDS.

TAARIFA KWA TIMU NA WASAIDIZITimu inapatika kwa kuwapa mafundisho kwa wiki tatu hadi 4, mpaka kuwa na uwezo wa kufundisha na kujibu maswali. Kwa sasa tupo 13

Zum Team und den HelfernDas Team bekommt eine drei- bis vierwöchige Ausbildung, bis es in der Lage ist zu unterrichten und Fragen zu beantworten. Zurzeit sind wir 13.

TAARIFA YA KIBAJETI.Ili kufanikisha kampeni moja inatugharimu kiasi cha Tsh 700,000 hadi 1,000,000. Hii inatengemea umbali wa mahali tunakwenda kufanya kampeni.

Page 6: Web viewKANISA LA BIBLIA TANZANIA. IDARA YA VIJANA NA WATOTO. JIPAU- JITOKEZE PAMBANA NA UKIMWI; KANISA LA BIBLIA TANZANIA (Gemeindeverbund “Kirche der Bibel

Pesa hizi hutumika kwa.Chakula kwa walimu (Timu work)Usafiri.Petrol.Stationery.Huduma ya kwanza.

KostenEine Kampagne durchzuführen kostet uns einen Betrag von 700.000 bis 1.000.000 TZS (ca. 300 – 450 Euro). Das kommt auf die Entfernung des Ortes an, an dem die Veranstaltungen stattfinden.Das Geld wird gebraucht für:

- Verpflegung für die Lehrer (die Arbeit des Teams)- Reise- und Spritkosten- Verwaltungsaufwand- Erste Hilfe

Imeandaliwa na Mratibu waJIPAU- JITOKEZE, PAMBANA UKIMWI

Simoni Marko MagongaEmail: simoni.marko.magonga@kanisa -la-biblia.orgEmail: [email protected]: +255 788025012